bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | Mwenyezi Mungu) na kukumbusha Ishara za Mwenyezi Mungu zenye
2 2, 39 | kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa
3 2, 41 | kwanza kuyakataa. Wala msiuze Ishara zangu kwa thamani ndogo.
4 2, 73 | wafu; na anakuonyesheni Ishara zake ili mpate kufahamu. ~~~~~~
5 2, 99 | Hakika tumekuteremshia Ishara zilizo wazi na hapana wanao
6 2, 106| 106. Ishara yoyote tunayo ifuta au tunayo
7 2, 118| hasemi nasi au zikatufikia Ishara. Kama hivyo walisema wale
8 2, 118| Hakika Sisi tumeziweka wazi Ishara kwa watu wenye yakini. ~~~~~~
9 2, 164| na ardhi, bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. ~~~~~~
10 2, 187| Mwenyezi Mungu anabainisha Ishara zake kwa watu ili wapate
11 2, 211| Wana wa Israili: Tumewapa ishara ngapi zilizo wazi? Na anaye
12 2, 235| katika kupeleka posa kwa ishara tu kwa wanawake waliomo
13 2, 259| Na ili tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa
14 2, 266| Mungu anavyo kubainishieni Ishara ili mpate kufikiri. ~~~~~~
15 3, 4 | Hakika walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu watakuwa
16 3, 11 | kuwa kabla yao. Walikanusha Ishara zetu, basi Mwenyezi Mungu
17 3, 13 | 13. Hakika ilikuwa ni Ishara kwenu katika yale majeshi
18 3, 19 | baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika
19 3, 21 | 21. Hakika wanao zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawauwa
20 3, 49 | kuwaambia: Mimi nimekujieni na Ishara kutoka kwa Mola Mlezi wenu,
21 3, 49 | Hakika katika haya ipo Ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye
22 3, 50 | harimishiwa, na nimekujieni na Ishara kutokana na Mola Mlezi wenu.
23 3, 70 | Kitabu! Mbona mnazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu ilhali
24 3, 97 | 97. Ndani yake zipo Ishara zilizo wazi - masimamio
25 3, 98 | Kitabu! Kwa nini mnakanusha ishara za Mwenyezi Mungu, na ilhali
26 3, 103| Mwenyezi Mungu anakubainishieni Ishara zake ili mpate kuongoka. ~~~~~~
27 3, 112| sababu walikuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakiwauwa
28 3, 118| Tumekwisha kubainishieni Ishara ikiwa nyinyi mtayatia akilini. ~~~~~~
29 3, 190| kukhitalifiana usiku na mchana ziko Ishara kwa wenye akili, ~~~~~~
30 4, 56 | Hakika wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni.
31 4, 155| ahadi zao, na kuzikataa kwao ishara za Mwenyezi Mungu, na kuwauwa
32 5, 10 | walio kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~
33 5, 86 | kufuru na wakazikanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~
34 5, 114| mwisho wetu, na kiwe ni Ishara itokayo kwako. Basi turuzuku,
35 6, 4 | 4. Na haiwafikii hata ishara moja katika ishara za Mola
36 6, 4 | hata ishara moja katika ishara za Mola wao Mlezi ila wao
37 6, 21 | Mwenyezi Mungu, na akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu
38 6, 25 | masikioni mwao, na wakiona kila Ishara hawaiamini. Hata wakikujia
39 6, 27 | wala hatutakanusha tena Ishara za Mola wetu Mlezi, na tutakuwa
40 6, 33 | hao madhaalimu wanazikataa Ishara za Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
41 6, 35 | kwendea mbinguni ili uwaletee Ishara -- Na lau kuwa Mwenyezi
42 6, 39 | 39. Na walio kanusha Ishara zetu ni viziwi na mabubu
43 6, 46 | Angalia vipi tunavyo zieleza Ishara, kisha wao wanapuuza. ~~~~~~
44 6, 49 | 49. Na walio kanusha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa
45 6, 54 | wanapo kujia wanao ziamini Ishara zetu waambie: Assalamu alaikum!
