Sura, verse
1 2, 11 | ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji. ~~~~~~
2 2, 14 | mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika
3 2, 14 | tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu. ~~~~~~
4 2, 30 | humo na kumwaga damu, hali sisi tunakutakasa kwa sifa zako
5 2, 57 | kuruzukuni. Nao hawakutudhulumu Sisi lakini walikuwa wanajidhulumu
6 2, 91 | Tunaamini tuliyo teremshiwa sisi. Na huyakataa yasiyo kuwa
7 2, 102| mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru.
8 2, 118| Nyoyo zao zimefanana. Hakika Sisi tumeziweka wazi Ishara kwa
9 2, 119| 119. Hakika Sisi tumekutuma kwa Haki uwe
10 2, 130| upumbavu? Na kwa yakini Sisi tulimteuwa yeye katika dunia;
11 2, 133| hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake. ~~~~~~
12 2, 136| na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa
13 2, 136| ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. ~~~~~~
14 2, 138| kuliko Mwenyezi Mungu? Na sisi ni wenye kumuabudu Yeye
15 2, 139| Mlezi na Mola wenu Mlezi, na sisi tuna vitendo vyetu na nyinyi
16 2, 156| ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na
17 2, 159| wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni --
18 2, 167| wao kama wanavyo tukataa sisi! Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu
19 2, 247| ufalme juu yetu, na hali sisi tuna haki zaidi kupata ufalme
20 3, 7 | madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote zimetoka
21 3, 16 | Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumeamini, basi tufutie
22 3, 52 | Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi
23 3, 52 | Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. ~~~~~~
24 3, 61 | wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe na nyinyi wenyewe,
25 3, 64 | chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi
26 3, 64 | wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Waola Walezi badala
27 3, 64 | Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu. ~~~~~~
28 3, 84 | Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim,
29 3, 84 | baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake. ~~~~~~
30 3, 154| Wakisema: Hivyo tuna lolote sisi katika jambo hili? Sema:
31 3, 181| Mwenyezi Mungu ni masikini, na sisi ni matajiri. Tumeyaandika
32 3, 193| Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumemsikia mwenye kuita
33 4, 80 | Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni
34 4, 105| 105. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki
35 4, 157| 157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa Masihi Isa, mwana
36 4, 163| 163. Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe kama
37 5, 14 | kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua
38 5, 18 | Mayahudi na Wakristo wanasema: Sisi ni wana wa Mwenyezi Mungu
39 5, 24 | 24. Wakasema: Ewe Musa! Sisi hatutaingia humo kamwe maadamu
40 5, 24 | Mola wako Mlezi mkapigane. Sisi tutakaa hapa hapa. ~~~~~~
41 5, 44 | 44. Hakika Sisi tuliteremsha Taurati yenye
42 5, 64 | katika wao uasi na kufuru. Na Sisi tumewatilia uadui na chuki
43 5, 82 | mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa
44 5, 107| kuliko ushahidi wa wale. Na sisi hatujafanya dhambi; hakika
45 5, 111| Tumeamini na shuhudia kuwa sisi ni Waislamu. ~~~~~~
46 6, 29 | yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa. ~~~~~~
47 6, 107| penda, wasingeli shiriki. Na Sisi hatukukufanya wewe uwe mtunzaji
48 6, 128| Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo
49 6, 146| uasi wao. Na bila ya shaka Sisi ndio wasema kweli. ~~~~~~
50 6, 148| ange taka tusingeli shiriki sisi, wala baba zetu; wala tusingeli
51 6, 151| kwa sababu ya umasikini. Sisi tunakuruzukuni nyinyi na
52 6, 152| na mizani kwa uadilifu. Sisi hatumkalifishi mtu ila kwa
53 6, 156| yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari
54 6, 157| Lau kuwa tumeteremshiwa sisi Kitabu tungeli kuwa waongofu
55 7, 5 | isipo kuwa kusema: Hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~
56 7, 7 | tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali. ~~~~~~
57 7, 27 | nyinyi hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya Mashet'ani kuwa
58 7, 39 | hamkuwa na ubora kuliko sisi. Basi onjeni adhabu kwa
59 7, 44 | watawanadia watu wa Motoni: Sisi tumekuta aliyo tuahidi Mola
60 7, 51 | yakawadanganya. Basi leo Sisi tunawasahau kama walivyo
61 7, 60 | kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo katika
62 7, 66 | kufuru katika kaumu yake: Sisi tunakuona umo katika upumbavu,
63 7, 66 | katika upumbavu, na hakika sisi tunakufikiria kuwa wewe
64 7, 75 | Mlezi wake? Wakasema: Hakika sisi tunayaamini yale aliyo tumwa. ~~~~~~
65 7, 76 | Wakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini. ~~~~~~
66 7, 89 | Mungu. Wala haiwi kwetu sisi kuirejea mila hiyo, ila
67 7, 95 | 95. Kisha Sisi hubadilisha mahala pa ubaya
68 7, 115| utatupa wewe, au tutakuwa sisi tutao tupa? ~~~~~~
69 7, 125| 125. Wakasema: Sisi ni wenye kurejea kwa Mola
70 7, 127| wanawake wao. Na bila ya shaka sisi ni wenye nguvu juu yao. ~~~~~~
71 7, 138| Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu kama hawa walivyo
72 7, 155| waliyo yafanya wajinga katika sisi? Haya si chochote ila ni
73 7, 156| dunia hii na katika Akhera. Sisi tumerejea kwako. (Mwenyezi
74 7, 160| Wala hawakutu- dhulumu Sisi, bali wamejidhulumu wenyewe. ~~~~~~
75 7, 170| wakashika Sala - hakika Sisi hatupotezi ujira wa watendao
76 7, 172| Msije mkasema Siku ya Kiyama sisi tulikuwa tumeghafilika na
77 7, 173| shirikisha kabla yetu, na sisi ni dhuriya zao tu baada
78 8, 19 | kheri kwenu. Na mkirejea Sisi pia tutarejea. Na jeshi
79 9, 50 | ukikusibu msiba, wao husema: Sisi tuliangalia mambo yetu vizuri
80 9, 52 | moja katika mema mawili? Na sisi tunakutazamieni kuwa Mwenyezi
81 9, 59 | na pia Mtume wake; hakika sisi ni wenye kumtaka Mwenyezi
82 9, 65 | Na ukiwauliza, wanasema: Sisi tulikuwa tukipiga porojo
83 9, 101| unaafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu
84 10, 15 | wasio taraji kukutana na Sisi husema: Lete Qur'ani isiyo
85 10, 28 | Nyinyi hamkuwa mkituabudu sisi. ~~~~~~
86 10, 29 | baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari
87 10, 61 | hamtendi kitendo chochote ila Sisi huwa ni mashahidi juu yenu
88 10, 78 | ukubwa katika nchi? Wala sisi hatukuaminini nyinyi. ~~~~~~
89 10, 98 | kaumu Yunus? Waliamini na Sisi tukawaondolea adhabu ya
90 10, 103| 103. Kisha Sisi huwaokoa Mitume wetu na
91 11, 25 | 25. Na Sisi tulimtuma Nuhu kwa watu
92 11, 27 | wewe ila ni mtu tu kama sisi, wala hatukuoni wamekufuata
93 11, 27 | ubora wowote kutushinda sisi. Bali tuna hakika nyinyi
94 11, 38 | Ikiwa nyinyi mnatukejeli na sisi tunakukejelini kama mnavyo
95 11, 53 | Hujatuletea dalili wazi. Wala sisi hatuiachi miungu yetu kwa
96 11, 53 | kufuata kauli yako. Na wala sisi hatukuamini wewe. ~~~~~~
97 11, 54 | 54. Sisi tunasema: Baadhi katika
98 11, 62 | wakiwaabudu baba zetu? Na hakika sisi tuna shaka na wasiwasi kwa
99 11, 70 | Wakasema: Usiogope! Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya Lut'. ~~~~~~
100 11, 81 | Wajumbe) wakasema: Ewe Lut'! Sisi ni wajumbe wa Mola wako
101 11, 91 | yasema hatuyafahamu. Na sisi tunakuona huna nguvu kwetu.
102 11, 101| 101. Na Sisi hatukuwadhulumu, lakini
103 11, 104| 104. Na Sisi hatuiakhirishi ila kwa muda
104 11, 109| baba zao zamani. Na hakika Sisi tutawatimilizia fungu lao
105 11, 122| 122. Na ngojeni, na sisi tunangoja. ~~~~~~
106 12, 2 | 2. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa
107 12, 3 | 3. Sisi tunasimulia simulizi nzuri
108 12, 8 | zaidi na baba yetu kuliko sisi, hali sisi ni kikundi chenye
109 12, 8 | baba yetu kuliko sisi, hali sisi ni kikundi chenye nguvu.
