bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | Mungu, na kwa vituko vyao na Musa a.s. na kuwakumbusha khabari
2 2 | kuwakumbusha mambo ambayo umma wa Musa na umma wa Muhammad walivyo
3 2, 51 | 51. Na tulipo muahidi Musa masiku arubaini, kisha mkachukua
4 2, 53 | 53. Na tulipo mpa Musa Kitabu na pambanuo ili mpate
5 2, 54 | 54. Na Musa alipo waambia watu wake:
6 2, 55 | 55. Na mlipo sema: Ewe Musa! Hatutakuamini mpaka tumwone
7 2, 60 | 60. Na Musa alipo omba maji kwa ajili
8 2, 61 | 61. Na mlipo sema: Ewe Musa! Hatuwezi kuvumilia chakula
9 2, 67 | 67. Na Musa alipo waambia watu wake:
10 2, 87 | 87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada
11 2, 92 | 92. Na alikufikieni Musa na hoja zilizo waziwazi,
12 2, 108| Mtume wenu kama alivyo ombwa Musa zamani? Na anaye badilisha
13 2, 136| wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa
14 2, 246| Wana wa Israili baada ya Musa, walipo mwambia Nabii wao:
15 2, 248| mabaki ya waliyo yaacha kina Musa na kina Harun, wanalichukua
16 3, 84 | wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine
17 4, 153| hakika walikwisha mtaka Musa makubwa kuliko hayo. Walisema:
18 4, 153| tukasamehe hayo, na tukampa Musa nguvu zilizo dhaahiri. ~~~~~~
19 4, 164| Mwenyezi Mungu alinena na Musa kwa maneno. ~~~~~~
20 5, 20 | 20. Na pale Musa alipo waambia watu wake:
21 5, 22 | 22. Wakasema: Ewe Musa! Huko wako watu majabari.
22 5, 24 | 24. Wakasema: Ewe Musa! Sisi hatutaingia humo kamwe
23 6, 84 | Suleiman na Ayyub na Yusuf na Musa na Harun. Na hivi ndivyo
24 6, 91 | Kitabu alicho kuja nacho Musa, chenye nuru na uwongofu
25 6, 154| 154. Tena tulimpa Musa Kitabu kwa kumtimizia (neema)
26 7 | amefuatilizia hayo kwa kisa cha Musa na yaliyo tokea katika mambo
27 7, 103| Kisha baada yao tukamtuma Musa na Ishara zetu kwa Firauni
28 7, 104| 104. Na Musa alisema: Ewe Firauni! Hakika
29 7, 115| 115. Wakasema: Ewe Musa! Je, utatupa wewe, au tutakuwa
30 7, 117| 117. Nasi tukamfunulia Musa kumwambia: Tupa fimbo yako.
31 7, 122| 122. Mola Mlezi wa Musa na Haarun. ~~~~~~
32 7, 127| kaumu ya Firauni: Unamuacha Musa na watu wake walete uharibifu
33 7, 128| 128. Musa akawaambia watu wake: Ombeni
34 7, 129| na baada ya wewe kutujia! Musa akasema: Huenda Mola wenu
35 7, 131| Na likiwafika ovu husema: Musa na walio pamoja naye ni
36 7, 134| waangukia adhabu wakasema: Ewe Musa! Tuombee kwa Mola wako Mlezi
37 7, 138| masanamu yao. Wakasema: Ewe Musa! Hebu tufanyie na sisi miungu
38 7, 138| walivyo kuwa na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni
39 7, 142| 142. Tulimuahidi Musa masiku thalathini na tukayatimiza
40 7, 142| Mlezi masiku arubaini. Na Musa akamwambia nduguye Haarun:
41 7, 143| 143. Na alipo kuja Musa kwenye miadi yetu, na Mola
42 7, 143| aliufanya uvurugike, na Musa akaanguka chini amezimia.
43 7, 144| Mwenyezi Mungu) akasema: Ewe Musa! Mimi nimekuteuwa wende
44 7, 150| 150. Na alipo rudi Musa kwa watu wake, naye amekasirika
45 7, 151| 151.(Musa) akasema: Mola Mlezi wangu!
