Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
hadhi 1
haidhuru 1
haiwezi 1
haki 68
hakuna 1
hali 15
halikupinga 1
Frequency    [«  »]
-----
130 ya
115 na
68 haki
63 kwa
42 wa
41 mtu

Umoja wa Mataifa ofisi ya idara ya habari Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu

IntraText - Concordances

haki

   Art.
1 Intro| Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu~~Katika Disemba 2 Intro| Taarifa ya Ulimwengu juu ya Haki za Binadamu. Maelezo kamili 3 Intro| kukiri heshima ya asili na haki sawa na binadamu wote ndio 4 Intro| wote ndio msingi wa uhuru, haki na amani duniani, ~Kwa kuwa 5 Intro| kuwa kutojali na kudharau haki za binadamu kumeletea vitendo 6 Intro| dhuluma na uonevu, kwamba haki za binadamu ziwe chini ya 7 Intro| Mkataba wao imani yao katika haki za asili, heshima na thamani 8 Intro| binadamu na katika usawa wa haki kwa wanaume na wanawake, 9 Intro| Mataifa, kukuza na kuheshimu haki za binadamu na uhuru wake 10 Intro| asili, ~Kwa kuwa kuzitambua haki hizi na uhuru huu ni jambo 11 Intro| HII YA ULIMWENGU JUU YA HAKI ZA BINADAMU kama ndio nguzo 12 Intro| jinsi ya kukuza heshima ya haki hizo na uhuru huo. Na mataifa 13 Intro| yote yatajitahidi kuzifanya haki hizo zifahamike miongoni 14 1 | wamezaliwa huru, hadhi na haki zao ni sawa. Wote wamejaliwa 15 2 | Kila mtu anastahili kuwa na haki zote na uhuru wote ambao 16 3 | Kifungu cha 3~Kila mtu ana haki ya kuishi, haki ya uhuru, 17 3 | mtu ana haki ya kuishi, haki ya uhuru, na haki ya kulindwa 18 3 | kuishi, haki ya uhuru, na haki ya kulindwa nafsi yake. ~ 19 6 | Mbele ya sheria kila mtu ana haki ya kutambulika kama mtu. ~ 20 7 | wote ni sawa na wanastahili haki sawa za kulindwa. Wote wana 21 7 | sawa za kulindwa. Wote wana haki sawa ya kulindwa kutokana 22 8 | Kifungu cha 8~Kila mtu ana haki ya kutetewa na baraza la 23 8 | kwa makosa ya kuvunjiwa haki zake za asili anazostahili 24 10 | Kifungu cha 10~Kila mtu ana haki kamili ya kuhukumiwa vyema 25 10 | upendeleo katika kutoa uamuzi wa haki zake na wajibu wake na wa 26 11 | kosa la kuvunja sheria ana haki ya kuangaliwa kama si mkosefu 27 12 | sifa yake. Kila mmoja ana haki ya kulindwa na sheria kutokana 28 13 | Kifungu cha 13~1. Kila mtu ana haki ya kwenda mahali anapotaka 29 13 | nchi. ~~2. Kila mmoja ana haki ya kuhama kutoka nchi yo 30 13 | nchi yake mwenyewe, na ana haki ya kurejea katika nchi yake. ~ 31 14 | Kifungu cha 14~1. Kila mtu ana haki ya kukimbilia na kustarehe 32 14 | kuepukana na udhalimu. ~~2. Haki hii haiwezi kuombwa kwa 33 15 | Kifungu cha 15~1. Kila mtu ana haki ya utaifa. ~~2. Mtu ye yote 34 15 | bila sheria wala asinyimwe haki ya kujibadili taifa lake 35 16 | wanaume kwa wanawake wana haki ya kuoana na kuunda jamaa 36 16 | rangi, taifa au dini. Wana haki sawa za ndoa wakati wa maisha 37 17 | Kifungu cha 17~1. Kila mtu ana haki ya kuwa na mali yake binafsi 38 18 | Kifungu cha 18~Kila mtu ana haki ya uhuru wa mawazo, dhamira 39 18 | mawazo, dhamira na dini; haki hii inahusu pia uhuru wa 40 19 | Kifungu cha 19~Kila mmoja ana haki ya uhuru wa kutoa na kueleza 41 19 | kutoa na kueleza maoni yake; haki hii inahusu pia uhuru wa 42 20 | cha 20~1. Kila mtu anayo haki ya kushiriki katika mkutano 43 21 | cha 21~1. Kila mmoja anayo haki ya kushiriki katika Serikali 44 21 | yake. ~~2. Kila mmoja anayo haki sawa ya kufanya kazi katika 45 22 | Kila mtu, kama raia, anayo haki ya kutunzwa na anastahili 46 23 | Kifungu ch 23~1. Kila mtu ana haki ya kufanya kazi, ya kuchagua 47 23 | yenye masharti mazuri na ana haki ya kulindwa asikose kazi. ~~ 48 23 | kazi. ~~2. Kila mtu ana haki ya kupata mshahara sawa 49 23 | Kila mfanya kazi anayo haki ya kupata mshahara wa kufaa 50 23 | nyingine. ~~4. Kila mtu anayo haki ya kuunda au kujiunga na 51 23 | kazi kwa ajili ya kulinda haki zake za kazi. ~ 52 24 | Kifungu cha 24~Kila mtu ana haki ya kupumzika na kufanya 53 24 | saa zinazostahili. Pia ana haki ya kupata likizo, kwa vipindi, 54 25 | cha 25~1. Kila mtu anayo haki ya kupata hali bora ya maisha 55 25 | kwa maisha yake. Pia ana haki ya kutunzwa wakati wa kazi, 56 26 | Kifungu cha 26~1. Kila mtu ana haki ya kuelimishwa. Elimu yapasa 57 26 | na kwa shabaha ya kukuza haki za binadamu na uhuru wake 58 26 | kudumisha amani. ~~3. Ni haki ya wazazi kuchagua aina 59 27 | cha 27~1. Kila mtu anayo haki ya kushiriki katika maisha 60 27 | ya jamii yo yote, na ana haki ya kufurahia ustadi wa kazi 61 27 | nayo. ~~2. Kila mtu ana haki ya kulindwa kwa kila hali 62 28 | Kifungu cha 28~Ni haki kila mtu alindwe na taratibu 63 28 | ambazo ndani yake uhuru na haki zilizoelezwa katika Taarifa 64 29 | yake. ~~2. Katika kutumia haki na uhuru wake, kila mtu 65 29 | heshima inayotakiwa juu ya haki na uhuru wa watu wengine, 66 29 | ajili ya kuhifadhi kanuni za haki, usalama na hali njema ya 67 29 | kidemokrasi. ~~3. Uhuru huu na haki hizi kamwe visitumiwe kinyume 68 30 | nia yake ni kuharibu uhuru haki zilizoelezwa humu. ~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License