110 12, 11 | hutuamini kwa Yusuf? Na hakika sisi ni wenye kumtakia kheri! ~~~~~~
111 12, 12 | acheze; na bila ya shaka sisi tutamhifadhi. ~~~~~~
112 12, 14 | mbwa mwitu atamla na hali sisi ni kundi lenye nguvu kabisa,
113 12, 14 | kabisa, basi bila ya shaka sisi tutakuwa khasarani. ~~~~~~
114 12, 30 | amesalitika kwa mapenzi. Sisi hakika tunamwona yumo katika
115 12, 36 | tuambie tafsiri yake, kwani sisi tunakuona wewe ni katika
116 12, 44 | zilizo paraganyika, wala sisi sio wenye kujua tafsiri
117 12, 51 | Wakasema: Hasha Lillahi! Sisi hatukujua ubaya wowote kwake.
118 12, 61 | 61. Wakasema: Sisi tutamrairai baba yake; na
119 12, 63 | tupate kupimiwa; na yakini sisi tutamlinda. ~~~~~~
120 12, 73 | Wallahi! Mnajua vyema kwamba sisi hatukuja kufanya uharibifu
121 12, 73 | uharibifu katika nchi hii, wala sisi si wezi. ~~~~~~
122 12, 78 | wetu badala yake. Hakika sisi tunakuona wewe ni katika
123 12, 81 | yetu! Mwanao ameiba. Na sisi hatutoi ushahidi ila kwa
124 12, 81 | ila kwa tunayo yajua. Wala sisi hatukuwa wenye kuhifadhi
125 12, 82 | tulio kuja nao. Na hakika sisi tunasema kweli. ~~~~~~
126 12, 88 | Mheshimiwa! Imetupata shida, sisi na watu wetu. Na tumeleta
127 12, 91 | amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa
128 12, 91 | wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa wenye kukosa. ~~~~~~
129 12, 97 | dhambi zetu. Hapana shaka sisi tulikuwa na makosa. ~~~~~~
130 13, 38 | 38. Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume
131 14, 9 | vinywa vyao, wakasema: Hakika sisi tumeyakataa hayo mliyo tumwa,
132 14, 9 | hayo mliyo tumwa, na hakika sisi tuna shaka kubwa na mnayo
133 14, 10 | chochote ila ni wanaadamu kama sisi. Mnataka kutuzuilia na waliyo
134 14, 11 | Mitume wao wakawaambia: Sisi kweli si chochote ila ni
135 14, 11 | amtakaye katika waja wake. Wala sisi hatuwezi kuleta uthibitisho
136 14, 12 | Njia zetu. Na hapana shaka sisi tutayavumilia hayo maudhi
137 14, 21 | watawaambia walio takabari: Sisi tulikuwa wafwasi wenu; basi
138 15, 8 | 8. Sisi hatuwateremshi Malaika ila
139 15, 9 | 9. Hakika Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho
140 15, 9 | Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio tutao ulinda. ~~~~~~
141 15, 15 | Macho yetu yamelevywa, bali sisi wenyewe tumerogwa. ~~~~~~
142 15, 21 | asili yake inatokana na Sisi; wala hatukiteremshi ila
143 15, 23 | 23. Na Sisi ndio tunao huisha na tunao
144 15, 23 | huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi. ~~~~~~
145 15, 52 | Salama! Yeye akasema: Hakika sisi tunakuogopeni. ~~~~~~
146 15, 53 | 53. Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye
147 15, 58 | 58. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu ya wakosefu! ~~~~~~
148 15, 59 | mfuata Luut'i. Bila ya shaka sisi tutawaokoa hao wote. ~~~~~~
149 15, 63 | 63. Wakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo
150 15, 64 | kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli. ~~~~~~
151 15, 70 | 70. Wakasema: Sisi hatukukukataza usimkaribishe
152 15, 95 | 95. Hakika Sisi tunatosha kukukinga na wanao
153 15, 97 | 97. Na Sisi tunajua kwa hakika kuwa
154 16, 35 | abudu chochote badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli
155 16, 63 | 63. Wallahi! Sisi tulituma Mitume kwa umati
156 16, 96 | vitakavyo bakia. Na kwa yakini Sisi tutawapa walio subiri ujira
157 16, 103| 103. Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema:
158 16, 118| tuliyo kuhadithia zamani. Na Sisi hatukuwadhulumu, bali walikuwa
159 17, 8 | akakurehemuni. Na mkirudia na Sisi tutarudia. Na tumeifanya
160 17, 15 | mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke
161 17, 31 | wenu kwa kuogopa umasikini. Sisi tunawaruzuku wao na nyinyi.
