Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
wanawaingilia 1
wanawaita 1
wanawajia 1
wanawake 133
wanawala 1
wanawalaani 1
wanawamiliki 1
Frequency    [«  »]
134 hata
134 mali
134 mambo
133 wanawake
131 tena
129 ahadi
127 lau

Qu'rani

IntraText - Concordances

wanawake

                                                 bold = Main text
    Sura, verse                                  grey = Comment text
1 2, 49 | kiume na wakawawacha hai wanawake; na katika hayo ulikuwa 2 2, 221| 221. Wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. 3 2, 222| uchafu. Basi jitengeni na wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie 4 2, 228| 228. Na wanawake walio achwa wangoje peke 5 2, 228| wakitaka kufanya sulhu. Nao wanawake wanayo haki kwa Sharia kama 6 2, 231| 231. Na mtakapo wapa wanawake t'alaka, nao wakafikia kumaliza 7 2, 232| 232. Na mtakapo wapa wanawake t'alaka nao wakamaliza eda 8 2, 233| 233. Na wazazi wanawake wawanyonyeshe watoto wao 9 2, 235| kupeleka posa kwa ishara tu kwa wanawake waliomo edani au mkadhamiria 10 2, 236| ubaya kwenu mkiwapa t'alaka wanawake ambao hamjawagusa au kuwabainishia 11 2, 237| agana, isipo kuwa ikiwa wanawake wenyewe wamesamehe, au mume 12 2, 240| bila ya kuwatoa nyumba. Na wanawake wenyewe wakiondoka, basi 13 2, 241| 241. Na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza 14 2, 282| basi mwanamume mmoja na wanawake wawili katika mnao waridhia 15 3 | hayo yote kwa wanaume na wanawake. Na inaelezwa kadhaalika 16 3, 14 | wamepambiwa kupenda matamanio ya wanawake, na wana, na mirundi ya 17 3, 42 | akakutakasa, na akakutukuza kuliko wanawake wote. ~~~~~~ 18 4, 1 | na wawili hao wanaume na wanawake wengi. Na tahadharini na 19 4, 3 | oeni mnao wapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. 20 4, 4 | 4. Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa 21 4, 7 | jamaa walio karibia. Na wanawake wanayo sehemu katika waliyo 22 4, 11 | mwanamume ni kama fungu la wanawake wawili. Na ikiwa wanawake 23 4, 11 | wanawake wawili. Na ikiwa wanawake zaidi ya wawili, basi watapata 24 4, 15 | wanafanya uchafu miongoni mwa wanawake wenu, washuhudizieni watu 25 4, 19 | Si halali kwenu kuwarithi wanawake kwa nguvu. Wala msiwadhikishe 26 4, 21 | nyinyi kwa nyinyi, na wao wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo 27 4, 24 | 24. NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa 28 4, 25 | yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa kiungwana Waumini, na 29 4, 25 | mahari yao kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si 30 4, 32 | katika walio vichuma, na wanawake wana fungu katika walio 31 4, 34 | Wanaume ni wasimamizi wa wanawake, kwa kufadhiliwa na Mwenyezi 32 4, 34 | mali yao wanayo yatoa. Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii 33 4, 43 | ametoka chooni, au mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi 34 4, 75 | wanao onewa, wanaume na wanawake na watoto, ambao husema: 35 4, 98 | miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na uweza 36 4, 117| hawawaombi badala yake Yeye ila wanawake, wala hawamuombi ila Shet' 37 4, 127| Wanakuuliza nini sharia ya wanawake. Sema: Mwenyezi Mungu ana 38 4, 127| Kitabuni kukhusu mayatima wanawake ambao hamwapi walicho andikiwa, 39 4, 176| wakiwa ndugu wanaume na wanawake, basi mwanamume atapata 40 4, 176| sehemu iliyo sawa na ya wanawake wawili. Mwenyezi Mungu anakubainishieni 41 5 | halali, na kuhalalisha kuwaoa