Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
kuzungukiana 1
kuzungukwa 1
kuzungumza 4
kwa 3660
kwacho 6
kwake 218
kwako 62
Frequency    [«  »]
-----
-----
11556 na
3660 kwa
3568 ya
3429 mungu
3294 mwenyezi

Qu'rani

IntraText - Concordances

kwa

1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-2000 | 2001-2500 | 2501-3000 | 3001-3500 | 3501-3660

                                                      bold = Main text
     Sura, verse                                      grey = Comment text
501 4, 108| 108. Wanataka kujificha kwa watu, wala hawataki kujificha 502 4, 108| wala hawataki kujificha kwa Mwenyezi Mungu, naye yu 503 4, 108| wanapo panga njama usiku kwa maneno asiyo yapenda. Na 504 4, 109| Basi nani atakaye watetea kwa Mwenyezi Mungu Siku ya Kiyama? 505 4, 110| kisha akaomba maghfira kwa Mwenyezi Mungu, atamkuta 506 4, 113| wala hawawezi kukudhuru kwa lolote. Na Mwenyezi Mungu 507 4, 114| mengi ya wanayo shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule 508 4, 114| shauriana kwa siri, isipo kuwa kwa yule anaye amrisha kutoa 509 4, 114| Na mwenye kufanya hayo kwa kutaka radhi ya Mwenyezi 510 4, 116| husamehe yasiyo kuwa hayo kwa amtakaye. Na anaye mshirikisha 511 4, 118| Naye Shet'ani alisema: Kwa yakini nitawachukua sehemu 512 4, 122| kweli. Na nani mkweli zaidi kwa usemi kuliko Mwenyezi Mungu. ~~~~~~ 513 4, 123| 123. Si kwa matamanio yenu, wala matamanio 514 4, 125| 125. Na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye usilimisha 515 4, 125| aliye usilimisha uso wake kwa Mwenyezi Mungu, naye akawa 516 4, 127| kwamba mwasimamie mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote 517 4, 128| vibaya kwao wakisikizana kwa suluhu. Na suluhu ni bora. 518 4, 129| ya wake, hata mkikakamia. Kwa hivyo msimili moja kwa moja 519 4, 129| Kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) 520 4, 130| atamtosheleza kila mmoja katika wao kwa ukunjufu wake. Na Mwenyezi 521 4, 131| viliomo katika dunia. Na kwa hakika tuliwausia walio 522 4, 134| taka malipo ya dunia, basi kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo 523 4, 135| uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, 524 4, 141| mkipata ushindi unao toka kwa Mwenyezi Mungu wao husema: 525 4, 142| wanapo inuka kusali huinuka kwa unyong'onyo, wanajionyesha 526 4, 142| unyong'onyo, wanajionyesha kwa watu tu, wala hawamdhukuru 527 4, 148| MUNGU hapendi uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. 528 4, 148| uovu uenezwe kwa maneno ila kwa mwenye kudhulumiwa. Na Mwenyezi 529 4, 150| Mwenyezi Mungu na Mitume wake, kwa kusema: Wengine tunawaamini 530 4, 153| kitabu kutoka mbinguni. Na kwa hakika walikwisha mtaka 531 4, 153| wazi. Wakapigwa na radi kwa hiyo dhulma yao. Kisha wakamchukua 532 4, 154| tukanyanyua mlima juu yao kwa kufanya agano nao. Na tukawaambia: 533 4, 154| tukawaambia: Ingilieni mlangoni kwa unyenyekevu. Na tukawaambia: 534 4, 155| 155. Basi kwa sababu ya kuvunja kwao ahadi 535 4, 155| Mwenyezi Mungu amezipiga muhuri kwa kufuru zao, basi hawaamini 536 4, 156| 156. Na pia kwa kufuru zao na kumsingizia 537 4, 157| 157. Na kwa kusema kwao: Sisi tumemuuwa 538 4, 157| dhana tu. Wala hawakumuuwa kwa yakini. ~~~~~~ 539 4, 160| 160. Basi kwa dhulma yao Mayahudi tuliwaharimishia 540 4, 160| walivyo halalishiwa. Na kwa sababu ya kuwazuilia kwao 541 4, 161| na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia 542 4, 164| Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno. ~~~~~~ 543 4, 166| kuteremshia wewe. Ameyateremsha kwa kujua kwake - na Malaika 544 4, 169| watadumu milele. Na hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi. ~~~~~~ 545 4, 170| Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola wenu Mlezi. Basi aminini, 546 4, 171| msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi 547 4, 173| sawa sawa, na atawazidishia kwa fadhila yake. Na ama wale 548 4, 174| Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni 549 5 | au baina ya watu wenyewe kwa wenyewe. Na Sura hii imebainisha 550 5 | na kwamba wao wamekufuru kwa kusema kwao kuwa Masihi 551 5 | inawakanusha Mayahudi na Wakristo kwa yale madai yao kwamba ati 552 5 | kuwa ni waajibu kuhukumu kwa mujibu alivyo teremsha Mwenyezi 553 5 | wa Mayahudi na Wakristo kwa Waumini, na waajibu wa kutowanyenyekea, 554 5 | kutowanyenyekea, na kutowaridhia kwa wanayo tenda, na kuwa ni 555 5 | kuwa Wakristo wamekufuru kwa kusema kwao Mwenyezi Mungu 556 5 | jiharimishia Waarabu wenyewe kwa wenyewe bila ya hoja wala 557 5 | Mwishoe Sura hii imekhitimisha kwa kutaja miujiza iliyo tokea 558 5 | kutaja miujiza iliyo tokea kwa Nabii Isa a.s. Na juu ya 559 5 | ukamilifu wa uwezo wake. ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU, 560 5, 2 | windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni kufika 561 5, 3 | mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, 562 5, 3 | Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye 563 5, 3 | kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa 564 5, 3 | kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa 565 5, 3 | kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa 566 5, 6 | mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni 567 5, 8 | Kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu 568 5, 8 | Mwenyezi Mungu mkitoa ushahidi kwa haki. Wala kuchukiana na 569 5, 12 | Mwenyezi Mungu akasema: Kwa yakini Mimi ni pamoja nanyi. 570 5, 13 | 13. Basi kwa sababu ya kuvunja agano 571 5, 14 | 14. Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni 572 5, 14 | sehemu ya waliyo kumbushwa. Kwa hivyo tukaweka kati yao 573 5, 15 | shaka imekujieni kutoka kwa Mwenyezi Mungu nuru na Kitabu 574 5, 16 | giza kuwapeleka kwenye nuru kwa amri yake, na huwaongoa 575 5, 18 | vipenzi vyake. Sema: Basi kwa nini anakuadhibuni kwa ajili 576 5, 18 | Basi kwa nini anakuadhibuni kwa ajili ya dhambi zenu? Bali 577 5, 23 | amewaneemesha, walisema: Waingilieni kwa mlangoni. Mtakapo waingilia 578 5, 23 | Mtakapo waingilia basi kwa yakini nyinyi mtashinda. 579 5, 27 | khabari za wana wawili wa Adam kwa kweli. Walipo toa mhanga, 580 5, 32 | 32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia 581 5, 33 | mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa 582 5, 35 | ya kumfikilia. Na wanieni kwa juhudi kwa ajili yake ili 583 5, 35 | kumfikilia. Na wanieni kwa juhudi kwa ajili yake ili mpate kuokoka. ~~~~~~ 584 5, 38 | adhabu ya mfano itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi 585 5, 41 | miongoni mwa wanao sema kwa vinywa vyao: Tumeamini, 586 5, 41 | Mayahudi, wanao sikiliza kwa ajili ya uwongo, wanao sikiliza 587 5, 41 | ya uwongo, wanao sikiliza kwa ajili ya watu wengine wasio 588 5, 42 | 42. Hao ni wasikilizaji kwa ajili ya kusema uwongo, 589 5, 42 | ukiwahukumu, basi hukumu baina yao kwa uadilifu. Hakika Mwenyezi 590 5, 44 | Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache. Na wasio 591 5, 44 | chache. Na wasio hukumu kwa aliyo teremsha Mwenyezi 592 5, 45 | tuliwaandikia ya kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, 593 5, 45 | roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na 594 5, 45 | jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na sikio kwa sikio, 595 5, 45 | na pua kwa pua, na sikio kwa sikio, na jino kwa jino, 596 5, 45 | sikio kwa sikio, na jino kwa jino, na kwa majaraha kisasi. 597 5, 45 | sikio, na jino kwa jino, na kwa majaraha kisasi. Lakini 598 5, 45 | kafara kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi 599 5, 46 | na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu. ~~~~~~ 600 5, 47 | wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi 601 5, 47 | ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi 602 5, 48 | Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho 603 5, 48 | kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi 604 5, 48 | lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni 605 5, 48 | kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi 606 5, 48 | shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo 607 5, 49 | 49. Na wahukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi 608 5, 49 | Mwenyezi Mungu anataka kuwasibu kwa baadhi ya dhambi zao. Na 609 5, 50 | kuhukumu kuliko Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini? ~~~~~~ 610 5, 51 | marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye 611 5, 52 | kwake wakawa wenye kujuta kwa waliyo yaficha katika nafsi 612 5, 54 | wanampenda, wanyenyekevu kwa Waumini na wenye nguvu juu 613 5, 58 | maskhara na mchezo. Hayo ni kwa sababu wao ni watu wasio 614 5, 59 | Kitabu! Hivyo mnatuchukia kwa kuwa tumemuamini Mwenyezi 615 5, 59 | yaliyo teremshwa kabla, na kwa kuwa wengi katika nyinyi 616 5, 64 | iliyo fumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyo yasema. 617 5, 64 | iwazi. Hutoa apendavyo. Kwa yakini yaliyo teremshwa 618 5, 64 | yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa Mola wako Mlezi yatawazidisha 619 5, 67 | uliyo teremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi. Na ikiwa 620 5, 70 | Kila alipo wajia Mtume kwa wasio yapenda nafsi zao 621 5, 73 | 73. Kwa hakika wamekufuru walio 622 5, 73 | hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu 623 5, 74 | 74. Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba 624 5, 78 | miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa Isa 625 5, 78 | mwana wa Maryamu. Hayo ni kwa sababu waliasi na wakawa 626 5, 82 | kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi 627 5, 82 | utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: 628 5, 82 | Sisi ni Manasara. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao 629 5, 82 | makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. ~~~~~~ 630 5, 83 | WANAPO SIKIA yaliyo teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika 631 5, 83 | yao yanachururika machozi kwa sababu ya Haki waliyo itambua. 632 5, 84 | 84. Na kwa nini tusimuamini Mwenyezi 633 5, 85 | Mwenyezi Mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, Bustani 634 5, 89 | Mwenyezi Mungu hatakushikeni kwa viapo vyenu vya upuuzi, 635 5, 89 | upuuzi, lakini atakushikeni kwa mnavyo apa kweli kweli kwa 636 5, 89 | kwa mnavyo apa kweli kweli kwa makusudio. Basi kafara yake 637 5, 89 | kuwalisha masikini kumi kwa chakula cha wastani mnacho 638 5, 91 | kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari, na akuzuieni 639 5, 93 | amini na wakatenda mema kwa walivyo vila (zamani) maadamu 640 5, 94 | Mungu atakujaribuni kidogo kwa wanyama wa kuwinda inayo 641 5, 94 | amjue nani anaye mkhofu kwa ghaibu. Basi atakaye ruka 642 5, 95 | basi malipo yake yatakuwa kwa kuchinja kilicho sawa na 643 5, 95 | Al Kaaba, au kutoa kafara kwa kuwalisha masikini; au badala 644 5, 96 | vya baharini na kuvila, kwa faida yenu na kwa wasafiri. 645 5, 96 | kuvila, kwa faida yenu na kwa wasafiri. Na mmeharimishiwa 646 5, 104| yateremsha Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha 647 5, 105| ikiwa nyinyi mmeongoka. Ni kwa Mwenyezi Mungu ndio marudio 648 5, 106| hao baada ya Sala na waape kwa Mwenyezi Mungu, mkitilia 649 5, 106| Hatutopokea thamani yoyote kwa haya hata kwa ajili ya jamaa; 650 5, 106| thamani yoyote kwa haya hata kwa ajili ya jamaa; na wala 651 5, 107| ya wa mwanzo. Nao waape kwa Mwenyezi Mungu wakisema: 652 5, 110| yako, nilipo kutia nguvu kwa Roho Takatifu, ukazungumza 653 5, 110| tengeneza udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza 654 5, 110| kisha ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha 655 5, 110| waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua 656 5, 110| yangu; na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo 657 5, 114| mbinguni ili kiwe Sikukuu kwa ajili ya wa mwanzo wetu 658 6 | baadhi ya Manabii, na ikaanza kwa kisa cha Ibrahim a.s. kwa 659 6 | kwa kisa cha Ibrahim a.s. kwa kubainisha kuwa alichukua 660 6 | maana ya ibada na Tawhidi kwa kuuchungua ulimwengu, na 661 6 | ndani yake. Naye alianza kwa kupeleleza nyota, kisha 662 6 | kisha jua, na akamalizia kwa kufuata ibada ya Mwenyezi 663 6 | watoto wa kike nao wahai.~ ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI 664 6, 2 | Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa udongo, kisha akakuhukumieni 665 6, 6 | Mwishoe tukawaangamiza kwa madhambi yao; na tukaanzisha 666 6, 7 | cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema 667 6, 25 | hawaiamini. Hata wakikujia kwa kujadiliana nawe, wanasema 668 6, 30 | watasema: Kwani? Tunaapa kwa Mola Mlezi wetu ni kweli. 669 6, 30 | atasema: Basi onjeni adhabu kwa sababu ya vile mlivyo kuwa 670 6, 31 | Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, wakasema: Ole wetu 671 6, 31 | ghafla, wakasema: Ole wetu kwa tuliyo yapuuza! Nao watabeba 672 6, 32 | ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, 673 6, 35 | unaweza kutafuta njia ya chini kwa chini ya ardhi, au ngazi 674 6, 37 | 37. Na wamesema: Kwa nini hakuteremshiwa muujiza 675 6, 37 | hakuteremshiwa muujiza kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Hakika 676 6, 38 | ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni 677 6, 38 | Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa. ~~~~~~ 678 6, 42 | 42. Na kwa yakini tulipeleka Mitume 679 6, 42 | yakini tulipeleka Mitume kwa kaumu zilizo kuwa kabla 680 6, 43 | 43. Kwa nini wasinyenyekee ilipo 681 6, 44 | waliyo pewa tuliwashika kwa ghafla, na mara wakawa wenye 682 6, 47 | adhabu ya Mwenyezi Mungu kwa ghafla, au kwa dhaahiri, 683 6, 47 | Mwenyezi Mungu kwa ghafla, au kwa dhaahiri, jee wataangamizwa 684 6, 49 | Ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka. ~~~~~~ 685 6, 51 | ogopa kuwa watakusanywa kwa Mola wao Mlezi, hali kuwa 686 6, 