bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | kwa vitendo vyake mwenyewe si kwa vitendo vya mwenginewe,
2 2, 8 | Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini. ~~~~~~
3 2, 64 | baada ya haya. Na lau kuwa si fadhila za Mwenyezi Mungu
4 2, 68 | anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali
5 2, 68 | ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati
6 2, 74 | Mungu. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo
7 2, 85 | kabisa. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale
8 2, 140| Mungu? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na hayo
9 2, 144| Mlezi. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale
10 2, 149| Mlezi. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo
11 2, 158| Nyumba hiyo au akafanya Umra, si kosa kwake kuvizunguka.
12 2, 198| 198. Si vibaya kwenu kuitafuta fadhila
13 2, 203| katika siku mbili (akarejea) si dhambi juu yake; na mwenye
14 2, 203| yake; na mwenye kukawia pia si dhambi juu yake, kwa mwenye
15 2, 229| kuachana kwa vizuri. Wala si halali kwenu kuchukua chochote
16 2, 230| amempa t'alaka (ya tatu) basi si halali kwake baada ya hayo
17 2, 233| kuridhiana na kushauriana, basi si vibaya kwao. Na mkitaka
18 2, 235| 235. Wala si vibaya kwenu katika kupeleka
19 2, 249| mto. Atakaye kunywa humo si pamoja nami, na asiye kunywa
20 2, 272| 272. Si juu yako wewe kuwaongoa,
21 2, 282| mkono-kwa-mkono baina yenu, basi hapo si vibaya kwenu msipo iandika.
22 3, 36 | aliye mzaa - Na mwanamume si sawa na mwanamke. Na mimi
23 3, 97 | kanusha basi Mwenyezi Mungu si mhitaji kwa walimwengu. ~~~~~~
24 3, 99 | mnashuhudia? Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na mnayo
25 3, 113| 113. Wote hao si sawa sawa. Miongoni mwa
26 3, 182| na kwamba Mwenyezi Mungu si mwenye kuwadhulumu waja, ~~~~~~
27 3, 185| amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. ~~~~~~
28 4, 19 | 19. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwarithi wanawake
29 4, 25 | ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara.
30 4, 25 | wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. Na wanapo olewa
31 4, 83 | wangeli lijua. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
32 4, 94 | anaye kutoleeni salamu: Wewe si Muumini; kwa kutaka manufaa
33 4, 101| mnapo safiri katika nchi si vibaya kwenu kama mkifupisha
34 4, 102| mvamio wa mara moja. Wala si vibaya kwenu ikiwa mnaona
35 4, 113| 113. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
36 4, 123| 123. Si kwa matamanio yenu, wala
37 4, 128| kutojaliwa na mumewe, basi si vibaya kwao wakisikizana
38 4, 141| Mwenyezi Mungu wao husema: Si tulikuwa pamoja nanyi vile?
39 5, 3 | na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu,
40 5, 43 | ya hayo wanageuka. Na hao si wenye kuamini. ~~~~~~
41 5, 75 | Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha
42 5, 93 | 93. Si dhambi juu ya walio amini
43 5, 110| kufuru miongoni mwao: Haya si lolote ila ni uchawi mtupu! ~~~~~~
44 5, 116| Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema
45 6, 7 | sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
46 6, 25 | wanasema walio kufuru: Hizi si chochote ila hadithi za
47 6, 30 | wao Mlezi, akawaambia: Je, si kweli haya? Na wao watasema:
48 6, 32 | 32. Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo na
49 6, 52 | jioni kwa kutaka radhi yake. Si juu yako hisabu yao hata
50 6, 52 | kidogo, wala hisabu yako si juu yao hata kidogo, hata
51 6, 79 | mbingu na ardhi, wala mimi si miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
