Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mimba 14
mimea 30
mimema 1
mimi 342
miminika 6
miminikeni 1
miminwa 1
Frequency    [«  »]
360 je
354 lakini
343 hii
342 mimi
335 wako
328 akasema
324 yenu

Qu'rani

IntraText - Concordances

mimi

                                                  bold = Main text
    Sura, verse                                   grey = Comment text
1 2, 30 | Mlezi alipo waambia Malaika: Mimi nitamweka katika ardhi Khalifa ( 2 2, 30 | utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. ~~~~~~ 3 2, 33 | alisema: Sikukwambieni kwamba Mimi ninajua siri za mbinguni 4 2, 40 | timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na 5 2, 40 | ahadi yenu, na niogopeni Mimi tu. ~~~~~~ 6 2, 41 | thamani ndogo. Na niogopeni Mimi tu. ~~~~~~ 7 2, 122| kuneemesheni, na hakika Mimi nikakufadhilisheni kuliko 8 2, 124| akazitimiza, akamwambia: Hakika Mimi nitakufanya uwe mwongozi 9 2, 150| msiwaogope wao, lakini niogopeni Mimi - na ili nikutimizieni neema 10 2, 160| hao nitapokea toba yao, na Mimi ni Mwenye kupokea toba na 11 2, 186| khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi 12 2, 186| niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili 13 2, 186| waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka. ~~~~~~ 14 2, 197| ni uchamngu. Na nicheni Mimi, enyi wenye akili! ~~~~~~ 15 2, 258| na kufisha. Yeye akasema: Mimi pia nahuisha na kufisha. 16 3, 20 | pindi wakikuhoji, basi sema: Mimi nimeusalimisha uso wangu 17 3, 31 | Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni 18 3, 36 | si sawa na mwanamke. Na mimi nimemwita Maryamu. Nami 19 3, 49 | Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka 20 3, 50 | Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. ~~~~~~ 21 3, 55 | Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua 22 3, 79 | watu: Kuweni wa kuniabudu mimi badala ya Mwenyezi Mungu. 23 3, 81 | Akasema: Basi shuhudieni, na Mimi ni pamoja nanyi katika kushuhudia. ~~~~~~ 24 3, 175| msiwaogope, bali niogopeni Mimi mkiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~ 25 3, 195| na wakauliwa, kwa yakini Mimi nitawafutia makosa yao, 26 4, 18 | kisha hapo akasema: Hakika mimi sasa nimetubia. Wala wale 27 5, 3 | msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni 28 5, 12 | Mungu akasema: Kwa yakini Mimi ni pamoja nanyi. Mkisali, 29 5, 25 | Mola wangu Mlezi! Hakika mimi similiki ila nafsi yangu 30 5, 28 | Ukininyooshea mkono wako kuniuwa, mimi sitakunyooshea mkono wangu 31 5, 28 | mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, 32 5, 29 | 29. Mimi nataka ubebe dhambi zangu 33 5, 44 | msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu 34 5, 111| Wanafunzi kwamba waniamini Mimi na Mtume wangu, wakasema: 35 5, 115| Mwenyezi Mungu akasema: Hakika Mimi nitakuteremshieni hicho. 36 5, 115| kanya baadae, basi hakika Mimi nitampa adhabu nisiyopata 37 5, 116| uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu 38 5, 116| umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. 39 5, 116| ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi 40 5, 117| Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao 41 6, 14 | lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza 42 6, 15 | 15. Sema: Mimi naogopa adhabu ya Siku kubwa 43 6, 19 | wapo miungu wengine? Sema: Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika 44 6, 50 | 50. Sema: Mimi sikwambiini kuwa ninazo 45 6, 50 | fichikana. Wala sikwambiini kuwa mimi ni Malaika. Mimi sifuati 46 6, 50 | sikwambiini kuwa mimi ni Malaika. Mimi sifuati ila yanayo funuliwa 47 6, 56 | 56. Sema: Mimi nimekatazwa kuwaabudu hao 48 6, 56 | ya Mwenyezi Mungu. Sema: mimi sifuati matamanio yenu. 49 6, 57 | 57. Sema: Mimi nipo kwenye sharia iliyo 50 6, 57 | Mlezi, nanyi mnaikanusha. Mimi sinacho hicho mnacho kihimiza. 