162 17, 47 | 47. Sisi tunajua vyema kabisa sababu
163 17, 58 | Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku
164 18, 8 | 8. Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio
165 18, 13 | 13. Sisi tunakusimulia khabari zao
166 18, 13 | muamini Mola wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu. ~~~~~~
167 18, 29 | atakaye, akatae. Hakika Sisi tumewaandalia wenye kudhulumu
168 18, 30 | wakatenda mema - hakika Sisi hatupotezi ujira wa anaye
169 18, 57 | tangulizwa na mikono yake? Hakika Sisi tumeweka vifuniko juu ya
170 18, 84 | 84. Sisi tulimtilia nguvu katika
171 18, 91 | 91. Ndio hivyo hivyo. Na Sisi tulizijua vilivyo khabari
172 18, 102| badala yangu Mimi? Hakika Sisi tumeiandaa Jahannamu iwe
173 19, 7 | Akaambiwa): Ewe Zakariya! Hakika Sisi tunakubashiria mwana; jina
174 19, 40 | 40. Hakika Sisi tutairithi ardhi na walio
175 19, 70 | 70. Tena hakika Sisi tunawajua vyema zaidi wanao
176 19, 84 | Basi usiwafanyie haraka. Sisi tunawahisabia idadi ya siku
177 20, 45 | Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tunaogopa asije akapindukia
178 20, 47 | mwendeeni, na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola wako Mlezi!
179 20, 47 | nasi, wala usiwaadhibu. Sisi tumekuletea ishara itokayo
180 20, 48 | 48. Hakika tumefunuliwa sisi kwamba hapana shaka adhabu
181 20, 58 | 58. Basi sisi hakika tutakueletea uchawi
182 20, 58 | wewe, ambayo tusiivunje sisi wala wewe, mahali patapo
183 20, 65 | Utatupa wewe, au tutakuwa sisi wa kwanza kutupa? ~~~~~~
184 20, 71 | yakini mtajua ni nani katika sisi aliye mkali wa kuadhibu
185 20, 73 | 73. Hakika sisi tumemuamini Mola wetu Mlezi
186 20, 85 | Mwenyezi Mungu) akasema: Sisi tumewatia mtihani watu wako
187 20, 87 | 87. Wakasema: Sisi hatukuvunja miadi yako kwa
188 20, 97 | uliye endelea kumuabudu - Sisi kwa hakika tutamchoma moto,
189 20, 104| 104. Sisi tunajua zaidi watakayo yasema,
190 20, 132| uendelee mwenyewe kwa hayo. Sisi hatukuombi wewe riziki,
191 20, 132| hatukuombi wewe riziki, bali Sisi ndio tunakuruzuku. Na mwisho
192 21, 14 | Wakasema: Ole wetu! Hakika sisi tulikuwa madhaalimu. ~~~~~~
193 21, 17 | kufanya mchezo tunge jifanyia Sisi wenyewe, lau kwamba tungeli
194 21, 30 | zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia
195 21, 35 | shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa. ~~~~~~
196 21, 44 | kwao. Je, hawaoni ya kwamba Sisi tunaifikia ardhi tukiipunguza
197 21, 69 | 69. Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa
198 21, 70 | walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio
199 21, 73 | na walikuwa wanatuabudu Sisi tu. ~~~~~~
200 21, 78 | mbuzi wa watu usiku. Na Sisi tulikuwa wenye kushuhudia
201 21, 79 | imtakase Mwenyezi Mungu. Na Sisi ndio tulio fanya hayo. ~~~~~~
202 21, 81 | ardhi tuliyo ibarikia. Na Sisi ndio tunao jua kila kitu. ~~~~~~
203 21, 82 | kufanya kazi nyenginezo. Na Sisi tulikuwa walinzi wao. ~~~~~~
204 21, 94 | haitakataliwa juhudi yake. Na hakika Sisi tunamwandikia. ~~~~~~
205 21, 104| ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni watendao. ~~~~~~
206 22, 5 | kufufuliwa basi kwa hakika Sisi tulikuumbeni kutokana na
207 23, 18 | katika ardhi. Na hakika Sisi tunaweza kuyaondoa. ~~~~~~
