Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
zawadi 5
zenu 193
zenye 29
zetu 148
zi 2
ziada 4
ziamini 5
Frequency    [«  »]
149 mmoja
148 kiyama
148 nini
148 zetu
147 moto
146 alipo
145 ewe

Qu'rani

IntraText - Concordances

zetu

                                                    bold = Main text
    Sura, verse                                     grey = Comment text
1 2, 39 | kukufuru na kuzikanusha ishara zetu, hao ndio watakao kuwa watu 2 2, 88 | 88. Na walisema: Nyoyo zetu zimefunikwa. Bali Mwenyezi 3 2, 151| nyinyi, anakusomeeni Aya zetu na kukutakaseni na kukufundisheni 4 2, 170| tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao 5 3, 8 | Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, 6 3, 11 | yao. Walikanusha Ishara zetu, basi Mwenyezi Mungu aliwashika 7 3, 61 | na watoto wenu, na wake zetu na wake zenu, na sisi wenyewe 8 4, 56 | wale walio zikataa Ishara zetu tutawaingiza Motoni. Kila 9 4, 155| haki, na kusema kwao: Nyoyo zetu zimefumbwa; bali Mwenyezi 10 5, 10 | kufuru na wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~ 11 5, 86 | na wakazikanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~ 12 5, 104| tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je, hata ikiwa baba zao 13 5, 113| chakula hicho, na nyoyo zetu zitue, na tujue kwamba umetuambia 14 6, 39 | Na walio kanusha Ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo 15 6, 49 | Na walio kanusha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo 16 6, 54 | kujia wanao ziamini Ishara zetu waambie: Assalamu alaikum! 17 6, 68 | waona wanao ziingilia Aya zetu, basi jitenge nao mpaka 18 6, 83 | 83. Na hizo ndizo hoja zetu tulizo mpa Ibrahim kuhojiana 19 6, 130| Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha 20 6, 139| wameharimishwa kwa wake zetu. Lakini ikiwa nyamafu basi 21 6, 148| shiriki sisi, wala baba zetu; wala tusingeli harimisha 22 6, 150| ya walio zikanusha Ishara zetu, wala hawaiamini Akhera, 23 6, 157| wanao jitenga na Ishara zetu adhabu kali kabisa kwa sababu 24 7, 9 | sababu ya kuzipinga Ishara zetu. ~~~~~~ 25 7, 23 | Mlezi! tumejidhulumu nafsi zetu, na kama hutusamehe na kuturehemu, 26 7, 28 | husema: Tumewakuta nayo baba zetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha 27 7, 36 | wale watakao kanusha Ishara zetu na wakazifanyia kiburi, 28 7, 40 | wale wanao zikanusha Ishara zetu na wakazifanyia kiburi hawatafunguliwa 29 7, 51 | ya kule kuzikataa Ishara zetu. ~~~~~~ 30 7, 64 | wale walio kanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa watu 31 7, 70 | waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu? Basi tuletee hayo unayo 32 7, 72 | kuwa pamoja naye kwa rehema zetu, na tukakata mizizi ya wale 33 7, 72 | wale walio zikanusha Ishara zetu, na hawakuwa wenye kuamini. ~~~~~~ 34 7, 95 | na raha ziliwafikia baba zetu. Basi kwa ghafla tukawashika, 35 7, 103| tukamtuma Musa na Ishara zetu kwa Firauni na waheshimiwa 36 7, 136| sababu walizikanusha Ishara zetu, na wakaghafilika nazo. ~~~~~~ 37 7, 146| sababu wamezikanusha Ishara zetu, na wameghafilika nazo. ~~~~~~ 38 7, 147| Na walio zikanusha Ishara zetu na mkutano wa Akhera a'mali 39 7, 156| ambao wanaziamini Ishara zetu, ~~~~~~ 40 7, 161| na semeni: Tufutie dhambi zetu. Na ingieni katika mlango 41 7, 173| Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha kabla 42 7, 175| yule ambaye tulimpa Ishara zetu, naye akajivua nazo. Na 43 7, 176| kaumu wanao zikanusha Ishara zetu. Basi simulia hadithi, huenda 44 7, 177| watu wanao kanusha Ishara zetu na wakajidhulumu nafsi zao. ~~~~~~ 45 7, 182| walio kadhibisha Ishara zetu, tutawapururia pole pole 46 8, 31 | 31. Na wanapo somewa Aya zetu, wao husema: Tumesikia. 