51 6, 66 | wameikanusha, nayo ni Haki. Sema: Mimi sikuwakilishwa juu yenu. ~~~~~~ 52 6, 74 | masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako 53 6, 78 | alisema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika hayo mnayo fanyia 54 6, 79 | 79. Hakika mimi nimeuelekeza uso wangu sawa 55 6, 79 | ziumba mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina. ~~~~~~ 56 6, 90 | fuata hidaya yao. Sema: Mimi sikuombeni ujira. Haya hayakuwa 57 6, 93 | Mwenyezi Mungu, au anaye sema: Mimi nimeletewa wahyi; na hali 58 6, 135| Fanyeni muwezayo, na hakika mimi nafanya. Mtakuja jua nani 59 6, 145| katika yale niliyo funuliwa mimi kitu kilicho harimishwa 60 6, 161| 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa 61 6, 163| ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu. ~~~~~~ 62 7, 12 | nilipo kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba 63 7, 21 | Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni wa wanao kunasihini. ~~~~~~ 64 7, 59 | hamna Mungu ila Yeye. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya 65 7, 61 | Akasema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika upotofu, lakini 66 7, 61 | simo katika upotofu, lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola 67 7, 67 | Akasema: Enyi watu wangu! Mimi sina upumbavu. Lakini mimi 68 7, 67 | Mimi sina upumbavu. Lakini mimi ni Mtume niliye toka kwa 69 7, 68 | wa Mola wangu Mlezi. Na mimi kwenu ni mwenye kukunasihini, 70 7, 71 | uthibitisho? Basi ngojeni, mimi pia ni pamoja nanyi katika 71 7, 104| alisema: Ewe Firauni! Hakika mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola 72 7, 143| Umetakasika! Natubu kwako, na mimi ni wa kwanza wa Waumini. ~~~~~~ 73 7, 144| Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende kwa watu 74 7, 151| Mola Mlezi wangu! Nisamehe mimi na ndugu yangu, na ututie 75 7, 155| taka ungeli wahiliki wao na mimi zamani! Unatuhiliki kwa 76 7, 158| Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, 77 7, 172| nafsi zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema: 78 7, 188| wala ovu lisinge nigusa. Mimi si chochote ila ni mwonyaji 79 7, 195| ushirikina. Kisha nifanyieni mimi vitimbi, wala msinipe muhula. ~~~~~~ 80 7, 203| Kwa nini hukuibuni? Sema: mimi ninafuata yanayo funuliwa 81 8, 9 | akakujibuni kuwa: Kwa yakini Mimi nitakusaidieni kwa Malaika 82 8, 12 | wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni 83 8, 48 | kukushindeni hii leo, na hali mimi ni mlinzi wenu. Yalipo onana 84 8, 48 | akarudi nyuma, na akasema: Mimi si pamoja nanyi. Mimi naona 85 8, 48 | akasema: Mimi si pamoja nanyi. Mimi naona msiyo yaona. Mimi 86 8, 48 | Mimi naona msiyo yaona. Mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, 87 9, 129| mungu isipokuwa Yeye tu. Mimi namtegemea Yeye, na Yeye 88 10, 15 | ibadilishe. Sema: Hainifalii mimi kuibadilisha kwa nitakavyo 89 10, 15 | kwa nitakavyo nafsi yangu. Mimi sifuati ila ninayo funuliwa 90 10, 15 | funuliwa kwa Wahyi. Hakika mimi naogopa, nikimuasi Mola 91 10, 20 | Basi nyinyi ngojeni, na mimi ni pamoja nanyi katika wanao 92 10, 41 | wakikukanusha wewe, sema: Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi 93 10, 41 | jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo. ~~~~~~ 94 10, 71 | kunakutieni mashaka basi mimi namtegemea Mwenyezi Mungu. 