Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
moyoni 3
mpa 18
mpaji 3
mpaka 196
mpake 3
mpambano 2
mpambanuo 1
Frequency    [«  »]
205 yaliyo
204 wote
203 isipo
196 mpaka
196 zake
195 hapana
193 zenu

Qu'rani

IntraText - Concordances

mpaka

                                                   bold = Main text
    Sura, verse                                    grey = Comment text
1 2 | hawatokuwa radhi na Waislamu mpaka Waislamu wafuate dini yao 2 2, 55 | Ewe Musa! Hatutakuamini mpaka tumwone Mwenyezi Mungu waziwazi. 3 2, 102| hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni 4 2, 109| sameheni na wachilieni mbali mpaka Mwenyezi Mungu atapo leta 5 2, 120| radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika 6 2, 187| Mungu. Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa 7 2, 187| usiku. Kisha timizeni Saumu mpaka usiku. Wala msichanganyike 8 2, 191| kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni 9 2, 193| 193. Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini 10 2, 196| Wala msinyoe vichwa vyenu mpaka wanyama hao wafike machinjoni 11 2, 210| 210. Je wanangoja mpaka Mwenyezi Mungu awajie katika 12 2, 217| hawatoacha kupigana nanyi mpaka wakutoeni katika Dini yenu 13 2, 221| msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. Na mjakazi Muumini 14 2, 221| zenu) wanaume washirikina mpaka waamini. Na mtumwa mwanamume 15 2, 222| hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika 16 2, 228| walio achwa wangoje peke yao mpaka t'ahara (au hedhi) tatu 17 2, 230| halali kwake baada ya hayo mpaka aolewe na mume mwengine. 18 2, 235| Wala msiazimie kufunga ndoa mpaka eda ifike mwisho wake. Na 19 2, 280| shida, basi (mdai) angoje mpaka afarijike. Na mkiifanya 20 2, 282| deni likiwa dogo au kubwa mpaka muda wake. Hayo ndiyo haki 21 3, 55 | juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo 22 3, 92 | KABISA HAMTAFIKIA wema mpaka mtoe katika vile mnavyo 23 3, 152| mnawauwa kwa idhini yake, mpaka mlipo legea na mkazozana 24 3, 179| Waumini katika hali mliyo nayo mpaka apambanue wabaya na wema. 25 3, 183| tusimuamini Mtume yeyote mpaka atuletee kafara inayo teketezwa 26 4, 6 | Na wajaribuni mayatima mpaka wafike umri wa kuoa. Mkiwaona 27 4, 15 | basi wazuieni majumbani mpaka wafishwe na mauti au Mwenyezi 28 4, 18 | toba wale wafanyao maovu mpaka yakamfikia mmoja wao mauti, 29 4, 43 | Msikaribie Sala, hali mmelewa, mpaka myajue mnayo yasema, wala 30 4, 43 | isipo kuwa mmo safarini - mpaka mkoge. Na mkiwa wagonjwa, 31 4, 65 | wako Mlezi! Hawataamini mpaka wakufanye wewe ndiye muamuzi 32 4, 89 | msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini 33 4, 140| basi msikae pamoja nao, mpaka waingie katika mazungumzo 34 5 | tabia hii mbovu isivuke mpaka! Na Sura Al Maidah imeeleza 35 5, 6 | nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa 36 5, 6 | vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba 37 5, 14 | kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya Kiyama. Na hapo 38 5, 22 | majabari. Nasi hatutaingia huko mpaka wao watoke humo. Wakitoka 39 5, 64 | uadui na chuki baina yao mpaka Siku ya Kiyama. Kila mara 40 5, 68 | Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili 41 6, 31 | kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, 42 6, 34 | kukanushwa, na kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu. 43 6, 44 | tuliwafungulia milango ya kila kitu. Mpaka walipo furahia yale waliyo 44 6, 61 | hukupelekeeni waangalizi, mpaka mmoja wenu yakimjia mauti 45 6, 68 | Aya zetu, basi jitenge nao mpaka waingilie mazungumzo mengine. 