208 23, 30 | mazingatio. Na kwa yakini Sisi ni wenye kuwafanyia mtihani. ~~~~~~
209 23, 37 | tunakufa na kuishi basi. Wala sisi hatutafufuliwa. ~~~~~~
210 23, 38 | Mwenyezi Mungu uwongo, wala sisi sio wa kumuamini. ~~~~~~
211 23, 47 | wanaadamu wawili hawa kama sisi, na ambao watu wao ni watumwa
212 23, 83 | 83. Tuliahidiwa haya sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa
213 23, 95 | 95. Na hakika Sisi ni waweza wa kukuonyeshsa
214 23, 96 | kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunajua wayasemayo. ~~~~~~
215 23, 107| tufanyapo tena basi kweli sisi ni wenye kudhulumu. ~~~~~~
216 25, 11 | wanaikanusha Saa (ya Kiyama). Na Sisi tumemuandalia Moto mkali
217 25, 18 | na upungufu! Haikutupasia sisi kuchukulia walinzi badala
218 25, 21 | taraji kukutana nasi: Mbona sisi hatuteremshiwi Malaika au
219 25, 33 | hawatakuletea mfano wowote, ila na Sisi tutakuletea (jawabu) kwa
220 26, 15 | na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza. ~~~~~~
221 26, 16 | Firauni na mwambieni: Hakika sisi ni Mitume wa Mola Mlezi
222 26, 18 | 18. (Firauni) akasema: Sisi hatukukulea wewe utotoni,
223 26, 41 | Je! Tutapata ujira tukiwa sisi ndio tulio shinda? ~~~~~~
224 26, 44 | nguvu za Firauni hakika sisi hapana shaka ni wenye kushinda. ~~~~~~
225 26, 50 | Wakasema: Haidhuru, kwani sisi ni wenye kurejea kwa Mola
226 26, 51 | 51. Hakika sisi tunatumai Mola wetu Mlezi
227 26, 56 | 56. Na sisi ni wengi, wenye kuchukua
228 26, 61 | wa Musa wakasema: Hakika sisi bila ya shaka tumepatikana! ~~~~~~
229 26, 138| 138. Wala sisi hatutaadhibiwa. ~~~~~~
230 26, 154| chochote ila ni mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa
231 26, 186| chochote ila ni mtu tu kama sisi, na kwa yakini tunakuona
232 26, 209| Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~
233 27, 33 | 33. Wakasema: Sisi ni wenye nguvu na wakali
234 27, 37 | Rejea kwao! Kwa yakini sisi tutawajia kwa majeshi wasio
235 27, 42 | watu wake wakasema): Na sisi tumepewa ilimu kabla yake (
236 27, 49 | tutamwambia mrithi wake: Sisi hatukuona maangamizo ya
237 27, 49 | maangamizo ya watu wake, na sisi bila ya shaka tunasema kweli. ~~~~~~
238 27, 50 | wakapanga mipango yao, na Sisi tukapanga mipango yetu,
239 27, 67 | kufuru: Tutapo kuwa mchanga, sisi na baba zetu, hivyo kweli
240 27, 68 | 68. Haya haya tuliahidiwa sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa
241 27, 86 | 86. Je! Hawaoni kwamba sisi tumeufanya usiku ili watulie,
242 28, 7 | wala usihuzunike. Hakika Sisi tutamrudisha kwako na tutamfanya
243 28, 23 | nini? Wakasema: Hatunyweshi sisi mpaka wamalize hao wachunga.
244 28, 45 | 45. Lakini Sisi tuliziumba kaumu, na ukawa
245 28, 45 | ukiwasomea Aya zetu. Lakini ni Sisi tulio kuwa tukiwatuma Mitume. ~~~~~~
246 28, 48 | wanasaidiana. Na wakasema: Hakika sisi tunawakataa wote. ~~~~~~
247 28, 53 | Mola wetu Mlezi. Hakika sisi kabla yake tulikuwa ni Waislamu,
248 28, 55 | hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi
249 28, 55 | Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga. ~~~~~~
250 28, 57 | kutoka nchi yetu. Je! Kwani Sisi hatukuwaweka imara katika
251 28, 58 | ila kwa uchache tu. Na Sisi ndio tumekuwa warithi wao. ~~~~~~
252 28, 63 | Tuliwapoteza kama tulivyo potea sisi. Tunajitenga nao mbele yako.