95 10, 72 | 72. Lakini mkigeuka, basi mimi sikukuombeni ujira. Ujira 96 10, 90 | muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea! ~~~~~~ 97 10, 104| katika Dini yangu, basi mimi siwaabudu mnao waabudu nyinyi 98 10, 104| ya Mwenyezi Mungu. Lakini mimi namuabudu Mwenyezi Mungu 99 10, 108| khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu. ~~~~~~ 100 11, 2 | Mwenyezi Mungu. Hakika mimi kwenu ni mwonyaji na mbashiri 101 11, 3 | Na ikiwa mtakengeuka basi mimi nakukhofieni adhabu ya hiyo 102 11, 25 | wake, akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye 103 11, 26 | Mwenyezi Mungu tu. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya 104 11, 28 | wangu! Hebu fikirini! Ikiwa mimi ninayo hoja wazi iliyo toka 105 11, 29 | 29. Na enyi watu wangu! Mimi sikuombeni mali kwa ajili 106 11, 29 | mali kwa ajili ya haya. Mimi sina ujira ila kwa Mwenyezi 107 11, 29 | ila kwa Mwenyezi Mungu; na mimi sitawafukuza walio amini. 108 11, 29 | na Mola wao Mlezi, lakini mimi nakuoneni mnafanya ujinga. ~~~~~~ 109 11, 31 | Mwenyezi Mungu; wala kuwa mimi najua mambo ya ghaibu; wala 110 11, 31 | ya ghaibu; wala sisemi: Mimi ni Malaika. Wala siwasemi 111 11, 35 | kosa hilo ni juu yangu, na mimi sikhusiki na makosa myatendayo. ~~~~~~ 112 11, 46 | jambo usio na ujuzi nalo. Mimi nakuwaidhi usije ukawa miongoni 113 11, 47 | akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi najikinga kwako nisikuombe 114 11, 54 | kwa baa. Akasema: Hakika mimi namshuhudisha Mwenyezi Mungu, 115 11, 54 | nyinyi shuhudieni, ya kwamba mimi najitenga mbali na hao mnao 116 11, 56 | 56. Hakika mimi nimemtegemea Mwenyezi Mungu, 117 11, 57 | ikiwa watarudi nyuma, basi mimi nimekwisha kufikishieni 118 11, 72 | 72. Akasema: Je, hivyo mimi nizae, na hali yangu ni 119 11, 84 | msipunguze vipimo na mizani. Mimi nakuoneni mmo katika hali 120 11, 86 | nyinyi ni Waumini. Wala mimi siye mlinzi wenu. ~~~~~~ 121 11, 88 | njema kutoka kwake? Wala mimi sipendi kukukhalifuni nikafanya 122 11, 93 | wangu! Fanyeni mwezayo, na mimi pia ninafanya. Karibuni 123 11, 93 | aliye mwongo. Na ngojeni, mimi pia ninangoja pamoja nanyi. ~~~~~~ 124 12, 4 | yake: Ewe babaangu! Hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, 125 12, 26 | ndiye aliye nitaka bila ya mimi kumtaka. Na shahidi aliye 126 12, 32 | mliye nilaumia! Na kweli mimi nilimtaka naye akakataa. 127 12, 33 | niondoshea vitimbi vya wanawake mimi nitamili kwao, na nitakuwa 128 12, 36 | Mmoja wao akasema: Hakika mimi nimeota nakamua mvinyo. 129 12, 36 | mvinyo. Na mwingine akasema: Mimi nimeota nimebeba mikate 130 12, 37 | Mola wangu Mlezi. Hakika mimi nimeacha mila ya watu wasio 131 12, 43 | moja mfalme alisema: Hakika mimi nimeota ng'ombe saba wanene 132 12, 45 | akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni tafsiri yake. 133 12, 51 | akasema: Sasa haki imedhihiri. Mimi ndiye niliye mtaka kinyume 134 12, 52 | ni apate kujua ya kwamba mimi sikumfanyia khiyana nyuma 135 12, 55 | khazina za nchi. Kwani hakika mimi ni mlinzi mjuzi. ~~~~~~ 136 12, 59 | baba. Je! Hamwoni ya kwamba mimi ninatimiza kipimo, nami 137 12, 67 | milango mbali mbali. Wala mimi sikufaeni kitu mbele ya 138 12, 67 | Mungu tu. Juu yake Yeye mimi nimetegemea, na juu yake 139 12, 69 | alimchukua nduguye akasema: Mimi hakika ni nduguyo. Basi 140 12, 80 | lenu juu ya Yusuf? Basi mimi sitotoka nchi hii mpaka 141 12, 86 | 86. Akasema: Hakika mimi namshitakia Mwenyezi Mungu 142 12, 90 | wewe ndiye Yusuf? Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni 143 12, 94 | baba yao alisema: Hakika mimi nasikia harufu ya Yusuf, 144 12, 96 | Je! Sikukwambieni kuwa mimi najua ya Mwenyezi Mungu 145 12, 108| Mwenyezi Mungu kwa kujua - mimi na wanao nifuata. Na ametakasika 146 12, 108| ametakasika Mwenyezi Mungu! Wala mimi si katika washirikina. ~~~~~~ 147 14, 22 | mkaniitikia. Basi msinilaumu mimi, bali jilaumuni wenyewe. 148 14, 22 | bali jilaumuni wenyewe. Mimi siwezi kuwa mtetezi wenu, 149 14, 22 | kuwa watetezi wangu. Hakika mimi nilikataa tangu zamani kunishirikisha 150 14, 35 | uwe wa amani, na uniepushe mimi na wanangu na kuabudu masanamu. ~~~~~~ 151 14, 36 | wengi. Basi aliye nifuata mimi huyo ni wangu, na aliye 152 14, 37 | Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya 153 14, 41 | Mola wetu! Unighufirie mimi na wazazi wangu wote wawili, 154 15, 28 | waambia Malaika: Hakika Mimi nitamuumba mtu kwa udongo 155 15, 33 | 33. Akasema: Haiwi mimi nimsujudie mtu uliye muumba 156 15, 49 | Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye Mwenye kusamehe, Mwenye 157 15, 89 | 89. Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenye kubainisha. ~~~~~~ 158 16, 2 | kwamba hapana mungu ila Mimi, basi nicheni Mimi. ~~~~~~ 159 16, 2 | mungu ila Mimi, basi nicheni Mimi. ~~~~~~ 160 16, 51 | Mungu Mmoja. Basi niogopeni Mimi tu! ~~~~~~ 161 17, 2 | Msiwe na mtegemewa ila Mimi! ~~~~~~ 162 17, 93 | Mola wangu Mlezi! Kwani mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu 163 17, 101| Firauni akawaambia: Hakika mimi nakuona wewe Musa umerogwa! ~~~~~~ 164 17, 102| wa kuonekana. Na hakika mimi bila ya shaka nakuona wewe, 165 18, 34 | mwenzake naye akibishana naye: Mimi nimekushinda wewe kwa mali 166 18, 39 | Mwenyezi Mungu. Ikiwa unaniona mimi nina mali kidogo na watoto 167 18, 63 | pumzika penye jabali basi mimi nilimsahau yule samaki. 168 18, 70 | ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia. ~~~~~~ 169 18, 82 | kwa Mola wako Mlezi. Wala mimi sikutenda hayo kwa amri 170 18, 102| walinzi wao badala yangu Mimi? Hakika Sisi tumeiandaa 171 18, 110| 110. Sema: Mimi ni mwanaadamu kama nyinyi. 172 19, 5 | 5. Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada 173 19, 6 | 6. Atakaye nirithi mimi na awarithi ukoo wa Yaaqub. 174 19, 8 | hali mke wangu ni tasa, na mimi nimesha fikia ukongwe katika 175 19, 9 | mepesi kwangu. Na hakika Mimi nilikwisha kuumba wewe zamani 176 19, 18 | Maryamu) akasema: Hakika mimi najikinga kwa Mwingi wa 177 19, 19 | Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola 178 19, 20 | yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? ~~~~~~ 179 19, 26 | yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka nadhiri kwa Mwenyezi 180 19, 30 | Mtoto) akasema: Hakika mimi ni mtumwa wa Mwenyezi Mungu. 181 19, 43 | kufikia wewe. Basi nifuate mimi, nami nitakuongoza Njia 182 19, 45 | Ewe baba yangu! Hakika mimi naogopa isikupate adhabu 183 19, 47 | laika! Amani iwe juu yako! Mimi nitakuombea msamaha kwa 184 19, 77 | zetu na akasema: Kwa hakika mimi nitapewa mali na wana! ~~~~~~ 185 20, 10 | akawaambia watu wake: Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni 186 20, 12 | 12. Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi 187 20, 14 | 14. Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana 188 20, 14 | Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na 189 20, 14 | ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili 190 20, 14 | kwa ajili ya kunikumbuka Mimi. ~~~~~~ 191 20, 46 | Akasema: Msiogope! Hakika Mimi ni pamoja nanyi. Nasikia 192 20, 82 | 82. Na hakika Mimi ni Mwingi wa Kusamehe kwa 193 20, 90 | wa Rehema. Basi nifuateni mimi, na t'iini amri yangu! ~~~~~~ 194 21, 25 | hapana mungu isipo kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu. ~~~~~~ 195 21, 25 | kuwa Mimi. Basi niabuduni Mimi tu. ~~~~~~ 196 21, 29 | yeyote kati yao atakaye sema: Mimi ni mungu, badala yake, basi 197 21, 45 | 45. Sema: Mimi nakuonyeni kwa Wahyi. Na 198 21, 56 | ambaye ndiye aliye ziumba. Na mimi ni katika wenye kuyashuhudia 199 21, 83 | Mola wake Mlezi, akasema: Mimi yamenipata madhara. Na Wewe 200 21, 87 | Subhanaka Uliye takasika. Hakika mimi nilikuwa miongoni mwa wenye 201 21, 92 | umma wenu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi. Kwa 202 21, 92 | Mlezi. Kwa hivyo niabuduni Mimi. ~~~~~~ 203 22, 48 | nikaitia mkononi? Na kwangu Mimi ndio marudio yote. ~~~~~~ 204 22, 49 | Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye 205 23, 51 | na tendeni mema. Hakika Mimi ni Mjuzi wa mnayo yatenda. ~~~~~~ 206 23, 52 | Umma wenu ni Umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu Mlezi, basi 207 23, 52 | wenu Mlezi, basi nicheni Mimi. ~~~~~~ 208 23, 111| 111. Hakika Mimi leo nimewalipa kwa vile 209 24, 55 | khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi, wala wasinishirikishe na 210 26, 12 | 12. Akasema: Hakika mimi nachelea wasinikanushe. ~~~~~~ 211 26, 29 | mungu mwengine asiye kuwa mimi, basi bila ya shaka nitakufunga 212 26, 107| 107. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. ~~~~~~ 213 26, 108| Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. ~~~~~~ 214 26, 110| Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. ~~~~~~ 215 26, 114| 114. Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini. ~~~~~~ 216 26, 115| 115. Mimi si cho chote ila ni Mwonyaji 217 26, 118| hukumu yako, na uniokoe mimi na walio pamoja nami, Waumini. ~~~~~~ 218 26, 125| 125. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. ~~~~~~ 219 26, 126| Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. ~~~~~~ 220 26, 135| 135. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya 221 26, 143| 143. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. ~~~~~~ 222 26, 150| Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. ~~~~~~ 223 26, 162| 162. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu 224 26, 163| Mwenyezi Mungu na nit'iini mimi. ~~~~~~ 225 26, 164| 164. Wala mimi sikutakini ujira juu yake; 226 26, 168| 168. Akasema: Hakika mimi ni katika wanao kichukia 227 26, 169| Mola wangu Mlezi! Niokoe mimi na ahali zangu na haya wayatendayo. ~~~~~~ 228 26, 178| 178. Hakika mimi kwenu ni Mtume muaminifu. ~~~~~~ 229 26, 179| Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi. ~~~~~~ 230 26, 216| ikiwa watakuasi basi sema: Mimi najitenga mbali na hayo 231 27, 9 | 9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu, Mwenye 232 27, 11 | wema baada ya ubaya, basi Mimi ni Mwenye kusamehe Mwenye 233 27, 19 | neema yako uliyo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nipate 234 27, 23 | 23. Hakika mimi nimemkuta mwanamke anawatawala, 235 27, 32 | jambo langu hili, kwani mimi sikati shauri yoyote mpaka 236 27, 35 | 35. Lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami 237 27, 39 | Afriti, katika majini: Mimi nitakuletea kabla hujainuka 238 27, 39 | hujainuka pahala pako hapo. Na mimi kwa hakika nina nguvu na 239 27, 40 | mwenye ilimu ya Kitabu: Mimi nitakuletea kabla ya kupepesa 240 27, 44 | Malkia): Mola wangu Mlezi! Mimi nimejidhulumu nafsi yangu, 241 27, 91 | 91. Ama mimi nimeamrishwa nimuabudu Mola 242 27, 92 | potea - basi sema: Hakika mimi ni miongoni mwa waonyaji. ~~~~~~ 243 28, 16 | Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimejidhulumu nafsi yangu; 