1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-2000 | 2001-2500 | 2501-3000 | 3001-3500 | 3501-4000 | 4001-4500 | 4501-5000 | 5001-5500 | 5501-6000 | 6001-6500 | 6501-7000 | 7001-7500 | 7501-8000 | 8001-8500 | 8501-9000 | 9001-9500 | 9501-10000 | 10001-10500 | 10501-11000 | 11001-11500 | 11501-11556
bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 1 | teremka kwa utimilivu wake. Na sura hii inakusanya jumla
2 1 | yaliyomo katika Qur'ani na kama kwamba huu ni mukhtasari
3 1 | huu ni mukhtasari wake, na baadaye yatakuja mambo kwa
4 1 | kwa tafsili, babu-babu. ~Na makusudio ya Qur'ani ni:
5 1 | Upweke wa Mwenyezi Mungu; na kubainisha ahadi na bishara
6 1 | Mungu; na kubainisha ahadi na bishara kwa Muumini mtenda
7 1 | kwa Muumini mtenda mema; na kubainisha ahadi na onyo
8 1 | mema; na kubainisha ahadi na onyo kwa kafiri na mtenda
9 1 | ahadi na onyo kwa kafiri na mtenda maovu; na kubainisha
10 1 | kafiri na mtenda maovu; na kubainisha ibada; na kubainisha
11 1 | maovu; na kubainisha ibada; na kubainisha njia ya kufanikiwa
12 1 | njia ya kufanikiwa duniani na Akhera; na hadithi za walio
13 1 | kufanikiwa duniani na Akhera; na hadithi za walio mt'ii Mwenyezi
14 1 | Mwenyezi Mungu wakafuzu, na hadithi za walio muasi wakaangamia. ~
15 1 | Al-Faatih'a inakusanya kwa ufupi na kwa kuashiria makusudio
16 1 | kuashiria makusudio haya, na kwa hivyo ndio ikaitwa pia "
17 1, 5 | 5. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.~
18 2 | ndiyo msingi wa uwongofu, na imewataja wale walio neemeshwa
19 2 | imewataja wale walio neemeshwa na Mwenyezi Mungu kwa kupata
20 2 | Mungu kwa kupata radhi zake, na wale walio kasirikiwa, nao
21 2 | kasirikiwa, nao ni makafiri na wanaafiki. ~Sura imeeleza
22 2 | imeeleza ukweli wa Qur'ani, na kwamba wito wake ni wa kweli
23 2 | wito wake ni wa kweli usio na shaka. Kisha ikaingia kueleza
24 2 | watu: Waumini, Makafiri na Wanaafiki. Na ikataja Daa'
25 2 | Makafiri na Wanaafiki. Na ikataja Daa'wa, Mlingano,
26 2 | wamuabudu Mwenyezi Mungu pekee, na ikawaonya makafiri, na ikawapa
27 2 | na ikawaonya makafiri, na ikawapa bishara njema Waumini.
28 2 | Israili khasa kwa kuwaita na kuwakumbusha siku za Mwenyezi
29 2 | siku za Mwenyezi Mungu, na kwa vituko vyao na Musa
30 2 | Mungu, na kwa vituko vyao na Musa a.s. na kuwakumbusha
31 2 | vituko vyao na Musa a.s. na kuwakumbusha khabari za
32 2 | kuwakumbusha khabari za Ibrahim na Ismail na walivyo ijenga
33 2 | khabari za Ibrahim na Ismail na walivyo ijenga Al Kaaba.
34 2 | wazingatie yaliyo wapata Mayahudi na Wakristo. ~Mazungumzo yakaingia
35 2 | mambo ambayo umma wa Musa na umma wa Muhammad walivyo
36 2 | katika kutukuzwa Ibrahim na kuongoka kwake na nasaba
37 2 | Ibrahim na kuongoka kwake na nasaba yake, na kwa kutaja
38 2 | kuongoka kwake na nasaba yake, na kwa kutaja kibla na mfano
39 2 | yake, na kwa kutaja kibla na mfano wa hayo. ~Kisha yakaja
40 2 | Upweke wa Mwenyezi Mungu) na kukumbusha Ishara za Mwenyezi
41 2 | zenye kumuashiria Yeye. Na yakaja masimulizi juu ya
42 2 | masimulizi juu ya ushirikina, na juu ya vyakula vilivyo harimishwa,
43 2 | vyakula vilivyo harimishwa, na kwamba kuharimisha na kuhalalisha
44 2 | harimishwa, na kwamba kuharimisha na kuhalalisha ni haki ya Mwenyezi
45 2 | kubainisha misingi ya wema, na kutaja baadhi ya hukumu
46 2 | baadhi ya hukumu za Saumu, na wasia, na kula mali ya watu
47 2 | hukumu za Saumu, na wasia, na kula mali ya watu kwa dhulma,
48 2 | mali ya watu kwa dhulma, na kisasi, na vita, na Hija,
49 2 | watu kwa dhulma, na kisasi, na vita, na Hija, na ulevi,
50 2 | dhulma, na kisasi, na vita, na Hija, na ulevi, na kamari,
51 2 | kisasi, na vita, na Hija, na ulevi, na kamari, na ndoa
52 2 | vita, na Hija, na ulevi, na kamari, na ndoa na talaka,
53 2 | Hija, na ulevi, na kamari, na ndoa na talaka, na kunyonyesha,
54 2 | ulevi, na kamari, na ndoa na talaka, na kunyonyesha,
55 2 | kamari, na ndoa na talaka, na kunyonyesha, na eda na mengineyo.