52 | Mlezi wao asubuhi na jioni kwa kutaka radhi yake. Si juu 687 6, 53 | ndivyo tunavyo wajaribu wao kwa wao, ili waseme: Ni hao 688 6, 54 | fanya uovu miongoni mwenu kwa ujinga, kisha akatubu baada 689 6, 57 | sharia iliyo wazi itokayo kwa Mola wangu Mlezi, nanyi 690 6, 62 | 62. Kisha watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao 691 6, 63 | kavu na baharini? Mnamwomba kwa unyenyekevu na kwa siri, 692 6, 63 | Mnamwomba kwa unyenyekevu na kwa siri, mkisema: Kama akituokoa 693 6, 70 | isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, 694 6, 70 | Hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma. 695 6, 71 | Nasi tumeamrishwa tusilimu kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote, ~~~~~~ 696 6, 73 | aliye ziumba mbingu na ardhi kwa Haki. Na anaposema: Kuwa! 697 6, 79 | nimeuelekeza uso wangu sawa sawa kwa aliye ziumba mbingu na ardhi, 698 6, 83 | watu wake. Tunamnyanyua kwa vyeo tumtakaye. Hakika Mola 699 6, 88 | hidaya ya Mwenyezi Mungu. Kwa hiyo humhidi amtakaye katika 700 6, 89 | basi tumekwisha yawakilisha kwa watu wasio yakataa. ~~~~~~ 701 6, 90 | hayakuwa ila ni mawaidha kwa walimwengu wote. ~~~~~~ 702 6, 91 | hawakumkadiria Mwenyezi Mungu kwa haki ya kadri yake, walipo 703 6, 91 | chenye nuru na uwongofu kwa watu, mlicho kifanya kurasa 704 6, 93 | mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyasema 705 6, 96 | asubuhi; na ameufanya usiku kwa mapumziko na utulivu, na 706 6, 96 | na jua na mwezi kwenda kwa hisabu. Hayo ndiyo makadirio 707 6, 97 | tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 708 6, 98 | tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao fahamu. ~~~~~~ 709 6, 99 | katika hayo pana Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~ 710 6, 104| kukujieni hoja wazi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Basi anaye 711 6, 104| Mlezi. Basi anaye ona ni kwa faida yake mwenyewe, na 712 6, 105| Umesoma. Na ili tuyabainishe kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 713 6, 106| Fuata uliyo funuliwa kutoka kwa Mola wako Mlezi. Hapana 714 6, 108| wakamtukana Mwenyezi Mungu kwa jeuri bila ya kujua. Namna 715 6, 108| Kisha marejeo yao yatakuwa kwa Mola wao Mlezi, naye atawaambia 716 6, 109| 109. Na waliapa kwa Mwenyezi Mungu kwa ukomo 717 6, 109| waliapa kwa Mwenyezi Mungu kwa ukomo wa viapo vyao, kuwa 718 6, 109| wataiamini. Sema: Ishara ziko kwa Mwenyezi Mungu. Na nyinyi 719 6, 112| kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, 720 6, 112| maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda 721 6, 114| kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika 722 6, 115| maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana 723 6, 119| 119. Na kwa nini msile katika walio 724 6, 119| hakika wengi wanapoteza kwa matamanio yao bila ya kuwa 725 6, 120| wanao chuma dhambi watalipwa kwa waliyo kuwa wakiyachuma. ~~~~~~ 726 6, 121| Kwani huo ni upotofu. Na kwa yakini mashet'ani wanawafunza 727 6, 124| udhalili na adhabu kali kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu 728 6, 124| kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa sababu ya vitimbi walivyo 729 6, 125| humfungulia kifua chake kwa Uislamu. Na anaye taka apotee 730 6, 126| nyooka. Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka. ~~~~~~ 731 6, 127| watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye ndiye 732 6, 127| ndiye Rafiki Mlinzi wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyatenda. ~~~~~~ 733 6, 129| madhaalimu wapendane wao kwa wao kwa sababu ya waliyo 734 6, 129| madhaalimu wapendane wao kwa wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyachuma. ~~~~~~ 735 6, 131| 131. Hayo ni kwa sababu ya kuwa Mola wako 736 6, 131| hakuwa wa kuiangamiza miji kwa dhulma, hali wenyewe wameghafilika. ~~~~~~ 737 6, 136| sehemu ya Mwenyezi Mungu - kwa madai yao - na hii ni ya 738 6, 138| Hawatokula ila wale tuwapendao - kwa madai yao tu. Na wanyama 739 6, 138| Mwenyezi Mungu. Atawalipa kwa hayo wanayo mzulia. ~~~~~~ 740 6, 139| matumboni mwa wanyama hawa ni kwa ajili ya wanaume wetu tu, 741 6, 139| wetu tu, na wameharimishwa kwa wake zetu. Lakini ikiwa 742 6, 139| Mwenyezi Mungu atawalipa kwa maelezo yao hayo. Hakika 743 6, 140| ambao wamewauwa watoto wao kwa upumbavu pasipo kujua, na 744 6, 140| waruzuku Mwenyezi Mungu kwa kumzulia Mwenyezi Mungu. 