244 28, 17 | ulivyo nineemesha, basi mimi sitakuwa kabisa msaidizi 245 28, 20 | kukuuwa. Basi toka! Hakika mimi ni katika wanao kupa nasaha. ~~~~~~ 246 28, 24 | Mola wangu Mlezi! Hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo 247 28, 27 | 27. Akasema: Mimi nataka kukuoza mmojawapo 248 28, 27 | kumi, khiari yako; lakini mimi sitaki kukutaabisha. Inshallah 249 28, 29 | Akawaambia ahali zake: Ngojeni! Mimi nimeona moto, labda nitakuleteeni 250 28, 30 | kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni Mwenyezi Mungu, Mola 251 28, 33 | Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nilimuuwa mtu katika wao, 252 28, 34 | zaidi ulimi wake kuliko mimi. Basi mtume ende nami kunisaidia, 253 28, 34 | ili anisadikishe. Hakika mimi nina khofu watanikadhibisha. ~~~~~~ 254 28, 38 | kama mnaye mungu asiye kuwa mimi. Ewe Haman! Niwashie moto 255 28, 38 | mungu wa Musa. Na hakika mimi namwona yeye ni katika waongo. ~~~~~~ 256 29, 8 | watakushikilia unishirikishe Mimi na usiyo kuwa na ujuzi nayo, 257 29, 8 | basi usiwat'ii. Kwangu Mimi ndio marejeo yenu, na nitakwambieni 258 29, 26 | akamuamini, na akasema: Mimi nahamia kwa Mola wangu Mlezi. 259 29, 50 | kwake Mwenyezi Mungu; ama mimi kwa hakika ni mwonyaji mwenye 260 29, 56 | ina wasaa. Basi niabuduni Mimi peke yangu. ~~~~~~ 261 31, 14 | Tumemuusia): Nishukuru Mimi na wazazi wako. Ni kwangu 262 31, 14 | na wazazi wako. Ni kwangu Mimi ndiyo marudio. ~~~~~~ 263 31, 15 | Kisha marejeo yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo 264 31, 15 | yenu ni kwangu Mimi, na Mimi nitakuambieni mliyo kuwa 265 34, 11 | Na tendeni mema. Hakika Mimi nayaona vyema mnayo yatenda. ~~~~~~ 266 34, 46 | 46. Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja 267 34, 50 | 50. Sema: Ikiwa mimi nimepotea, basi nimepotea 268 36, 24 | 24. Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu 269 36, 25 | 25. Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, 270 36, 61 | 61. Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 271 37, 51 | mmoja miongoni mwao: Hakika mimi nalikuwa na rafiki ~~~~~~ 272 37, 89 | 89. Akasema: Hakika mimi ni mgonjwa! ~~~~~~ 273 37, 99 | 99. Na akasema: Hakika mimi nahama, nakwenda kwa Mola 274 37, 102| alimwambia: Ewe mwanangu! Hakika mimi nimeona usingizini kuwa 275 37, 102| unavyo amrishwa, utanikuta mimi, Inshallah, katika wanao 276 38, 23 | kike tisiini na tisa; na mimi ninaye kondoo mke mmoja. 277 38, 65 | 65. Sema: Hakika mimi ni mwonyaji tu; na hapana 278 38, 70 | isipo kuwa ya kwamba hakika mimi ni mwonyaji dhaahiri. ~~~~~~ 279 38, 71 | waambia Malaika: Hakika Mimi nitaumba mtu kutokana na 280 38, 76 | 76. Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba 281 38, 86 | ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu. ~~~~~~ 282 39, 11 | 11. Sema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi 283 39, 13 | 13. Sema: Hakika mimi ninaogopa adhabu ya Siku 284 39, 16 | Enyi waja wangu! Nicheni Mimi! ~~~~~~ 285 39, 39 | wangu! Fanyeni mwezavyo, mimi pia nafanya. Basi mtakuja 286 40, 26 | amwite Mola wake Mlezi! Mimi nachelea asije kubadilishieni 287 40, 27 | 27. Na Musa akasema: Mimi najikinga kwa Mola wangu 288 40, 30 | Enyi watu wangu! Hakika mimi nakukhofieni mfano wa siku 289 40, 32 | enyi watu wangu! Hakika mimi nakukhofieni Siku ya mayowe. ~~~~~~ 290 40, 37 | Mungu wa Musa. Na kwa hakika mimi bila ya shaka namjua kuwa 291 40, 38 | Enyi watu wangu! Nifuateni mimi, nitakuongozeni njia ya 292 40, 41 | enyi watu wangu! Kwa nini mimi nakuiteni kwenye uwokofu, 293 40, 60 | wanajivuna na kuniabudu Mimi wataingia