46 7, 154| 154. Na Musa ilipo mtulia ghadhabu aliziokota
47 7, 155| 155. Na Musa akawateuwa watu sabiini
48 7, 159| 159. Na katika kaumu ya Musa lipo kundi linao waongoa
49 7, 160| mbali mbali. Na tulimfunulia Musa walipo muomba maji watu
50 10 | hadithi ya Nuhu, na hadithi ya Musa na Harun na Firauni na Wana
51 10, 75 | Kisha baada yao tukamtuma Musa na Haruni kwa Firauni na
52 10, 77 | 77. Akasema Musa: Mnasema hivi juu ya Haki
53 10, 80 | Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo
54 10, 81 | 81. Walipo tupa, Musa alisema: Mliyo leta ni uchawi.
55 10, 83 | 83. Basi hawakumuamini Musa isipo kuwa baadhi ya vijana
56 10, 84 | 84. Na Musa alisema: Enyi watu wangu!
57 10, 87 | 87. Na tukampelekea Musa na ndugu yake wahyi huu:
58 10, 88 | 88. Na Musa akasema: Mola wetu Mlezi!
59 11, 17 | yake kilikuwa Kitabu cha Musa kilicho kuwa mwongozi na
60 11, 96 | 96. Na hakika tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na
61 11, 110| 110. Na kwa yakini tulimpa Musa Kitabu; zikazuka khitilafu
62 14, 5 | 5. Na tulimtuma Musa pamoja na miujiza yetu,
63 14, 6 | 6. Na Musa alipo waambia watu wake:
64 14, 8 | 8. Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi
65 17 | inaeleza Ujumbe wa Nabii Musa a.s., na yaliyo kuwa ya
66 17, 2 | 2. Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu
67 17, 101| 101. Na kwa yakini tulimpa Musa ishara tisa zilizo wazi.
68 17, 101| Hakika mimi nakuona wewe Musa umerogwa! ~~~~~~
69 17, 102| 102. Musa akasema: Wewe unajua bila
70 18 | Subhanahu ametaja hadithi ya Musa pamoja na Mja Mwema aliye
71 18, 60 | 60. Na pale Musa alipo mwambia kijana wake:
72 18, 64 | 64. (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo
73 18, 66 | 66. Musa akamwambia: Nikufuate ili
74 18, 71 | jahazi (yule mtu) akaitoboa. (Musa) akasema: Unaitoboa uwazamishe
75 18, 73 | 73. (Musa) akasema: Usinichukulie
76 18, 74 | wakamkuta kijana, akamuuwa. (Musa) akasema: Ala! Umemuuwa
77 18, 77 | mja mwema) akausimamisha. (Musa) akasema: Ungeli taka ungeli
78 19, 51 | 51. Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye
79 20 | Kisha kimesimuliwa kisa cha Musa a.s. pamoja na Firauni,
80 20 | anza kupewa utume Nabii Musa a.s. Na yametajwa maombi
81 20 | Mtukufu amebainisha kuzuka kwa Musa a.s. ~Katika Sura hii pana
82 20 | pana majibizano baina ya Musa na Firauni, tena baina ya
83 20 | na Firauni, tena baina ya Musa a.s. na wachawi, na hali
84 20 | a.s. na wachawi, na hali ya Musa ya kuogopa kushindwa mbele
85 20 | kuwaadhibu. Kisha ikatajwa vipi Musa alivyo toka yeye na Wana
86 20 | kupasuka bahari; na vipi Musa aliokoka akafika Jabal T'
87 20 | ndani yake hutoa sauti. Musa alikasirika kwa yaliyo tokea,
88 20 | kuvuka katika hadithi za Musa na nyenginezo. Na mwisho
89 20, 9 | je! Imekufikia hadithi ya Musa? ~~~~~~
90 20, 11 | alipo ufikia akaitwa: Ewe Musa! ~~~~~~
91 20, 17 | mkononi mwako wa kulia, ewe Musa? ~~~~~~
92 20, 19 | 19. Akasema: Itupe, ewe Musa! ~~~~~~
93 20, 25 | 25. (Musa) akasema: Ewe Mola wangu
94 20, 36 | Umepewa maombi yako, ewe Musa! ~~~~~~
95 20, 40 | kama ilivyo kadiriwa, ewe Musa! ~~~~~~
96 20, 49 | wenu Mlezi ni nani, ewe Musa? ~~~~~~
97 20, 57 | 57. Akasema: Ewe Musa! Hivyo umetujia kututoa
98 20, 61 | 61. Musa akamwambia: Ole wenu! Msimzulie
99 20, 65 | 65. Wakasema: Ewe Musa! Je! Utatupa wewe, au tutakuwa
100 20, 67 | 67. Basi Musa akaingia khofu nafsi yake. ~~~~~~
101 20, 70 | Tumemuamini Mola Mlezi wa Harun na Musa! ~~~~~~
102 20, 77 | 77. Na tulimfunulia Musa: Toka usiku na waja wangu,
103 20, 83 | ukawaacha watu wako, ewe Musa? ~~~~~~
104 20, 86 | 86. Musa akarudi kwa watu wake kwa
105 20, 88 | mungu wenu, na mungu wa Musa, lakini alisahau. ~~~~~~
106 20, 91 | Hatutaacha kumuabudu mpaka Musa atapo rejea kwetu. ~~~~~~
107 20, 92 | 92. (Musa) akasema: Ewe Harun! Ni
108 20, 95 | 95. (Musa) akasema: Ewe Msamaria!