56 2 | talaka, na kunyonyesha, na eda na mengineyo. Hali kadhaalika
57 2 | na kunyonyesha, na eda na mengineyo. Hali kadhaalika
58 2 | mas-ala ya kutoa sadaka na Zaka, riba, biashara, kuandikiana
59 2 | Mola wao Mlezi awanusuru na awasaidie. ~Sura hii imekusanya
60 2 | Kwamba Njia ya Mwenyezi Mungu na kuishika Dini yake ni dharura
61 2 | kupata mafanakio duniani na Akhera, na kwamba haielekei
62 2 | mafanakio duniani na Akhera, na kwamba haielekei kwa mwenye
63 2 | naye akajisahau mwenyewe; na ya kwamba yapasa kuchagua
64 2 | kuchagua kheri kuliko shari, na kukhiari lilio bora kuliko
65 2 | bora kuliko lilio duni. ~Na kwamba misingi ya Dini ni
66 2 | Mungu, Kuamini kufufuliwa, na Kutenda mema. ~Na kwamba
67 2 | kufufuliwa, na Kutenda mema. ~Na kwamba malipo ni kwa Imani
68 2 | kwamba malipo ni kwa Imani na vitendo pamoja. Shuruti
69 2 | Imani ni kukiri kwa nafsi na kukubali kwa moyo kila alilo
70 2 | kuja nalo Mtume s.a.w., na kwamba wasio kuwa Waislamu
71 2 | Waislamu hawatokuwa radhi na Waislamu mpaka Waislamu
72 2 | dini yao hao walio potea. ~Na kwamba kwa jumla urafiki
73 2 | kwa wenye kushika Imani na uadilifu, sio kwa watu wa
74 2 | sio kwa watu wa kufuru na dhulma, na kwamba Imani
75 2 | watu wa kufuru na dhulma, na kwamba Imani ya Dini ya
76 2 | inalazimisha uwepo umoja na kuwafikiana, na kutofuata
77 2 | uwepo umoja na kuwafikiana, na kutofuata hayo huleta khitilafu
78 2 | kutofuata hayo huleta khitilafu na kutengana. Kwa ajili ya
79 2 | kutafuta msaada kwa Subira na Sala. Kufuata kipofu-pofu
80 2 | kipofu-pofu ni upotovu, na hupelekea ujinga na chuki
81 2 | upotovu, na hupelekea ujinga na chuki za kitaifa. ~Na kwamba
82 2 | ujinga na chuki za kitaifa. ~Na kwamba Mwenyezi Mungu amewahalalishia
83 2 | waja wake vyakula vizuri na amewaharimishia vichache
84 2 | kuhalalisha au kuharimisha kitu. Na vilivyo harimishwa huhalalishiwa
85 2 | huruhusu vilivyo katazwa, na dharura hupimwa kwa kadiri
86 2 | imejengwa juu ya wepesi na kuondoa mikazo. Kwani Mwenyezi
87 2 | hutafutwa kwa sababu zake na njia zake zitakao fikilia.
88 2 | kwa ajili ya kujilinda, na kwa ajili ya kuhifadhi uhuru
89 2 | kuhifadhi uhuru wa dini, na kuulinda utukufu wa Uislamu
90 2 | Uislamu katika miji yake. ~Na kwamba Muislamu anayo haki
91 2 | wake kwa ajili ya Akhera, na kwamba kutimiza haja na
92 2 | na kwamba kutimiza haja na kuleta maslaha ni miongoni
93 2 | mwa makusudio ya Sharia. ~Na kwamba Imani na Subira ni
94 2 | Sharia. ~Na kwamba Imani na Subira ni sababu mbili zinazo
95 2 | kuwashinda wengi wenye kudhulumu, na kula mali ya watu kwa upotovu
96 2 | watu kwa upotovu ni haramu, na mwanaadamu analipwa kwa
97 2 | vitendo vya mwenginewe, na hikima ya utungaji sharia
98 2 | utungaji sharia inafahamiwa na akili iliyo kaa sawa kwa
99 2 | kuwa ndani yake mna haki na uadilifu na maslaha ya waja. ~
100 2 | yake mna haki na uadilifu na maslaha ya waja. ~KWA JINA
101 2, 2 | Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu
102 2, 3 | Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika
103 2, 3 | ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa. ~~~~~~
104 2, 4 | 4. Na ambao wanayaamini yaliyo
105 2, 4 | yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako;
106 2, 4 | yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. ~~~~~~
107 2, 5 | utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. ~~~~~~
108 2, 7 | muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu
109 2, 7 | zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko.