46 6, 124| wao husema: Hatutoamini mpaka tupewe mfano wa walio pewa 47 6, 148| walikanusha walio kuwa kabla yao mpaka walipo onja adhabu yetu. 48 6, 152| kwa njia ya wema kabisa, mpaka afikilie utu-uzima. Na timizeni 49 7 | kuwa Aya nane, nazo ni 163 mpaka 170. Na idadi za Aya zake 50 7, 14 | 14. Akasema: Nipe muhula mpaka siku watakapo fufuliwa. ~~~~~~ 51 7, 24 | makao yenu na starehe yenu mpaka ufike muda. ~~~~~~ 52 7, 37 | sehemu yao waliyo andikiwa, mpaka watakapo wafikia wajumbe 53 7, 38 | umma utawalaani wenzake. Mpaka watakapo kusanyika wote 54 7, 40 | wala hawataingia Peponi mpaka apite ngamia katika tundu 55 7, 57 | mawingu mazito tunayachunga mpaka kwenye nchi iliyo kufa. 56 7, 87 | halikuamini, basi subirini mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu baina 57 7, 135| Lakini tukiwaondolea adhabu mpaka muda fulani wao waufikie, 58 7, 167| watawaadhibu kwa adhabu mbaya mpaka Siku ya Kiyama. Hakika Mola 59 8, 39 | 39. Na piganeni nao mpaka isiwepo fitna na mateso, 60 8, 53 | neema alizo waneemesha watu, mpaka wao wabadilishe yaliyomo 61 8, 67 | Nabii yeyote kuwa na mateka mpaka awe ameshinda baraabara 62 8, 72 | ulinzi kwao hata kidogo mpaka wahame. Lakini wakiomba 63 9 | vita Mayahudi na Wakristo mpaka watoe jizya, kodi ya kichwa, 64 9, 4 | hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi 65 9, 24 | Njia yake, basi ngojeni mpaka Mwenyezi Mungu alete amri 66 9, 29 | miongoni mwa walio pewa Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, 67 9, 48 | wakakupindulia mambo juu chini, mpaka ikaja Haki na ikadhihirika 68 9, 77 | unaafiki kuutia nyoyoni mwao mpaka Siku watapo kutana naye, 69 9, 110| kutia wasiwasi nyoyoni mwao mpaka nyoyo zao hizo zikatike 70 9, 115| baada ya kwisha waongoza mpaka awabainishie ya kujiepusha 71 10, 24 | wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipo kamilika uzuri 72 10, 88 | zifunge nyoyo zao, wasiamini mpaka waione adhabu chungu. ~~~~~~ 73 10, 93 | Nao hawakukhitalifiana mpaka ilipo wafikia ilimu. Hakika 74 10, 97 | kuwa itawajia kila Ishara, mpaka waione adhabu iliyo chungu. ~~~~~~ 75 10, 99 | utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini? ~~~~~~ 76 10, 109| kwako kwa wahyi. Na vumilia mpaka Mwenyezi Mungu ahukumu, 77 11, 3 | Atakustarehesheni starehe nzuri mpaka muda maalumu. Na atampa 78 11, 8 | tukiwacheleweshea adhabu mpaka muda ulio kwisha hisabiwa 79 12, 66 | Akasema: Sitampeleka nanyi mpaka mnipe ahadi kwa Mwenyezi 80 12, 80 | Basi mimi sitotoka nchi hii mpaka baba yangu anipe ruhusa 81 12, 85 | Huachi kumkumbuka Yusuf mpaka uwe mgonjwa au uwe katika 82 13 | mkubwa kabisa utakao baki mpaka Siku ya Kiyama, na kwamba 83 13, 11 | habadili yaliyoko kwa watu mpaka wabadili wao yaliyomo naf- 84 13, 31 | karibu na nyumbani kwao, mpaka ifike ahadi ya Mwenyezi 85 14, 10 | yenu, na akupeni muhula mpaka muda ulio wekwa. Wakasema: 86 14, 42 | Hakika Yeye anawaakhirisha tu mpaka siku yatapo kodoka macho 87 15 | baina ya kheri na shari mpaka imalizike dunia. Kisha tena 88 15 | kumuabudu Mwenyezi Mungu mpaka ifike amri ya yakini. ~KWA 89 15, 35 | hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya Malipo. ~~~~~~ 90 15, 36 | wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapo fufuliwa. ~~~~~~ 91 15, 38 | 38. Mpaka siku ya wakati maalumu. ~~~~~~ 92 15, 99 | muabudu Mola wako Mlezi mpaka ikufikie Yakini. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 93 16, 49 | katika ardhi, tangu wanyama mpaka Malaika, vinamsujuidia Mwenyezi 94 16, 61 | mmoja. Lakini anawaakhirisha mpaka muda ulio wekwa. Na unapo 95 17 | 33, 57 na tangu Aya 73 mpaka Aya 80. Aya zote hizi, nazo 96 17 | Mtume s.a.w. kutoka Makka mpaka Bait Al Muqaddas (Yerusalemu), 97 17, 1 | mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao 98 17, 15 | mwengine. Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke Mtume. ~~~~~~ 99 17, 33 | mrithi wake. Lakini asipite mpaka katika kuuwa. Kwani yeye 100 17, 34 | kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. Na timizeni 101 17, 62 | juu yangu. Ukiniakhirisha mpaka Siku ya Kiyama, hapana shaka 102 17, 78 | Sala jua linapo pinduka mpaka giza la usiku, na Qur'ani 103 17, 90 | walisema: Hatutakuamini mpaka ututimbulie chemchem katika 104 17, 93 | hatutaamini kupaa kwako mpaka ututeremshie kitabu tukisome. 105 18 | na Aya zinazo anzia 83 mpaka 101. Basi zimo Aya ishirini 106 18, 14 | tumesema jambo la kuvuka mpaka. ~~~~~~ 107 18, 28 | matamanio yake yakawa yamepita mpaka. ~~~~~~ 108 18, 60 | wake: Sitoacha kuendelea mpaka nifike zinapo kutana bahari 109 18, 70 | ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia. ~~~~~~ 110 18, 74 | Basi wakatoka wawili hao mpaka wakamkuta kijana, akamuuwa. ( 111 18, 77 | 77. Basi wakatoka mpaka wakawafikia watu wa mji 112 19, 22 | yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. ~~~~~~ 113 19, 75 | Rahema atawapururia muda mpaka wayaone waliyo onywa - ama 114 20, 91 | Wakasema: Hatutaacha kumuabudu mpaka Musa atapo rejea kwetu. ~~~~~~ 115 21, 15 | Hakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, 116 21, 44 | tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka umri ukawa mrefu kwao. Je, 117 21, 96 | 96. Mpaka watapo funguliwa Juju na 118 21, 111| mtihani tu kwenu na starehe mpaka muda kidogo. ~~~~~~ 119 22, 5 | ya uzazi tunacho kitaka mpaka muda ulio wekwa. Kisha tunakutoeni 120 22, 33 | Katika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu. Kisha pahala 121 22, 55 | katika wasiwasi kwa hilo mpaka Saa iwafikie ghafla, au 122 23, 77 | 77. Mpaka tulipo wafungulia mlango 123 23, 99 | 99. Mpaka yanapo mfikia mmoja wao 124 23, 100| Na nyuma yao kipo kizuizi mpaka siku watapo fufuliwa. ~~~~~~ 125 24, 27 | nyumba zisio nyumba zenu mpaka mwombe ruhusa, na mwatolee 126 24, 28 | mkuta mtu humo basi msiingie mpaka mruhusiwe. Na mkiambiwa: 127 24, 33 | wale wasio pata cha kuolea, mpaka Mwenyezi Mungu awatajirishe 128 24, 62 | kuwakhusu wote hawaondoki mpaka wamtake ruhusa. Kwa hakika 129 25, 34 | na kubururwa kifudifudi mpaka kwenye Jahannamu, hao watakuwa 130 26, 201| 201. Hawataiamini mpaka waione adhabu chungu. ~~~~~~ 131 27, 18 | 18. Mpaka walipo fika kwenye bonde 132 27, 32 | mimi sikati shauri yoyote mpaka mhudhurie. ~~~~~~ 133 27, 44 | maji, na akapandisha nguo mpaka kwenye miundi yake. (Sulaiman) 134 28 | katika nyumba ya Firauni, mpaka alipo itoka Misri kukimbiza 135 28 | wachawi wake pamoja na Musa, mpaka Mwenyezi Mungu alipo mzamisha 136 28, 12 | wanyonyeshaji wote tangu mwanzo, mpaka dada yake akasema: Je! Nikuonyesheni 137 28, 23 | Wakasema: Hatunyweshi sisi mpaka wamalize hao wachunga. Na 138 28, 59 | wako Mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke Mtume katika miji 139 28, 59 | Wala hatuiangamizi miji mpaka watu wake wawe madhaalimu. ~~~~~~ 140 28, 71 | umekukalieni moja kwa moja mpaka Siku ya Kiyama, mungu gani 141 28, 72 | umekukalieni moja kwa moja mpaka Siku ya Kiyama, mungu gani 142 29 | zake ni 69. Lakini Aya 1 mpaka 11 ziliteremka Madina. Sura 143 30 | ya binaadamu anavyo geuka mpaka akafikia umri wa ukongwe 144 30, 56 | hukumu ya Mwenyezi Mungu mpaka Siku ya kufufuliwa. Basi 145 31, 29 | Vyote hivyo vinakwenda mpaka wakati ulio wekwa. Na Mwenyezi 146 35 | yoyote. Lakini anaakhirisha mpaka