bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 1 | Mwenyezi Mungu; na kubainisha ahadi na bishara kwa Muumini mtenda
2 1 | mtenda mema; na kubainisha ahadi na onyo kwa kafiri na mtenda
3 2, 27 | 27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada
4 2, 40 | kuneemesheni, na timizeni ahadi yangu, na Mimi nitatimiza
5 2, 40 | yangu, na Mimi nitatimiza ahadi yenu, na niogopeni Mimi
6 2, 63 | 63. Na tulipo chukua ahadi yenu, na tukaunyanyua mlima
7 2, 80 | chache tu. Sema: Mmechukua ahadi kwa Mwenyezi Mungu? Kweli
8 2, 80 | Mungu hatokwenda kinyume na ahadi yake. Au mnamsingizia Mwenyezi
9 2, 93 | 93. Na tulipo chukua ahadi yenu na tukauinua mlima
10 2, 100| Ati ndio kila wanapo funga ahadi huwapo kikundi miongoni
11 2, 124| vizazi vyangu pia? Akasema: Ahadi yangu haitawafikia wenye
12 2, 177| akatoa Zaka, na wanao timiza ahadi yao wanapo ahidi, na wanao
13 3, 76 | hivyo, bali anaye timiza ahadi yake na akamchamngu basi
14 3, 77 | 77. Hakika wanao uza ahadi ya Mwenyezi Mungu na viapo
15 3, 81 | Mwenyezi Mungu alipo chukua ahadi kwa Manabii: Nikisha kupeni
16 4, 21 | wanawake wamechukua kwenu ahadi iliyo madhubuti? ~~~~~~
17 4, 33 | jamaa. Na mlio fungamana nao ahadi wapeni fungu lao. Hakika
18 4, 90 | fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni
19 4, 92 | miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu na wao basi wapewe
20 4, 122| Watadumu humo milele. Ndiyo ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo
21 4, 154| mosi). Na tukachukua kwao ahadi iliyo madhubuti. ~~~~~~
22 4, 155| kwa sababu ya kuvunja kwao ahadi zao, na kuzikataa kwao ishara
23 5, 1 | Enyi mlio amini! Timizeni ahadi. Mmehalalishiwa wanyama
24 5, 7 | Mungu iliyo juu yenu, na ahadi yake aliyo fungamana nanyi
25 5, 14 | ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu
26 6 | kutimiza uadilifu, kutekeleza ahadi, kuwatendea wema wazazi,
27 6, 152| uadilifu ingawa ni jamaa. Na ahadi ya Mwenyezi Mungu itekelezeni.
28 7, 102| wengi wao kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta
29 7, 135| waufikie, mara wakivunja ahadi yao. ~~~~~~
30 8, 56 | miongoni mwao umepatana nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao
31 8, 56 | nao ahadi, kisha wanavunja ahadi yao kila mara, wala hawamchi
32 8, 58 | watu fulani basi watupilie ahadi yao kwa usawa. Hakika Mwenyezi
33 9 | wa miezi mitakatifu, na ahadi za washirikina, na ipasavyo
34 9 | washirikina, na ipasavyo kutimiza ahadi nao ikiwa wao hawajaivunja.