110 2, 8 | 8. Na katika watu, wako wasemao:
111 2, 8 | Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao
112 2, 9 | kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini
113 2, 10 | Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia
114 2, 10 | amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu
115 2, 11 | 11. Na wanapo ambiwa: Msifanye
116 2, 13 | 13. Na wanapo ambiwa: Aminini kama
117 2, 14 | 14. Na wanapo kutana na walio amini
118 2, 14 | 14. Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini.
119 2, 14 | amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na
120 2, 14 | Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika
121 2, 15 | Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu
122 2, 17 | mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza wake
123 2, 17 | Mungu aliiondoa nuru yao na akawawacha katika giza,
124 2, 19 | itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia
125 2, 19 | mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia vidole
126 2, 19 | mingurumo, kwa kuogopa kufa. Na Mwenyezi Mungu amewazunguka
127 2, 20 | ukiwatolea mwangaza huenda, na unapo wafanyia giza husimama.
128 2, 20 | wafanyia giza husimama. Na angelitaka Mwenyezi Mungu
129 2, 20 | angeliondoa kusikia kwao na kuona kwao. Hakika Mwenyezi
130 2, 21 | Mlezi aliye kuumbeni nyinyi na wale wa kabla yenu, ili
131 2, 22 | ardhi kuwa kama tandiko, na mbingu kama paa, na akateremsha
132 2, 22 | tandiko, na mbingu kama paa, na akateremsha maji kutoka
133 2, 22 | akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo akatoa matunda yawe
134 2, 22 | Mwenyezi Mungu washirika, na hali nyinyi mnajua. ~~~~~~
135 2, 23 | 23. Na ikiwa mna shaka kwa hayo
136 2, 23 | sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi wenu badala
137 2, 24 | 24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya
138 2, 24 | 24. Na mkitofanya - na wala hamtofanya kamwe -
139 2, 24 | ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao
140 2, 25 | 25. Na wabashirie walio amini na
141 2, 25 | Na wabashirie walio amini na wakatenda mema kwamba watapata
142 2, 25 | kama tuliyo pewa mbele. Na wataletewa matunda yaliyo
143 2, 25 | wataletewa matunda yaliyo fanana; na humo watakuwa na wake walio
144 2, 25 | fanana; na humo watakuwa na wake walio takasika; na
145 2, 25 | na wake walio takasika; na wao humo watadumu. ~~~~~~
146 2, 26 | kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama
147 2, 26 | mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini
148 2, 27 | baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha
149 2, 27 | Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika
150 2, 28 | mnamkanusha Mwenyezi Mungu na hali mlikuwa wafu akakufufueni!
151 2, 29 | Tena akazielekea mbingu, na akazifanya mbingu saba.
152 2, 30 | 30. Na pale Mola wako Mlezi alipo
153 2, 30 | atakaye fanya uharibifu humo na kumwaga damu, hali sisi
154 2, 30 | tunakutakasa kwa sifa zako na tunakutaja kwa utakatifu
155 2, 31 | 31. Na akamfundisha Adam majina
156 2, 31 | akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina
157 2, 33 | ninajua siri za mbinguni na za duniani, na ninayajua
158 2, 33 | mbinguni na za duniani, na ninayajua mnayo yadhihirisha
159 2, 33 | ninayajua mnayo yadhihirisha na mliyo kuwa mnayaficha? ~~~~~~
160 2, 34 | 34. Na tulipo waambia Malaika:
161 2, 34 | isipo kuwa Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika
162 2, 34 | Iblis, alikataa na akajivuna na akawa katika makafiri. ~~~~~~
163 2, 35 | 35. Na tulisema: Ewe Adam! Kaa
164 2, 35 | tulisema: Ewe Adam! Kaa wewe na mkeo katika Bustani, na
165 2, 35 | na mkeo katika Bustani, na kuleni humo maridhawa popote
166 2, 36 | aliwatelezesha hao wawili na akawatoa katika waliyo kuwamo,
167 2, 36 | akawatoa katika waliyo kuwamo, na tukasema: Shukeni, nanyi
168 2, 36 | ardhi yatakuwa makaazi yenu na starehe kwa muda. ~~~~~~
169 2, 37 | maneno kwa Mola wake Mlezi, na Mola wake Mlezi alimkubalia
170 2, 37 | Mwingi wa kukubali toba na Mwenye kurehemu. ~~~~~~
171 2, 38 | Tukasema: Shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu
172 2, 39 | 39. Na wenye kukufuru na kuzikanusha
173 2, 39 | 39. Na wenye kukufuru na kuzikanusha ishara zetu,
174 2, 40 | yangu niliyo kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na
175 2, 40 | na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu,
176 2, 40 | Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu. ~~~~~~
177 2, 41 | 41. Na aminini niliyo yateremsha
178 2, 41 | zangu kwa thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu. ~~~~~~
179 2, 42 | Wala msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli
180 2, 42 | msichanganye kweli na uwongo na mkaificha kweli nanyi mnajua. ~~~~~~
181 2, 43 | 43. Na shikeni Sala, na toeni Zaka,
182 2, 43 | 43. Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja
183 2, 43 | shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao
184 2, 43 | Zaka, na inameni pamoja na wanao inama. ~~~~~~
185 2, 44 | Mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi zenu, na
186 2, 44 | na mnajisahau nafsi zenu, na hali nyinyi mnasoma Kitabu?