46 6, 55 | ndio hivi tunavyo zieleza Ishara ili ibainike njia ya wakosefu. ~~~~~~
47 6, 93 | kuwa mkizifanyia kiburi Ishara zake. ~~~~~~
48 6, 97 | bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao jua. ~~~~~~
49 6, 98 | njia. Hakika tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao fahamu. ~~~~~~
50 6, 99 | Hakika katika hayo pana Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
51 6, 109| viapo vyao, kuwa ikiwafikia Ishara wataiamini. Sema: Ishara
52 6, 109| Ishara wataiamini. Sema: Ishara ziko kwa Mwenyezi Mungu.
53 6, 124| 124. Na inapo wajia Ishara, wao husema: Hatutoamini
54 6, 150| matamanio ya walio zikanusha Ishara zetu, wala hawaiamini Akhera,
55 6, 157| kuliko yule anaye kanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, na akajitenga
56 6, 157| Tutawalipa wanao jitenga na Ishara zetu adhabu kali kabisa
57 6, 158| Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku
58 6, 158| zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini
59 7, 9 | kwa sababu ya kuzipinga Ishara zetu. ~~~~~~
60 7, 26 | ndio bora. Hayo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu mpate
61 7, 32 | Namna hivi tunazieleza Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~
62 7, 35 | miongoni mwenu wakakuelezeni Ishara zangu, basi watakao mchamngu
63 7, 36 | Na wale watakao kanusha Ishara zetu na wakazifanyia kiburi,
64 7, 37 | uwongo, au anaye zikanusha Ishara zake? Hao itawafikia sehemu
65 7, 40 | Hakika wale wanao zikanusha Ishara zetu na wakazifanyia kiburi
66 7, 51 | sababu ya kule kuzikataa Ishara zetu. ~~~~~~
67 7, 58 | ndivyo tunavyo zipambanua Ishara (Aya) kwa watu wanao shukuru. ~~~~~~
68 7, 64 | tukawazamisha wale walio kanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa
69 7, 72 | ya wale walio zikanusha Ishara zetu, na hawakuwa wenye
70 7, 73 | Hakika imekwisha kukufikieni Ishara iliyo wazi kutoka kwa Mola
71 7, 73 | Mwenyezi Mungu aliye ni Ishara kwenu. Basi mwachieni ale
72 7, 103| baada yao tukamtuma Musa na Ishara zetu kwa Firauni na waheshimiwa
73 7, 106| Firauni: Ikiwa umekuja na Ishara, basi ilete ukiwa ni katika
74 7, 126| ila kwa kuwa tumeziamini Ishara za Mola Mlezi wetu zilipo
75 7, 132| wakisema: Hata ukituletea Ishara yoyote kutuzuga hatuto kuamini. ~~~~~~
76 7, 133| vyura, na damu, kuwa ni Ishara mbali mbali. Nao wakapanda
77 7, 136| kwa sababu walizikanusha Ishara zetu, na wakaghafilika nazo. ~~~~~~
78 7, 146| 146. Nitawatenga na Ishara zangu wale wanao fanya kiburi
79 7, 146| haki. Na wao wakiona kila Ishara hawaiamini. Wakiiona njia
80 7, 146| kwa sababu wamezikanusha Ishara zetu, na wameghafilika nazo. ~~~~~~
81 7, 147| 147. Na walio zikanusha Ishara zetu na mkutano wa Akhera
82 7, 156| na wale ambao wanaziamini Ishara zetu, ~~~~~~
83 7, 174| hivyo tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea. ~~~~~~
84 7, 175| khabari za yule ambaye tulimpa Ishara zetu, naye akajivua nazo.