35 9 | hawajaivunja. Na mwenye kuvunja ahadi yapasa kupigana naye. Na
36 9, 4 | yenu, basi hao watimizieni ahadi yao mpaka muda wao. Hakika
37 9, 7 | 7. Itakuwaje iwepo ahadi na washirikina mbele ya
38 9, 8 | hawatazami kwenu udugu wala ahadi. Wanakufurahisheni kwa midomo
39 9, 10 | Hawatazami kwa Muumini udugu wala ahadi; basi hao ndio warukao mipaka. ~~~~~~
40 9, 111| wanauwa na wanauwawa. Hii ni ahadi aliyo jilazimisha kwa Haki
41 9, 111| Qur'ani. Na nani atimizae ahadi kuliko Mwenyezi Mungu? Basi
42 9, 114| baba yake ila kwa sababu wa ahadi aliyo fanya naye. Lakini
43 10, 4 | marejeo yenu nyote. Hii ni ahadi ya Mwenyezi Mungu iliyo
44 10, 48 | 48. Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli? ~~~~~~
45 10, 55 | Mungu. Jueni kuwa hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
46 11, 45 | katika ahali zangu, na hakika ahadi yako ni haki. Na Wewe ni
47 11, 65 | muda wa siku tatu. Hiyo ni ahadi isiyo kuwa ya uwongo. ~~~~~~
48 12, 66 | Sitampeleka nanyi mpaka mnipe ahadi kwa Mwenyezi Mungu kwamba
49 12, 66 | mmezungukwa. Basi walipo mpa ahadi yao alisema: Mwenyezi Mungu
50 12, 80 | kwamba baba yenu amechukua ahadi kwenu kutokana na Mwenyezi
51 13, 20 | 20. Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala
52 13, 25 | 25. Na wale wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada
53 13, 31 | nyumbani kwao, mpaka ifike ahadi ya Mwenyezi Mungu. Hakika
54 14, 22 | Mwenyezi Mungu alikuahidini ahadi ya kweli. Nami nalikuahidini;
55 14, 47 | kuwa ni mwenye kuwavunjia ahadi yake Mitume wake. Hakika
56 16 | wa Taa'la katika kutimiza ahadi hiyo, kwa dalili ya kuumba
57 16 | wake, na anatilia mkazo ahadi yake kwa wachamngu na vitisho
58 16 | kuunganisha udugu kwa kutimiza ahadi, na muujiza wa Qur'ani,
59 16, 38 | hatomfufua aliye kufa. Kwani! Ni ahadi iliyo juu yake kikweli;
60 16, 91 | 91. Na timizeni ahadi ya Mwenyezi Mungu mnapo
61 16, 95 | 95. Wala msinunue ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa thamani
62 17, 5 | 5. Basi itapo fika ahadi ya kwanza yake tutakupelekeeni
63 17, 5 | majumba. Na hii ilikuwa ahadi iliyo timizwa. ~~~~~~
64 17, 7 | mnajifanyia wenyewe. Na ikifika ahadi ya mwisho ili waziharibu
65 17, 34 | utuuzimani. Na timizeni ahadi. Kwa hakika ahadi itasailiwa. ~~~~~~
66 17, 34 | timizeni ahadi. Kwa hakika ahadi itasailiwa. ~~~~~~
67 17, 64 | waahidi. Na Shet'ani hawapi ahadi ila ya udanganyifu. ~~~~~~
68 17, 104| katika nchi. Itapo kuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote
69 17, 108| Mola wetu Mlezi! Hakika ahadi ya Mola wetu Mlezi lazima
70 18, 21 | watu wapate kujua ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
71 18, 98 | wangu Mlezi. Na itapo fika ahadi ya Mola wangu Mlezi atauvunja
72 18, 98 | Mlezi atauvunja vunja. Na ahadi ya Mola wangu Mlezi ni kweli
73 19, 54 | yeye alikuwa ni mkweli wa ahadi, na alikuwa Mtume, Nabii. ~~~~~~
74 19, 61 | wake katika siri. Hakika ahadi yake hapana shaka itafika. ~~~~~~
75 19, 78 | za ghaibu, au amechukua ahadi kwa Arrahmani Mwingi wa
76 19, 87 | uombezi ila wale walio chukua ahadi kwa Arrahmani Mwingi wa
77 20, 86 | wenu Mlezi hakukuahidini ahadi nzuri? Je, umekuwa muda
78 20, 97 | Usiniguse. Na hakika una ahadi kwako isiyo vunjwa. Na mtazame
79 21, 38 | 38. Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa
80 21, 104| mwanzo tutalirudisha tena. Ni ahadi iliyo juu yetu. Hakika Sisi
81 22, 47 | Mungu hatakwenda kinyume na ahadi yake kabisa. Na hakika siku
82 23, 8 | wanazitimiza amana zao na ahadi zao, ~~~~~~
83 25, 16 | wayatakayo daima dawamu. Hii ni ahadi juu ya Mola wako Mlezi,
84 27, 71 | 71. Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa
85 28, 13 | asihuzunike. Na ajue ya kwamba ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
86 28, 61 | Je! Yule tuliye muahidi ahadi nzuri, tena naye akayapata,
87 30 | kushindwa kwa dola ya Rumi, na ahadi ya Mwenyezi Mungu kwa Waumini
88 30 | kwa yanayo mfika, kwani ahadi ya Mwenyezi Mungu inakuja
89 30, 6 | 6. Ni ahadi ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi
90 30, 6 | Mwenyezi Mungu havunji ahadi yake. Lakini watu wengi
91 30, 60 | 60. Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
92 31, 9 | 9. Watadumu humo - ni ahadi ya Mwenyezi Mungu ya kweli.
