Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
boma 1
bonde 10
bondeni 1
bora 124
bubu 2
budi 1
buibui 3
Frequency    [«  »]
127 nayo
126 aliyo
126 makka
124 bora
124 nani
124 wazi
123 baba

Qu'rani

IntraText - Concordances

bora

                                                bold = Main text
    Sura, verse                                 grey = Comment text
1 2 | shari, na kukhiari lilio bora kuliko lilio duni. ~Na kwamba 2 2, 54 | ziueni nafsi zenu. Haya ni bora kwenu mbele ya Muumba wenu. 3 2, 61 | kilicho duni kwa kilicho bora? Shukeni mjini, huko mtapata 4 2, 103| Mwenyezi Mungu yange kuwa bora. Laiti wangeli kuwa wanajua! ~~~~~~ 5 2, 106| isahaulisha tunailetea iliyo bora kuliko hiyo, au iliyo mfano 6 2, 184| wema kwa kujitolea, basi ni bora kwake. Na mkifunga ni bora 7 2, 184| bora kwake. Na mkifunga ni bora kwenu, kama mnajua. ~~~~~~ 8 2, 197| jitengezeeni zawadi. Na hakika bora ya zawadi ni uchamngu. Na 9 2, 221| waamini. Na mjakazi Muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni. 10 2, 221| mtumwa mwanamume Muumini ni bora kuliko mshirikina hata akikupendezeni. 11 2, 232| Siku ya Mwisho. Hayo ni bora zaidi kwenu na safi kabisa. 12 2, 263| Kauli njema na usamehevu ni bora kuliko sadaka inayo fuatiliwa 13 2, 280| kuwa ni sadaka, basi ni bora kwenu, ikiwa mnajua. ~~~~~~ 14 3, 15 | Sema: Nikwambieni yaliyo bora kuliko hayo? Kwa wachamngu 15 3, 110| 110. Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, 16 3, 110| nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao 17 3, 148| akawapa malipo ya duniani na bora ya malipo ya Akhera. Na 18 3, 150| Mlinzi wenu, naye ndiye bora wa wasaidizi. ~~~~~~ 19 3, 157| zitokazo kwa Mwenyezi Mungu ni bora kuliko yote wanayo yakusanya. ~~~~~~ 20 3, 198| vilioko kwa Mwenyezi Mungu ni bora kwa watu wema. ~~~~~~ 21 4, 25 | zina. Na mkisubiri ndio bora kwenu. Na Mwenyezi Mungu 22 4, 59 | Siku ya Mwisho. Hayo ndiyo bora zaidi na ndiyo yenye mwisho 23 4, 66 | walio waidhiwa ingeli kuwa bora kwao na uthibitisho wa nguvu 24 4, 77 | dunia ni ndogo, na Akhera ni bora zaidi kwa mwenye kuchamngu. 25 4, 86 | nanyi itikieni kwa yaliyo bora kuliko hayo, au rejesheni 26 4, 125| 125. Na nani aliye bora kwa dini kuliko yule aliye 27 4, 128| kwa suluhu. Na suluhu ni bora. Na nafsi zimewekewa machoni 28 6, 32 | hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. 29 7, 12 | kuamrisha? Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa 30 7, 26 | Na nguo za uchamngu ndio bora. Hayo ni katika Ishara za 31 7, 85 | imekwisha tengenea. Hivi ndivyo bora kwenu ikiwa nyinyi ni Waumini. ~~~~~~ 32 7, 169| Na nyumba ya Akhera ni bora kwa wanao jikinga na maasi. 