Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
wekewa 7
wekundu 1
wekwa 15
wema 159
wendako 2
wendao 2
wende 13
Frequency    [«  »]
163 baina
163 kwao
161 khabari
159 wema
158 yangu
155 mnayo
152 1

Qu'rani

IntraText - Concordances

wema

                                               bold = Main text
    Sura, verse                                grey = Comment text
1 2 | ikaingia kubainisha misingi ya wema, na kutaja baadhi ya hukumu 2 2, 58 | yenu, na tutawazidishia wema wafanyao wema. ~~~~~~ 3 2, 58 | tutawazidishia wema wafanyao wema. ~~~~~~ 4 2, 83 | Mwenyezi Mungu; na muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima 5 2, 83 | masikini, na semeni na watu kwa wema, na shikeni Sala, na toeni 6 2, 130| atakuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 7 2, 177| 177. Sio wema kuwa mnaelekeza nyuso zenu 8 2, 177| mashariki na magharibi. Bali wema ni wa anaye muamini Mwenyezi 9 2, 178| basi ashikwe kulipa kwa wema, na yeye alipe kwa ihsani. 10 2, 184| masikini. Na atakaye fanya wema kwa kujitolea, basi ni bora 11 2, 189| ya watu na Hija. Wala sio wema kuziingia nyumba kwa nyuma. 12 2, 195| katika maangamizo. Na fanyeni wema. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda 13 2, 195| Mungu huwapenda wafanyao wema. ~~~~~~ 14 2, 224| kisingizio cha kuacha kufanya wema na kuchamngu na kupatanisha 15 2, 229| mbili. Kisha ni kukaa kwa wema au kuachana kwa vizuri. 16 2, 231| yao, basi warejeeni kwa wema au waachilieni kwa wema. 17 2, 231| wema au waachilieni kwa wema. Wala msiwarejee kwa kuwadhuru 18 2, 232| baina yao wamepatana kwa wema. Hayo anaonywa nayo yule 19 3, 39 | mt'awa na Nabii kwa watu wema. ~~~~~~ 20 3, 46 | na atakuwa katika watu wema. ~~~~~~ 21 3, 92 | 92. KABISA HAMTAFIKIA wema mpaka mtoe katika vile mnavyo 22 3, 134| Mungu huwapenda wafanyao wema; ~~~~~~ 23 3, 164| Mwenyezi Mungu amewafanyia wema mkubwa Waumini vile alivyo 24 3, 172| majaraha - kwa walio fanya wema miongoni mwao na wakamchamngu 25 3, 179| mpaka apambanue wabaya na wema. Wala haiwi kwa Mwenyezi 26 3, 193| utufishe pamoja na watu wema. ~~~~~~ 27 3, 198| Mwenyezi Mungu ni bora kwa watu wema. ~~~~~~ 28 4, 19 | ulio wazi. Na kaeni nao kwa wema, na ikiwa mmewachukia, basi 29 4, 25 | kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. 30 4, 34 | wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na 31 4, 36 | chochote. Na wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na 32 4, 62 | wakisema: Hatukutaka ila wema na mapatano. ~~~~~~ 33 4, 69 | Masiddiqi, na Mashahidi, na Watu wema. Na uzuri ulioje kuwa pamoja 34 4, 128| tamaa na choyo. Na mkifanya wema na mkamchamngu basi hakika 35 4, 149| 149. Mkidhihirisha wema au mkiuficha, au mkiyasamehe 36 5, 2 | uadui. Na saidianeni katika wema na uchamngu. Wala msisaidiane 37 5, 5 | halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na 38 5, 5 | mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa 39 5, 13 | Mungu huwapenda wafanyao wema. ~~~~~~ 40 5, 84 | atuingize pamoja na watu wema? ~~~~~~ 41 5, 85 | ndiyo malipo ya wafanyao wema. ~~~~~~ 42 6 | kutekeleza ahadi, kuwatendea wema wazazi, na kukataza kuwazika 43 6, 84 | tunavyo walipa wafanyao wema. ~~~~~~ 44 6, 85 | walikuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 45 6, 151| Na wazazi wenu wafanyieni wema. Wala msiwauwe watoto wenu 46 6, 152| ya yatima ila kwa njia ya wema kabisa, mpaka afikilie utu-uzima. 