Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
ba 1
baa 2
baabil 1
baada 256
baadae 7
baadaye 14
baadhi 98
Frequency    [«  »]
270 humo
265 haki
256 ani
256 baada
255 wenu
250 kabla
250 wewe

Qu'rani

IntraText - Concordances

baada

                                                    bold = Main text
    Sura, verse                                     grey = Comment text
1 2 | Sura hii imeteremka Madina baada ya Hijra. Nayo ndiyo sura 2 2, 27 | ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata 3 2, 51 | mkachukua ndama (mkamuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu. ~~~~~~ 4 2, 52 | 52. Kisha tukakusameheni baada ya hayo, ili mpate kushukuru. ~~~~~~ 5 2, 56 | 56. Kisha tukakufufueni baada ya kufa kwenu, ili mpate 6 2, 64 | 64. Kisha mligeuka baada ya haya. Na lau kuwa si 7 2, 66 | katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu. ~~~~~~ 8 2, 74 | nyoyo zenu zikawa ngumu baada ya hayo, hata zikawa kama 9 2, 75 | Mungu, kisha wakayabadili baada ya kuwa wameyafahamu, na 10 2, 87 | Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na 11 2, 92 | mkamchukua ndama (kumuabudu) baada yake, na mkawa wenye kudhulumu. ~~~~~~ 12 2, 109| kurudisheni nyinyi muwe makafiri baada ya kuamini kwenu, kwa ajili 13 2, 109| uliomo ndani ya nafsi zao, baada ya kwisha wapambanukia Haki. 14 2, 120| kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, 15 2, 133| wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu 16 2, 145| ukiyafuata matamanio yao baada ya kukufikia ujuzi, hakika 17 2, 159| zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha kwa 18 2, 164| kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na akaeneza 19 2, 178| Na atakaye vuka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata 20 2, 181| atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi 21 2, 209| 209. Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo 22 2, 211| neema za Mwenyezi Mungu baada ya kumfikia basi hakika 23 2, 213| walio pewa Kitabu hicho baada ya kuwafikia hoja zilizo 24 2, 230| tatu) basi si halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na 25 2, 246| watukufu katika Wana wa Israili baada ya Musa, walipo mwambia 26 2, 253| wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja 27 2, 253| pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi. 28 2, 259| Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake? Basi Mwenyezi 29 3, 8 | Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, na utupe 30 3, 19 | Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu 31 3, 61 | Watakao kuhoji katika haya baada ya kukufikilia ilimu hii 32 3, 65 | Injili hazikuteremshwa ila baada yake? Basi hamzingatii? ~~~~~~ 33 3, 80 | atakuamrisheni ukafiri baada ya kuwa nyinyi Waislamu? ~~~~~~ 34 3, 82 | 82. Watakao geuka baada ya haya basi hao ndio wapotovu. ~~~~~~ 35 3, 86 | atawaongoaje watu walio kufuru baada ya kuamini kwao, na wakashuhudia 36 3, 89 | Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; 37 3, 90 | Hakika wale walio kufuru baada ya kuamini kwao, kisha wakazidi 38 3, 94 | mzulia uwongo Mwenyezi Mungu baada ya hayo, basi hao ndio madhaalimu. ~~~~~~ 39 3, 100| watakurudisheni kuwa makafiri baada ya Imani yenu. ~~~~~~ 40 3, 105| farikiana na kukhitalifiana baada ya kuwafikia hoja zilizo 41 3, 106| wataambiwa: Je! Mlikufuru baada ya kuamini kwenu? Basi onjeni 42 3, 152| mkazozana juu ya amri, na mkaasi baada ya Yeye kukuonyesheni mliyo 43 3, 154| 154. Kisha baada ya dhiki alikuteremshieni 44 3, 160| akikutupeni ni nani, basi, baada yake Yeye ataye kunusuruni? 