bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 17 | kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo tanda mwangaza
2 2, 24 | hamtofanya kamwe - basi uogopeni moto ambao kuni zake ni watu
3 2, 80 | Na walisema: Hautatugusa Moto ila kwa siku chache tu.
4 2, 126| nitamsukumiza kwenye adhabu ya Moto, napo ni pahala pabaya mno
5 2, 174| matumboni mwao isipo kuwa moto, wala Mwenyezi Mungu hatawasemeza
6 2, 175| maghfira. Ama wavumilivu wa Moto watu hawa! ~~~~~~
7 2, 201| na utulinde na adhabu ya Moto! ~~~~~~
8 2, 221| akikupendezeni. Hao wanaitia kwenye Moto, na Mwenyezi Mungu anaitia
9 2, 266| kikapigwa na kimbunga chenye moto, kikaungua? Hivi ndivyo
10 3, 16 | na tuepushe na adhabu ya Moto, ~~~~~~
11 3, 24 | sababu walisema: Hautatugusa Moto isipo kuwa kwa siku chache
12 3, 103| mlikuwa ukingoni mwa shimo la Moto, naye akakuokoeni nalo.
13 3, 131| 131. Na uogopeni Moto ambao umeandaliwa kwa ajili
14 3, 183| kafara inayo teketezwa na moto. Waambie: Walikujieni Mitume
15 3, 185| Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo
16 3, 191| Basi tukinge na adhabu ya Moto. ~~~~~~
17 4, 10 | wanakula matumboni mwao moto, na wataingia Motoni. ~~~~~~
18 4, 55 | Jahannamu yatosha kuwa ni moto wa kuwateketeza. ~~~~~~
19 5, 64 | Kila mara wanapo washa moto wa vita, Mwenyezi Mungu
20 6, 27 | watakapo simamishwa kwenye Moto, wakawa wanasema: Laiti
21 6, 70 | watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu. ~~~~~~
22 6, 128| Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu
23 7, 12 | kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo. ~~~~~~
24 7, 41 | chao na juu yao nguo za moto za kujifunika. Na hivi ndivyo
25 8, 14 | makafiri wana adhabu ya Moto. ~~~~~~
26 8, 50 | kuwaambia: Ionjeni adhabu ya Moto! ~~~~~~
27 9, 17 | vimeharibika, na katika Moto watadumu. ~~~~~~
28 9, 35 | 35. Siku zitapo tiwa moto katika Moto wa Jahannamu,
29 9, 35 | zitapo tiwa moto katika Moto wa Jahannamu, na kwazo vikachomwa
30 9, 63 | wake, basi huyo atapata Moto wa Jahannamu adumu humo?
31 9, 68 | wanaafiki wanawake na makafiri Moto wa Jahannamu kudumu humo.
32 9, 81 | Msitoke nje katika joto! Sema: Moto wa Jahannamu una joto zaidi,
33 9, 109| likaburugunyika naye katika Moto wa Jahannamu? Na Mwenyezi
34 11, 16 | hawatakuwa na kitu Akhera ila Moto, na yataharibika waliyo
35 11, 17 | mkataa katika makundi, basi Moto ndio pahala pa miadi yao.
36 11, 113| dhulumu, usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi
37 13, 17 | na wanavyo yayusha katika moto kwa kutaka mapambo au vyombo
38 13, 35 | Na mwisho wa makafiri ni Moto. ~~~~~~
39 14, 50 | zao zitakuwa za lami, na Moto utazigubika nyuso zao. ~~~~~~
40 15, 18 | hufuatwa na kijinga cha moto kinacho onekana. ~~~~~~
41 15, 27 | majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto. ~~~~~~
42 16, 62 | shaka hakika wamewekewa Moto, nao wataachwa humo. ~~~~~~
43 17, 97 | makaazi yao ni Jahannamu. Kila moto ukifanya kusinzia tutazidi
44 18, 29 | tumewaandalia wenye kudhulumu Moto ambao utawazunguka kama
45 18, 53 | 53. Na wakhalifu watauona Moto na watajua ya kwamba wao
46 18, 96 | alipo kifanya (chuma) kama moto akasema: Nileteeni shaba
47 19 | ndiyo malipo ya Waumini, na Moto ni malipo ya makafiri, na
48 20, 10 | 10. Alipo uona moto, akawaambia watu wake: Ngojeni!