Jahannamu wadhalilike. ~~~~~~ 294 40, 66 | 66. Sema: Mimi nimekatazwa kuwaabudu hao 295 41 | kwao na kuwaambia: "Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa 296 41, 6 | 6. Sema: Hakika mimi ni mtu kama nyinyi; inafunuliwa 297 41, 33 | mema, na akasema: Hakika mimi ni katika Waislamu? ~~~~~~ 298 41, 50 | husema: Haya nayastahiki mimi, wala sidhani kuwa Kiyama 299 43, 26 | yake na kaumu yake: Hakika mimi ninajitenga mbali na hayo 300 43, 46 | wake, na akasema: Hakika mimi ni Mtume wa Mola Mlezi wa 301 43, 51 | Enyi watu wangu! Kwani mimi sinao huu ufalme wa Misri, 302 43, 52 | 52. Au mimi si bora kuliko huyu aliye 303 43, 63 | Mwenyezi Mungu, na mnit'ii mimi. ~~~~~~ 304 43, 81 | Rahmani ana mwana, basi mimi ningeli kuwa wa kwanza kumuabudu. ~~~~~~ 305 44, 18 | Mwenyezi Mungu; kwa hakika mimi kwenu ni Mtume Muaminifu. ~~~~~~ 306 44, 19 | kiburi Mwenyezi Mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho 307 46, 8 | mwenyewe! Sema: Ikiwa nimeizua mimi, basi nyinyi hamwezi kunifaa 308 46, 9 | 9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. 309 46, 9 | nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa 310 46, 9 | funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji 311 46, 15 | neema zako ulizo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nitende 312 46, 15 | unitengenezee dhuriya zangu. Hakika mimi nimetubu kwako, na mimi 313 46, 15 | mimi nimetubu kwako, na mimi ni miongoni mwa Waislamu. ~~~~~~ 314 46, 21 | kuwa Mwenyezi Mungu. Hakika mimi nakukhofieni isikupateni 315 46, 23 | uko kwa Mwenyezi Mungu. Mimi nakufikishieni niliyo tumwa. 316 50, 21 | atasema: Huyu niliye naye mimi kesha tayarishwa. ~~~~~~ 317 50, 25 | wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa 318 50, 27 | haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu. ~~~~~~ 319 51, 29 | kwa mastaajabu, na kusema: Mimi ni kikongwe na tasa! ~~~~~~ 320 51, 50 | kwa Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha 321 51, 51 | na Mwenyezi Mungu. Hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha 322 51, 56 | majini na watu ila waniabudu Mimi. ~~~~~~ 323 52, 31 | 31. Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika 324 54, 10 | Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru! ~~~~~~ 325 58, 21 | ameandika: Hapana shaka Mimi na Mtume wangu tutashinda. 326 59, 16 | Na akikufuru humwambia: Mimi si pamoja nawe. Hakika mimi 327 59, 16 | Mimi si pamoja nawe. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi Mungu, 328 60, 1 | urafiki nao kwa siri, na Mimi nayajua mnayo yaficha na 329 61, 5 | nanyi mnajua kuwa hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu 330 61, 6 | Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu 331 67, 26 | Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha. ~~~~~~ 332 67, 28 | Mwenyezi Mungu atanihiliki mimi na walio pamoja nami, au 333 71, 2 | Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri 334 71, 5 | Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nimewaita watu wangu usiku 335 71, 7 | 7. Na hakika mimi kila nilipo waita ili upate 336 71, 28 | wangu Mlezi! Nighufirie mimi na wazazi wangu, na kila 337 72, 20 | 20. Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, 338 72, 21 | 21. Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni 339 73, 11 | 11. Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio 340 77, 39 | mnayo hila, nifanyieni hila Mimi! ~~~~~~ 341 79, 24 | 24. Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu 342 86, 16 | 16. Na Mimi napanga mpango. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License