Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
makwenu 2
malaika 105
malazi 2
mali 134
malik 1
malipo 137
malipwa 2
Frequency    [«  »]
135 ndiyo
135 wana
134 hata
134 mali
134 mambo
133 wanawake
131 tena

Qu'rani

IntraText - Concordances

mali

                                              bold = Main text
    Sura, verse                               grey = Comment text
1 2 | Saumu, na wasia, na kula mali ya watu kwa dhulma, na kisasi, 2 2 | wenye kudhulumu, na kula mali ya watu kwa upotovu ni haramu, 3 2, 155| na njaa, na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie 4 2, 177| Kitabu na Manabii, na anawapa mali, kwa kupenda kwake, jamaa 5 2, 180| fikwa na mauti, kama akiacha mali -- afanye wasia kwa wazazi 6 2, 188| 188. Wala msiliane mali zenu kwa baat'ili na kuzipeleka 7 2, 188| ili mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali 8 2, 217| kafiri, basi hao ndio ambao a'mali zao zimeharibika duniani 9 2, 247| naye hakupewa wasaa wa mali? Akasema: Mwenyezi Mungu 10 2, 261| 261. Mfano wa wanao tumia mali zao katika Njia ya Mwenyezi 11 2, 262| 262. Wanao toa mali zao kwa Njia ya Mwenyezi 12 2, 264| na maudhi, kama anaye toa mali yake kwa kuwaonyesha watu, 13 2, 265| mfano wa wale wanao toa mali zao kwa kuitafuta radhi 14 2, 274| 274. Wale wanao toa mali zao usiku na mchana, kwa 15 3, 10 | kitu kwa Mwenyezi Mungu mali zao, wala watoto wao; nao 16 3, 75 | ukimpa amana ya mrundi wa mali atakurudishia, na miongoni 17 3, 116| kufuru hazitawafaa kitu mali zao wala watoto wao mbele 18 3, 186| mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila 19 4, 2 | 2. Na wapeni mayatima mali yao. Wala msibadilishe kibaya 20 4, 2 | kibaya kwa kizuri. Wala msile mali zao pamoja na mali zenu. 21 4, 2 | msile mali zao pamoja na mali zenu. Hakika yote hayo ni 22 4, 5 | Wala msiwape wasio na akili mali yenu ambayo Mwenyezi Mungu 23 4, 6 | Mkiwaona ni wekevu, basi wapeni mali yao. Wala msiyale kwa fujo 24 4, 6 | ya ada. Na mtakapo wapa mali yao washuhudizieni. Na Mwenyezi 25 4, 8 | masikini, wapeni katika hayo mali ya urithi, na semeni nao 26 4, 10 | 10. Hakika wanao kula mali ya mayatima kwa dhulma, 27 4, 20 | mmoja wao mmempa chungu ya mali, basi msichukue katika hayo 28 4, 24 | wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. 29 4, 25 | asiyeweza kati yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa kiungwana 30 4, 29 | Enyi mlio amini! Msiliane mali yenu kwa dhulma, isipo kuwa 31 4, 34 | yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake 32 4, 38 | 38. Na ambao hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, 33 4, 95 | Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao. Mwenyezi 34 4, 95 | cheo wale wanao pigana kwa mali yao na nafsi zao kuliko 35 4, 161| wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi 36 5, 5 | kataa kuamini bila shaka a'mali yake imepotea, naye katika 37 6 | uzinzi, kuuwa mtu, kula mali ya yatima, waajibu wa kutimiza 38 6, 152| 152. Wala msiyakaribie mali ya yatima ila kwa njia ya 39 7, 147| zetu na mkutano wa Akhera a'mali zao zimeharibika. Kwani 40 8, 28 | 28. Na jueni ya kwamba mali zenu na wana wenu ni Fitna ( 41 8, 36 | wale walio kufuru hutoa mali yao ili kuzuilia Njia ya 42 8, 72 | Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, na wale 43 9, 20 | Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao, hao wana 44 9, 24 | zenu, na jamaa zenu, na mali mliyo yachuma, na biashara 45 9, 34 | makuhani na wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na 46 9, 41 | na piganeni Jihadi kwa mali yenu na nafsi zenu katika 47 9, 44 | wasende kupigana Jihadi kwa mali yao na nafsi zao. Na Mwenyezi 48 9, 55 | 55. Yasikufurahishe mali yao wala wana wao. Hakika 49 9, 69 | Walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi kuliko nyinyi. 50 9, 81 | walichukia kupigana Jihadi kwa mali zao na nafsi zao, na wakasema: 51 9, 85 | 85. Wala zisikushitue mali zao na watoto wao. Mwenyezi 52 9, 88 | naye waliwania Jihadi kwa mali zao na nafsi zao. Hao ndio 53 9, 103| 103. Chukua sadaka katika mali zao, uwasafishe na uwatakase 54 9, 111| kwa Waumini nafsi zao na mali zao kwa kuwa wao watapata 55 10, 41 | wewe, sema: Mimi nina a'mali yangu, na nyinyi mna a'mali 56 10, 41 | mali yangu, na nyinyi mna a'mali yenu. Nyinyi hamna jukumu 57 10, 88 | na wakuu wake mapambo na mali katika maisha ya dunia. 58 10, 88 | wetu Mlezi! Yafutilie mbali mali yao na zifunge nyoyo zao, 59 11, 29 | watu wangu! Mimi sikuombeni mali kwa ajili ya haya. Mimi 60 11, 87 | kufanya tupendavyo katika mali zetu? Ama hakika wewe ni 61 12, 88 | na watu wetu. Na tumeleta mali kidogo. Basi tupimie kipimo 62 16, 111| italipwa sawa sawa na a'mali ilizo zifanya, nao hawatadhulumiwa. ~~~~~~ 63 17 | na hali ya watu kukhusu mali zao; na zikaja Amri Kumi 64 17, 6 | yao, na tukakusaidieni kwa mali na wana, na tukakujaalieni 65 17, 13 | Na kila mtu tumemfungia a'mali yake shingoni mwake. Na 66 17, 19 | na akazifanyia juhudi a'mali zake, naye ni Muumini, basi 67 17, 34 | 34. Wala msiyakaribie mali ya yatima, isipo kuwa kwa 68 17, 64 | Na shirikiana nao katika mali na wana, na waahidi. Na 69 18 | mmoja tajiri anajitapa kwa mali yake na wanawe. Na wa pili 70 18, 34 | Mimi nimekushinda wewe kwa mali na nguvu za watu! ~~~~~~ 71 18, 39 | Ikiwa unaniona mimi nina mali kidogo na watoto kuliko 72 18, 46 | 46. Mali na wana ni pambo la maisha 73 19, 77 | Kwa hakika mimi nitapewa mali na wana! ~~~~~~ 74 23, 55 | kuwa kwa vile tunavyo wapa mali na watoto ~~~~~~ 75 24, 33 | wema kwao. Na wapeni katika mali ya Mwenyezi Mungu aliyo 76 26, 88 | 88. Siku ambayo kwamba mali hayato faa kitu wala wana. ~~~~~~ 77 27, 36 | ndio nyinyi mnanisaidia kwa mali? Aliyo nipa Mwenyezi Mungu 78 30, 39 | riba ili kiongezeke katika mali ya watu, basi hakiongezeki 79 33, 27 | ardhi zao na nyumba zao na mali zao, na ardhi msiyo pata 80 34 | mipaka ya kujifakhari kwa mali na wana, na kwamba hayo 81 34 | na wana, na kwamba hayo mali hayamkaribishi mtu kwa Mwenyezi 82 34 | yanayo patikana kutokana na mali hayo. Kwani hayo mali ni 83 34 | na mali hayo. Kwani hayo mali ni milki yake Mwenyezi Mungu. 