109 20, 97 | 97. (Musa) akasema: Basi ondoka! Na
110 21 | Kiyama. Na akataja hadithi ya Musa na Harun pamoja na Firauni,
111 21, 48 | Na kwa yakini tuliwapa Musa na Haaruni kipambanuzi,
112 22, 44 | Na watu wa Madiana. Na Musa pia alikanushwa. Nikawapa
113 23, 45 | 45. Kisha tukamtuma Musa na nduguye, Haaruni, pamoja
114 23, 49 | 49. Na hakika tulimpa Musa Kitabu ili wapate kuongoka. ~~~~~~
115 25, 35 | 35. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukamweka pamoja
116 26 | zao. Ikasimulia mkutano wa Musa na Harun walipo kutana na
117 26, 10 | wako Mlezi, alipo mwita Musa, akamwambia: Fika kwa watu
118 26, 20 | 20. (Musa) akasema: Nilitenda hayo
119 26, 26 | 26. (Musa) akasema: Ndiye Mola wenu
120 26, 28 | 28. (Musa) akasema: Ndiye Mola Mlezi
121 26, 43 | 43. Musa akwaambia: Tupeni mnavyo
122 26, 45 | 45. Musa tena akatupa fimbo yake,
123 26, 48 | 48. Mola Mlezi wa Musa na Harun. ~~~~~~
124 26, 52 | 52. Na tulimuamrisha Musa kwa wahyi: Nenda na waja
125 26, 61 | majeshi mawili haya, watu wa Musa wakasema: Hakika sisi bila
126 26, 62 | 62. (Musa) akasema: Hasha! Hakika
127 26, 63 | 63. Tulimletea wahyi Musa tukamwambia: Piga bahari
128 26, 65 | 65. Tukawaokoa Musa na walio kuwa pamoja naye
129 27 | Baada yake kimekuja kisa cha Musa a.s. Na imetajwa baadhi
130 27, 7 | 7. (Kumbuka) Musa alipo waambia ahali zake:
131 27, 9 | 9. Ewe Musa! Hakika Mimi ndiye Mwenyezi
132 27, 10 | nyuma wala hakungoja. Ewe Musa! Usikhofu! Hakika hawakhofu
133 28 | kwa jumla katika mambo ya Musa a.s. tangu kuzaliwa kwake
134 28 | tokea kukhusu kulelewa kwake Musa katika nyumba ya Firauni,
135 28 | mazungumzo ya Mwenyezi Mungu na Musa, na kumteuwa yeye kwa kumpa
136 28 | na wachawi wake pamoja na Musa, mpaka Mwenyezi Mungu alipo
137 28 | Firauni na jeshi lake. Na Musa na Wana wa Israili walio
138 28 | Wana wa Israili pamoja na Musa na nduguye Harun. Na zimetajwa
139 28, 3 | Tunakusomea khabari za Musa na Firauni kwa Haki kwa
140 28, 7 | Tulimfunulia mama yake Musa kwa kumwambia: Mnyonyeshe.
141 28, 10 | 10. Na moyo wa mama yake Musa ukawa mtupu. Alikuwa karibu
142 28, 11 | Naye akamwambia dada yake Musa: Mfuatie. Basi naye akawa
143 28, 14 | 14. Na Musa alipo fika utu-uzima baraabara,
144 28, 15 | msaada kumpiga adui yake. Musa akampiga ngumi, akamuuwa.