93 31, 33 | mzazi kwa lolote. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
94 33 | Mtume. Na Sura imeeleza ahadi aliyo ichukua Mwenyezi Mungu
95 33 | mwishoe Waumini wakashinda na ahadi ya Mwenyezi Mungu ikatimia.
96 33, 7 | 7. Na tulipo chukua ahadi kwa Manabii na kwako wewe,
97 33, 7 | Mariamu, na tulichukua kwao ahadi ngumu, ~~~~~~
98 33, 15 | hawatageuza migongo yao. Na ahadi ya Mwenyezi Mungu ni yenye
99 33, 23 | wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo. ~~~~~~
100 34, 29 | 29. Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa
101 35, 5 | 5. Enyi watu! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
102 36, 48 | 48. Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa
103 39 | Mwenyezi Mungu aliye timiza ahadi yake, na akawahukumia wote
104 39, 20 | yake hupita mito. Ndiyo ahadi ya Mwenyezi Mungu. Mwenyezi
105 39, 20 | Mwenyezi Mungu havunji ahadi yake. ~~~~~~
106 39, 74 | Mwenyezi Mungu aliye tutimizia ahadi yake, na akaturithisha ardhi,
107 40, 55 | 55. Basi subiri. Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli.
108 40, 77 | 77. Basi subiri, hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya
109 43, 49 | Mola wako Mlezi kwa ile ahadi aliyo kuahidi; hakika sisi
110 43, 50 | mara wakaingia kuvunja ahadi. ~~~~~~
111 45, 32 | 32. Na ikisemwa: Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli,
112 46, 17 | Ole wako! Amini! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli.
113 48 | watu wa kweli wa kutimiza ahadi, na ikabainisha uwongo wa
114 48, 10 | mikono yao. Basi avunjaye ahadi hizi anavunja kwa kuidhuru
115 53, 37 | vya Ibrahimu aliye timiza ahadi? ~~~~~~
116 57, 8 | Mlezi? Naye amekwisha chukua ahadi yenu, ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~
117 59 | inataka macho yaangalie zile ahadi za wanaafiki kwa Bani Nnadhiiri,
118 60, 12 | jambo jema, basi peana nao ahadi, na uwatakie maghfira kwa
119 61 | Na ndani ya hii Sura ipo ahadi ya Mwenyezi Mungu - na ahadi
120 61 | ahadi ya Mwenyezi Mungu - na ahadi yake ni ya kweli - kuwa
121 63 | Waumini ni madhalili; na ahadi walio waahidi Waumini kuwa
122 65 | ilivyo mwendo wa Qur'ani, ipo ahadi kwa mwenye kufuata amri
123 67, 25 | 25. Na wanasema: Lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli? ~~~~~~
124 68, 39 | 39. Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika
125 70, 32 | wanazichunga amana zao na ahadi zao, ~~~~~~
126 73, 18 | Hapo mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa. ~~~~~~
127 76, 7 | 7. Wanatimiza ahadi, na wanaiogopa siku ambayo
128 85 | na ikafuatiza kwa kuwapa ahadi Waumini na kuwakhofisha
129 98 | walikhitalifiana na wakaacha ahadi yao. Na vitendo vya Watu
|