Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
iliwafikia 1
iliwapata 1
iliwapelekea 1
iliyo 243
iliyoko 3
iliyomo 3
ilizo 1
Frequency    [«  »]
250 wewe
247 kitu
246 nafsi
243 iliyo
241 haya
240 hiyo
240 kitabu

Qu'rani

IntraText - Concordances

iliyo

                                                   bold = Main text
    Sura, verse                                    grey = Comment text
1 1 | nayo ni sura ya mwanzo iliyo teremka kwa utimilivu wake. 2 1, 6 | 6. Tuongoe njia iliyo nyooka,~ 3 2 | sharia inafahamiwa na akili iliyo kaa sawa kwa kuwa ndani 4 2, 26 | hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, 5 2, 79 | dogo. Basi ole wao kwa yale iliyo andika mikono yao, na ole 6 2, 93 | kufuru yao. Sema: Ni uovu mno iliyo kuamrisheni imani yenu ikiwa 7 2, 106| tunayo isahaulisha tunailetea iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo 8 2, 106| iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo mfano wake. Hujui kwamba 9 2, 108| shaka huyo ameipotea njia iliyo sawa. ~~~~~~ 10 2, 142| humwongoa amtakaye kwenye njia iliyo nyooka. ~~~~~~ 11 2, 213| humwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 12 2, 228| kwa Sharia kama ile haki iliyo juu yao. Na wanaume wana 13 2, 261| kama mfano wa punje moja iliyo chipuza mashuke saba. Katika 14 2, 265| ni kama mfano wa bustani iliyo mahali pa juu, ikaifikia 15 2, 286| kadiri ya iwezavyho. Faida ya iliyo yachuma ni yake, na khasara 16 2, 286| yachuma ni yake, na khasara ya iliyo yachuma ni juu yake pia. ( 17 3 | nyendo njema. Katika Sura iliyo pita yametajwa mfano wa 18 3 | inaanza kama ilivyo anza iliyo tangulia.~KWA JINA LA MWENYEZI 19 3, 30 | kila nafsi itakuta mema iliyo yafanya yamehudhurishwa, 20 3, 51 | muabudni Yeye. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 21 3, 96 | ibada ni ile iliyoko Bakka, iliyo barikiwa na yenye uwongofu 22 3, 101| huyo ameongozwa kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 23 3, 103| neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyo kuwa 24 3, 133| wake ni mbingu na ardhi, iliyo wekwa tayari kwa wachamngu, ~~~~~~ 25 3, 182| 182. Haya ni kwa sababu ya iliyo tanguliza mikono yenu, na 26 4, 11 | manufaa. Hiyo ni Sharia iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu. 27 4, 21 | wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti? ~~~~~~ 28 4, 25 | katika vijakazi Waumini iliyo wamiliki mikono yenu ya 29 4, 50 | haya yatosha kuwa dhambi iliyo dhaahiri. ~~~~~~ 30 4, 62 | msiba kwa sababu ya yale iliyo tanguliza mikono yao? Hapo 31 4, 68 | Na tungeli waongoa Njia iliyo nyooka. ~~~~~~ 32 4, 103| Sala kwa Waumini ni faradhi iliyo wekewa nyakati maalumu. ~~~~~~ 33 4, 112| amejitwika dhulma na dhambi iliyo wazi. ~~~~~~ 34 4, 122| ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo kweli. Na nani mkweli zaidi 35 4, 144| Mwenyezi Mungu awe na hoja iliyo wazi juu yenu? ~~~~~~ 36 4, 150| Na wanataka kushika njia iliyo kati kati ya haya, ~~~~~~ 37 4, 154| Na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti. ~~~~~~ 38 4, 171| mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini 39 4, 173| basi atawaadhibu adhabu iliyo chungu. Wala hawatopata 40 4, 174| Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi. ~~~~~~ 41 4, 175| na atawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 42 4, 176| mwanamume atapata sehemu iliyo sawa na ya wanawake wawili. 