187 2, 45 | 45. Na tafuteni msaada kwa kusubiri
188 2, 45 | tafuteni msaada kwa kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika
189 2, 45 | kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hilo ni
190 2, 46 | yakini kuwa hakika watakutana na Mola wao Mlezi na ya kuwa
191 2, 46 | watakutana na Mola wao Mlezi na ya kuwa hakika watarejea
192 2, 47 | zangu nilizo kuneemesheni, na nikakuteuweni kuliko wote
193 2, 48 | 48. Na iogopeni Siku ambayo mtu
194 2, 49 | 49. Na vile tulipo kuokoeni kwa
195 2, 49 | wakiwachinja wana wenu wa kiume na wakawawacha hai wanawake;
196 2, 49 | wakawawacha hai wanawake; na katika hayo ulikuwa ni mtihani
197 2, 50 | 50. Na tulipo ipasua bahari kwa
198 2, 50 | ipasua bahari kwa ajili yenu na tukakuokoeni, tukawazamisha
199 2, 50 | tukawazamisha watu wa Firauni, na huku mnatazama. ~~~~~~
200 2, 51 | 51. Na tulipo muahidi Musa masiku
201 2, 51 | mkamuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu. ~~~~~~
202 2, 53 | 53. Na tulipo mpa Musa Kitabu na
203 2, 53 | Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate kuongoka. ~~~~~~
204 2, 54 | 54. Na Musa alipo waambia watu
205 2, 54 | Basi tubuni kwa Muumba wenu na ziueni nafsi zenu. Haya
206 2, 54 | Yeye ndiye apokeaye toba na Mwenye kurehemu. ~~~~~~
207 2, 55 | 55. Na mlipo sema: Ewe Musa! Hatutakuamini
208 2, 57 | 57. Na tukakutilieni kivuli kwa
209 2, 57 | tukakutilieni kivuli kwa mawingu na tukakuteremshieni Manna
210 2, 57 | tukakuteremshieni Manna na Salwa; tukakwambieni: Kuleni
211 2, 58 | 58. Na tulipo sema: Ingieni mji
212 2, 58 | tulipo sema: Ingieni mji huu, na humo mle mpendapo maridhawa,
213 2, 58 | mle mpendapo maridhawa, na ingieni katika mlango wake
214 2, 58 | mlango wake kwa unyenyekevu, na semeni: Tusamehe! Tutakusameheni
215 2, 58 | Tutakusameheni makosa yenu, na tutawazidishia wema wafanyao
216 2, 60 | 60. Na Musa alipo omba maji kwa
217 2, 60 | zikatimbuka chemchem kumi na mbili; kila kabila ikajua
218 2, 60 | kunywea. Tukawaambia: Kuleni na mnywe riziki ya Mwenyezi
219 2, 61 | 61. Na mlipo sema: Ewe Musa! Hatuwezi
220 2, 61 | ardhi, kama mboga zake, na matango yake, na thom zake,
221 2, 61 | mboga zake, na matango yake, na thom zake, na adesi zake,
222 2, 61 | matango yake, na thom zake, na adesi zake, na vitunguu
223 2, 61 | thom zake, na adesi zake, na vitunguu vyake. Akasema:
224 2, 61 | huko mtapata mlivyo viomba. Na wakapigwa na unyonge,na
225 2, 61 | mlivyo viomba. Na wakapigwa na unyonge,na umasikini, na
226 2, 61 | Na wakapigwa na unyonge,na umasikini, na wakastahili
227 2, 61 | na unyonge,na umasikini, na wakastahili ghadhabu ya
228 2, 61 | ghadhabu ya Mwenyezi Mungu. Na haya ni kwa sababu walikuwa
229 2, 61 | maneno ya Mwenyezi Mungu, na wakiwauwa Manabii pasipo
230 2, 61 | Hayo ni kwa walivyo asi na wakapindukia mipaka. ~~~~~~
231 2, 62 | 62. Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na
232 2, 62 | Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote
233 2, 62 | na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye
234 2, 62 | atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda
235 2, 62 | Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata
236 2, 63 | 63. Na tulipo chukua ahadi yenu,
237 2, 63 | tulipo chukua ahadi yenu, na tukaunyanyua mlima juu yenu (
238 2, 63 | nguvu haya tuliyo kupeni, na yakumbukeni yaliyomo ndani
239 2, 64 | mligeuka baada ya haya. Na lau kuwa si fadhila za Mwenyezi
240 2, 64 | Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema zake, mngeli kuwa
241 2, 65 | 65. Na hakika mlikwisha yajua ya
242 2, 65 | ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani
243 2, 66 | walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na