85 7, 176| tungeli mtukuza kwa hizo Ishara, lakini yeye aliushikilia
86 7, 176| wa kaumu wanao zikanusha Ishara zetu. Basi simulia hadithi,
87 7, 177| kabisa wa watu wanao kanusha Ishara zetu na wakajidhulumu nafsi
88 7, 182| Na wale walio kadhibisha Ishara zetu, tutawapururia pole
89 7, 203| 203. Na usipo waletea Ishara waitakayo husema: Kwa nini
90 8, 52 | kabla yao - walizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu. Basi
91 8, 54 | kabla yao - walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, basi
92 9, 9 | Wamenunua thamani ndogo kwa Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakazuilia
93 9, 65 | maskhara Mwenyezi Mungu na Ishara zake na Mtume wake? ~~~~~~
94 10 | Kisha ikataja ulimwengu na ishara za Mwenyezi Mungu Mtukufu
95 10, 5 | kwa Haki. Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~
96 10, 6 | katika mbingu na ardhi, zipo Ishara kwa watu wanao mcha-Mngu. ~~~~~~
97 10, 7 | nayo, na walio ghafilika na Ishara zetu, ~~~~~~
98 10, 13 | waliwajia Mitume wao kwa Ishara zilizo wazi; lakini hawakuwa
99 10, 17 | Mwenyezi Mungu na akazikanusha Ishara zake? Hakika hawafanikiwi
100 10, 20 | Kwa nini hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi?
101 10, 21 | wana vitimbi kuzipangia Ishara zetu. Sema: Mwenyezi Mungu
102 10, 24 | Namna hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
103 10, 67 | Hakika katika haya zipo Ishara kwa watu wanao sikia. ~~~~~~
104 10, 71 | na kukumbusha kwangu kwa Ishara za Mwenyezi Mungu kunakutieni
105 10, 73 | tukawazamisha walio zikanusha Ishara zetu. Basi angalia vipi
106 10, 74 | watu wao. Nao wakawajia kwa Ishara zilizo wazi. Lakini hawakuwa
107 10, 75 | na waheshimiwa wake, kwa Ishara zetu. Wakajivuna, na wakawa
108 10, 92 | kwa mwili wako, ili uwe Ishara kwa ajili ya walio nyuma
109 10, 92 | watu wengi wameghafilika na Ishara zetu. ~~~~~~
110 10, 95 | mwa wale wanao zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, usije
111 10, 97 | Ijapo kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo
112 10, 101| mbinguni na kwenye ardhi! Na Ishara zote na maonyo hayawafai
113 11, 59 | kina A'adi. Walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, na wakawaasi
114 11, 64 | ngamia wa Mwenyezi Mungu ni Ishara kwenu. Basi mwacheni ale
115 11, 96 | tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio
116 11, 103| Hakika katika haya ipo ishara kwa yule anaye ogopa adhabu
117 12, 7 | katika Yusuf na nduguze ziko ishara kwa wanao uliza. ~~~~~~
118 12, 24 | mtamani lau kuwa hakuona ishara ya Mola wake Mlezi. Hayo
119 12, 35 | ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara kuwa wamfunge kwa muda. ~~~~~~
120 12, 105| 105. Na ishara ngapi katika mbingu na ardhi
121 13, 1 | Mym Ra. (A.L.M.R.) Hizi ni Ishara za Kitabu. Na uliyo teremshiwa
122 13, 2 | mambo, na anazipambanua Ishara ili mpate kuwa na yakini
123 13, 3 | Hakika katika haya zimo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
124 13, 4 | Hakika katika hayo zimo ishara kwa watu wanao tia mambo