145 28, 18 | anampigia kelele amsaidie. Musa akamwambia: Hakika wewe
146 28, 19 | wote wawili, akasema: Ewe Musa! Unataka kuniuwa kama ulivyo
147 28, 20 | akipiga mbio, akasema: Ewe Musa! Wakubwa wanashauriana kukuuwa.
148 28, 24 | 24. Basi Musa akawanyweshea; kisha akarudi
149 28, 28 | 28. Musa akasema: Hayo yamekwisha
150 28, 30 | barikiwa kutoka kwenye mti: Ewe Musa! Hakika Mimi ni Mwenyezi
151 28, 31 | hakutazama. (Akaambiwa): Ewe Musa! Njoo mbele wala usiogope.
152 28, 36 | 36. Basi alipo wafikia Musa na Ishara zetu, walisema:
153 28, 37 | 37. Na Musa akasema: Mola wangu Mlezi
154 28, 38 | nipate kumchungulia mungu wa Musa. Na hakika mimi namwona
155 28, 43 | hakika bila ya shaka tulimpa Musa Kitabu baada ya kwisha ziangamiza
156 28, 44 | wa magharibi tulipo mpa Musa amri, wala hukuwa katika
157 28, 48 | hakupewa kama aliyo pewa Musa? Je! Kwani wao hawakuyakataa
158 28, 48 | hawakuyakataa aliyo pewa Musa zamani? Walisema: Ni wachawi
159 28, 76 | Qaruni alikuwa katika watu wa Musa, lakini aliwafanyia dhulma.
160 29 | walivyo ikataa kaumu ya Musa na wengineo. Na akagusia
161 29, 39 | na Firauni na Hamana! Na Musa aliwajia kwa Ishara waziwazi,
162 32 | na waovu, na kuteremshiwa Musa a.s. Taurati, na vipi alivyo
163 32, 23 | Hakika Sisi tulikwisha mpa Musa Kitabu. Basi usiwe na shaka
164 33, 69 | kama wale walio mtaabisha Musa, lakini Mwenyezi Mungu akamtakasa
165 37, 114| hakika tuliwafanyia hisani Musa na Haruni. ~~~~~~
166 37, 120| 120. Iwe salama kwa Musa na Haruni! ~~~~~~
167 40 | imesimulia kidogo katika kisa cha Musa a.s. pamoja na Firauni,
168 40, 23 | Na kwa yakini tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na
169 40, 26 | akasema: Niachieni nimuuwe Musa, naye amwite Mola wake Mlezi!
170 40, 27 | 27. Na Musa akasema: Mimi najikinga
171 40, 37 | mbinguni ili nikamwone Mungu wa Musa. Na kwa hakika mimi bila
172 40, 53 | 53. Na kwa hakika tulimpa Musa uwongofu, na tukawarithisha
173 41, 45 | 45. Na hakika tulimpa Musa Kitabu, lakini pakatokea
174 42, 13 | tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini
175 43 | Sura inasimulia kisa cha Musa na Firauni, na alivyo ghurika
176 43, 46 | bila ya shaka tulimtuma Musa kwa Ishara zetu ende kwa
177 46, 12 | yake kilikuwapo Kitabu cha Musa, kuwa chenye uwongozi na
178 46, 30 | kilicho teremshwa baada ya Musa, kinacho sadikisha yaliyo
179 51, 38 | 38. Na katika khabari za Musa, tulipo mtuma kwa Firauni
180 53 | ikasimuliwa na Vitabu vya Musa na Ibrahim. Na Aya hizi
181 53, 36 | yaliyomo katika Vitabu vya Musa? ~~~~~~
182 61 | wawili watukufu, nao ni Musa na Isa s.a.w. Na kwamba
183 61, 5 | 5. Na Musa alipo waambia watu wake:
184 79 | ikafuatia hayo hadithi ya Musa na Firauni kumliwaza Mtume
185 79, 15 | Je! Imekufikia hadithi ya Musa? ~~~~~~
186 87 | Vitabu vya Ibrahimu na Musa.~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU
187 87, 19 | Vitabu vya Ibrahimu na Musa. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
|