84 34 | Hana wazimu, wala hataki mali, na Wito wake kwa watu wafuate 85 34, 35 | Na wakasema: Sisi tuna mali mengi zaidi na watoto, wala 86 34, 37 | 37. Na si mali yenu wala watoto wenu watakao 87 35 | anambebesha kila mtu a'mali yake. Na wanaelekezwa Mitume 88 35, 8 | Je! Yule aliye pambiwa a'mali zake mbaya na akaziona ni 89 35, 10 | hupanda neno zuri, na a'mali njema Yeye huitukuza. Na 90 39, 65 | ukimshirikisha Mwenyezi Mungu a'mali zako zitaanguka, na lazima 91 47 | Mungu amezibat'ilisha a'mali za makafiri kwa kuwa wamefuata 92 47, 4 | Mwenyezi Mungu hatazipoteza a'mali zao. ~~~~~~ 93 47, 36 | ujira wenu, wala hakutakeni mali yenu. ~~~~~~ 94 48, 11 | nyuma: Yametushughulisha mali yetu na ahali zetu, basi 95 49, 14 | Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yao na nafsi zao. Hao ndio 96 51, 19 | 19. Na katika mali yao ipo haki ya mwenye kuomba 97 57, 20 | kushindana kwa wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni 98 58, 17 | 17. Hayatawafaa kitu mali yao wala watoto wao mbele 99 59 | Sura inaeleza hukumu ya mali yaliyo patikana kwa maadui 100 59 | tolewa kwenye nyumba zao na mali yao. Kisha Sura ikasimulia 101 59, 6 | 6. Na mali aliyo leta Mwenyezi Mungu 102 59, 7 | 7. Mali aliyo leta Mwenyezi Mungu 103 59, 8 | tolewa majumbani mwao na mali yao kwa ajili ya kutafuta 104 61 | Mwenyezi Mungu kwa hali na mali, na kuwaahidi wenye kupigana 105 61, 11 | Njia ya Mwenyezi Mungu kwa mali yenu na nafsi zenu. Haya 106 63, 7 | ndio wanao sema: Msitoe mali kwa ajili ya walioko kwa 107 63, 9 | amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, 108 64 | inawaambia Waumini kuwa mali yao na watoto wao ni fitna, 109 64 | onekana. Basi atawalipa kwa mali yao wanayo yatumia. Na kwamba 110 64, 15 | 15. Hakika mali yenu na watoto wenu ni jaribio. 111 68, 14 | 14. Ati kwa kuwa ana mali na watoto! ~~~~~~ 112 69, 28 | 28. Mali yangu hayakunifaa kitu. ~~~~~~ 113 70, 18 | 18. Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi. ~~~~~~ 114 70, 24 | 24. Na ambao katika mali yao iko haki maalumu ~~~~~~ 115 71, 12 | 12. Na atakupeni mali na wana, na atakupeni mabustani 116 71, 21 | na wamemfuata yule ambaye mali yake na wanawe hawakumzidishia 117 74, 12 | 12. Na nikamjaalia awe na mali mengi, ~~~~~~ 118 89, 20 | 20. Na mnapenda mali pendo la kupita kiasi. ~~~~~~ 119 90 | haushindiki, na kwamba yeye ana mali mengi anayo yatumia kuridhisha 120 90, 6 | Nimeteketeza chungu ya mali. ~~~~~~ 121 92 | kuingia mashakani. Na wala mali yake hayatamfaa kitu kumwokoa 122 92, 11 | 11. Na mali yake yatamfaa nini atapo 123 92, 18 | 18. Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa. ~~~~~~ 124 100 | shaka yeye kwa kuyapenda mali ni bakhili na mwenye choyo 125 100, 8 | shaka ana nguvu za kupenda mali! ~~~~~~ 126 104 | maneno, mwenye kukusanya mali mengi, akayahisabu kwa ajili 127 104 | fakhari, na kudhani kuwa mali yake yatambakisha milele 128 104, 2 | 2. Aliye kusanya mali na kuyahisabu. ~~~~~~ 129 104, 3 | 3. Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! ~~~~~~ 130 107 | sababu huyo ni mchoyo kwa mali yake, bakhili kwa alicho 131 107 | Ni wenye kuonyesha tu a'mali zao, wenye kuzuia msaada 132 108 | na atoe mhanga bora ya mali yake kwa dhahiya ya shukrani 133 111 | hapana kitu cha kumfaa, mali wala cheo au vyenginevyo, 134 111, 2 | 2. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License