45 3, 172| Mwenyezi Mungu na Mtume baada ya kwisha patwa na majaraha - 46 4, 11 | atapata sudusi. Haya ni baada ya kutolewa alicho usia 47 4, 12 | ni robo ya walicho acha, baada ya wasia waliyo usia au 48 4, 12 | thumni ya mlicho kiacha, baada ya wasia mlio usia au kulipa 49 4, 12 | watashirikiana katika thuluthi, baada ya wasia ulio usiwa au kulipa 50 4, 24 | yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika 51 4, 115| 115. Na anaye mpinga Mtume baada ya kumdhihirikia uwongofu, 52 4, 153| wakamchukua ndama kumuabudu, baada ya kwisha wajia hoja zilizo 53 4, 163| Nuhu na Manabii walio kuwa baada yake. Na tulimpelekea wahyi 54 4, 165| hoja juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kuletewa Mitume. Na Mwenyezi 55 5, 12 | atakaye kufuru miongoni mwenu baada ya hayo bila ya shaka atakuwa 56 5, 32 | Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu 57 5, 39 | 39. Lakini mwenye kutubia baada ya dhulma yake, na akatengenea, 58 5, 43 | za Mwenyezi Mungu? Kisha baada ya hayo wanageuka. Na hao 59 5, 94 | Basi atakaye ruka mipaka baada ya hayo atapata adhabu kali. ~~~~~~ 60 5, 106| nyinyi. Mtawazuia wawili hao baada ya Sala na waape kwa Mwenyezi 61 5, 108| vikaletwa viapo vingine baada ya viapo vyao. Na mcheni 62 6 | zake ni 165. Iliteremka baada ya Sura Al-Hijr. Na Sura 63 6, 1 | akafanya giza na mwangaza. Tena baada ya haya walio kufuru wanawafanya 64 6, 2 | maalumu uko kwake tu. Tena baada ya haya nyinyi mnatia shaka. ~~~~~~ 65 6, 6 | madhambi yao; na tukaanzisha baada yao kizazi kingine. ~~~~~~ 66 6, 54 | kwa ujinga, kisha akatubu baada yake na akatengenea, basi 67 6, 68 | ani akikusahaulisha, basi baada ya kutanabahi usikae pamoja 68 6, 71 | hatudhuru, na turejee nyuma baada ya Mwenyezi Mungu kwisha 69 7 | wa Sura ya Al-Ana'm, na baada ya hayo imeingia kueleza 70 7 | ib na watu wa Madyana. Na baada ya hadithi hizo za kweli 71 7, 56 | msifanye uharibifu katika nchi baada ya kuwa imekwisha tengenezwa. 72 7, 85 | msifanye uharibifu katika nchi, baada ya kuwa imekwisha tengenea. 73 7, 89 | tukirudi katika mila yenu baada ya kwisha tuokoa nayo Mwenyezi 74 7, 100| hawahidiki hawa wanao rithi ardhi baada ya wale wenyewe kwamba tukitaka 75 7, 103| 103. Kisha baada yao tukamtuma Musa na Ishara 76 7, 129| Tumeudhiwa kabla hujatufikia, na baada ya wewe kutujia! Musa akasema: 77 7, 148| 148. Na baada yake walimfanya ndama kutokana 78 7, 153| tenda maovu, kisha wakatubia baada yake na wakaamini, hapana 79 7, 153| shaka kuwa Mola Mlezi wako baada ya hayo ni Mwenye kusamehe 80 7, 169| 169. Na wakafuatia baada yao kizazi kibaya walio 81 7, 173| na sisi ni dhuriya zao tu baada yao. Basi utatuangamiza 82 7, 185| karibia? Basi maneno gani baada ya haya watayaamini? ~~~~~~ 83 8, 6 | Wanajadiliana nawe kwa