125 14, 5 | Hakika katika hayo zipo ishara kwa kila mwenye kusubiri
126 15 | pia Sura hii inaonyesha ishara za Mwenyezi Mungu katika
127 15, 75 | Hakika katika hayo zipo ishara kwa waaguzi. ~~~~~~
128 15, 77 | Hakika katika hayo ipo ishara kwa Waumini. ~~~~~~
129 15, 81 | 81. Na tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza. ~~~~~~
130 16, 11 | Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
131 16, 12 | Hakika katika hayo zipo ishara kwa watu wenye akili. ~~~~~~
132 16, 13 | Hakika katika hayo ipo ishara kwa watu wanao waidhika. ~~~~~~
133 16, 44 | 44. Kwa Ishara wazi na Vitabu. Nasi tumekuteremshia
134 16, 65 | Kwa hakika katika hayo imo Ishara kwa watu wanao sikia. ~~~~~~
135 16, 67 | Hakika katika hayo ipo Ishara kwa wanao tumia akili. ~~~~~~
136 16, 69 | Hakika katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
137 16, 79 | Hakika katika haya zipo ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
138 16, 101| 101. Na tunapo badilisha Ishara pahala pa Ishara nyengine,
139 16, 101| badilisha Ishara pahala pa Ishara nyengine, na Mwenyezi Mungu
140 16, 104| 104. Hakika wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu, Mwenyezi
141 16, 105| ni wale tu wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu. Na hao
142 17 | Subhanahu uwezo wake kuleta Ishara nyengine. Tena akataja vipi
143 17, 1 | ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye
144 17, 12 | tumefanya usiku na mchana kuwa ishara mbili. Tena tukaifuta ishara
145 17, 12 | ishara mbili. Tena tukaifuta ishara ya usiku, na tukaifanya
146 17, 12 | ya usiku, na tukaifanya ishara ya mchana ni yenye mwangaza
147 17, 59 | Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu
148 17, 59 | walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya kuhadharisha. ~~~~~~
149 17, 98 | yao kwa sababu walizikataa ishara zetu, na wakasema: Hivyo
150 17, 101| kwa yakini tulimpa Musa ishara tisa zilizo wazi. Waulize
151 18 | kisha wakaamka ili kuwa ni ishara ya uweza wa Mwenyezi Mungu
152 18, 9 | walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu? ~~~~~~
153 18, 17 | wa pango. Hizo ni katika ishara za Mwenyezi Mungu. Ambaye
154 18, 56 | waivunje kweli. Na wanazifanya Ishara zangu na yale waliyo onywa
155 18, 57 | kuliko yule anaye kumbushwa Ishara za Mola wake Mlezi, naye
156 18, 105| ni wale walio zikanusha Ishara za Mola wao Mlezi na kukutana
157 18, 106| kufuru na wakafanyia kejeli Ishara zangu na Mitume wangu. ~~~~~~
158 19, 10 | Mola wangu Mlezi nijaalie Ishara. Akasema Ishara yako ni
159 19, 10 | nijaalie Ishara. Akasema Ishara yako ni kuwa hutasema na
160 19, 21 | Na ili tumfanye kuwa ni Ishara kwa watu, na Rehema itokayo
161 19, 77 | umemwona aliye zikanya Ishara zetu na akasema: Kwa hakika
162 20, 22 | madhara yoyote. Hiyo ni ishara nyengine. ~~~~~~
163 20, 23 | Ili tukuonyeshe baadhi ya ishara zetu kubwa. ~~~~~~
164 20, 42 | na ndugu yako, pamoja na ishara zangu, wala msichoke kunikumbuka. ~~~~~~
165 20, 47 | usiwaadhibu. Sisi tumekuletea ishara itokayo kwa Mola wako Mlezi.