33 8, 4 | na maghfira, na riziki bora, kwa Mola wao Mlezi. ~~~~~~ 34 8, 70 | nyoyoni mwenu atakupeni bora kuliko vilivyo chukuliwa 35 9, 109| Mwenyezi Mungu na radhi zake ni bora au mwenye kuweka msingi 36 9, 121| ili Mwenyezi Mungu awalipe bora ya waliyo kuwa wakiya- tenda. ~~~~~~ 37 10, 58 | nawafurahi kwa hayo. Haya ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya. ~~~~~~ 38 11, 86 | kubakishieni Mwenyezi Mungu ndiyo bora kwa ajili yenu, ikiwa nyinyi 39 12, 39 | farikiana wao kwa wao ni bora au Mwenyezi Mungu Mmoja 40 12, 57 | hakika malipo ya Akhera ni bora zaidi, kwa walio amini na 41 12, 109| hakika nyumba ya Akhera ni bora kwa wamchao Mungu. Basi 42 13, 4 | Na tunaifanya baadhi yao bora kuliko mengine katika kula. 43 16, 30 | Na nyumba ya Akhera ni bora zaidi, na njema mno nyumba 44 16, 95 | kwa Mwenyezi Mungu ndicho bora kwenu, ikiwa mnajua. ~~~~~~ 45 16, 96 | walio subiri ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda. ~~~~~~ 46 16, 97 | na tutawapa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda. ~~~~~~ 47 16, 125| ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi 48 16, 126| mtasubiri, basi hakika hivyo ni bora zaidi kwa wanao subiri. ~~~~~~ 49 17 | Kumi za kuunda umma ulio bora. Kisha Subhanahu akauvunja 50 17, 34 | isipo kuwa kwa njia iliyo bora, mpaka afike utuuzimani. 51 17, 35 | kwenu na khatimaye ndio bora. ~~~~~~ 52 18, 19 | chakula chake kipi kilicho bora kabisa akuleteeni cha kukila. 53 18, 31 | juu ya makochi. Ni malipo bora hayo! Na matandiko mazuri 54 18, 36 | ya shaka nitapata marejeo bora zaidi kuliko haya. ~~~~~~ 55 18, 40 | wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye 56 18, 46 | Na mema yanayo bakia ni bora mbele ya Mola wako Mlezi 57 18, 46 | wako Mlezi kwa malipo, na bora kwa matumaini. ~~~~~~ 58 18, 81 | Mlezi awabadilishie aliye bora zaidi kuliko huyo kwa kutakasika, 59 18, 95 | wangu aliyo niwezesha ni bora zaidi. Lakini nyinyi nisaidieni 60 19, 73 | lenye cheo kizuri na lilio bora barazani? ~~~~~~ 61 19, 76 | Na mema yenye kudumu ni bora katika malipo mbele ya Mola 62 20, 63 | waondoe mila zenu zilizo bora kabisa. ~~~~~~ 63 20, 131| riziki ya Mola wako Mlezi ni bora na inadumu zaidi. ~~~~~~ 64 22 | Mungu. Kwani Yeye ndiye bora ya Mlinzi, na bora ya Mwenye 65 22 | ndiye bora ya Mlinzi, na bora ya Mwenye kunusuru.~KWA 66 22, 78 | ndiye Mlinzi wenu, Mlinzi bora kabisa, na Msaidizi bora 67 22, 78 | bora kabisa, na Msaidizi bora kabisa. ~~~~~~ 68 23, 72 | ujira wa Mola wako Mlezi ni bora, na Yeye ndiye Mbora wa 69 24, 27 | salamu wenyewe. Hayo ni bora kwenu mpate kukumbuka. ~~~~~~ 70 24, 30 | tupu zao. Hili ni takaso bora kwao. Hakika Mwenyezi Mungu 71 24, 38 | Ili Mwenyezi Mungu awalipe bora ya waliyo yatenda, na awazidishie 72 24, 60 | mapambo. Na wakijihishimu ni bora kwao. Na Mwenyezi Mungu 73 25, 10 | akitaka atakujaalia yaliyo bora kuliko hayo, nayo ni mabustani 74 25, 15 | 15. Sema: Je! Haya ni bora au Pepo ya milele, ambayo 75 25, 21 | Kwa yakini hawa wamejiona bora nafsi zao, na wamepanda 76 25, 24 | watakuwa katika makaazi bora na mahali penye starehe 77 25, 33 | kwa haki, na tafsiri iliyo bora. ~~~~~~ 78 27, 36 | Aliyo nipa Mwenyezi Mungu ni bora zaidi kuliko aliyo kupeni 79 27, 59 | wateuwa. Je! Mwenyezi Mungu ni bora, au wale wanao washirikisha 80 27, 89 | Watakao kuja na mema, watapata bora kuliko hayo. Nao watasalimika 81 28, 60 | kwa Mwenyezi Mungu ndio bora na yatakayo baki zaidi. 