52 6, 104| basi ni khasara yake. Nami si mtunzaji wenu. ~~~~~~
53 6, 107| mtunzaji wao. Wala wewe si mlinzi juu yao. ~~~~~~
54 6, 132| yatenda. Na Mola wako Mlezi si mwenye kughafilika na yale
55 7, 155| wajinga katika sisi? Haya si chochote ila ni mtihani
56 7, 172| zao, akawaambia: Je, Mimi si Mola Mlezi wenu? Wakasema:
57 7, 188| ovu lisinge nigusa. Mimi si chochote ila ni mwonyaji
58 8, 31 | tunge sema kama haya. Haya si chochote ila hadithi za
59 8, 33 | nao, wala Mwenyezi Mungu si wa kuwaadhibu na hali ya
60 8, 48 | nyuma, na akasema: Mimi si pamoja nanyi. Mimi naona
61 8, 51 | na hakika Mwenyezi Mungu si mwenye kuwadhulumu waja. ~~~~~~
62 9, 56 | katika nyinyi, wala wao si katika nyinyi. Lakini ni
63 10, 19 | wakakhitalifiana. Na lau kuwa si neno lililo kwisha tangulia
64 10, 108| khasara ya nafsi yake. Na mimi si mwakilishi juu yenu. ~~~~~~
65 11, 33 | atakuleteeni akipenda. Wala nyinyi si wenye kumshinda. ~~~~~~
66 11, 46 | Akasema: Ewe Nuhu! Huyu si katika ahali zako. Mwendo
67 11, 46 | ahali zako. Mwendo wake si mwema. Basi usiniombe jambo
68 11, 50 | isipo kuwa Yeye. Nyinyi si chochote ila ni wazushi
69 11, 81 | ni asubuhi. Je, asubuhi si karibu? ~~~~~~
70 11, 89 | wa Saleh. Na watu wa Lut' si mbali nanyi. ~~~~~~
71 11, 91 | huna nguvu kwetu. Lau kuwa si jamaa zako tunge kupiga
72 11, 91 | tunge kupiga mawe, wala wewe si mtukufu kwetu. ~~~~~~
73 11, 110| ndani yake. Na lau kuwa si neno lilio kwisha tangulia
74 12 | masimulio haya na mengineyo si kitu cha kutungwa tu na
75 12, 31 | Wakasema: Hasha Lillahi! Huyu si mwanaadamu. Hakuwa huyu
76 12, 73 | katika nchi hii, wala sisi si wezi. ~~~~~~
77 12, 103| 103. Na wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi
78 12, 108| Mwenyezi Mungu! Wala mimi si katika washirikina. ~~~~~~
79 12, 111| zingatio kwa wenye akili. Si maneno yaliyo zuliwa, bali
80 13, 26 | kwa kulingana na Akhera si kitu ila ni starehe ndogo. ~~~~~~
81 14, 10 | wekwa. Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni wanaadamu
82 14, 11 | wakawaambia: Sisi kweli si chochote ila ni wanaadamu
83 14, 20 | hilo kwa Mwenyezi Mungu si jambo gumu. ~~~~~~
84 14, 44 | tuwafuate Mitume. Kwani nyinyi si mliapa zamani kwamba hamtaondokewa? ~~~~~~
85 14, 46 | Mungu. Wala vitimbi vyao si vya kuondosha milima. ~~~~~~
86 15, 22 | tukakunywesheni maji hayo. Wala si nyinyi mnayo yaweka. ~~~~~~
87 16, 21 | 21. Ni wafu si wahai, na wala hawajui watafufuliwa
88 19, 14 | wala hakuwa jabari mua'si. ~~~~~~
89 19, 20 | yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba? ~~~~~~
90 19, 64 | hayo. Na Mola wako Mlezi si mwenye kusahau. ~~~~~~
91 20, 129| 129. Na lau kuwa si neno lililo kwisha tangulia
92 22, 10 | Na hakika Mwenyezi Mungu si dhaalimu kwa waja. ~~~~~~
93 22, 46 | kusikilia? Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini
94 23, 6 | yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa. ~~~~~~
95 23, 24 | kufuru katika watu wake: Huyu si chochote ila ni mtu tu kama
96 23, 25 | 25. Huyu si lolote ila ni mtu mwenye
97 23, 33 | ya dunia, walisema: Huyu si chochote ila ni binaadamu
98 23, 38 | 38. Huyu si lolote ila ni mtu anaye
99 24, 10 | 10. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
100 24, 14 | 14. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
101 24, 20 | 20. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
102 24, 21 | machafu na maovu. Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu
103 24, 29 | 29. Si vibaya kwenu kuingia nyumba
104 24, 35 | ulio barikiwa, mzaituni. Si wa mashariki wala magharibi.