166 20, 54 | Hakika katika hayo zipo ishara kwa wenye akili. ~~~~~~
167 20, 56 | Na hakika tulimwonyesha ishara zetu zote. Lakini alikadhibisha
168 20, 72 | Hatutokukhiari wewe kuliko ishara waziwazi zilizo tujia, na
169 20, 126| vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na
170 20, 127| apitaye kiasi, na asiye amini ishara za Mola wake Mlezi. Na hakika
171 20, 128| Hakika katika hayo zimo ishara kwa wenye akili. ~~~~~~
172 20, 134| usituletee Mtume tukazifuata ishara zako kabla hatujadhilika
173 21, 32 | hifadhiwa, lakini wanazipuuza Ishara zake. ~~~~~~
174 21, 37 | haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize. ~~~~~~
175 21, 77 | na watu walio zikanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa
176 21, 91 | yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu. ~~~~~~
177 22, 57 | walio kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata
178 23, 45 | nduguye, Haaruni, pamoja na ishara zetu na hoja zilizo wazi. ~~~~~~
179 23, 50 | Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara, na tukawapa makimbilio
180 23, 58 | 58. Na wale ambao Ishara za Mola wao Mlezi wanaziamini, ~~~~~~
181 24, 34 | yakini tumekuteremshieni Ishara zilizo wazi na mifano kutokana
182 24, 46 | Kwa yakini tumeteremsha Ishara zinazo bainisha. Na Mwenyezi
183 25, 36 | Nendeni kwa watu walio kanusha Ishara zetu. Basi tukawateketeza
184 25, 37 | tuliwazamisha, na tukawafanya ni Ishara kwa watu. Na tumewaandalia
185 25, 73 | wale ambao wanapo kumbushwa Ishara za Mola wao Mlezi hawajifanyi
186 26, 4 | wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao. ~~~~~~
187 26, 8 | Hakika katika haya zipo Ishara. Lakini wengi wao hawakuwa
188 26, 67 | ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika
189 26, 103| Hakika katika haya ipo Ishara, lakini wengi wao hawakuwa
190 26, 121| Hakika katika haya ipo Ishara, lakini si wengi wao walio
191 26, 139| ya shaka katika haya ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao
192 26, 154| mtu kama sisi. Basi lete Ishara ukiwa wewe ni miongoni mwa
193 26, 158| Hakika katika hayo ipo Ishara. Lakini hawakuwa wengi wao
194 26, 174| Hakika katika hayo ipo Ishara. Na hawakuwa wengi wao wenye
195 26, 190| Hakika katika hayo ipo Ishara, lakini hawakuwa wengi wao
196 26, 197| 197. Je! Haikuwa kwao ni Ishara kwamba wanayajua haya wanazuoni
197 27 | walikuwa hawana yakini ya Ishara zetu. Kisha Sura ikaelekea
198 27, 12 | bila ya maradhi. Ni katika Ishara tisa za kumpelekea Firauni
199 27, 13 | 13. Basi zilipo wafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha,
200 27, 52 | ya shaka katika hayo ipo Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~
201 27, 81 | isipo kuwa wenye kuziamini Ishara zetu; na hao ndio wat'iifu. ~~~~~~
202 27, 82 | walikuwa hawana na yakini na Ishara zetu. ~~~~~~
203 27, 83 | katika wanao kadhibisha Ishara zetu, nao watagawanywa mafungu
204 27, 84 | Nyinyi si mlizikanusha Ishara zangu pasipo kuzijua vyema?
205 27, 86 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
206 27, 93 | Mungu. Yeye atakuonyesheni Ishara zake, na mtazijua. Na Mola
207 28, 35 | wasikufikilieni. Kwa sababu ya Ishara zetu nyinyi na watakao kufuateni
208 28, 36 | Basi alipo wafikia Musa na Ishara zetu, walisema: Haya si
209 28, 47 | hukututumia Mtume nasi, tukafuata Ishara zako, na tukawa miongoni
210 28, 59 | miji yake mikuu awasomee Ishara zetu. Wala hatuiangamizi
211 29, 15 | safina, na tukaifanya kuwa ni Ishara kwa walimwengu wote. ~~~~~~
212 29, 23 | 23. Na walio zikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu na kukutana
213 29, 24 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
214 29, 35 | tumeacha katika mji huo Ishara ilio wazi kwa watu wanao
215 29, 39 | Hamana! Na Musa aliwajia kwa Ishara waziwazi, lakini walijivuna
216 29, 44 | Kwa hakika katika hayo ipo Ishara kwa Waumini. ~~~~~~
217 29, 47 | watakao iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri. ~~~~~~
218 29, 49 | 49. Bali hii (Qur'ani) ni Ishara zilizo wazi katika vifua
219 29, 49 | pewa ilimu. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~
220 29, 50 | walisema: Mbona hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi?