49 20, 10 | Ngojeni! Mimi nimeuona moto, huenda nikakuleteeni kijinga
50 20, 10 | nikakuleteeni kijinga kutoka huo moto, au nikapata uongofu kwenye
51 20, 10 | nikapata uongofu kwenye moto. ~~~~~~
52 20, 97 | Sisi kwa hakika tutamchoma moto, kisha tutamtawanya baharini
53 21, 39 | wakati ambao hawatauzuia Moto kwenye nyuso zao wala migongo
54 21, 68 | 68. Wakasema: Mchomeni moto, na muinusuru miungu yenu,
55 21, 69 | 69. Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa
56 22, 4 | atamwongoza kwenye adhabu ya Moto mkali. ~~~~~~
57 22, 19 | kufuru watakatiwa nguo za moto, na yatamiminwa juu ya vichwa
58 22, 72 | mabaya zaidi kuliko haya? Ni Moto. Mwenyezi Mungu amewaahidi
59 23, 104| 104. Moto utababua nyuso zao, nao
60 24, 35 | yake kung'aa wenyewe ingawa moto haujayagusa - Nuru juu ya
61 25, 11 | Na Sisi tumemuandalia Moto mkali kabisa huyo mwenye
62 25, 12 | 12. Ule Moto ukiwaona tangu mahali mbali
63 27, 7 | ahali zake: Hakika nimeona moto, nitakwenda nikuleteeni
64 27, 7 | kinacho waka ili mpate kuota moto. ~~~~~~
65 27, 8 | Amebarikiwa aliomo katika moto huu na walioko pembezoni
66 28, 29 | akasafiri na ahali zake, aliona moto upande wa Mlima T'uri. Akawaambia
67 28, 29 | zake: Ngojeni! Mimi nimeona moto, labda nitakuleteeni kutoka
68 28, 29 | huko khabari au kijinga cha moto ili mpate kuota moto. ~~~~~~
69 28, 29 | cha moto ili mpate kuota moto. ~~~~~~
70 28, 38 | mimi. Ewe Haman! Niwashie moto unichomee udongo, unijengee
71 28, 41 | ni waongozi waitao kwenye Moto. Na Siku ya Kiyama hawatanusuriwa. ~~~~~~
72 29, 24 | kusema: Muuweni au mchomeni moto! Mwenyezi Mungu akamwokoa
73 29, 24 | Mwenyezi Mungu akamwokoa na moto. Hakika katika hayo zipo
74 31, 21 | anawaita kwenye adhabu ya Moto uwakao? ~~~~~~
75 32, 20 | wataambiwa: Onjeni adhabu ya Moto ambayo mliyo kuwa mkiikanusha. ~~~~~~
76 33, 64 | makafiri na amewaandalia Moto unao waka kwa nguvu. ~~~~~~
77 33, 66 | zitapinduliwa pinduliwa katika Moto. Watasema: Laiti tungeli
78 34, 12 | tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka. ~~~~~~
79 34, 42 | dhulumu: Onjeni adhabu ya Moto mlio kuwa mkiukanusha. ~~~~~~
80 35, 36 | walio kufuru watakuwa na Moto wa Jahannamu, hawahukumiwi
81 36 | hapo mwanzo, na anaye toa moto kutoka mti wa kijani, na
82 36, 80 | Aliye kujaalieni kupata moto kutokana na mti wa kijani
83 37 | na watawaona katikati ya Moto wa Jahim. Watamhimidi Mwenyezi
84 38, 27 | Ole wao walio kufuru kwa Moto utao wapata. ~~~~~~
85 38, 57 | Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha! ~~~~~~
86 38, 76 | kuliko yeye. Umeniumba kwa moto, na yeye umemuumba kwa udongo. ~~~~~~
87 39, 16 | Yatawekwa juu yao mat'abaka ya moto, na chini yao mat'abaka.