244 2, 66 | na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu. ~~~~~~
245 2, 67 | 67. Na Musa alipo waambia watu
246 2, 69 | ombe huyo ni wa manjano, na rangi yake imekoza, huwapendeza
247 2, 70 | tunaona ng'ombe wamefanana. Na kwa yakini, Inshaallah,
248 2, 71 | haki. Basi wakamchinja, na walikaribia kuwa wasifanye
249 2, 72 | 72. Na mlipo muuwa mtu, kisha mkakhitalifiana
250 2, 72 | kisha mkakhitalifiana kwayo, na Mwenyezi Mungu ni mwenye
251 2, 73 | Mwenyezi Mungu huwahuisha wafu; na anakuonyesheni Ishara zake
252 2, 74 | mawe yanayo timbuka mito, na kuna mengine yanayo pasuka
253 2, 74 | yakatoka maji ndani yake, na kuna mengine huanguka kwa
254 2, 74 | khofu ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu si mwenye
255 2, 74 | Mungu si mwenye kughafilika na mnayo yafanya. ~~~~~~
256 2, 75 | Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa
257 2, 75 | baada ya kuwa wameyafahamu, na hali wanajua? ~~~~~~
258 2, 76 | 76. Na wanapo kutana na wale walio
259 2, 76 | 76. Na wanapo kutana na wale walio amini husema:
260 2, 76 | amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao, wao
261 2, 77 | anayajua wanayo yaficha na wanayo yatangaza? ~~~~~~
262 2, 78 | 78. Na wako miongoni mwao wasio
263 2, 79 | iliyo andika mikono yao, na ole wao kwa yale wanayo
264 2, 80 | 80. Na walisema: Hautatugusa Moto
265 2, 80 | Mungu hatokwenda kinyume na ahadi yake. Au mnamsingizia
266 2, 81 | Naam, anaye chuma ubaya - na makosa yake yakamzunguka -
267 2, 82 | 82. Na wale walio amini na wakatenda
268 2, 82 | 82. Na wale walio amini na wakatenda mema, hao ndio
269 2, 83 | 83. Na tulipo funga agano na Wana
270 2, 83 | 83. Na tulipo funga agano na Wana wa Israili: Hamtamuabudu
271 2, 83 | yeyote ila Mwenyezi Mungu; na muwafanyie wema wazazi na
272 2, 83 | na muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima na masikini,
273 2, 83 | muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima na masikini, na
274 2, 83 | wazazi na jamaa na mayatima na masikini, na semeni na watu
275 2, 83 | na mayatima na masikini, na semeni na watu kwa wema,
276 2, 83 | mayatima na masikini, na semeni na watu kwa wema, na shikeni
277 2, 83 | semeni na watu kwa wema, na shikeni Sala, na toeni Zaka.
278 2, 83 | kwa wema, na shikeni Sala, na toeni Zaka. Kisha mkageuka
279 2, 83 | wachache tu katika nyinyi; na nyinyi mnapuuza. ~~~~~~
280 2, 84 | 84. Na tulipo chukua agano lenu
281 2, 85 | nyinyi kwa nyinyi mnauwana, na mnawatoa baadhi yenu majumbani
282 2, 85 | mkisaidiana kwa dhambi na uadui. Na wakikujieni mateka
283 2, 85 | mkisaidiana kwa dhambi na uadui. Na wakikujieni mateka mnawakomboa,
284 2, 85 | wakikujieni mateka mnawakomboa, na hali kuwatoa mmekatazwa.
285 2, 85 | Mnaamini baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi yake? Basi
286 2, 85 | katika maisha ya duniani, na Siku ya Kiyama watapelekwa
287 2, 85 | kwenye adhabu kali kabisa. Na Mwenyezi Mungu si mwenye
288 2, 85 | Mungu si mwenye kughafilika na yale mnayo yatenda. ~~~~~~
289 2, 87 | 87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu
290 2, 87 | hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake
291 2, 87 | baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu,
292 2, 87 | Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho
293 2, 87 | kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine
294 2, 87 | mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa. ~~~~~~
295 2, 88 | 88. Na walisema: Nyoyo zetu zimefunikwa.
296 2, 89 | 89. Na kilipo wajia Kitabu kitokacho
297 2, 89 | thibitisha waliyo nayo - na wao walikuwa wakitafutia
298 2, 90 | ghadhabu juu ya ghadhabu. Na makafiri watapata mateso
299 2, 91 | 91. Na wanapo ambiwa: Yaaminini
300 2, 91 | tuliyo teremshiwa sisi. Na huyakataa yasiyo kuwa hayo.