wanawake wa Ahlil Kitabi, Wakristo 42 5, 5 | chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, 43 5, 5 | miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio 44 5, 6 | ametoka chooni au mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi 45 7, 81 | kwa matamanio mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji! ~~~~~~ 46 7, 127| wavulana wao, na tutawaacha hai wanawake wao. Na bila ya shaka sisi 47 7, 141| wenu, na wakawaacha hai wanawake wenu. Na katika hayo yalikuwa 48 9, 67 | 67. Wanaume wanaafiki na wanawake wanaafiki, wote ni hali 49 9, 68 | wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake na makafiri Moto wa Jahannamu 50 9, 71 | Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki 51 9, 72 | Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati 52 12, 28 | ni katika vitimbi vyenu wanawake. Bila ya shaka vitimbi vyenu 53 12, 30 | 30. Na wanawake wa mjini wakawa wanasema: 54 12, 33 | usipo niondoshea vitimbi vya wanawake mimi nitamili kwao, na nitakuwa 55 12, 50 | ukamuulize khabari ya wale wanawake walio jikata mikono yao. 56 14, 6 | wanaume, na wakiwawacha hai wanawake. Na katika hayo ulikuwa 57 16 | na uovu wa maoni yao kwa wanawake wote, watoto na watu wazima. 58 16 | wengine wanaume na wengine wanawake, na kuzaliana kwa kuoana. 59 24, 4 | 4. Na wanao wasingizia wanawake mahashumu, kisha wasilete 60 24, 12 | hii, wanaume Waumini na wanawake Waumini hawakuwadhania wenzao 61 24, 23 | Hakika wanao wasingizia wanawake, wanao jihishimu, walio 62 24, 26 | 26. Wanawake waovu ni wa wanaume waovu, 63 24, 26 | na wanaume waovu ni wa wanawake waovu. Na wanawake wema 64 24, 26 | ni wa wanawake waovu. Na wanawake wema ni wa wanaume wema, 65 24, 26 | wema, na wanaume wema ni wa wanawake wema. Hao wameepushwa na 66 24, 31 | 31. Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na 67 24, 31 | au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki 68 24, 60 | 60. Na wanawake wazee wasio taraji kuolewa, 69 27, 55 | kwa matamanio badala ya wanawake? Hakika nyinyi ni watu mnao 70 28, 4 | na akiwaacha watoto wao wanawake. Hakika yeye alikuwa katika 71 28, 23 | na akakuta karibu yao wanawake wawili wanawazuia wanyama 72 28, 25 | Basi mmoja katika wale wanawake wawili akamjia, naye anaona 73 28, 26 | Akasema mmoja katika wale wanawake: Ewe baba yetu! Muajiri 74 33 | halali kwake kuzidisha kuowa wanawake wengine baada ya hao tisa 75 33, 32 | Nyinyi si kama yeyote katika wanawake wengine. Kama mnamcha Mungu 76 33, 35 | Waislamu wanaume na Waislamu wanawake, na Waumini wanaume na Waumini 77 33, 35 | Waumini wanaume na Waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na 78 33, 35 | iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume 79 33, 35 | wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume 80 33, 35 | wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume 81 33, 35 | wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume 82 33, 35 | watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume 83 33, 35 | na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu 84 33, 35 | jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru Mwenyezi 85 33, 35 | Mungu kwa wingi wanaume na wanawake, Mwenyezi Mungu amewaandalia 86 33, 49 | Enyi mlio amini! Mkiwaoa wanawake, Waumini, kisha mkawapa 87 33, 50 | wafaridhia wao katika wake zao na wanawake ilio wamiliki mikono yao 88 33, 52 | hawa hawakuhalalikii wewe wanawake wengine, wala kuwabadilisha 89 33, 55 | wala watoto wa ndugu zao wanawake, wala wanawake wenzao, wala 90 33, 55 | ndugu zao wanawake, wala wanawake wenzao, wala wale iliyo 91 33, 55 | mikono yao ya kulia. Na enyi wanawake, mcheni Mwenyezi Mungu. 