47 10, 7 | walio ghafilika na Ishara zetu, ~~~~~~ 48 10, 15 | 15. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, wale wasio 49 10, 21 | vitimbi kuzipangia Ishara zetu. Sema: Mwenyezi Mungu ni 50 10, 24 | hivi tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~ 51 10, 73 | tukawazamisha walio zikanusha Ishara zetu. Basi angalia vipi ulikuwa 52 10, 75 | waheshimiwa wake, kwa Ishara zetu. Wakajivuna, na wakawa watu 53 10, 78 | tuliyo wakuta nayo baba zetu, na mpate nyinyi wawili 54 10, 92 | wameghafilika na Ishara zetu. ~~~~~~ 55 11, 62 | waliyo kuwa wakiwaabudu baba zetu? Na hakika sisi tuna shaka 56 11, 87 | waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu, au tuache kufanya tupendavyo 57 11, 87 | kufanya tupendavyo katika mali zetu? Ama hakika wewe ni mstahamilivu 58 11, 96 | tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi ~~~~~~ 59 12, 56 | penda. Tunamfikishia rehema zetu tumtakaye, wala hatupuuzi 60 12, 65 | nini zaidi? Hizi bidhaa zetu tumerudishiwa. Wacha tuwaletee 61 12, 97 | Tuombee msamaha kwa dhambi zetu. Hapana shaka sisi tulikuwa 62 14, 10 | waliyo kuwa wakiabudu baba zetu. Basi tuleteeni hoja ilio 63 14, 12 | Yeye ametuongoa kwenye Njia zetu. Na hapana shaka sisi tutayavumilia 64 15, 81 | 81. Na tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza. ~~~~~~ 65 16, 35 | badala yake, sisi wala baba zetu, wala tusingeli harimisha 66 17, 1 | tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia 67 17, 98 | sababu walizikataa ishara zetu, na wakasema: Hivyo tukisha 68 18, 9 | ajabu miongoni mwa ishara zetu? ~~~~~~ 69 19, 50 | 50. Na tukawapa rehema zetu na tukawajaalia kupewa sifa 70 19, 53 | 53. Nasi kwa rehema zetu tukampa nduguye, Harun, 71 19, 73 | 73. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru 72 19, 77 | umemwona aliye zikanya Ishara zetu na akasema: Kwa hakika mimi 73 20, 23 | tukuonyeshe baadhi ya ishara zetu kubwa. ~~~~~~ 74 20, 56 | hakika tulimwonyesha ishara zetu zote. Lakini alikadhibisha 75 20, 126| hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika 76 21, 53 | Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyaabudu. ~~~~~~ 77 21, 77 | watu walio zikanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa watu 78 22, 51 | wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~ 79 22, 57 | kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu 80 22, 72 | 72. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi utaona chuki 81 22, 72 | wale wanao wasomea hizo Aya zetu. Sema: Je! Nikwambieni yaliyo 82 23, 24 | Hatukusikia haya kwa baba zetu wa zamani. ~~~~~~ 83 23, 45 | Haaruni, pamoja na ishara zetu na hoja zilizo wazi. ~~~~~~ 84 23, 83 | Tuliahidiwa haya sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa haya ila 85 25, 36 | watu walio kanusha Ishara zetu. Basi tukawateketeza kabisa. ~~~~~~ 86 25, 74 | Mlezi! Tupe katika wake zetu na wenetu yaburudishayo 87 26, 74 | Wakasema: Bali tumewakuta baba zetu wakifanya hivyo hivyo. ~~~~~~ 88 27 | hawana yakini ya Ishara zetu. Kisha Sura ikaelekea ulimwengu, 89 27, 13 | Basi zilipo wafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha, wakasema: 90 27, 67 | kuwa mchanga, sisi na baba zetu, hivyo kweli tutakuja tolewa? ~~~~~~ 91 27, 68 | tuliahidiwa sisi na baba zetu zamani. Hayakuwa haya ila 92 27, 81 | kuwa wenye kuziamini Ishara zetu; na hao ndio wat'iifu. ~~~~~~ 93 27, 82 | hawana na yakini na Ishara zetu. ~~~~~~ 94 27, 83 | wanao kadhibisha Ishara zetu, nao watagawanywa mafungu 95 28, 35 | wasikufikilieni. Kwa sababu ya Ishara zetu nyinyi na watakao kufuateni 96 28, 36 | alipo wafikia Musa na Ishara zetu, walisema: Haya si chochote 97 28, 36 | hatukuyasikia haya kwa baba zetu wa zamani. ~~~~~~ 98 28, 45 | wa Madyana ukiwasomea Aya zetu. Lakini ni Sisi tulio kuwa 99 28, 59 | yake mikuu awasomee Ishara zetu. Wala hatuiangamizi miji 100 29, 47 | iamini. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa makafiri. ~~~~~~ 101 29, 49 | ilimu. Na hawazikatai Ishara zetu isipo kuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~ 102 29, 69 | tutawaongoa kwenye njia zetu. Na hakika Mwenyezi Mungu 103 30, 16 | na wakazikanusha Ishara zetu na mkutano wa Akhera, hao 104 30, 28 | hivi tunazipambanua Aya zetu kwa watu wenye akili. ~~~~~~ 105 30, 53 | Huwasikilizishi ila wanao ziamini Aya zetu. Hao ndio Waislamu, walio 106 31, 7 | kama huyo) anapo somewa Aya zetu huzipa mgongo kwa kujivuna, 107 31, 21 | tuliyo wakuta nayo baba zetu. Je! Ijapo kuwa Shet'ani 108 31, 32 | Wala hazikanushi Ishara zetu ila aliye khaini kafiri 109 32, 15 | Hakika wanao ziamini Aya zetu ni hao tu ambao wakikumbushwa 110 32, 24 | wakawa na yakini na Ishara zetu. ~~~~~~ 111 33, 13 | kwa kusema: Hakika nyumba zetu ni tupu. Wala hazikuwa tupu; 112 33, 67 | Hakika sisi tuliwat'ii bwana zetu na wakubwa wetu; nao ndio 113 34, 5 | jitahidi kuzipinga Ishara zetu wakaona watashinda, hao 114 34, 19 | mwendo mrefu baina ya safari zetu. Na wakazidhulumu nafsi 115 34, 38 | jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao 116 34, 43 | 43. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi wanasema: Huyu 117 37, 17 | 17. Hata baba zetu wa zamani? ~~~~~~ 118 40, 23 | tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi, ~~~~~~ 119 41 | yoyote: "Tutawaonyesha Aya zetu katika upeo wa macho na 120 41, 5 | 5. Na wakasema: Nyoyo zetu zimo katika vifuniko kwa 121 41, 15 | wakawa wanazikataa Ishara zetu! ~~~~~~ 122 41, 28 | walikuwa wakizikataa Ishara zetu. ~~~~~~ 123 41, 40 | ukweli uliomo katika Ishara zetu hawatufichikii Sisi. Je! 124 41, 53 | 53. Tutawaonyesha Ishara zetu katika upeo wa mbali na 125 42, 35 | jadiliana katika Ishara zetu kwamba hawana pahala pa 126 43, 22 | Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, 127 43, 23 | Hakika sisi tuliwakuta baba zetu wanashika dini makhsusi, 128 43, 46 | tulimtuma Musa kwa Ishara zetu ende kwa Firauni na waheshimiwa 129 43, 47 | Lakini alipo wajia na Ishara zetu wakaingia kuzicheka. ~~~~~~ 130 44, 36 | 36. Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~ 131 45, 9 | kijua kitu kidogo katika Aya zetu hukifanyia mzaha. Watu hao 132 45, 25 | 25. Na wakisomewa Aya zetu zilizo wazi hawana hoja 133 45, 25 | ila kusema: Waleteni baba zetu, ikiwa nyinyi ni wasemao 134 46, 7 | 7. Na wanapo somewa Aya zetu zilizo wazi, walio kufuru 135 48, 11 | Yametushughulisha mali yetu na ahali zetu, basi tuombee msamaha. Wanasema 136 52, 26 | Tulikuwa zamani pamoja na ahali zetu tukiogopa; ~~~~~~ 137 54, 42 | Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika kama 138 56, 45 | 48. Au baba zetu wa zamani? ~~~~~~ 139 57, 19 | na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~ 140 59, 10 | Tughufirie sisi na ndugu zetu walio tutangulia kwa Imani, 141 59, 10 | usijaalie ndani ya nyoyo zetu undani kwa walio amini. 142 60 | katika kututoa kwenye nyumba zetu na miji yetu, hao, basi, 143 64, 10 | na wakakadhibisha Ishara zetu, hao ni watu wa Motoni, 144 68, 15 | 15. Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi 145 74, 16 | alikuwa akizifanyia inadi Aya zetu! ~~~~~~ 146 78, 28 | 28. Na wakikanusha Aya zetu kwa nguvu. ~~~~~~ 147 83, 13 | 13. Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu 148 90, 19 | Lakini walio zikataa Ishara zetu, hao ndio watu wa shari


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License