253 28, 63 | yako. Hawakuwa wakituabudu sisi. ~~~~~~
254 29, 10 | wako Mlezi husema: Hakika sisi tulikuwa pamoja nanyi. Kwani
255 29, 31 | bishara, walisema: Hakika sisi hapana shaka tutawahiliki
256 29, 32 | yumo Lut'i. Wao wakasema: Sisi tunajua zaidi nani yumo
257 29, 33 | wala usihuzunike. Hakika sisi tutakuokoa wewe na ahali
258 29, 34 | 34. Kwa yakini sisi tutawateremshia watu wa
259 29, 46 | Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake. ~~~~~~
260 29, 69 | fanya juhudi kwa ajili yetu, Sisi tutawaongoa kwenye njia
261 32, 12 | tukatende mema, kwani hakika sisi tumekwisha kuwa na yakini
262 32, 14 | mkutano wa Siku yenu hii. Na Sisi hakika tunakusahauni. Basi
263 32, 22 | kisha akazikataa? Hakika Sisi tutajilipiza kwa wakosefu. ~~~~~~
264 32, 23 | 23. Hakika Sisi tulikwisha mpa Musa Kitabu.
265 33, 45 | 45. Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na
266 33, 50 | si kwa Waumini wengine. Sisi tunajua tuliyo wafaridhia
267 33, 67 | Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tuliwat'ii bwana zetu na
268 33, 72 | 72. Kwa hakika Sisi tulikadimisha amana kwa
269 34, 24 | Mwenyezi Mungu! Na hakika sisi au nyinyi bila ya shaka
270 34, 25 | makosa tuliyo yafanya, wala sisi hatutaulizwa kwa mnayo yatenda
271 34, 31 | shaka tungeli kuwa Waumini sisi. ~~~~~~
272 34, 32 | watawaambia wanyonge: Kwani sisi ndio tulio kuzuieni na uwongofu
273 34, 34 | starehe zao wa mji huo: Hakika sisi tunayakataa hayo mliyo tumwa
274 34, 35 | 35. Na wakasema: Sisi tuna mali mengi zaidi na
275 34, 35 | mengi zaidi na watoto, wala sisi hatutaadhibiwa. ~~~~~~
276 35, 24 | 24. Hakika Sisi tumekutuma wewe kwa Haki,
277 36, 12 | 12. Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika
278 36, 14 | wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu. ~~~~~~
279 36, 15 | chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha
280 36, 16 | Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu. ~~~~~~
281 36, 18 | 18. Wakasema: Sisi tumeagua kuwa nyinyi ni
282 36, 41 | Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia dhuriya zao
283 36, 72 | 72. Na Sisi tukawadhalilishia. Basi
284 36, 76 | yasikuhuzunishe. Hakika Sisi tunayajua wanayo yaweka
285 36, 77 | mwanaadamu haoni ya kwamba Sisi tumemuumba yeye kutokana
286 37, 6 | 6. Hakika Sisi tumeipamba mbingu ya karibu
287 37, 11 | wengine tulio waumba. Hakika Sisi tuliwaumba wao kwa udongo
288 37, 30 | 30. Sisi hatukuwa na mamlaka juu
289 37, 32 | Tulikupotezeni kwa sababu sisi wenyewe tulikuwa wapotovu. ~~~~~~
290 37, 36 | 36. Na wakisema: Hivyo sisi tuiache miungu yetu kwa
291 37, 58 | 58. Je! Sisi hatutakufa, ~~~~~~
292 37, 59 | kifo chetu cha kwanza? Wala sisi hatutaadhibiwa. ~~~~~~
293 37, 63 | 63. Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso
294 37, 72 | 72. Na Sisi hakika tuliwapelekea waonyaji. ~~~~~~
295 37, 75 | hakika Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji. ~~~~~~
296 37, 164| 164. Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu. ~~~~~~
297 37, 165| Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu. ~~~~~~
298 37, 166| 166. Na hakika sisi ndio wenye kusabihi kutakasa. ~~~~~~
299 38, 7 | 7. Sisi hatukusikia haya katika
300 38, 8 | mawaidha peke yake katika sisi? Lakini hao wana shaka na