745 6, 141| kuvunwa kwake. Wala msitumie kwa fujo. Hakika Yeye hawapendi 746 6, 141| Yeye hawapendi watumiayo kwa fujo. ~~~~~~ 747 6, 143| majike yote mawili? Niambieni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema 748 6, 144| mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, kwa ajili ya kuwapoteza watu 749 6, 145| kitu kilicho harimishwa kwa mlaji kukila isipo kuwa 750 6, 145| kwani hiyo ni uchafu; au kwa upotofu kimechinjwa kwa 751 6, 145| kwa upotofu kimechinjwa kwa jina la asiye kuwa Mwenyezi 752 6, 146| mifupa. Tuliwalipa hivyo kwa sababu ya uasi wao. Na bila 753 6, 147| Wala haizuiliki adhabu yake kwa watu wakhalifu. ~~~~~~ 754 6, 151| Wala msiwauwe watoto wenu kwa sababu ya umasikini. Sisi 755 6, 151| ameharimisha kuiuwa, ila ikiwa kwa haki. Hayo amekuusieni ili 756 6, 152| msiyakaribie mali ya yatima ila kwa njia ya wema kabisa, mpaka 757 6, 152| timizeni vipimo na mizani kwa uadilifu. Sisi hatumkalifishi 758 6, 152| Sisi hatumkalifishi mtu ila kwa kadiri ya uwezo wake. Na 759 6, 152| wake. Na msemapo semeni kwa uadilifu ingawa ni jamaa. 760 6, 153| 153. Na kwa hakika hii ndiyo Njia yangu 761 6, 154| Tena tulimpa Musa Kitabu kwa kumtimizia (neema) aliye 762 6, 157| imekufikieni bayana kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu, 763 6, 157| zetu adhabu kali kabisa kwa sababu ya kujitenga kwao. ~~~~~~ 764 6, 159| ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia 765 6, 161| 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi 766 6, 162| wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, 767 6, 164| mwenziwe. Kisha marejeo yenu ni kwa Mola wenu Mlezi, naye atakuambieni 768 6, 165| kubwa kubwa, ili akujaribuni kwa hayo aliyo kupeni. Hakika 769 7 | walivyo toka kwenye Bustani kwa kutiwa wasiwasi na Shet' 770 7 | huo wasiwasi unaoendelea kwa watu katika mavazi na chakula. 771 7 | yake, Thamud, walio sifika kwa nguvu zao na wakapewa utajiri; 772 7 | Ta'ala amefuatilizia hayo kwa kisa cha Musa na yaliyo 773 7 | Na Sura ikakhitimishia kwa kumathilisha nini hali ya 774 7 | akaingia kwenye upotovu kwa kumfwata Shet'ani, na Sura 775 7 | Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI 776 7, 2 | isiwe dhiki kifuani kwako kwa ajili yake, upate kuonya 777 7, 2 | kwacho, na kiwe ni ukumbusho kwa Waumini. ~~~~~~ 778 7, 3 | mliyo teremshiwa kutoka kwa Mola Mlezi wenu, wala msifuate 779 7, 6 | 6. Na kwa yakini tutawauliza wale 780 7, 7 | 7. Tena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa 781 7, 8 | Siku hiyo kipimo kitakuwa kwa Haki. Basi watakao kuwa 782 7, 9 | zitia khasarani nafsi zao kwa sababu ya kuzipinga Ishara 783 7, 12 | bora kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa 784 7, 12 | kwa moto, naye umemuumba kwa udongo. ~~~~~~ 785 7, 16 | 16. Akasema: Kwa kuwa umenihukumia upotofu, 786 7, 18 | basi nitaijaza Jahannam kwa nyinyi nyote. ~~~~~~ 787 7, 21 | 21. Naye akawaapia: Kwa yakini mimi ni miongoni 788 7, 22 | 22. Basi akawateka kwa khadaa. Walipo uonja ule 789 7, 24 | Teremkeni! Mtakuwa nyinyi kwa nyinyi maadui. Na kwenye 790 7, 29 | sujudu, na muombeni Yeye kwa kumsafia Dini. Kama alivyo 791 7, 30 | limethibitikiwa na upotofu. Kwa hakika hao waliwafanya mashet' 792 7, 31 | wala msifanye ubadhirifu. Kwa hakika Yeye hapendi wanao 793 7, 32 | katika riziki. Sema hivyo ni kwa walio amini katika uhai 794 7, 32 | hivi tunazieleza Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 795 7, 39 | sisi. Basi onjeni adhabu kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyachuma. ~~~~~~ 796 7, 42 | hatumkalifishi mtu yoyote ila kwa kiasi cha uwezo wake - hao 797 7, 43 | Alhamdulillah! Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye aliye 798 7, 43 | ndiyo Pepo mliyo rithishwa kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyafanya. ~~~~~~ 799 7, 46 | watu watakao wajua wote kwa alama zao, na wao watawaita 800 7, 48 | watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. Watasema: Kujumuika 801 7, 50 | Mungu ameviharimisha hivyo kwa makafiri, ~~~~~~ 802 7, 51 | mkutano wa Siku yao hii, na kwa sababu ya kule kuzikataa 803 7, 52 | Kitabu tulicho kipambanua kwa ilimu, uwongofu na rehema 804 7, 52 | ilimu, uwongofu na rehema kwa watu wenye kuamini. ~~~~~~ 805 7, 54 | cha Enzi. Huufunika usiku kwa mchana, ufuatao upesi upesi. 806 7, 54 | na nyota zinazo tumika kwa amri yake. Fahamuni! Kuumba 807 7, 55 | Muombeni Mola wenu Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. 808 7, 55 | Mlezi kwa unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi 809 7, 56 | tengenezwa. Na muombeni kwa kuogopa na kwa kutumai. 