82 28, 80 | Malipo ya Mwenyezi Mungu ni bora kwa mwenye kuamini na akatenda 83 28, 84 | tenda wema atapata malipo bora kuliko huo wema alio utenda. 84 29, 7 | makosa yao, na tutawalipa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda. ~~~~~~ 85 30, 27 | Naye ndiye mwenye mfano bora katika mbingu na ardhi. 86 33, 6 | 6. Nabii ni bora zaidi kwa Waumini kuliko 87 37, 62 | Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum? ~~~~~~ 88 37, 75 | Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji. ~~~~~~ 89 38, 47 | sisi ni wateuliwa walio bora. ~~~~~~ 90 38, 48 | wote hao ni katika walio bora. ~~~~~~ 91 38, 76 | 76. Akasema: Mimi ni bora kuliko yeye. Umeniumba kwa 92 39, 18 | maneno, wakafuata lilio bora yao. Hao ndio alio waongoa 93 39, 55 | 55. Na fuateni yaliyo bora kabisa katika yale yaliyo 94 41, 40 | Atakaye tupwa Motoni ni bora au atakaye kuja kwa amani 95 42, 36 | kilichoko kwa Mwenyezi Mungu ni bora, na cha kudumu kwa ajili 96 43, 24 | nikikuleteeni yenye uwongofu bora kuliko mlio wakuta nao baba 97 43, 32 | rehema za Mwenyezi Mungu ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya. ~~~~~~ 98 43, 52 | 52. Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, 99 43, 58 | Wakasema: Miungu yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia 100 44, 37 | 37. Je! Ni wao bora au watu wa Tubbaa' na walio 101 46, 16 | Hao ndio tunao wapokelea bora ya vitendo vyao walivyo 102 47, 20 | zimia kwa mauti. Basi ni bora kwao ~~~~~~ 103 49, 10 | wenzao. Huenda hao wakawa bora kuliko wao. Wala msivunjiane 104 52 | kiapo cha watano katika bora wa viumbe kuwa adhabu itawateremkia 105 54, 43 | 43. Je! Makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa 106 57, 15 | Makaazi yenu ni Motoni, ndio bora kwenu; na ni marejeo maovu 107 61, 11 | yenu na nafsi zenu. Haya ni bora kwenu, ikiwa nyinyi mnajua. ~~~~~~ 108 62, 9 | wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua. ~~~~~~ 109 62, 11 | Yaliyoko kwa Mwenyezi Mungu ni bora kuliko pumbao na biashara. 110 66, 5 | badala yenu nyinyi, walio bora kuliko nyinyi, wanynyekevu, 111 68, 32 | Mlezi akatubadilishia lilio bora kuliko hili. Hakika sisi 112 70, 41 | 41. Kuwabadili kwa walio bora kuliko wao; na Sisi hatushindwi. ~~~~~~ 113 73, 20 | Mwenyezi Mungu, imekuwa bora zaidi, na ina thawabu kubwa 114 82 | namna ya pekee, na kwa umbo bora kabisa. Inathibitisha Sura 115 87, 17 | 17. Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi. ~~~~~~ 116 93 | katika Akhera makao ya juu ni bora zaidi kuliko alio mkirimu 117 93 | alikuwa amepotea akampa bora ya uwongofu, na alikuwa 118 93, 4 | shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. ~~~~~~ 119 95, 4 | tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisa. ~~~~~~ 120 97 | kwamba usiku huo mmoja ni bora kuliko miezi elfu, na kwamba 121 97, 3 | 3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu. ~~~~~~ 122 98 | vya juu kwa fadhila, ndio bora wa viumbe. Malipo yao ni 123 98, 7 | wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe. ~~~~~~ 124 108 | Mwenyezi Mungu, na atoe mhanga bora ya mali yake kwa dhahiya


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License