301 38, 22 | akawaogopa. Wakasema: Usiogope! Sisi ni wagombanao wawili, mmoja
302 38, 26 | 26. Ewe Daudi! Hakika Sisi tumekufanya wewe uwe Khalifa
303 38, 40 | 40. Na hakika yeye kwetu Sisi ana cheo cha kukaribishwa
304 38, 46 | 46. Sisi tumewakhusisha wao kwa sifa
305 38, 47 | 47. Na hakika wao kwetu sisi ni wateuliwa walio bora. ~~~~~~
306 39, 2 | 2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki
307 39, 3 | kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza
308 39, 41 | 41. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu kwa
309 40, 47 | watawaambia walio jitukuza: Hakika sisi tulikuwa wafuasi wenu, basi
310 40, 48 | walio jitukuza: Hakika sote sisi tumo humo humo! Kwani Mwenyezi
311 40, 51 | 51. Hakika bila ya shaka Sisi tunawanusuru Mitume wetu
312 41, 14 | wateremsha Malaika. Basi sisi hakika tunayakataa hayo
313 41, 15 | aliye kuwa na nguvu kushinda sisi? Kwani wao hawakuona kwamba
314 41, 31 | 31. Sisi ni vipenzi vyenu katika
315 41, 40 | Ishara zetu hawatufichikii Sisi. Je! Atakaye tupwa Motoni
316 42, 15 | Mlezi, na Mola wenu Mlezi. Sisi tuna jukumu kwa vitendo
317 42, 48 | 48. Na wakipuuza, basi Sisi hatukukupeleka ili uwe mwangalizi
318 42, 48 | kufikisha Ujumbe tu. Na hakika Sisi tukimwonjesha mtu rehema
319 43, 3 | 3. Hakika Sisi tumeifanya Qur'ani kwa Kiarabu
320 43, 14 | 14. Na hakika sisi tutarudi kwa Mola wetu Mlezi. ~~~~~~
321 43, 20 | Rehema tusingeli waabudu sisi. Hawana ujuzi wowote wa
322 43, 22 | 22. Bali wanasema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika
323 43, 22 | wanashika dini makhsusi, basi na sisi tunaongoza nyayo zao. ~~~~~~
324 43, 23 | starehe walisema: Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika
325 43, 23 | wanashika dini makhsusi, na sisi tunafuata nyayo zao. ~~~~~~
326 43, 24 | nao baba zenu? Wakasema: Sisi tunayakataa tu hayo mliyo
327 43, 30 | wakasema: Huu ni uchawi, na sisi hakika tunaukataa. ~~~~~~
328 43, 32 | rehema za Mola wako Mlezi? Sisi tumewagawanyia baina yao
329 43, 41 | 41. Na hata tukikuondoa, Sisi tutalipiza kisasi chetu
330 43, 49 | ahadi aliyo kuahidi; hakika sisi tutakuwa wenye kuongoka. ~~~~~~
331 43, 76 | 76. Wala Sisi hatukuwadhulumu, bali wao
332 43, 79 | kupitisha amri yao? Bali ni Sisi ndio tunao pitisha. ~~~~~~
333 44, 3 | usiku ulio barikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji. ~~~~~~
334 44, 5 | Jambo litokalo kwetu. Hakika Sisi ndio wenye kutuma. ~~~~~~
335 44, 15 | 15. Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo,
336 44, 16 | mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa. ~~~~~~
337 44, 35 | mara ya kwanza tu, wala sisi hatufufuliwi. ~~~~~~
338 45, 29 | juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo
339 46, 30 | Wakasema: Enyi kaumu yetu! Sisi tumesikia Kitabu kilicho
340 48, 13 | Mtume wake, basi kwa hakika Sisi tumewaandalia makafiri Moto
341 49, 12 | 13. Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na
342 50, 4 | 4. Hakika Sisi tunajua kiasi cha kila kinacho
343 50, 14 | mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko
344 50, 36 | 38. Na bila ya shaka Sisi tumeziumba mbingu na ardhi
345 50, 41 | 43. Hakika Sisi tunahuisha na tunafisha,
346 50, 41 | tunahuisha na tunafisha, na kwetu Sisi ndio marejeo. ~~~~~~
347 50, 43 | 45. Sisi tunajua kabisa wayasemayo.