810 7, 56 | muombeni kwa kuogopa na kwa kutumai. Hakika rehema ya 811 7, 58 | kukua vizuri yenye uhai, kwa idhini ya Mola Mlezi wake. 812 7, 58 | michache, isiyo na faida, tena kwa shida. Na hivyo ndivyo tunavyo 813 7, 58 | zipambanua Ishara (Aya) kwa watu wanao shukuru. ~~~~~~ 814 7, 59 | 59. Tulimpeleka Nuhu kwa kaumu yake, naye akasema: 815 7, 61 | lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote. ~~~~~~ 816 7, 62 | ninakunasihini; na ninayajua kwa Mwenyezi Mungu msiyo yajua 817 7, 63 | kukujieni mawaidha yanayotoka kwa Mola Mlezi wenu kwa njia 818 7, 63 | yanayotoka kwa Mola Mlezi wenu kwa njia ya mtu aliye ni mmoja 819 7, 65 | 65. Na kwa A'adi tulimpeleka ndugu 820 7, 67 | mimi ni Mtume niliye toka kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote. ~~~~~~ 821 7, 69 | kukufikieni mawaidha yanayo toka kwa Mola wenu Mlezi kwa mtu 822 7, 69 | toka kwa Mola wenu Mlezi kwa mtu aliye mmoja wenu nyinyi 823 7, 71 | zimekwisha kukuangukieni kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Mnabishana 824 7, 71 | wenu Mlezi. Mnabishana nami kwa ajili ya majina tu mliyo 825 7, 72 | na walio kuwa pamoja naye kwa rehema zetu, na tukakata 826 7, 73 | 73. Na kwa Thamud tulimpeleka ndugu 827 7, 73 | Ishara iliyo wazi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Huyu ni 828 7, 74 | msitende uovu katika nchi kwa ufisadi. ~~~~~~ 829 7, 80 | hajakutangulieni yeyote kwa uchafu huo katika viumbe 830 7, 81 | nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? 831 7, 85 | 85. Na kwa watu wa Madyana tulimtuma 832 7, 85 | kufikieni hoja wazi kutoka kwa Mola Mlezi wenu. Basi timizeni 833 7, 89 | umeenea katika kila kitu. Kwa Mwenyezi Mungu tunategemea. 834 7, 89 | baina yetu na kaumu yetu kwa haki, nawe ndiye mbora wa 835 7, 94 | tuliwapatiliza wakaazi wake kwa taabu na mashaka ili wapate 836 7, 95 | hubadilisha mahala pa ubaya kwa wema, hata wakazidi, na 837 7, 95 | ziliwafikia baba zetu. Basi kwa ghafla tukawashika, hali 838 7, 96 | wangeli amini na wakamchamngu, kwa yakini tungeli wafungulia 839 7, 96 | walikanusha basi tukawapatiliza kwa sababu ya yale waliyo kuwa 840 7, 100| tukitaka tutawapatiliza kwa madhambi yao, na tutapiga 841 7, 100| muhuri juu ya nyoyo zao, na kwa hivyo hawatasikia? ~~~~~~ 842 7, 101| shaka Mitume wao waliwafikia kwa hoja zilizo waziwazi. Lakini 843 7, 102| kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi 844 7, 103| tukamtuma Musa na Ishara zetu kwa Firauni na waheshimiwa wake. 845 7, 104| Hakika mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola Mlezi wa viumbe vyote. ~~~~~~ 846 7, 108| wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao. ~~~~~~ 847 7, 113| 113. Wakaja wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika 848 7, 119| 119. Kwa hivyo walishindwa hapo, 849 7, 125| Wakasema: Sisi ni wenye kurejea kwa Mola wetu Mlezi. ~~~~~~ 850 7, 126| Nawe hukuudhika nasi ila kwa kuwa tumeziamini Ishara 851 7, 128| watu wake: Ombeni msaada kwa Mwenyezi Mungu, na subirini. 852 7, 130| tuliwaadhibu watu wa Firauni kwa miyaka (ya ukame) na kwa 853 7, 130| kwa miyaka (ya ukame) na kwa upungufu wa mazao, ili wapate 854 7, 131| huo unao wafikia unatoka kwa Mwenyezi Mungu. Lakini wengi 855 7, 134| wakasema: Ewe Musa! Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa aliyo 856 7, 134| Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa aliyo kuahidi. Ukituondolea 857 7, 136| tuka- wazamisha baharini kwa sababu walizikanusha Ishara 858 7, 137| juu ya Wana wa Israili, kwa vile walivyo subiri. Na 859 7, 138| Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu 860 7, 141| Na pale tulipo kuokoeni kwa watu wa Firauni walio kupeni 861 7, 142| thalathini na tukayatimiza kwa kumi; ikatimia miadi ya 862 7, 142| Haarun: Shika mahala pangu kwa watu wangu na utengeneze 863 7, 143| jionyesha Mola Mlezi wake kwa mlima, aliufanya uvurugike, 864 7, 144| Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na Ujumbe wangu na 865 7, 145| Tukamwambia): Basi yashike kwa nguvu na uwaamrishe watu 866 7, 145| uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora wake. Nami nitakuonyesheni 867 7, 146| kuwa ndiyo njia. Hayo ni kwa sababu wamezikanusha Ishara 868 7, 147| zimeharibika. Kwani watalipwa ila kwa yale waliyo kuwa wakiyatenda? ~~~~~~ 869 7, 150| 150. Na alipo rudi Musa kwa watu wake, naye amekasirika 870 7, 154| yake mna uwongofu na rehema kwa wanao mwogopa Mola wao Mlezi. ~~~~~~ 871 7, 155| sabiini katika kaumu yake kwa miadi yetu. Na ulipo fika 872 7, 155| mimi zamani! Unatuhiliki kwa waliyo yafanya wajinga katika 873 7, 159| kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya 874 7, 159| waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya uadilifu. ~~~~~~ 875 7, 160| kumwambia: Lipige hilo jiwe kwa