43 5 | imekhitimisha kwa kutaja miujiza iliyo tokea kwa Nabii Isa a.s. 44 5, 7 | neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu, na ahadi yake 45 5, 12 | shaka atakuwa amepotea njia iliyo sawa. ~~~~~~ 46 5, 16 | na huwaongoa kwenye njia iliyo nyooka. ~~~~~~ 47 5, 48 | matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika 48 5, 60 | na wamepotea zaidi njia iliyo sawa. ~~~~~~ 49 5, 64 | umefumba. Mikono yao ndiyo iliyo fumba, na wamelaaniwa kwa 50 5, 77 | na wenyewe wakapotea njia iliyo sawa. ~~~~~~ 51 5, 84 | tusimuamini Mwenyezi Mungu na Haki iliyo tujia, na hali tunatumai 52 6, 39 | na humweka katika Njia iliyo nyooka amtakaye. ~~~~~~ 53 6, 57 | Mimi nipo kwenye sharia iliyo wazi itokayo kwa Mola wangu 54 6, 70 | ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, nayo haina mlinzi 55 6, 87 | tukawaongoa kwenye Njia iliyo nyooka. ~~~~~~ 56 6, 126| Njia ya Mola wako Mlezi Iliyo nyooka. Tumezipambanua Aya 57 6, 146| shahamu yao, isipo kuwa ile iliyo beba migongo yao au matumbo 58 6, 146| migongo yao au matumbo yao, au iliyo gandamana na mifupa. Tuliwalipa 59 6, 147| Mlezi wenu ni Mwenye rehema iliyo enea. Wala haizuiliki adhabu 60 6, 153| hakika hii ndiyo Njia yangu Iliyo Nyooka. Basi ifuateni, wala 61 6, 161| Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa 62 6, 161| Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo 63 7, 16 | nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 64 7, 57 | tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa. Kisha tunateremsha 65 7, 59 | ninakukhofieni adhabu ya Siku iliyo kuu. ~~~~~~ 66 7, 73 | imekwisha kukufikieni Ishara iliyo wazi kutoka kwa Mola wenu 67 7, 157| mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao. Basi wale 68 7, 157| wakamsaidia, na wakaifuata nuru iliyo teremshwa pamoja naye - 69 8, 32 | au tuletee adhabu yoyote iliyo chungu. ~~~~~~ 70 8, 68 | Lau isingeli kuwa hukumu iliyo kwisha tangulia kutoka kwa 71 9 | Sura hii iko amri ya kukata iliyo tangazwa kuwatia adabu wanaafiki. 72 9, 34 | wabashirie khabari ya adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 73 9, 36 | mitakatifu. Hiyo ndiyo Dini iliyo sawa. Basi msidhulumu nafsi 74 9, 70 | watu wa Madyana, na miji iliyo pinduliwa chini juu? Mitume 75 10, 4 | ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye 76 10, 12 | kutuomba tumwondoshee shida iliyo mpata. Ndio namna hiyo wamepambiwa 77 10, 15 | wangu Mlezi, adhabu ya Siku iliyo kuu. ~~~~~~ 78 10, 24 | mchana, tukaifanya kama iliyo fyekwa - kama kwamba haikuwapo 79 10, 25 | anamwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 80 10, 54 | Na lau kuwa kila nafsi iliyo dhulumu inamiliki kila kiliomo 81 10, 97 | Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 82 11, 28 | Ikiwa mimi ninayo hoja wazi iliyo toka kwa Mola wangu Mlezi, 83 11, 56 | wangu Mlezi yuko juu ya Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 84 11, 64 | isije ikakuangamizeni adhabu iliyo karibu. ~~~~~~ 85 12, 40 | Yeye tu. Hiyo ndiyo Dini Iliyo Nyooka. Lakini watu wengi 86 12, 68 | Mungu, isipo kuwa ni haja tu iliyo kuwa katika nafsi ya Yaa' 87 13, 33 | isimamia kila nafsi kwa yale iliyo yachuma...? Na wamemfanyia 88 14, 51 | ailipe kila nafsi kwa yale iliyo yachuma. Hakika Mwenyezi 89 15 | ziilizo hifadhiwa, na ardhi iliyo tandikwa, na kukunjuliwa, 90 15 | na kukunjuliwa, na milima iliyo simama imara, na pepo zenye 91 15, 41 | Hii Njia ya kujia kwangu Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 92 15, 47 | 47. Na tutaondoa chuki iliyo kuwamo vifuani mwao, wawe 93 15, 50 | adhabu yangu ndio adhabu iliyo chungu! ~~~~~~ 94 16, 38 | aliye kufa. Kwani! Ni ahadi iliyo juu yake kikweli; lakini 95 16, 76 | uadilifu, naye yuko juu ya Njia Iliyo Nyooka? ~~~~~~ 96 16, 121| na akamwongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 97 16, 125| ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi 98 17, 5 | majumba. Na hii ilikuwa ahadi iliyo timizwa. ~~~~~~ 99 17, 34 | yatima, isipo kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. 