muda wao. Ukifika basi hakika 147 35, 45 | Lakini Yeye anawachukulia mpaka ufike muda maalumu. Basi 148 36, 39 | mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe. ~~~~~~ 149 37, 144| shaka angeli kaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa. ~~~~~~ 150 38, 78 | laana yangu itakuwa juu yako mpaka Siku ya Malipo. ~~~~~~ 151 38, 79 | wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watayo fufuliwa viumbe. ~~~~~~ 152 38, 81 | 81. Mpaka siku ya wakati maalumu. ~~~~~~ 153 39 | Mwenyezi Mungu amewatakia. Mpaka pale kila mwenye haki akaitwaa 154 39, 42 | na huzirudisha nyengine mpaka ufike wakati uliowekwa. 155 39, 71 | kuendea Jahannamu kwa makundi. Mpaka watakapo ifikia itafunguliwa 156 39, 73 | kuendea Peponi kwa makundi, mpaka watakapo fikilia, nayo milango 157 40, 34 | kwa yale aliyo kuleteeni; mpaka alipo kufa mkasema: Mwenyezi 158 41 | katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya 159 41, 53 | katika nafsi zao wenyewe mpaka iwabainikie kwamba haya 160 42, 14 | wako Mlezi ya kuakhirisha mpaka muda maalumu, basi bila 161 43, 29 | tuliwastarehesha hawa na baba zao mpaka ikawafikia Haki na Mtume 162 43, 83 | wapige porojo wakicheza mpaka wakutwe na hiyo siku yao 163 46, 5 | Mungu, ambao hawatawaitikia mpaka Siku ya Kiyama, na wala 164 47, 4 | wapigeni shingoni mwao, mpaka mkiwadhoofisha wafungeni 165 47, 4 | kwa hisani au wajikomboe, mpaka vita vipoe. Ndio hivyo. 166 47, 16 | miongoni mwao wanao kusikiliza, mpaka wakiondoka kwako huwauliza 167 47, 31 | ya shaka tutakujaribuni mpaka tuwadhihirishe wapignao 168 49, 5 | Na lau wao wangeli ngojea mpaka uwatokee ingeli kuwa kheri 169 49, 8 | lipigeni linalo dhulumu mpaka lirejee kwenye amri ya Mwenyezi 170 52 | kumwambia awaachilie mbali mpaka watakapo ikuta siku yao 171 52, 45 | 45. Basi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo 172 53 | halikuhangaika wala halikuruka mpaka. ~Kisha Sura inaingia kueleza 173 53, 17 | halikuhangaika wala halikuruka mpaka. ~~~~~~ 174 54 | w. awapuuze na awangojee mpaka siku watakapo toka makaburini 175 57, 14 | nafsi zenu yakakudanganyeni. mpaka ilipo kuja amri ya Mwenyezi 176 60 | wakitangaza uadui wao kwao mpaka wamuamini Mwenyezi Mungu 177 60, 4 | chuki baina yetu na nyinyi mpaka mtakapo muamini Mwenyezi 178 65, 4 | Na wenye mimba eda yao mpaka watakapo zaa. Na anaye mcha 179 65, 6 | wana mimba, wagharimieni mpaka wajifungue. Na wakikunyonyesheeni, 180 70 | upumbavu wao na mchezo wao mpaka wakutane na siku yao waliyo 181 70, 42 | wapige porojo na wacheze, mpaka wakutane na siku yao wanayo 182 71 | kwao kuyaabudu masanamu mpaka wakastahiki kupata adhabu 183 71, 4 | yenu, na atakuakhirisheni mpaka muda ulio wekwa. Hakika 184 72 | kuuhifadhi Wahyi kwa kuulinda mpaka awafikishie watu kwa utimilivu. 185 74, 47 | 47. Mpaka yakini ilipo tufikia. ~~~~~~ 186 76, 14 | ya matunda yataning'inia mpaka chini. ~~~~~~ 187 77, 22 | 22. Mpaka muda maalumu? ~~~~~~ 188 80 | Mungu tangu kuumbwa kwake mpaka kufufuliwa kwake. Na ikakhitimisha 189 93 | akaapa kwamba Yeye atampa mpaka aridhike, na yaliyo tangulia 190 93, 5 | Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike. ~~~~~~ 191 95 | bali akateremka kwa daraja mpaka akawa wa chini kabisa, isipo 192 97 | kusalimika na kila maudhi na uovu mpaka kuchomoza alfajiri yake.~ 193 97, 5 | 5. Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 194 98, 1 | washirikina waache walio nayo mpaka iwajie bayana, ~~~~~~ 195 102, 2 | 2. Mpaka mje makaburini! ~~~~~~ 196 111 | shingo yake ya kumvutia mpaka kwenye Moto katika kuzidi


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License