88 39, 19 | kumwokoa aliyomo katika Moto? ~~~~~~
89 40, 41 | uwokofu, nanyi mnaniita kwenye Moto? ~~~~~~
90 40, 46 | 46. Wanaonyeshwa Moto asubuhi na jioni. Na itapo
91 40, 47 | hamtuondolei sehemu ya huu Moto? ~~~~~~
92 40, 72 | 72. Katika maji ya moto, kisha wanaunguzwa Motoni, ~~~~~~
93 41, 17 | uwongofu. Basi uliwachukua moto wa adhabu ya kuwafedhehi
94 41, 19 | wa Mwenyezi Mungu kwenye Moto, nao wakikgawanywa kwa makundi. ~~~~~~
95 41, 20 | 20. Hata watakapo ufikia Moto yatawashuhudia masikio yao,
96 41, 24 | 24. Basi wakisubiri Moto ndio maskani yao. Na wakiomba
97 41, 28 | Maadui wa Mwenyezi Mungu - Moto! Humo watakuwa na maskani
98 42, 45 | utawaona wanapelekwa kwenye Moto, nao wamenyenyekea kwa unyonge,
99 44, 46 | Kama kutokota kwa maji ya moto. ~~~~~~
100 46, 20 | letwa walio kufuru kwenye Moto wataambiwa: Nyinyi mlitwaa
101 47, 12 | kama walavyo wanyama, na Moto ndio makaazi yao. ~~~~~~
102 48, 13 | Sisi tumewaandalia makafiri Moto mkali. ~~~~~~
103 50 | kutumbukizwa wote katika Moto, na huku Mwenyezi Mungu
104 51, 44 | Mlezi. Basi uliwanyakua moto wa radi nao wanaona. ~~~~~~
105 52, 13 | Siku watapo sukumwa kwenye Moto kwa msukumo wa nguvu, ~~~~~~
106 52, 14 | Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwa mkiukanusha! ~~~~~~
107 52, 27 | akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto. ~~~~~~
108 55, 15 | akawaumba majini kwa ulimi wa moto. ~~~~~~
109 55, 35 | 35. Mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda. ~~~~~~
110 55, 44 | baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka. ~~~~~~
111 56 | na makulima, na maji, na moto; na yanayo hitajika kutokana
112 56, 40 | 42. Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, ~~~~~~
113 56, 67 | 71. Je! Mnauona moto mnao uwasha? ~~~~~~
114 59, 3 | Akhera watapata adhabu ya Moto. ~~~~~~
115 66 | nafsi zao na ahali zao na Moto ambao kuni zake ni watu
116 66, 6 | nafsi zenu na ahali zenu na Moto ambao kuni zake ni watu
117 67 | yao, na wataungua katika Moto wake, na wataungama madhambi
118 67, 5 | tumewaandalia adhabu ya Moto uwakao kwa nguvu. ~~~~~~
119 70, 15 | hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa, ~~~~~~
120 72, 23 | basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu humo
121 73, 12 | Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa! ~~~~~~
122 74 | itakuwa adhabu yake katika Moto wa Saqar ambao unaelezwa
123 74, 26 | 26. Nitakuja mtia kwenye Moto wa Saqar. ~~~~~~
124 74, 27 | kitakujuulisha ni nini huo Moto wa Saqar? ~~~~~~
125 74, 35 | 35. Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa
126 76, 4 | makafiri minyororo na pingu na Moto mkali. ~~~~~~
127 77, 31 | 31. Hakikingi moto, wala hakiwaepushi na mwako. ~~~~~~
128 77, 32 | 32. Hakika Moto huo unatoa macheche kama
129 81, 6 | 6. Na bahari zikawaka moto, ~~~~~~
130 85, 5 | 5. Yenye moto wenye kuni nyingi, ~~~~~~
131 87 | mwovu atakaye ingia kwenye Moto mkubwa. Na Aya zimetilia
132 87, 12 | 12. Ambaye atauingia Moto mkubwa. ~~~~~~
133 88 | pokewa na wataingia kwenye Moto mkali. Na wapo watakao ifikia
134 88, 4 | 4. Ziingie katika Moto unao waka - ~~~~~~
135 90, 20 | 20. Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
136 92 | Yeye amekwisha onya kwamba Moto watauingia waovu na watauepuka
137 92, 14 | 14. Basi nakuonyeni na Moto unao waka! ~~~~~~
138 98 | Akhera ni kukaa milele katika Moto. Na Waumini, watu wa vyeo
139 98, 6 | washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele
140 100, 2 | 2. Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini, ~~~~~~
141 101, 9 | Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya! ~~~~~~
142 101, 11 | 11. Ni Moto mkali! ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
143 102 | watu kuwa watakuja uona Moto na watakuja ulizwa neema
144 104 | hao kuwa watatiwa kwenye Moto mkali unao vuruga miili
145 104, 6 | 6. Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa. ~~~~~~
146 111 | ya kumvutia mpaka kwenye Moto katika kuzidi kumuadhibu
147 111, 3 | 3. Atauingia Moto wenye mwako. ~~~~~~
|