100 17, 59 | ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu 101 18, 96 | Hata alipo ijaza nafasi iliyo kati ya milima miwili, akasema: 102 18, 96 | akasema: Nileteeni shaba iliyo yayuka niimwagie. ~~~~~~ 103 19 | Imeteremka Makka)~Hii ni Sura iliyo teremka Makka, na hamna 104 19, 36 | muabuduni Yeye. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 105 19, 37 | kufuru kwa kuhudhuria Siku iliyo kuu! ~~~~~~ 106 19, 43 | nami nitakuongoza Njia Iliyo Sawa. ~~~~~~ 107 20, 15 | ili kila nafsi ilipwe kwa iliyo yafanya. ~~~~~~ 108 21 | Imeteremka Makka)~HII NI SURA iliyo teremka Makka baada ya Surat 109 21, 11 | Na mingapi katika miji iliyo kuwa ikidhulumu tumeiteketeza, 110 21, 31 | tukaweka katika ardhi milima iliyo thibiti ili isiwayumbishe, 111 21, 32 | tukaifanya mbingu kuwa dari iliyo hifadhiwa, lakini wanazipuuza 112 21, 104| tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi ni 113 22, 10 | Hayo ni kwa sababu ya iliyo tanguliza mikono yako. Na 114 22, 11 | Akhera; hiyo ndiyo khasara iliyo wazi. ~~~~~~ 115 22, 45 | Miji mingapi tuliiangamiza iliyo kuwa ikidhulumu, ikawa imebaki 116 22, 54 | wenye kuamini kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 117 23 | Imeteremka Makka)~HII NI SURA iliyo teremka Makka. Aya zake 118 23, 6 | kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. 119 23, 14 | tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu 120 23, 73 | wewe unawaita kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 121 24, 25 | Mwenyezi Mungu ndiye Haki Iliyo Wazi. ~~~~~~ 122 24, 31 | au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, 123 24, 40 | giza katika bahari kuu, iliyo funikwa na mawimbi juu ya 124 24, 46 | hummwongoa amtakaye kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 125 24, 58 | amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu ya 126 25, 33 | jawabu) kwa haki, na tafsiri iliyo bora. ~~~~~~ 127 25, 49 | kwa hayo tuihuishe nchi iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama 128 26, 119| pamoja naye katika marikebu iliyo sheheni. ~~~~~~ 129 26, 182| 182. Na pimeni kwa haki iliyo nyooka; ~~~~~~ 130 27, 16 | kitu. Hakika hii ni fadhila iliyo dhaahiri. ~~~~~~ 131 27, 79 | hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi. ~~~~~~ 132 28, 22 | wangu Mlezi akaniongoa njia iliyo sawa. ~~~~~~ 133 28, 47 | usije kuwasibu msiba kwa iliyo yatanguliza mikono yao, 134 28, 58 | 58. Na miji mingapi iliyo jifakharisha tumeiangamiza! 135 28, 63 | 63. Watasema wale iliyo thibiti juu yao kauli: Mola 136 29 | washirikina kunategemea hoja iliyo kuwa dhaifu kabisa kuliko 137 29, 46 | Watu wa Kitabu ila kwa njia iliyo nzuri kabisa, isipo kuwa 138 30, 3 | 3. Katika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa 139 30, 28 | nafsi zenu. Je! Katika hao iliyo wamiliki mikono yenu ya 140 30, 30 | Mwenyezi Mungu. Hiyo ndiyo Dini iliyo nyooka sawa. Lakini watu 141 30, 36 | huifurahia, na ukiwasibu uovu kwa iliyo yatanguliza mikono yao wenyewe, 142 30, 41 | umedhihiri bara na baharini kwa iliyo yafanya mikono ya watu, 143 30, 43 | uelekeze uso wako kwenye Dini Iliyo Nyooka kabla ya kufika Siku 144 31 | kila kitu. Na muhimu ya iliyo kusanya Sura hii ni