jambo la Haki baada ya kwisha bainika, kama 84 9 | Hijra, yaani miaka tisa baada ya Mtume s.a.w. kuhamia 85 9 | kutokuwa na jukumu. Na baada ya hayo ikataja utakatifu 86 9 | yapasa kupigana naye. Na baada ya hayo ikabainisha kuwa 87 9 | au wakafuata hukumu zake, baada ya kuwa Uislamu umepata 88 9 | kando kando ya Madina. ~Na baada ya hayo ametaja hali za 89 9, 12 | Na wakivunja viapo vyao baada ya kuahidi kwao, na wakatukana 90 9, 27 | 27. Kisha baada ya hayo Mwenyezi Mungu atawasamehe 91 9, 28 | wasiukaribie Msikiti Mtakatifu baada ya mwaka wao huu. Na ikiwa 92 9, 66 | udhuru; mmekwisha kufuru baada ya kuamini kwenu! Tukilisamehe 93 9, 74 | la ukafiri, na wakakufuru baada ya kusilimu kwao. Na wakajihimu 94 9, 113| ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika kuwa hao 95 9, 115| kuwahisabu watu kuwa wamepotea baada ya kwisha waongoza mpaka 96 9, 117| katika saa ya dhiki, pale baada ya kukaribia nyoyo za baadhi 97 10 | vichunguza vitendo vyao. Kisha baada ya hayo ikaingia kumwondolea 98 10, 3 | yote. Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye 99 10, 14 | wenye kushika mahala pao baada yao katika ardhi ili tuone 100 10, 21 | tunapo waonjesha watu rehema baada ya shida waliyo ipata, utawaona 101 10, 32 | haki. Na kipo kitu gani baada ya haki, isipokuwa upotovu 102 10, 74 | 74. Kisha baada yake tukawatuma Mitume kwa 103 10, 75 | 75. Kisha baada yao tukamtuma Musa na Haruni 104 11 | Waumini. Naye Subhanahu baada ya hayo amesimulia hadithi 105 11 | ilivyo mteremkia chuki. Na baada ya hadithi ya Nuhu Mwenyezi 106 11, 7 | Nyinyi hakika mtafufuliwa baada ya kufa; wale walio kufuru 107 11, 10 | Na tukimwonjesha neema baada ya madhara yaliyo mpata 108 11, 71 | tukambashiria (kuzaliwa) Is-haq, na baada ya Is-haq Yaaqub. ~~~~~~ 109 12, 9 | yenu ukuelekeeni nyinyi. Na baada ya haya mtakuwa watu wema. ~~~~~~ 110 12, 35 | 35. Basi ikawadhihirikia baada ya kuona Ishara kuwa wamfunge 111 12, 45 | katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: Mimi nitakwambieni 112 12, 49 | 49. Kisha baada ya haya utakuja mwaka ambao 113 12, 100| kukuleteni kutoka jangwani baada ya Shet'ani kuchochea baina 114 13 | ulimwengu yaliyo zagaa. Baada ya hayo Mwenyezi Mungu Mtukufu 115 13, 25 | ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kuzifunga, na wanakata 116 13, 37 | Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa 117 14, 9 | adi, na Thamud, na walio baada yao, ambao hapana awajuaye 118 14, 14 | tutakuwekeni katika ardhi baada yao. Haya ni kwa anaye ogopa 119 15 | na malipo ya kheri. Na baada ya hayo Mwenyezi Mungu anasimulia 120 16 | zipinga neema hizi tukufu. Na baada ya kueleza matakwa ya Uislamu 121 16, 41 | ajili ya Mwenyezi Mungu baada ya kudhulumiwa, bila ya 122 16, 65 | kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Kwa hakika 123 16, 70 | hata akawa asijue kitu baada ya ujuzi alio kuwa nao. 124 16, 91 | ahidi, wala msivunje viapo baada ya kuvithibitisha, ilihali 125 16, 92 | mwanamke anaye uzongoa uzi wake baada ya kwisha usokota ukawa 126 16, 106| Anaye mkataa Mwenyezi Mungu baada ya kuamini kwake - isipo 127 16, 110| kwa wale walio hama makwao baada ya kuteswa, kisha