fimbo yako. Mara zikatibuka 876 7, 160| Na tukawafunika kivuli kwa mawingu, na tukawateremshia 877 7, 161| ingieni katika mlango wake kwa unyenyekevu, tupate kukusameheni 878 7, 162| tukawapelekea adhabu kutoka mbinguni kwa vile walivyo kuwa wakidhulumu. ~~~~~~ 879 7, 163| kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu 880 7, 163| namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya 881 7, 164| kikundi kati yao walisema: Kwa nini mnawawaidhi watu ambao 882 7, 164| Wakasema: Ili uwe ni udhuru kwa Mola Mlezi wenu, na huenda 883 7, 165| tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo 884 7, 165| dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya 885 7, 167| watu ambao watawaadhibu kwa adhabu mbaya mpaka Siku 886 7, 168| cha hivyo. Na tukawajaribu kwa mema na mabaya ili wapate 887 7, 169| nyumba ya Akhera ni bora kwa wanao jikinga na maasi. 888 7, 171| tukawaambia): Kamateni kwa nguvu tuliyo kupeni, na 889 7, 173| yao. Basi utatuangamiza kwa sababu ya waliyo yafanya 890 7, 174| tunavyo zipambanua Ishara, kwa kutaraji kuwa watarejea. ~~~~~~ 891 7, 176| tungelitaka tungeli mtukuza kwa hizo Ishara, lakini yeye 892 7, 180| mazuri kabisa, basi muombeni kwa hayo. Na waacheni wale wanao 893 7, 181| waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na kwayo wanafanya 894 7, 182| tutawapururia pole pole kwa namna ambayo wenyewe hawaijui. ~~~~~~ 895 7, 187| Sema: Kuijua kwake kuko kwa Mola Mlezi wangu. Haidhihirishi 896 7, 187| wangu. Haidhihirishi hiyo kwa wakati wake ila Yeye. Ni 897 7, 187| na ardhi. Haikujiini ila kwa ghafla tu. Wanakuuliza kama 898 7, 187| kuijua. Sema: Ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu. Lakini aghlabu 899 7, 188| ni mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao amini. ~~~~~~ 900 7, 189| mwenzi wake, ili akae naye kwa utulivu. Na anapo muingilia 901 7, 203| Ishara waitakayo husema: Kwa nini hukuibuni? Sema: mimi 902 7, 203| ani) ni hoja zinazo toka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu 903 7, 203| Mlezi, na uwongofu na rehema kwa watu wanao amini. ~~~~~~ 904 7, 205| Mlezi wako nafsini kwako kwa unyenyekevu na khofu, na 905 7, 205| na bila ya kupiga kelele kwa kauli, asubuhi na jioni. 906 7, 206| 206. Hakika wale walioko kwa Mola wako Mlezi hawajivuni 907 8 | mateka. Na Mwenyezi Mungu kwa hikima yake amekusanya humu 908 8 | Mungu anataja kujitayarisha kwa vita, na kupasa kuelekea 909 8 | urafiki wa Waumini, wao kwa wao; na kuwawajibikia Waumini 910 8 | kutukuza Uislamu na Waislamu. ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI 911 8, 4 | maghfira, na riziki bora, kwa Mola wao Mlezi. ~~~~~~ 912 8, 5 | alivyo kutoa nyumbani kwako kwa Haki, na hakika kundi moja 913 8, 6 | 6. Wanajadiliana nawe kwa jambo la Haki baada ya kwisha 914 8, 7 | anapenda ahakikishe Haki kwa maneno yake, na aikate mizizi 915 8, 9 | naye akakujibuni kuwa: Kwa yakini Mimi nitakusaidieni 916 8, 9 | yakini Mimi nitakusaidieni kwa Malaika elfu wanao fuatana 917 8, 10 | haupatikani ushindi ila kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi 918 8, 11 | 11. Alipo kufunikeni kwa usingizi uwe ni uaminisho 919 8, 13 | 13. Hayo ni kwa sababu wamemuasi Mwenyezi 920 8, 16 | wake siku hiyo - isipo kuwa kwa mbinu za vita au kuungana 921 8, 26 | kukaa, na akakutieni nguvu kwa nusura yake, na akakupeni 922 8, 28 | Fitna (mtihani), na kwamba kwa Mwenyezi Mungu upo ujira 923 8, 35 | makofi. Basi onjeni adhabu kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru. ~~~~~~ 924 8, 39 | mateso, na Dini yote iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu. 925 8, 41 | sehemu moja katika tano) ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu 926 8, 41 | Mungu na tuliyo yateremsha kwa mja wetu siku ya kipambanuo, 927 8, 42 | lilio kuwa lazima litendeke, kwa sababu aangamie wa kuangamia 928 8, 42 | sababu aangamie wa kuangamia kwa dalili zilizo dhaahiri, 929 8, 42 | asalimike wa kusalimika kwa dalili zilizo dhaahiri. 930 8, 44 | Na mambo yote hurejezwa kwa Mwenyezi Mungu. ~~~~~~ 931 8, 47 | walio toka majumbani mwao kwa fakhari na kujionyesha kwa 932 8, 47 | kwa fakhari na kujionyesha kwa watu, na wakawazuilia watu 933 8, 51 | 51. Hayo ni kwa sababu ya yale yaliyo kwisha 934 8, 52 | Mwenyezi Mungu aliwashika kwa sababu ya madhambi yao. 935 8, 53 | 53. Hayo ni kwa sababu Mwenyezi Mungu habadilishi 936 8, 54 | Mlezi, basi tukawateketeza kwa madhambi yao. Na tukawazamisha 937 8, 58 | 58. Na ukichelea khiana kwa watu fulani basi watupilie 938 8, 58 | basi watupilie ahadi yao kwa usawa. Hakika Mwenyezi Mungu 939 8, 60 | nguvu kama muwezavyo, na kwa farasi walio fungwa tayari-tayari, 940 8, 62 | ndiye aliye kuunga mkono kwa nusura yake na kwa Waumini. ~~~~~~ 941 8, 62 | mkono kwa nusura yake na kwa Waumini. ~~~~~~ 942 8, 65 | moja katika walio kufuru. Kwa sababu wao ni watu wasio 943 8, 66 | kuwa upo udhaifu kwenu. Kwa hivyo wakiwa wapo watu mia 944 8, 66 | watawashinda elfu mbili, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. 