301 2, 91 | huyakataa yasiyo kuwa hayo. Na hali ya kuwa hii ndiyo Haki
302 2, 92 | 92. Na alikufikieni Musa na hoja
303 2, 92 | 92. Na alikufikieni Musa na hoja zilizo waziwazi, kisha
304 2, 92 | kumuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu. ~~~~~~
305 2, 93 | 93. Na tulipo chukua ahadi yenu
306 2, 93 | tulipo chukua ahadi yenu na tukauinua mlima juu yenu (
307 2, 93 | nguvu haya tuliyo kupeni na sikieni. Wakasema: Tumesikia
308 2, 93 | sikieni. Wakasema: Tumesikia na tumekataa! Na wakanyweshwa
309 2, 93 | Tumesikia na tumekataa! Na wakanyweshwa nyoyoni mwao (
310 2, 95 | ya yale yaliyo tangulizwa na mikono yao; na Mwenyezi
311 2, 95 | tangulizwa na mikono yao; na Mwenyezi Mungu ni mwenye
312 2, 96 | 96. Na hakika utawaona ni wenye
313 2, 96 | wote kwa pupa ya kuishi, na kuliko washirikina. Kila
314 2, 96 | umri hayamuondoshei adhabu; na Mwenyezi Mungu anayaona
315 2, 97 | yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema
316 2, 97 | kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini. ~~~~~~
317 2, 98 | kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake
318 2, 98 | Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na
319 2, 98 | Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika
320 2, 98 | na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi
321 2, 99 | tumekuteremshia Ishara zilizo wazi na hapana wanao zikataa ila
322 2, 101| 101. Na alipo wajia Mtume kutoka
323 2, 102| 102. Na wakafuata yale waliyo zua
324 2, 102| kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru,
325 2, 102| wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa kwa Malaika
326 2, 102| Malaika wawili, Haaruta na Maaruta katika Baabil. Wala
327 2, 102| yale ya kumfarikisha mtu na mkewe. Wala hawawezi kumdhuru
328 2, 102| kwa kutaka Mwenyezi Mungu. Na wanajifunza yatayo wadhuru
329 2, 102| wadhuru wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye
330 2, 102| aliye khiari haya hatakuwa na fungu lolote katika Akhera.
331 2, 102| fungu lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho
332 2, 103| 103. Na lau kuwa wangeamini na wakaogopa,
333 2, 103| Na lau kuwa wangeamini na wakaogopa, bila ya shaka
334 2, 104| amini! Msiseme: "Raa'ina", na semeni: "Ndhurna". Na sikieni!
335 2, 104| na semeni: "Ndhurna". Na sikieni! Na makafiri watapata
336 2, 104| Ndhurna". Na sikieni! Na makafiri watapata adhabu
337 2, 105| miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe
338 2, 105| kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na Mwenyezi Mungu humkusudia
339 2, 105| kumpa rehema yake ampendaye. Na Mwenyezi Mungu ni mwenye
340 2, 107| Mungu ana ufalme wa mbingu na ardhi? Nanyi hamna mlinzi
341 2, 108| alivyo ombwa Musa zamani? Na anaye badilisha Imani kwa
342 2, 109| wapambanukia Haki. Basi sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi
343 2, 110| 110. Na shikeni Sala na toeni Zaka;
344 2, 110| 110. Na shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo
345 2, 110| shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo jitangulizia
346 2, 111| 111. Na walisema: Hataingia Peponi
347 2, 113| 113. Na Mayahudi husema: Wakristo
348 2, 113| Wakristo hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi
349 2, 113| Mayahudi hawana lao jambo. Na ilhali wote wanasoma Kitabu
350 2, 113| Kitabu hicho hicho (Biblia). Na kadhaalika walisema wale
351 2, 114| 114. Na ni nani dhaalimu mkubwa
352 2, 114| kutajwa ndani yake jina lake na akajitahidi kuiharibu? Watu
353 2, 114| Duniani watapata hizaya na Akhera watapata adhabu kubwa. ~~~~~~
354 2, 115| 115. Na mashariki na magharibi ni
355 2, 115| 115. Na mashariki na magharibi ni za Mwenyezi
356 2, 115| Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa na Mjuzi. ~~~~~~
357 2, 116| 116. Na ati wanasema: Mwenyezi Mungu
358 2, 116| Subhanahu! Ametakasika na hayo. Bali vyote viliomo
359 2, 116| Bali vyote viliomo mbinguni na duniani ni vyake. Vyote
360 2, 117| Yeye ndiye Muumba wa mbingu na ardhi pasina ruwaza; na
361 2, 117| na ardhi pasina ruwaza; na anapo taka jambo basi huliambia
362 2, 118| 118. Na walisema wale wasio jua
363 2, 119| tumekutuma kwa Haki uwe mbashiri, na mwonyaji. Na wala hutaulizwa
364 2, 119| uwe mbashiri, na mwonyaji. Na wala hutaulizwa juu ya watu
365 2, 120| Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio
366 2, 121| ndio kweli wanakiamini. Na wanao kikataa basi hao ndio
367 2, 122| yangu niliyo kuneemesheni, na hakika Mimi nikakufadhilisheni
368 2, 123| 123. Na iogopeni siku ambayo hatamfaa
369 2, 124| 124. Na Mola wake Mlezi alipo mjaribu
370 2, 124| mwongozi wa watu. Akasema: Je, na katika vizazi vyangu pia?