wakapigania 128 16, 110| ya shaka Mola wako Mlezi baada ya hayo ni Mwenye kusamehe 129 16, 119| ujinga, kisha wakatubia baada ya hayo na wakatenda mema; 130 16, 119| ya shaka Mola wako Mlezi baada ya hayo ni Mwenye kusamehe 131 17 | washirikina kwa Aya zake. Baada ya hayo Subhanahu alibainisha 132 17 | Mungu anavyo mtia nguvu. Baada ya hayo Allahu Subhanahu 133 17, 17 | kaumu ngapi tumeziangamiza baada ya Nuhu! Na Mola wako Mlezi 134 17, 104| 104. Na tukawaambia baada yake Wana wa Israili: Kaeni 135 18 | usingizi kisha wakaamka baada ya kukaa katika pango lao 136 18 | Mwenyezi Mungu Mtukufu kufufua baada ya kufa. ~Kisha baada ya 137 18 | kufufua baada ya kufa. ~Kisha baada ya hayo Mwenyezi Mungu akamuamrisha 138 18, 76 | Nikikuuliza kitu chochote baada ya haya usifuatane nami, 139 19 | khabari za walio fuatia wakaja baada ya Manabii, watu wat'iifu 140 19, 5 | mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke wangu ni tasa. 141 19, 59 | 59. Lakini wakaja baada yao walio wabaya, wakaacha 142 20 | wasikilizaji waisikilize. Baada ya harufi hizo mbili cheo 143 20 | walivyo kutana na Firauni baada ya kitisho cha mkutano wake 144 20 | naye alikuwa kawafuatia baada ya kupasuka bahari; na vipi 145 20, 85 | tumewatia mtihani watu wako baada yako, na Msamaria amewapoteza. ~~~~~~ 146 21 | SURA iliyo teremka Makka baada ya Surat Ibrahim. Aya zake 147 21, 11 | tumeiteketeza, na tukawasimamisha baada yao watu wengine. ~~~~~~ 148 21, 57 | vitimbi masanamu yenu haya baada ya mkisha geuka kwenda zenu. ~~~~~~ 149 21, 105| tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba 150 22 | kutukuza ibada zake. Na baada ya hayo Mwenyezi Mungu akaruhusu 151 22, 5 | hata mtu awe hajui kitu baada ya kuwa anakijua. Na unaiona 152 23, 15 | 15. Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa. ~~~~~~ 153 23, 31 | 31. Kisha baada yao tukaanzisha kizazi kingine. ~~~~~~ 154 23, 40 | Mwenyezi Mungu) akasema: Baada ya muda mchache watakuwa 155 23, 42 | 42. Kisha tukaleta baada yao vizazi vingine. ~~~~~~ 156 23, 44 | tukawatuma Mitume wetu, mmoja baada ya mmoja. Kila umma alipo 157 23, 44 | walimkanusha. Tukawafuatanisha hawa baada ya hawa, na tukawafanya 158 24 | kuona pambo la mwanamke. Na baada ya wito wa jumla ikafuatiliza 159 24 | zinaelezwa hali za Waumini. Baada ya hayo Sura inaeleza adabu 160 24, 5 | Isipo kuwa wale walio tubu baada ya hayo na wakatengenea; 161 24, 33 | walazimisha basi Mwenyezi Mungu baada ya kulazimishwa kwao huko, 162 24, 47 | kikundi katika hao hugeuka baada ya hayo. Wala hao si wenye 163 24, 55 | na atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu 164 24, 55 | chochote. Na watao kufuru baada ya hayo, basi hao ndio wapotovu. ~~~~~~ 165 24, 58 | vua nguo zenu adhuhuri, na baada ya Sala ya isha. Hizi ni 166 24, 58 | Si vibaya kwenu wala kwao baada ya nyakati hizi, kuzungukiana 167 25, 29 | Amenipoteza, nikaacha Ukumbusho, baada ya kwisha nijia, na kweli 168 27 | aliye ghafilika aisikilize. Baada yake kimekuja kisa cha Musa 169 27 | akamjibu kwa kumpelekea zawadi baada ya kushauriana na watu wake, 170 27, 11 | kisha akabadilisha wema baada ya ubaya, basi Mimi ni Mwenye 171 28, 43 | shaka tulimpa Musa Kitabu baada ya kwisha ziangamiza kaumu 172 28, 58 | maskani yao hayakukaliwa tena baada yao, ila kwa uchache tu. 173 28, 87 | kuzifuata Aya za Mwenyezi Mungu baada ya kuteremshiwa wewe. Na 174 29 | wanao tumia akili zao. Na baada ya hayo Mwenyezi Mungu akamuamrisha 175 29 | na akataka watu watazame baada ya hayo ulimwengu na neema 176 29, 63 | mbinguni, na akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake? Bila ya shaka 177 30, 3 | Katika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa kwao watashinda ~~~~~~ 178 30, 4 | Mwenyezi Mungu kabla yake na baada yake. Na siku hiyo Waumini 179 30, 19 | hai. Na huihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Na kama hivyo 180 30, 24 | kwa hayo huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Hakika katika 181 30, 50 | jinsi anavyo ihuisha ardhi baada ya kufa kwake. Basi hakika 182 30, 54 | udhaifu kisha akajaalia nguvu baada ya unyonge, kisha akajaalia 183 30, 54 | unyonge, kisha akajaalia baada ya nguvu unyonge tena na 184 31, 14 | udhaifu, na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili. (Tumemuusia): 185 32 | Makka)~Sura hii iliteremka baada ya Surat Al Muuminun. Nayo 186 33 | kuzidisha kuowa wanawake wengine baada ya hao tisa alio kuwa nao. 187 33 | kuwaharimishia kuwaoa wake zake baada yake, na kuzipanga adabu 188 33, 52 | 52. Baada ya hawa hawakuhalalikii 189 33, 53 | Mungu, wala kuwaoa wake zake baada yake kabisa. Hakika jambo 190 34, 32 | tulio kuzuieni na uwongofu baada ya kukujieni? Bali nyinyi 191 35, 9 | iliyo kufa, tukaifufua ardhi baada ya kufa kwake. Ndivyo kama 192 36, 28 | hatukuwateremshia kaumu yake baada yake jeshi kutoka mbinguni, 193 37 | iifu wa Mwenyezi Mungu. Na baada ya kuthibitisha itikadi 194 37 | wasifuate wito wa wale waovu. Baada ya hayo Sura ikaingia ikieleza 195 37 | watu wake wanao pinga. Na baada ya hadithi mbali mbali za 196 38, 35 | ufalme usio mwelekea yeyote baada yangu. Hakika Wewe ndiye 197 38, 88 | shaka mtajua khabari zake baada ya muda. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 198 39 | kwamba Yeye huihuisha ardhi baada ya kufa kwake, na huotesha 199 39, 6 | matumbo ya mama zenu, umbo baada ya umbo, katika viza vitatu. 200 40 | zilizo kuwa kabla yao. ~Baada ya hayo Sura imesimulia 201 40 | nao. Lakini hao wameamini baada ya kwisha pita wakati, " 202 40, 5 | Nuhu na makundi mengine baada yao. Na kila taifa lilikuwa 203 40, 31 | di na Thamudi na wale wa baada yao. Na Mwenyezi Mungu hataki 204 40, 34 | Mungu hataleta kabisa Mtume baada yake. Kama hivyo Mwenyezi 205 41, 50 | tukimwonjesha rehema itokayo kwetu baada ya kumgusa dhara, bila ya 206 42 | kumpoza Mtume s.a.w., na tena baada ya hayo ikaingilia kuthibitisha 207 42 | katika kufahamu Haki. Na baada yake Sura hii ikatilia mkazo 208 42, 14 | Na hawakufarikiana ila baada ya kuwajia ilimu kwa sababu 209 42, 14 | hakika walio rithishwa Kitabu baada yao wanakitilia shaka inayo 210 42, 16 | hojiana juu ya Mwenyezi Mungu baada ya kukubaliwa, hoja za hawa 211 42, 28 | ndiye anaye iteremsha mvua baada ya wao kwisha kata tamaa, 212 42, 41 | 41. Na wanao jitetea baada ya kudhulumiwa, hao hapana 213 42, 