47 6, 154| kumtimizia (neema) aliye fanya wema, na kuwa ni maelezo ya kila 48 6, 160| 160. Afanyae wema atalipwa mfano wake mara 49 7, 95 | hubadilisha mahala pa ubaya kwa wema, hata wakazidi, na wakasema: 50 7, 161| kukusameheni makosa yenu. Walio wema tutawazidishia. ~~~~~~ 51 7, 168| makundi. Wako kati yao walio wema, na wengine kinyume cha 52 7, 196| Naye ndiye awalindae walio wema. ~~~~~~ 53 8, 23 | Mwenyezi Mungu angeli jua wema wowote kwao ange wasikilizisha, 54 8, 37 | pambanua walio waovu na walio wema, na kuwaweka waovu juu ya 55 9, 50 | 50. Ukikupata wema unawachukiza, na ukikusibu 56 9, 91 | ya kuwalaumu wanao fanya wema. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye 57 9, 100| Ansari, na walio wafuata kwa wema, Mwenyezi Mungu ameridhika 58 9, 107| kwamba: Hatukukusudia ila wema tu. Na Mwenyezi Mungu anashuhudia 59 10, 26 | 26. Kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. Wala vumbi 60 10, 26 | 26. Kwa wafanyao wema ni wema na zaidi. Wala vumbi halitawafunika 61 11, 115| hapotezi ujira wa wanao fanya wema. ~~~~~~ 62 12, 9 | baada ya haya mtakuwa watu wema. ~~~~~~ 63 12, 36 | tunakuona wewe ni katika watu wema. ~~~~~~ 64 12, 78 | tunakuona wewe ni katika watu wema. ~~~~~~ 65 12, 100| Mwenyezi Mungu amenifanyia wema kunitoa gerezani, na kukuleteni 66 13, 18 | Mola wao Mlezi watapata wema. Na wasio muitikia, hata 67 13, 22 | na wakayaondoa maovu kwa wema. Hao ndio watakao pata malipo 68 13, 23 | wataziingia wao na walio wema miongoni mwa baba zao, na 69 16, 30 | Watasema: Kheri. Walio fanya wema katika dunia hii watapata 70 16, 30 | katika dunia hii watapata wema. Na nyumba ya Akhera ni 71 16, 41 | shaka tutawaweka duniani kwa wema; na ujira wa Akhera ni mkubwa 72 16, 122| 122. Na tukampa wema duniani, na hakika Akhera 73 16, 122| atakuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 74 17 | Haki, na hali za Waumini wema katika Imani zao, na inavyo 75 17, 7 | 7. Basi mkifanya wema, mnajifanyia wema nafsi 76 17, 7 | mkifanya wema, mnajifanyia wema nafsi zenu. Na mkifanya 77 17, 23 | wazazi wawili muwatendee wema. Mmoja wao akifikia uzee, 78 17, 25 | mwenu. Ikiwa nyinyi mtakuwa wema, basi hakika Yeye ni Mwenye 79 17, 35 | mizani zilizo sawa. Hayo ni wema kwenu na khatimaye ndio 80 18, 86 | uwaadhibu au watwae kwa wema. ~~~~~~ 81 19, 32 | 32. Na nimtendee wema mama yangu. Wala hakunifanya 82 21 | alivyo mneemesha kwa dhuriya wema. Naye Subhanahu wa Taa'la 83 21, 72 | wote tukawajaalia wawe watu wema. ~~~~~~ 84 21, 86 | wao walikuwa katika watu wema. ~~~~~~ 85 21, 101| 101. Ama wale ambao wema wetu umewatangulia, hao 86 21, 105| watairithi waja wangu walio wema. ~~~~~~ 87 24, 26 | wanawake waovu. Na wanawake wema ni wa wanaume wema, na wanaume 88 24, 26 | wanawake wema ni wa wanaume wema, na wanaume wema ni wa wanawake 89 24, 26 | wanaume wema, na wanaume wema ni wa wanawake wema. Hao 90 24, 26 | wanaume wema ni wa wanawake wema. Hao wameepushwa na hayo 91 24, 32 | wajane miongoni mwenu na wema katika watumwa wenu na wajakazi 92 24, 33 | waandikieni kama mkiona wema kwao. Na wapeni katika mali 93 26, 84 | Na unijaalie nitajwe kwa wema na watu watakao kuja baadaye. ~~~~~~ 94 27, 11 | dhulumu, kisha akabadilisha wema baada ya ubaya, basi Mimi 95 27, 19 | rehema yako katika waja wako wema. ~~~~~~ 96 27, 46 | mnauhimiza uwovu kabla ya wema? Kwa nini hamuombi msamaha 97 28, 12 | ajili yenu, nao pia watakuwa wema kwake? ~~~~~~ 98 28, 14 | ndivyo tunavyo walipa walio wema. ~~~~~~ 99 28, 27 | utanikuta miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 100 28, 54 | na wakaondoa ubaya kwa wema, na wakatoa katika tuliyo 101 28, 77 | lako la dunia. Nawe fanya wema kama Mwenyezi Mungu alivyo 102 28, 77 | Mwenyezi Mungu alivyo kufanyia wema wewe. Wala usitafute kufanya 103 28, 84 | 84. Atakaye tenda wema atapata malipo bora kuliko 104 28, 84 | atapata malipo bora kuliko huo wema alio utenda. Na atakaye 105 29 | ya jihadi, ili ukusanyike wema na jihadi, na baina ya watu 106 