mambo 145 31, 13 | bila ya shaka ni dhulma iliyo kubwa. ~~~~~~ 146 31, 19 | mbaya zote bila ya shaka iliyo zidi ni sauti ya punda. ~~~~~~ 147 32, 3 | Amekizua? Bali hichi ni Kweli iliyo toka kwa Mola wako Mlezi 148 32, 13 | Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu : Kwa yakini 149 33 | na khofu na misukosuko iliyo kuwako, na vipi mwishoe 150 33 | kupanga, na kuivunja ada iliyo kuwa imeenea wakati ule 151 33, 38 | Mwenyezi Mungu ni kudura iliyo kwisha kadiriwa. ~~~~~~ 152 33, 55 | wanawake wenzao, wala wale iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. 153 33, 62 | ni ada ya Mwenyezi Mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita 154 34, 18 | tuliyo ibariki tuliweka miji iliyo dhaahiri, na tukaweka humo 155 35, 9 | tukayafikisha kwenye nchi iliyo kufa, tukaifufua ardhi baada 156 36 | hakika yeye yuko kwenye Njia Iliyo Nyooka iliyo rasimiwa na 157 36 | kwenye Njia Iliyo Nyooka iliyo rasimiwa na Qur'ani aliyo 158 36, 4 | 4. Juu ya Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 159 36, 33 | Ishara hiyo kwao - ardhi iliyo kufa, nasi tukaifufua, na 160 36, 61 | mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 161 36, 71 | tumewaumbia kutokana na iliyo fanya mikono yetu wanyama 162 37, 118| tukawaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 163 37, 156| 156. Au mnayo hoja iliyo wazi? ~~~~~~ 164 38, 22 | Na utuongoe kwenye njia iliyo sawa. ~~~~~~ 165 39, 15 | kuwa hiyo ndiyo khasara iliyo dhaahiri. ~~~~~~ 166 39, 70 | nafsi italipwa kwa yale iliyo yafanya, na Yeye anayajua 167 40 | kutaja shani ya Qur'ani iliyo teremka kutokana na Mwenye 168 40, 17 | kila nafsi italipwa kwa iliyo chuma. Hapana dhulma leo. 169 41 | shani ya Qur'ani na mambo iliyo kusanya yaliyo khusu bishara 170 41 | ni shaka tu ya kufufuliwa iliyo wapelekea kuwa nayo ukafiri 171 42 | kubainisha Njia ya Haki Iliyo Nyooka ambayo inayo pasa 172 42, 14 | ilimu kwa sababu ya husuda iliyo kuwa baina yao. Na lau kuwa 173 42, 42 | haki. Hao watapata adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 174 42, 48 | akisibiwa na ovu kwa sababu ya iliyo yatanguliza mikono yao, 175 42, 52 | wewe unaongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 176 43 | akawaita watu wende kwenye Njia Iliyo Nyooka. Na baada ya kuonya 177 43, 11 | kwa hayo tukaifufua nchi iliyo kufa. Na namna hivi ndivyo 178 43, 43 | Hakika wewe uko kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 179 43, 61 | nifuateni. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 180 43, 64 | Yeye tu. Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 181 44 | Siku ya Kiyama ndiyo siku iliyo pangwa ya kuutenga ukafiri 182 44, 45 | 45. Kama shaba iliyo yayushwa, hutokota matumboni ~~~~~~ 183 45, 11 | inayo tokana na ghadhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 184 45, 22 | ili kila nafsi ilipwe yale iliyo yachuma. Nao hawatadhulumiwa. ~~~~~~ 185 46 | kwendea Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. Wakaiamini; na wakawataka 186 46, 21 | isikupateni adhabu ya siku iliyo kuu. ~~~~~~ 187 46, 30 | kwenye Haki na kwenye Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 188 47, 2 | Muhammad - nayo ni Haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi - 189 47, 3 | walio amini wamefuata Haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi. 190 47, 13 | 13. Na miji mingapi iliyo kuwa na nguvu zaidi kuliko 191 47, 15 | wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa. Na wao humo watakuwa 192 48, 2 | na akuongoe katika Njia Iliyo