44 | amemwacha kupotea, hana mlinzi baada yake. Na utawaona wenye 214 43 | kwenye Njia Iliyo Nyooka. Na baada ya kuonya kwa adhabu ya 215 45 | alilo litenda. Kisha Sura baada ya hayo ikazungumzia vipi 216 45, 5 | na kwayo akaifufua ardhi baada ya kufa kwake, na mabadiliko 217 45, 6 | hadithi gani watakayo iamini baada ya Mwenyezi Mungu na Aya 218 45, 17 | Basi hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa ajili 219 45, 23 | Basi nani atamwongoa huyo baada ya Mwenyezi Mungu? Hamkumbuki? ~~~~~~ 220 46, 21 | walitokea kabla yake na baada yake kuwaambia: Msimuabudu 221 46, 30 | Kitabu kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha 222 47, 25 | hakika wanao rudi nyuma baada ya kwisha wabainikia uwongofu, 223 47, 32 | na wakapinzana na Mtume baada ya kwisha wabainikia uwongofu, 224 48, 24 | kwao, katika bonde la Makka baada ya kukupeni Ushindi juu 225 49, 10 | Ni uovu kutumia jina baya baada ya kwisha amini. Na wasio 226 50 | kuona muhali kufufuliwa baada ya kwisha geuka udongo. 227 50 | hashindwi kuwafufua watu baada ya kufa kwao, na hali Yeye 228 50, 38 | katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu. ~~~~~~ 229 52 | vyeo vyao wawafikie wao. Na baada ya hayo Sura inamuamrisha 230 53 | Malaika kuwa ati ni wanawake, baada ya kumfanya Mwenyezi Mungu 231 53, 26 | hautafaa chochote isipo kuwa baada ya Mwenyezi Mungu kutoa 232 54 | Kisha zimekuja Aya nyengine baada yake kuweka wazi msimamo 233 54 | nzige walio tapanyika. ~Tena baada ya hapo Aya zikawa zinafuatana, 234 55 | Mwenyezi Mungu, kwa kuanzia baada ya kumtaja Arrah'man, Mwingi 235 56 | Kisha Aya zikaweka wazi baada ya hayo yanayo onekana katika 236 57 | adhabu. ~Na Sura ikaingia baada ya hayo kuwahimiza Waumini 237 57 | Mitume na kuwafuatiliza mmoja baada ya mmoja wakipewa nguvu 238 57, 17 | Mwenyezi Mungu huifufua ardhi baada ya kufa kwake. Tumekubainishieni 239 59 | walisuluhiana na Mtume s.a.w. baada ya kuhamia Madina kwamba 240 59, 10 | 10. Na walio kuja baada yao wanasema: Mola wetu 241 61, 6 | kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! 242 64 | wakawapuuza! Sura tena ikaingia baada ya hayo kuvunja madai ya 243 65, 1 | Mungu ataleta jambo jengine baada ya haya. ~~~~~~ 244 65, 7 | Mwenyezi Mungu atajaalia baada ya dhiki faraji. ~~~~~~ 245 69 | mbingu. Na yatakayo tokea baada ya hayo ya kuletwa watu 246 71, 14 | hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja? ~~~~~~ 247 77, 50 | 50. Basi maneno gani baada ya haya watayaamini? ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 248 78, 23 | 23. Wakae humo karne baada ya karne, ~~~~~~ 249 81 | wakati wa Saa ya Kiyama na baada yake, na yanaelezwa ya kuonyesha 250 86 | Mweza wa kumrejeza tena baada ya kufa kwake.Tena ikaapa 251 88 | kwayo katika uhai wao. Na baada ya kuzitaja dalili hizi 252 88 | mwenye kugeuka na akakufuru baada ya waadhi huu ni Mwenyezi 253 88 | kabisa, atapo rejea kwake baada ya kufa, kwani marejeo ya 254 92 | adhabu! Na Aya zikabainisha baada ya hayo kwamba hakika Mwenyezi 255 95 | wanao kadhibisha kufufuliwa baada ya kudhihiri dalili zote 256 98, 4 | hawakufarikiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License