371 2, 125| 125. Na kumbukeni tulipo ifanya
372 2, 125| pahala pa kukusanyikia watu na pahala pa amani. Na alipo
373 2, 125| watu na pahala pa amani. Na alipo kuwa akisimama Ibrahim
374 2, 125| pafanyeni pawe pa kusalia. Na tuliagana na Ibrahim na
375 2, 125| pa kusalia. Na tuliagana na Ibrahim na Ismail: Itakaseni
376 2, 125| Na tuliagana na Ibrahim na Ismail: Itakaseni Nyumba
377 2, 125| wanao izunguka kwa kut'ufu na wanao jitenga huko kwa ibada,
378 2, 125| jitenga huko kwa ibada, na wanao inama na kusujudu. ~~~~~~
379 2, 125| kwa ibada, na wanao inama na kusujudu. ~~~~~~
380 2, 126| 126. Na alipo sema Ibrahim: Ee Mola
381 2, 126| Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda,
382 2, 126| wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Akasema:
383 2, 126| Siku ya Mwisho. Akasema: Na mwenye kukufuru pia nitamstarehesha
384 2, 127| 127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail
385 2, 127| 127. Na kumbukeni Ibrahim na Ismail walipo inyanyua misingi
386 2, 128| ni wenye kusilimu kwako, na pia miongoni mwa vizazi
387 2, 128| umma ulio silimu kwako. Na utuonyeshe njia za ibada
388 2, 128| utuonyeshe njia za ibada yetu na utusamehe. Bila shaka Wewe
389 2, 129| Waletee Mtume anaye tokana na wao, awasomee Aya zako,
390 2, 129| wao, awasomee Aya zako, na awafundishe Kitabu na hikima
391 2, 129| zako, na awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika
392 2, 129| awafundishe Kitabu na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye
393 2, 130| 130. Na nani atajitenga na mila
394 2, 130| 130. Na nani atajitenga na mila ya Ibrahim isipo kuwa
395 2, 130| nafsi yake katika upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa
396 2, 130| tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera
397 2, 131| 131. Na Mola wake Mlezi alipo mwambia:
398 2, 132| 132. Na Ibrahim akawausia wanawe,
399 2, 132| Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu!
400 2, 133| Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim
401 2, 133| Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu
402 2, 133| zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu,
403 2, 133| Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. ~~~~~~
404 2, 135| 135. Na wakasema: Kuweni Mayahudi
405 2, 136| Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi,
406 2, 136| tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim
407 2, 136| yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub
408 2, 136| teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu
409 2, 136| Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake,
410 2, 136| Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo
411 2, 136| Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa,
412 2, 136| zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa
413 2, 136| waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii
414 2, 136| baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. ~~~~~~
415 2, 137| itakuwa kweli wameongoka. Na wakikengeuka basi wao wamo
416 2, 137| wamo katika upinzani tu. Na Mwenyezi Mungu atakutosheni
417 2, 137| atakutosheni kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye
418 2, 137| kukukingeni na shari yao, na Yeye ndiye Msikizi, Mjuzi. ~~~~~~
419 2, 138| rangi kwa Mwenyezi Mungu, na nani aliye mbora wa kupaka
420 2, 138| rangi kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu
421 2, 139| naye ni Mola wetu Mlezi na Mola wenu Mlezi, na sisi
422 2, 139| Mlezi na Mola wenu Mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu
423 2, 139| sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi mna vitendo vyenu?