945 8, 68 | iliyo kwisha tangulia kutoka kwa Mwenyezi Mungu ingeli kupateni 946 8, 68 | ingeli kupateni adhabu kubwa kwa vile mlivyo chukua. ~~~~~~ 947 8, 72 | wakapigania Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, na 948 8, 72 | marafiki na walinzi wao kwa wao. Na wale walio amini 949 8, 73 | kufuru ni marafiki wenyewe kwa wenyewe. Msipo fanya hivi 950 8, 75 | nasaba wanastahikiana wenyewe kwa wenyewe zaidi katika Kitabu 951 9 | Aya zake ni 129. Imeanzia kwa kujitenga Mwenyezi Mungu 952 9 | Mtukufu na washirikina. Na kwa hivyo ikaitwa pia Sura ya 953 9 | Msikiti Mtakatifu wa Makka, kwa kuwa wao ni najisi! ~Na 954 9 | hayo ametaja hali za watu kwa mnasaba wa Imani. Na akataja 955 9 | Taala akakhitimisha Sura hii kwa kusema kuwa hakika Mwenyezi 956 9 | Mtukufu amemteua Muhammad kwa kumpa Utume, na kwamba yeye 957 9 | peke yake ndiyo haianzii kwa Bismillahi, Kwa Jina la 958 9 | haianzii kwa Bismillahi, Kwa Jina la Mwenyezi Mungu.) ~~ 959 9, 3 | Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija Kubwa 960 9, 3 | wake hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu 961 9, 6 | pahala pake pa amani. Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua 962 9, 8 | ahadi. Wanakufurahisheni kwa midomo yao tu, na nyoyo 963 9, 9 | Wamenunua thamani ndogo kwa Ishara za Mwenyezi Mungu, 964 9, 10 | 10. Hawatazami kwa Muumini udugu wala ahadi; 965 9, 11 | Dini. Na tunazichambua Aya kwa watu wajuao. ~~~~~~ 966 9, 12 | viapo vya kweli. Huenda (kwa hayo) wakaacha. ~~~~~~ 967 9, 14 | Mwenyezi Mungu awaadhibu kwa mikono yenu, na awahizi 968 9, 20 | katika Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao 969 9, 22 | Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo malipo 970 9, 28 | Hakika washirikina ni najsi, kwa hivyo wasiukaribie Msikiti 971 9, 28 | Mwenyezi Mungu atakutajirisheni kwa fadhila yake akipenda. Hakika 972 9, 29 | Kitabu, mpaka watoe kodi kwa khiari yao, hali wamet'ii. ~~~~~~ 973 9, 30 | Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno 974 9, 32 | kuizima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa vinywa vyao, na Mwenyezi 975 9, 33 | ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya Haki 976 9, 34 | wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia Njia 977 9, 36 | 36. Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi 978 9, 37 | kuzidi katika kukufuru; kwa hayo hupotezwa walio kufuru. 979 9, 37 | itukuza Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo huhalalisha alivyo 980 9, 40 | wake, na akamuunga mkono kwa majeshi msiyo yaona, na 981 9, 41 | wazito, na piganeni Jihadi kwa mali yenu na nafsi zenu 982 9, 42 | ingeli kuwa ipo faida ya papo kwa papo, na safari yenyewe 983 9, 42 | kuna mashaka. Nao wataapa kwa Mwenyezi Mungu: Tungeli 984 9, 43 | Mwenyezi Mungu amekusamehe! Kwa nini ukawapa ruhusa kabla 985 9, 44 | wasende kupigana Jihadi kwa mali yao na nafsi zao. Na 986 9, 46 | kachukia kutoka kwao, na kwa hivyo akawazuia na ikasemwa: 987 9, 49 | usinitie katika fitina. Kwa yakini wao hivyo wamekwisha 988 9, 54 | kukubaliwa michango yao ila kwa kuwa walimkataa Mwenyezi 989 9, 54 | wala hawaji kwenye Sala ila kwa uvivu, wala hawatoi michango 990 9, 56 | 56. Na wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba wao 991 9, 61 | Waumini, naye ni rehema kwa wanao amini miongoni mwenu. 992 9, 66 | tutaliadhibu kundi jingine kwa kuwa wao ni wakosefu. ~~~~~~ 993 9, 69 | lenu, kama walivyo starehe kwa fungu lao wale walio kuwa 994 9, 70 | Mitume wao waliwafikia kwa hoja zilizo wazi. Basi Mwenyezi 995 9, 71 | na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. 996 9, 74 | 74. Wanaapa kwa Mwenyezi Mungu kuwa hawakusema; 997 9, 75 | walio muahidi Mwenyezi Mungu kwa kusema: Akitupa katika fadhila 998 9, 77 | Siku watapo kutana naye, kwa sababu ya kuwa walimkhalifu 999 9, 77 | yale waliyo muahidi, na kwa sababu ya kusema kwao uwongo. ~~~~~~ 1000 9, 80 | Mungu hatawasamehe. Hayo ni kwa sababu ya kuwa wao wamemkataa


1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-2000 | 2001-2500 | 2501-3000 | 3001-3500 | 3501-3660

Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License