Nyooka, ~~~~~~ 193 48, 16 | atakuadhibuni kwa adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 194 48, 20 | Waumini, na akakuongozeni Njia Iliyo Nyooka. ~~~~~~ 195 50, 9 | tukaifufua kwa maji nchi iliyo kuwa imekufa. Kama hivyo 196 51 | w. kuwa watapata adhabu iliyo kwisha wapata kaumu za kabla 197 52, 3 | 3. Katika ngozi iliyo kunjuliwa, ~~~~~~ 198 52, 4 | 4. Na kwa Nyumba iliyo jengwa, ~~~~~~ 199 52, 5 | 5. Na kwa dari iliyo nyanyuliwa, ~~~~~~ 200 52, 6 | 6. Na kwa bahari iliyo jazwa, ~~~~~~ 201 53, 38 | Ya kwamba hakika nafsi iliyo beba madhambi haibebi madhambi 202 53, 53 | 53. Na miji iliyo pinduliwa, ni Yeye aliye 203 54 | na Mitume wao, na adhabu iliyo washukia. Na baina ya kila 204 55 | Mwenyezi Mungu katika Aya iliyo kabla yake.~KWA JINA LA 205 56, 28 | na miba, 29. Na migomba iliyo pangiliwa, ~~~~~~ 206 57, 16 | kumkumbuka Mwenyezi Mungu na haki iliyo teremka? Wala wasiwe kama 207 57, 21 | upana wa mbingu na ardhi, iliyo wekewa walio muamini Mwenyezi 208 59, 15 | yao. Nao watapata adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 209 60 | ili kuthibitisha hukumu iliyo kwisha tolewa mwanzo wake, 210 60, 1 | wao wamekwisha ikataa haki iliyo kujieni, wakamfukuza Mtume 211 61, 10 | itakayo kuokoeni na adhabu iliyo chungu? ~~~~~~ 212 62, 7 | hawatayatamani kabisa, kwa sababu ya iliyo kwisha yatanguliza mikono 213 64 | Mungu na Mtume wake, na Nuru iliyo teremshwa juu yake. Na ikawahadharisha 214 64, 5 | yao? Na wao wana adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 215 65, 8 | 8. Na miji mingapi iliyo vunja amri ya Mola wake 216 66, 8 | kwa Mwenyezi Mungu toba iliyo ya kweli! Asaa Mola wenu 217 67, 22 | kwenda sawasawa katika Njia Iliyo Nyooka? ~~~~~~ 218 68 | na kushabihisha adhabu iliyo wapata watu wa Makka na 219 68 | watu wa Makka na adhabu iliyo wapata watu wenye shamba 220 69 | Qur'ani ambao ndio ni Haki iliyo yakini.~KWA JINA LA MWENYEZI 221 69, 9 | walio mtangulia, na miji iliyo pinduliwa chini juu, walileta 222 69, 40 | Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye hishima. ~~~~~~ 223 70, 8 | zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa. ~~~~~~ 224 70, 30 | Isipo kuwa kwa wake zao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, 225 73 | makafiri kwa mfano wa adhabu iliyo mshukia Firauni na walio 226 74, 38 | imo rahanini kwa mabaya iliyo yachuma. ~~~~~~ 227 76, 2 | kutokana na mbegu ya uhai iliyo changanyika, tumfanyie mtihani. 228 76, 18 | 18. Hiyo ni chemchem iliyo humo inaitwa Salsabil. ~~~~~~ 229 76, 31 | kudhulumu amewawekea adhabu iliyo chungu. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 230 78, 16 | Na mabustani yenye miti iliyo kamatana. ~~~~~~ 231 78, 40 | tumekuhadharisheni adhabu iliyo karibu kufika; Siku ambayo 232 79, 11 | 11. Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa? ~~~~~~ 233 80, 30 | 30. Na bustani zenye miti iliyo songana baraabara, ~~~~~~ 234 83, 5 | 5. Katika Siku iliyo kuu, ~~~~~~ 235 84 | amekwisha waandalia adhabu iliyo chungu, kama alivyo waandalia 236 85, 2 | 2. Na kwa siku iliyo ahidiwa! ~~~~~~ 237 88, 24 | Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa! ~~~~~~ 238 89 | kuwa ya kuiliwaza nafsi iliyo tua iliyo tanguliza mema 239 89 | kuiliwaza nafsi iliyo tua iliyo tanguliza mema wala isikiuke 240 89, 27 | 27. Ewe nafsi iliyo tua! ~~~~~~ 241 105 | wasibakie kitu ila kama nazi iliyo liwa na mwezi.~KWA JINA 242 108 | na akamtaka adumishe Sala iliyo safi kwa kumridhi Mwenyezi 243 111, 5 | Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License