424 2, 140| Au mnasema kuwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub
425 2, 140| mnasema kuwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu
426 2, 140| Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zao walikuwa
427 2, 140| Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zao walikuwa Mayahudi
428 2, 140| zaidi au Mwenyezi Mungu? Na ni nani mwenye kudhulumu
429 2, 140| utokao kwa Mwenyezi Mungu? Na Mwenyezi Mungu si mwenye
430 2, 140| Mungu si mwenye kughafilika na hayo myafanyayo. ~~~~~~
431 2, 141| watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma,
432 2, 142| wakikielekea? Sema: Mashariki na Magharibi ni ya Mwenyezi
433 2, 143| 143. Na vivyo hivyo tumekufanyeni
434 2, 143| muwe mashahidi juu ya watu, na Mtume awe ni shahidi juu
435 2, 143| awe ni shahidi juu yenu. Na hatukukifanya kibla ulicho
436 2, 143| yule anaye mfuata Mtume na yule anaye geuka akarejea
437 2, 143| anaye geuka akarejea nyuma. Na kwa yakini hilo lilikuwa
438 2, 143| waongoa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu hakuwa mwenye
439 2, 143| Mungu ni Mpole kwa watu na Mwenye kuwarehemu. ~~~~~~
440 2, 144| upande wa Msikiti Mtakatifu; na popote mnapokuwa zielekezeni
441 2, 144| zielekezeni nyuso zenu upande huo; na hakika wale walio pewa Kitabu
442 2, 144| itokayo kwa Mola wao Mlezi. Na Mwenyezi Mungu si mwenye
443 2, 144| Mungu si mwenye kughafilika na yale wanayo yatenda. ~~~~~~
444 2, 145| 145. Na hao walio pewa Kitabu, hata
445 2, 145| hawatafuata kibla cha wengineo; na kama ukiyafuata matamanio
446 2, 146| wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika wao
447 2, 146| katika wao huificha haki na hali wanajua. ~~~~~~
448 2, 148| 148. Na kila mmoja anao upande anao
449 2, 149| 149. Na popote wendako elekeza uso
450 2, 149| kwenye Msikiti Mtakatifu. Na hiyo ndiyo Haki itokayo
451 2, 149| itokayo kwa Mola wako Mlezi. Na Mwenyezi Mungu si mwenye
452 2, 149| Mungu si mwenye kughafilika na mnayo yatenda. ~~~~~~
453 2, 150| 150. Na popote wendako elekeza uso
454 2, 150| kwenye Msikiti Mtakatifu. Na popote mlipo elekezeni nyuso
455 2, 150| upande huo ili watu wasiwe na hoja juu yenu, isipokuwa
456 2, 150| lakini niogopeni Mimi - na ili nikutimizieni neema
457 2, 150| nikutimizieni neema yangu, na ili mpate kuongoka. ~~~~~~
458 2, 151| Mtume kwenu anaye tokana na nyinyi, anakusomeeni Aya
459 2, 151| nyinyi, anakusomeeni Aya zetu na kukutakaseni na kukufundisheni
460 2, 151| Aya zetu na kukutakaseni na kukufundisheni Kitabu na
461 2, 151| na kukufundisheni Kitabu na hikima na kukufundisheni
462 2, 151| kukufundisheni Kitabu na hikima na kukufundisheni mliyo kuwa
463 2, 152| nikumbukeni nitakukumbukeni, na nishukuruni wala msinikufuru. ~~~~~~
464 2, 153| Takeni msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu
465 2, 153| Mwenyezi Mungu yu pamoja na wanao subiri. ~~~~~~
466 2, 155| tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali
467 2, 155| chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa mali na watu
468 2, 155| njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie
469 2, 155| upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao
470 2, 155| mali na watu na matunda. Na wabashirie wanao subiri, ~~~~~~
471 2, 156| sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. ~~~~~~
472 2, 157| zitokazo kwa Mola wao Mlezi na rehema. Nao ndio wenye kuongoka. ~~~~~~
473 2, 158| Hakika vilima vya Safaa na Marwa ni katika alama za
474 2, 158| kosa kwake kuvizunguka. Na anaye jitendea mwenyewe
475 2, 158| Mungu ni Mwenye shukrani na Mjuzi. ~~~~~~
476 2, 159| nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha
477 2, 159| anawalaani Mwenyezi Mungu, na wanawalaani kila wenye kulaani. ~~~~~~
478 2, 160| 160. Ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha,
479 2, 160| walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea
480 2, 160| hao nitapokea toba yao, na Mimi ni Mwenye kupokea toba
481 2, 160| Mimi ni Mwenye kupokea toba na Mwenye kurehemu. ~~~~~~
482 2, 161| 161. Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri,
483 2, 161| laana ya Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. ~~~~~~
484 2, 161| Mwenyezi Mungu na ya Malaika na ya watu wote. ~~~~~~
485 2, 163| 163. Na Mungu wenu ni Mungu mmoja
486 2, 164| katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana
487 2, 164| kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na
488 2, 164| na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo
489 2, 164| kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo hupita baharini
490 2, 164| baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi
491 2, 164| Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi
492 2, 164| ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza humo kila aina
493 2, 164| humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya pepo,
494 2, 164| katika mabadiliko ya pepo, na mawingu yanayo amrishwa
495 2, 164| amrishwa kupita baina ya mbingu na ardhi, bila shaka zimo Ishara
496 2, 165| 165. Na katika watu wapo wanao chukua
497 2, 165| Mwenyezi Mungu zaidi sana. Na laiti walio dhulumu wakajua
498 2, 165| zote ni za Mwenyezi Mungu na kuwa Mwenyezi Mungu ni mkali
499 2, 166| wakataa wale walio wafuata, na hali ya kuwa wamekwisha
500 2, 166| wamekwisha iona adhabu; na yatakatika mafungamano yao. ~~~~~~
1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-2000 | 2001-2500 | 2501-3000 | 3001-3500 | 3501-4000 | 4001-4500 | 4501-5000 | 5001-5500 | 5501-6000 | 6001-6500 | 6501-7000 | 7001-7500 | 7501-8000 | 8001-8500 | 8501-9000 | 9001-9500 | 9501-10000 | 10001-10500 | 10501-11000 | 11001-11500 | 11501-11556 |