221 29, 50 | kwa Mola wake Mlezi? Sema: Ishara ziko kwake Mwenyezi Mungu;
222 30, 10 | fanya ubaya ni kuzikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, na wakawa
223 30, 16 | kufuru na wakazikanusha Ishara zetu na mkutano wa Akhera,
224 30, 20 | 20. Na katika Ishara zake ni kuwa kakuumbeni
225 30, 21 | 21. Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni
226 30, 21 | haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
227 30, 22 | 22. Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na
228 30, 22 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa wajuzi. ~~~~~~
229 30, 23 | 23. Na katika Ishara zake ni kulala kwenu usiku
230 30, 23 | haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao sikia. ~~~~~~
231 30, 24 | 24. Na katika Ishara zake hukuonyesheni umeme
232 30, 24 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao zingatia. ~~~~~~
233 30, 25 | 25. Na katika Ishara zake ni kuwa mbingu na ardhi
234 30, 37 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
235 30, 46 | 46. Na katika Ishara zake ni kuzituma pepo ziletazo
236 30, 58 | hii Qur'ani. Na ukiwaletea Ishara yoyote hapana shaka walio
237 31 | macho yanatakiwa yaangalie Ishara za ulimwengu zinazo onyesha
238 31 | watapata adhabu.~Pili: Kueleza Ishara za ulimwengu na mambo yaliyo
239 31, 31 | kukuonyesheni baadhi ya Ishara zake? Hakika katika haya
240 31, 31 | Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri,
241 31, 32 | wa sawa. Wala hazikanushi Ishara zetu ila aliye khaini kafiri
242 32 | kuelekeza nadhari kwenye Ishara za ulimwengu ulivyo umbwa,
243 32, 22 | yule anaye kumbushwa kwa Ishara za Mola wake Mlezi, kisha
244 32, 24 | subiri na wakawa na yakini na Ishara zetu. ~~~~~~
245 32, 26 | Hakika katika hayo zipo Ishara. Basi, je, hawasikii? ~~~~~~
246 34, 5 | walio jitahidi kuzipinga Ishara zetu wakaona watashinda,
247 34, 9 | Hakika katika haya zipo Ishara kwa kila mja aliye tubia. ~~~~~~
248 34, 15 | 15. Hakika ilikuwapo Ishara kwa (watu wa nchi ya) Sabaa
249 34, 19 | hayo bila ya shaka zimo Ishara kwa kila mwenye kusubiri
250 34, 38 | wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda,
251 36, 33 | 33. Na Ishara hiyo kwao - ardhi iliyo
252 36, 37 | 37. Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana,
253 36, 41 | 41. Na ni Ishara kwao kwamba Sisi tuliwapakia
254 36, 46 | 46. Na haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za
255 36, 46 | haiwafikii Ishara yoyote katika Ishara za Mola wao Mlezi ila wao
256 37 | Mwenyezi Mungu ni Mmoja. Na Ishara zinashuhudia kwa hayo. Kwani
257 37, 14 | 14. Na wanapo ona Ishara, wanafanya maskhara. ~~~~~~
258 39, 42 | hayo bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
259 39, 52 | haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
260 39, 59 | Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu, nawe ukazikadhibisha,
261 39, 63 | ardhi. Na wale walio zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, hao ndio
262 40 | kuliko mara moja juu ya Ishara za Mwenyezi Mungu na uwezo
263 40, 4 | 4. Hawazibishi Ishara za Mwenyezi Mungu ila walio
264 40, 13 | ndiye anaye kuonyesheni Ishara zake, na anakuteremshieni
265 40, 23 | tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio
266 40, 35 | ambao wanajadiliana katika Ishara za Mwenyezi Mungu pasipo
267 40, 56 | hao wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu bila ya
268 40, 63 | geuzwa walio kuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
269 40, 69 | wale wanao bishana katika Ishara za Mwenyezi Mungu? Wanageuziwa
270 40, 78 | hatukukusimulia. Na haiwi Mtume alete Ishara yoyote ila kwa idhini ya
271 40, 81 | 81. Naye anakuonyesheni Ishara zake. Basi Ishara gani za
272 40, 81 | anakuonyesheni Ishara zake. Basi Ishara gani za Mwenyezi Mungu mnazo
273 41 | Sura inataka watu waangalie Ishara za uweza wa Mwenyezi Mungu
274 41, 15 | Na wao wakawa wanazikataa Ishara zetu! ~~~~~~
275 41, 28 | sababu walikuwa wakizikataa Ishara zetu. ~~~~~~
276 41, 37 | 37. Na katika Ishara zake ni usiku na mchana,
277 41, 39 | 39. Na katika Ishara zake ni kwamba unaiona ardhi
278 41, 40 | upotoa ukweli uliomo katika Ishara zetu hawatufichikii Sisi.