105 24, 47 | baada ya hayo. Wala hao si wenye kuamini. ~~~~~~
106 24, 58 | nyakati tatu za faragha kwenu. Si vibaya kwenu wala kwao baada
107 24, 60 | wazee wasio taraji kuolewa, si vibaya kwao kupunguza nguo
108 24, 61 | 61. Si vibaya kwa kipofu, wala
109 24, 61 | vibaya kwa kipofu, wala si vibaya kwa kiguru, wala
110 24, 61 | vibaya kwa kiguru, wala si vibaya kwa mgonjwa, wala
111 24, 61 | funguo zao, au rafiki yenu. Si vibaya kwenu mkila pamoja
112 25, 4 | wamesema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uzushi alio
113 25, 77 | asinge kujalini lau kuwa si kuomba kwenu. Lakini nyinyi
114 26, 67 | Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini. ~~~~~~
115 26, 114| 114. Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini. ~~~~~~
116 26, 115| 115. Mimi si cho chote ila ni Mwonyaji
117 26, 121| haya ipo Ishara, lakini si wengi wao walio kuwa Waumini. ~~~~~~
118 26, 137| 137. Haya si chochote ila ni mtindo wa
119 26, 154| 154. Wewe si chochote ila ni mtu kama
120 26, 186| 186. Na wewe si chochote ila ni mtu tu kama
121 27, 22 | 22. Basi (Hud-hud) akakaa si mbali na akasema: Nimegundua
122 27, 84 | Mwenyezi Mungu): Je! Nyinyi si mlizikanusha Ishara zangu
123 27, 93 | mtazijua. Na Mola wako Mlezi si mwenye kughafilika na myatendayo. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
124 28, 36 | Ishara zetu, walisema: Haya si chochote ila ni uchawi ulio
125 29, 6 | yake. Hakika Mwenyezi Mungu si mhitaji wa walimwengu. ~~~~~~
126 29, 18 | zilikwisha kadhibisha. Na si juu ya Mtume ila kufikisha
127 29, 22 | 22. Na nyinyi si wenye kushinda katika ardhi
128 29, 64 | Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao na
129 29, 68 | kanusha Haki inapo mjia? Je! Si katika Jahannamu ndio yatakuwa
130 30, 58 | kufuru watasema: Nyinyi si chochote ila ni waongo. ~~~~~~
131 33 | naye, na ikasema wazi kuwa si halali kwake kuzidisha kuowa
132 33, 5 | Dini, na rafiki zenu. Wala si lawama juu yenu kwa mlivyo
133 33, 32 | Enyi wake wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake
134 33, 40 | 40. Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume
135 33, 50 | Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. Sisi
136 33, 51 | yule uliye mtenga, basi si vibaya kwako. Kufanya hivi
137 34, 3 | chenye uzito wa chembe tu, si katika mbingu wala katika
138 34, 31 | walio takabari: Lau kuwa si nyinyi, bila ya shaka tungeli
139 34, 37 | 37. Na si mali yenu wala watoto wenu
140 34, 41 | Wewe ndiye kipenzi chetu si hao. Bali wao walikuwa wakiwaabudu
141 34, 43 | zilizo wazi wanasema: Huyu si chochote ila ni mtu anaye
142 34, 43 | zenu. Na wakasema: Haya si chochote ila ni uwongo ulio
143 34, 43 | waliiambia Haki ilipo wajia: Haya si chochote ila ni uchawi ulio
144 34, 46 | Mwenzenu huyu hana wazimu. Yeye si chochote ila ni Mwonyaji
145 35, 17 | 17. Na hilo si gumu kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
146 35, 22 | humsikilizisha amtakaye. Wala wewe si wa kuwasikilizisha walio
147 36, 15 | 15. Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama
148 36, 17 | 17. Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe
149 36, 28 | jeshi kutoka mbinguni, wala si wenye kuteremsha. ~~~~~~
150 37, 7 | kulinda na kila shet'ani a'si. ~~~~~~
151 37, 15 | 15. Na husema: Haya si chochote ila ni uchawi tu
152 37, 57 | 57. Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi
153 37, 62 | 62. Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? ~~~~~~
154 38 | Wito wake kama wafanyavyo si lolote ila ni dharau ya
155 38 | hakujileta nafsi yake. Na Qur'ani si chochote ila ni Ukumbusho
156 38, 7 | mila hii ya mwisho. Haya si chochote ila ni uzushi tu. ~~~~~~
157 38, 86 | ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu. ~~~~~~
158 39 | wakimkanya Yeye basi Yeye si mwenye kuwahitajia wao,
159 39 | Na hakika Mtume s.a.w. si mwakilishi juu yao. ~Kisha
160 39 | nyuso zao zimesawijika. Je! Si katika Jahannamu makaazi
161 39, 7 | Mkikufuru basi Mwenyezi Mungu si mwenye haja nanyi, lakini
162 39, 36 | 36. Je! Mwenyezi Mungu si wa kumtosheleza mja wake?