29, 8 | tumemuusia mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wake. Na ikiwa watakushikilia 107 29, 9 | tutawatia miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 108 29, 27 | ya shaka ni katika watu wema. ~~~~~~ 109 29, 69 | Mungu yu pamoja na watu wema. ~~~~~~~~~~~~ 110 30 | na ikahimiza kuwafanyia wema jamaa. ~Kisha Mwenyezi Mungu 111 31 | yake. Na wamesifiwa watu wema kwa kuwa wana ut'iifu kwa 112 31 | Kwanza: Kuwabashiria watu wema kuwa watapata neema na furaha, 113 31, 3 | Uwongofu na Rehema kwa wafanyao wema, ~~~~~~ 114 31, 15 | usiwat'ii. Lakini kaa nao kwa wema duniani, nawe ishike njia 115 31, 22 | Mungu, naye akawa anafanya wema, basi huyo hakika amekwisha 116 33 | kustareheshwa na kumwacha kwa wema mwanamke anaye pewa talaka 117 33, 6 | Wahamiaji. Ila muwe mnawafanyia wema marafiki zenu. Haya yamekwisha 118 33, 49 | muwawache kwa kuwachana kwa wema. ~~~~~~ 119 37, 112| Nabii miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 120 37, 113| mwa dhuriya zao walitokea wema na wenye kudhulumu nafsi 121 37, 121| ndivyo tunavyo walipa walio wema. ~~~~~~ 122 37, 131| ndivyo tunavyo walipa walio wema. ~~~~~~ 123 39, 10 | wenu Mlezi. Wale wafanyao wema katika dunia hii watapata 124 39, 10 | katika dunia hii watapata wema. Na ardhi ya Mwenyezi Mungu 125 39, 24 | Kiyama (ni sawa na watenda wema?) Na wataambiwa wenye kudhulumu: 126 39, 35 | wao kwa mujibu wa ukomo wa wema walio kuwa wakiutenda. ~~~~~~ 127 40, 40 | uwovu wake, na anaye tenda wema, akiwa mwanamume au mwanamke, 128 41 | baina ya kheri na shari: "Wema haulingani na uovu". ~Kisha 129 41, 35 | 35. Lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala 130 42 | uovu wa hali ya makafiri na wema wa hali ya Waumini katika 131 42, 23 | kujikurubisha. Na anaye fanya wema tutamzidishia wema. Hakika 132 42, 23 | fanya wema tutamzidishia wema. Hakika Mwenyezi Mungu ni 133 46 | washughulikie kuwafanyia wema wazazi wawili, na kuzitunza 134 46, 15 | tumemuusia mwanaadamu awatendee wema wazazi wake wawili. Mama 135 53 | uovu wake, na mwema kwa wema wake. Naye ndiye Mjuzi kabisa 136 55, 70 | 70. Humo wamo wanawake wema wazuri. ~~~~~~ 137 57, 10 | Mwenyezi Mungu amewaahidia wema. Na Mwenyezi Mungu anazo 138 60 | waajibu wetu kuwafanyia wema, na kuwafanyia haki. Ama 139 60, 8 | hakukatazini kuwafanyia wema na uadilifu wale ambao hawakukupigeni 140 63, 10 | sadaka, na niwe katika watu wema? ~~~~~~ 141 65, 2 | ima warejeeni muwaweke kwa wema, au farikianeni nao kwa 142 65, 2 | au farikianeni nao kwa wema. Na mshuhudishe mashahidi 143 65, 6 | wao, na shaurianeni kwa wema. Na mkiona uzito kati yenu, 144 66 | kwa kupiga mifano kwamba wema wa waume hautazuia adhabu 145 66, 4 | na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika 146 66, 10 | Walikuwa chini ya waja wetu wema wawili miongoni mwa waja 147 68, 50 | akamfanya miongoni mwa watu wema. ~~~~~~ 148 72 | wapata wapumbavu wao na wema wao, na yaliyo kuwa kutokana 149 72, 11 | hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume 150 76, 5 | 5. Hakika watu wema watakunywa katika vinywaji 151 80, 16 | 16. Watukufu, wema. ~~~~~~ 152 82 | ikamalizia kusema kuwa watu wema watapata neema. Na wapotovu 153 82, 13 | 13. Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika 154 83 | Tena Aya zikawageukia watu wema, zikawatuza nyoyo kwa vitendo 155 83, 18 | Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika 156 83, 22 | 22. Hakika watu wema bila ya shaka watakuwa katika 157 91, 8 | akaifahamisha uovu wake na wema wake, ~~~~~~ 158 92 | waovu na watauepuka walio wema.~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU 159 99, 7 | Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License