92 33, 58 | waudhi Waumini wanaume na wanawake pasina wao kufanya kosa 93 33, 73 | wanaafiki wanaume, na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume, 94 33, 73 | wanaume, na washirikina wanawake; na anawapokelea toba Waumini 95 33, 73 | Waumini wanaume, na Waumini wanawake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye 96 37 | Yeye amewafanya Malaika ni wanawake. Na kwamba ipo nasaba ya 97 37, 48 | 48. Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri. ~~~~~~ 98 37, 49 | 49. Hao wanawake kama mayai yaliyo hifadhika. ~~~~~~ 99 37, 150| tumewaumba Malaika kuwa ni wanawake, na wao wakashuhudia? ~~~~~~ 100 40, 25 | muamini na wawacheni hai wanawake wao. Na haviwi vitimbi vya 101 42, 50 | huwachanganya wanaume na wanawake, na akamfanya amtakaye tasa. 102 43, 16 | Au amejichukulia watoto wanawake katika vile alivyo viumba, 103 43, 19 | wa Mwingi wa Rehema, ni wanawake! Kwani wameshuhudia kuumbwa 104 47, 19 | Waumini wanaume na Waumini wanawake. Na Mwenyezi Mungu anajua 105 48, 5 | Waumini wanaume na Waumini wanawake katika Bustani zipitazo 106 48, 6 | wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume 107 48, 6 | washirikina wanaume na washirikina wanawake, wanao mdhania Mwenyezi 108 48, 25 | lau si wanaume Waumini na wanawake Waumini msio wajua mkawasaga 109 49, 10 | wasiwadharau wanaume wenzao, wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. 110 49, 10 | wala wanawake wasiwadharau wanawake wenzao. Huenda hao wakawa 111 53 | waita Malaika kuwa ati ni wanawake, baada ya kumfanya Mwenyezi 112 53, 21 | wanaume na Yeye ndio awe na wanawake? ~~~~~~ 113 55, 56 | 56. Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa 114 55, 70 | 70. Humo wamo wanawake wema wazuri. ~~~~~~ 115 55, 72 | 72. Wanawake wazuri wanao tawishwa katika 116 57 | wanao sadiki wanaume na wanawake mbele ya Mola wao Mlezi; 117 57, 12 | Waumini wanaume na Waumini wanawake, nuru yao iko mbele yao, 118 57, 13 | wanaafiki wanaume na wanaafiki wanawake watapo waambia walio amini: 119 57, 18 | wanaume wanao toa sadaka, na wanawake wanao toa sadaka, na wakamkopesha 120 60 | ikabainisha hukumu ya Waumini wanawake walio hamia kwenye mji wa 121 60 | kishirikina; na hukumu ya wanawake wa kishirikina ambao waume 122 60 | Waislamu wamehama, na hao wanawake wakaachwa katika mji wa 123 60 | ikafuatiliza kueleza kutoa ut'iifu wanawake, kwa walivyo mtolea Mtume 124 60, 10 | mlio amini! Wakikujilieni wanawake Waumini walio hama, basi 125 60, 10 | msiwarudishe kwa makafiri. Wanawake hao si halali kwa hao makafiri, 126 60, 10 | hao makafiri hawahalalikii wanawake Waumini. Na wapeni hao wanaume 127 60, 10 | mahari yao. Wala msiwaweke wanawake makafiri katika kifungo 128 60, 12 | Ewe Nabii! Watakapo kujia wanawake Waumini wanakuahidi ya kwamba 129 65, 1 | Nabii! Mtakapo wapa talaka wanawake, basi wapeni talaka katika 130 65, 4 | sita hedhi miongoni mwa wanawake wenu, ikiwa mnayo shaka, 131 71 | Waumini wanaume, na Waumini wanawake, wapate msamaha.~KWA JINA 132 71, 28 | wote wanaume, na Waumini wanawake. Na wala usiwazidishie walio 133 85, 10 | Waumini wanaume na Waumini wanawake, kisha hawakutubu, basi


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License