163 39, 37 | kumpotoa. Je! Mwenyezi Mungu si Mwenye nguvu anaye weza
164 39, 41 | kwa khasara yake. Na wewe si mlinzi juu yao. ~~~~~~
165 39, 51 | waliyo yachuma vile vile. Nao si wenye kushinda. ~~~~~~
166 39, 60 | nyuso zao zimesawijika. Je! Si katika Jahannamu makaazi
167 41 | hakika Ujumbe wa Muhammad si ujumbe ulio zuliwa tu. ~
168 41 | wanalo litegemea makafiri si lolote ila ni shaka tu ya
169 41, 46 | vile; wala Mola wako Mlezi si mwenye kuwadhulumu waja. ~~~~~~
170 42, 6 | Mwangalizi juu yao. Wala wewe si wakili juu yao. ~~~~~~
171 42, 48 | ili uwe mwangalizi wao. Si juu yako ila kufikisha Ujumbe
172 43 | ikathibitisha kwamba lau kuwa si kuchukia wasije watu wote
173 43, 35 | Na mapambo. Lakini hayo si chochote ila ni starehe
174 43, 52 | 52. Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge,
175 43, 58 | Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia
176 46, 9 | 9. Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume.
177 46, 9 | tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji
178 46, 34 | Motoni wakaambiwa: Je! Haya si kweli? Watasema: Kwani?
179 47, 38 | mwenyewe. Na Mwenyezi Mungu si mhitaji, na nyinyi ndio
180 48, 25 | kufika mahala pao. Na lau si wanaume Waumini na wanawake
181 50 | kuwakumbusha Waumini, wala si mtawala wa makafiri.~KWA
182 50, 43 | kabisa wayasemayo. Wala wewe si mwenye kuwatawalia kwa ujabari.
183 52, 29 | neema ya Mola wako Mlezi, si kuhani wala mwendawazimu. ~~~~~~
184 54 | kwamba hao makafiri wa Makka si watu wenye nguvu zaidi au
185 54 | tangulia, na kwamba wao si wenye kuiepuka adhabu. Tena
186 56, 42 | 44. Si cha kuburudisha wala kustarehesha. ~~~~~~
187 57, 20 | radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe
188 58, 2 | wanao watenga wake zao, hao si mama zao. Hawakuwa mama
189 58, 14 | Mungu amewakasirikia? Hao si katika nyinyi, wala si katika
190 58, 14 | Hao si katika nyinyi, wala si katika wao. Na huapa kwa
191 59 | Mungu na kila kitu ambacho si laiki naye. Na kwamba Yeye
192 59, 16 | akikufuru humwambia: Mimi si pamoja nawe. Hakika mimi
193 60, 10 | kwa makafiri. Wanawake hao si halali kwa hao makafiri,
194 62 | vipenzi vya Mwenyezi Mungu, si watu wenginewe. Na amebariziana
195 64, 6 | Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, si mhitaji, naye ni Msifiwa. ~~~~~~
196 68, 2 | ya Mola wako Mlezi wewe si mwendawazimu. ~~~~~~
197 69, 41 | 41. Wala si kauli ya mtunga mashairi.
198 69, 42 | 42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache
199 70, 28 | adhabu ya Mola wao Mlezi si ya kuaminika nayo. ~~~~~~
200 74, 24 | 24. Na akasema: Haya si chochote ila ni uchawi ulio
201 74, 25 | 25. Haya si chochote ila kauli ya binaadamu. ~~~~~~
202 74, 31 | Mlezi ila Yeye tu. Na haya si chochote ila ni ukumbusho
203 80, 7 | 7. Na si juu yako kama hakutakasika. ~~~~~~
204 81, 24 | 24. Wala yeye si bakhili kwa mambo ya ghaibu. ~~~~~~
205 81, 25 | 25. Wala hii si kauli ya Shetani maluuni. ~~~~~~
206 86 | kauli ya kufafanua wala si maneno ya maskhara. Na juu
207 86, 14 | 14. Wala si mzaha. ~~~~~~
208 88, 22 | 22. Wewe si mwenye kuwatawalia. ~~~~~~
209 92, 19 | 19. Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye
210 95, 8 | 8. Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu
211 107 | na anamkemea kwa ukali, si kwa kumtengeza. Na kwamba
212 107 | kwa hayo kwa dhaahiri tu si kwa hakika. Ni wenye kuonyesha
|