279 41, 53 | 53. Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali
280 42, 29 | 29. Na katika Ishara zake ni kuumba mbingu na
281 42, 32 | 32. Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda
282 42, 33 | Hakika katika hayo zipo Ishara kwa kila mwenye kusubiri
283 42, 35 | wajue wanao jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala
284 43, 46 | shaka tulimtuma Musa kwa Ishara zetu ende kwa Firauni na
285 43, 47 | 47. Lakini alipo wajia na Ishara zetu wakaingia kuzicheka. ~~~~~~
286 43, 48 | 48. Na hatukuwaonyesha Ishara yoyote ila hiyo ilikuwa
287 43, 69 | 69. Ambao waliziamini Ishara zangu na walikuwa Waislamu. ~~~~~~
288 44, 33 | 33. Na tukawapa katika ishara zenye majaribio yaliyo wazi. ~~~~~~
289 45 | wito kwa wenye kukadhibisha Ishara. Kisha ikaingia kuzihisabu
290 45 | kufufuliwa, na wakapinga Ishara za uweza kwa kutaka wafufuliwe
291 45 | Kiyama, na kuzikadhibisha Ishara zinazo ionyesha; na vile
292 45 | kwa kule kuzikejeli kwao Ishara za Mwenyezi Mungu na kudanganyika
293 45, 3 | katika mbingu na ardhi ziko Ishara kwa Waumini. ~~~~~~
294 45, 4 | wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini. ~~~~~~
295 45, 5 | mabadiliko ya upepo, ni Ishara kwa watu wenye akili. ~~~~~~
296 45, 11 | wale wale walio zikataa Ishara za Mola wao Mlezi watapata
297 45, 13 | Hakika katika hayo zimo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
298 46, 26 | hao walikuwa wakizikataa Ishara za Mwenyezi Mungu, na yale
299 46, 27 | jirani zenu, na tulizitumia Ishara ili wapate kurejea. ~~~~~~
300 48, 20 | isikufikieni, na ili hayo yawe ni Ishara kwa Waumini, na akakuongozeni
301 50 | geuka udongo. Na ikaeleza Ishara za uumbaji zinazo onyesha
302 51 | ikawazindua watu wazingatie Ishara za Mwenyezi Mungu katika
303 51 | ikaashiria kwa jumla baadhi ya Ishara za uumbaji, na ikahimiza
304 51, 20 | 20. Na katika ardhi zipo Ishara kwa wenye yakini. ~~~~~~
305 51, 37 | 37. Na tukaacha humo Ishara kwa ajili ya wanao iogopa
306 53 | yaliyo elezwa katika uwezo na Ishara za Mwenyezi Mungu katika
307 53, 18 | Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake
308 54, 2 | 2. Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema:
309 54, 15 | ya shaka tuliiacha iwe ni Ishara. Lakini je, yupo anaye kumbuka? ~~~~~~
310 54, 42 | 42. Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika
311 57, 17 | kwake. Tumekubainishieni Ishara ili mpate kuzingatia. ~~~~~~
312 57, 19 | kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~
313 58, 5 | Na tulikwisha teremsha Ishara zilizo wazi. Na makafiri
314 62, 5 | wa watu walio kadhibisha Ishara za Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi
315 64, 10 | kufuru na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ni watu wa Motoni,
316 79, 20 | 20. Basi alimwonyesha Ishara kubwa. ~~~~~~
317 84 | Sura hii imetaja baadhi ya ishara za Saa ya Kiyama, na kunyenyekea
318 84 | Mungu Subhanahu ameapa kwa Ishara ambazo zinashuhudia uweza
319 90, 19 | 19. Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari
320 104 | kuzoea kuwakebehi watu kwa ishara au kwa maneno, mwenye kukusanya
|