348 51, 32 | 32. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa watu wakosefu, ~~~~~~
349 51, 47 | nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye
350 51, 48 | watandazaji wazuri namna gani Sisi! ~~~~~~
351 52, 28 | 28. Hakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba
352 54, 17 | 17. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi
353 54, 19 | 19. Hakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga
354 54, 22 | 22. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi
355 54, 24 | tumfuate binaadamu mmoja katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa
356 54, 24 | katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu
357 54, 27 | 27. Hakika Sisi tutawapelekea ngamia jike
358 54, 31 | 31. Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja
359 54, 32 | 32. Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi
360 54, 34 | 34. Hakika Sisi tukawapelekea kimbunga cha
361 54, 44 | 44. Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu. ~~~~~~
362 54, 49 | 49. Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa
363 56, 33 | 35. Hakika Sisi tutawaumba (Mahurulaini)
364 56, 54 | 57. Sisi tumekuumbeni; basi hamsadiki? ~~~~~~
365 56, 56 | Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji? ~~~~~~
366 56, 57 | 60. Sisi tumekuwekeeni mauti; na
367 56, 57 | tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi 61. Kuwaleta
368 56, 60 | nyinyi mnayo yaotesha au ni Sisi ndio wenye kuotesha? ~~~~~~
369 56, 62 | 66. Mkisema: Hakika sisi tumegharimika; ~~~~~~
370 56, 63 | 67. Bali sisi tumenyimwa. ~~~~~~
371 56, 65 | yateremsha kutoka mawinguni au ni Sisi ndio wenye kuyateremsha? ~~~~~~
372 56, 68 | nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji? ~~~~~~
373 56, 69 | 73. Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho
374 56, 81 | 85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko
375 57, 27 | wa mapadri) wameuzua wao. Sisi hatukuwaandikia hayo, ila
376 59, 10 | Mola wetu Mlezi! Tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia
377 59, 11 | wa Kitabu: Mkitolewa na sisi lazima tutatoka pamoja nanyi,
378 60, 4 | waambia watu wao: Hakika sisi tumejitenga nanyi na hayo
379 61, 14 | Mungu? Wakasema wanafunzi: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi
380 68, 29 | Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~
381 68, 32 | bora kuliko hili. Hakika sisi ni wenye kurejea kwa Mola
382 69, 11 | 11. Maji yalipo furika Sisi tulikupandisheni katika
383 69, 49 | 49. Na hakika Sisi bila ya shaka tunajua kwamba
384 70, 7 | 7. Na Sisi tunaiona iko karibu. ~~~~~~
385 70, 39 | 39. La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na wanacho
386 70, 40 | na magharibi zote kwamba Sisi tunaweza ~~~~~~
387 70, 41 | walio bora kuliko wao; na Sisi hatushindwi. ~~~~~~
388 71, 1 | 1. Hakika Sisi tulimtuma Nuh'u kwa watu
389 72, 1 | lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! ~~~~~~
390 72, 11 | 11. Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine
391 72, 14 | 14. Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu
392 73, 5 | 5. Hakika Sisi tutakuteremshia kauli nzito. ~~~~~~
393 73, 12 | 12. Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto
394 73, 15 | 15. Hakika Sisi tumemtuma kwenu Mtume aliye
395 75, 3 | 3. Anadhani mtu kuwa Sisi hatutaikusanya mifupa yake? ~~~~~~
396 75, 4 | 4. Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa
397 76, 2 | 2. Hakika Sisi tumemuumba mtu kutokana
398 76, 3 | 3. Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama
399 76, 4 | 4. Hakika Sisi tumewaandalia makafiri minyororo
400 76, 9 | 9. Hakika sisi tunakulisheni kwa wajihi
401 76, 10 | 10. Hakika sisi tunaiogopa kwa Mola wetu
402 76, 23 | 23. Hakika Sisi tumekuteremshia Qur'ani
403 76, 28 | 28. Sisi tumewaumba, na tukavitia
404 77, 23 | 23. Tukakadiria na Sisi ni wabora wa kukadiria. ~~~~~~
405 78, 29 | 29. Na kila kitu Sisi tumekidhibiti kwa kukiandika. ~~~~~~
406 80, 25 | 25. Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu, ~~~~~~
407 88, 25 | 25. Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao. ~~~~~~
408 88, 26 | Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao! ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
409 92, 13 | 13. Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia. ~~~~~~
410 97, 1 | 1. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika
|