Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
waitwapo 1
waivunje 1
waizunguke 1
waja 120
wajaalia 1
wajakazi 1
wajane 2
Frequency    [«  »]
121 sawa
120 imeteremka
120 nyoyo
120 waja
119 mfano
118 mbele
118 yako

Qu'rani

IntraText - Concordances

waja

                                                 bold = Main text
    Sura, verse                                  grey = Comment text
1 2 | Mwenyezi Mungu amewahalalishia waja wake vyakula vizuri na amewaharimishia 2 2 | uwezo wake, wala hawaamrishi waja wake ila kwa wanalo liweza. 3 2 | na uadilifu na maslaha ya waja. ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU 4 2, 90 | yake amtakaye miongoni mwa waja wake. Basi wamejiletea wenyewe 5 2, 186| 186. Na waja wangu watakapo kuuliza khabari 6 2, 207| Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake. ~~~~~~ 7 3, 15 | Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake, ~~~~~~ 8 3, 20 | Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake. ~~~~~~ 9 3, 30 | Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake. ~~~~~~ 10 3, 182| Mungu si mwenye kuwadhulumu waja, ~~~~~~ 11 4, 118| nitawachukua sehemu maalumu katika waja wako. ~~~~~~ 12 5, 118| Ukiwaadhibu basi hao ni waja wako. Na ukiwasamehe basi 13 6, 18 | ndiye Mwenye nguvu juu ya waja wake, na ndiye Mwenye hikima 14 6, 61 | za kushinda, aliye juu ya waja wake. Na hukupelekeeni waangalizi, 15 6, 88 | humhidi amtakaye katika waja wake. Na lau wangeli mshirikisha 16 7, 32 | Mwenyezi Mungu alilo watolea waja wake, na vilivyo vizuri 17 7, 128| humrithisha amtakaye katika waja wake. Na mwisho ni wa wachamngu. ~~~~~~ 18 7, 194| asiye kuwa Mwenyezi Mungu ni waja mfano wenu nyinyi. Hebu 19 8, 51 | Mungu si mwenye kuwadhulumu waja. ~~~~~~ 20 9, 104| Mwenyezi Mungu anapokea toba ya waja wake, na anazikubali sadaka, 21 10, 107| Huifikisha kwa amtakaye katika waja wake, na Yeye ni Mwenye 22 12, 24 | Hakika yeye alikuwa katika waja wetu walio safishwa. ~~~~~~ 23 14, 11 | humfanyia hisani amtakaye katika waja wake. Wala sisi hatuwezi 24 14, 31 | 31. Waambie waja wangu walio amini, washike 25 15, 40 | 40. Ila waja wako walio safika. ~~~~~~ 26 15, 42 | 42. Hakika waja wangu, wewe hutakuwa na 27 15, 49 | 49. Waambie waja wangu ya kwamba Mimi ndiye 28 16, 2 | yake juu ya amtakaye katika waja wake ili nyinyi muonye kwamba 29 17, 5 | kwanza yake tutakupelekeeni waja wetu wa kali kwa vita. Watakuingilieni 30 17, 17 | kuzijua na kuziona dhambi za waja wake. ~~~~~~ 31 17, 30 | amtakaye. Hakika Yeye kwa waja wake ni Mwenye kuwajua na 32 17, 53 | 53. Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, 33 17, 65 | wewe huna mamlaka juu ya waja wangu. Na Mola wako Mlezi 34 17, 96 | Hakika Yeye anawajua vyema waja wake na anawaona. ~~~~~~ 35 18, 65 | Basi wakamkuta mja katika waja wangu tuliye mpa rehema 36 18, 102| walio kufuru ndio wawafanye waja wangu ndio walinzi wao badala 37 19, 61 | milele alizo waahidi Rahmani waja wake katika siri. Hakika 38 19, 63 | tutayo warithisha katika waja wetu walio kuwa wachamngu. ~~~~~~ 39 20, 77 | tulimfunulia Musa: Toka usiku na waja wangu, na uwapigie njia 40 21, 105| ya kwamba nchi watairithi waja wangu walio wema. ~~~~~~ 41 22, 10 | Mwenyezi Mungu si dhaalimu kwa waja. ~~~~~~ 42 23, 109| lilikuwapo kundi katika waja wangu likisema: Mola wetu 43 25, 17 | Ni nyinyi mlio wapoteza waja wangu hawa, au wao wenyewe 44 25, 58 | Mwenye khabari za dhambi za waja wake. ~~~~~~ 45 25, 63 | 63. Na waja wa Arrahman Mwingi wa Rehema 46 26, 52 | Musa kwa wahyi: Nenda na waja wangu wakati wa usiku. Kwa 47 27, 15 | tufadhilisha kuliko wengi katika waja wake Waumini. ~~~~~~ 48 27, 19 | uniingize kwa rehema yako katika waja wako wema. ~~~~~~ 49 27, 59 | Na amani ishuke juu ya waja wake alio wateuwa. Je! Mwenyezi 50 28, 82 | humkunjulia riziki amtakaye katika waja wake, na humdhikisha amtakaye. 51 29, 56 | 56. Enyi waja wangu mlio amini! Kwa hakika 52 29, 62 | riziki amtakaye katika waja wake. Kwa hakika Mwenyezi 53 30 | Subhanahu akawaneemesha waja wake na akawataka washike 54 30, 48 | wafikishia awatakao katika waja wake, mara hao huwa na furaha. ~~~~~~ 55 34 | kuhimidiwa kwa alivyo waneemesha waja wake. Kwani vyote vilioko 56 34 | neema, na wachache tu katika waja wa Mwenyezi Mungu wanao 57 34, 13 | kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao shukuru. ~~~~~~ 58 34, 39 | humdhikisha amtakaye katika waja wake. Na chochote mtakacho 59 35 | wajumbe wa kuwatuma kwa waja wake. Malaika hao wana mbawa 60 35 | atamdhalilisha. Na vitendo vya waja vinapanda kwendea kwake. 61 35 | Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake.~KWA JINA LA MWENYEZI 62 35, 28 | Mwenyezi Mungu miongoni mwa waja wake ni wanazuoni. Hakika 63 35, 31 | Hakika Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni Mwenye khabari na 64 35, 32 | tuliwateuwa miongoni mwa waja wetu. Kati yao yupo aliye 65 35, 45 | Mungu ni Mwenye kuwaona waja wake baraabara. ~~~~~~~~~~~~ 66 36 | atavihisabu vitendo vya waja. Na Sura ikaingilia kuwapigia 67 36 | za Mwenyezi Mungu juu ya waja wake, na kwamba Yeye amewafanya 68 36, 30 | 30. Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila 69 37 | na hayo wanayo yazua. Na waja wake ndio watanusuriwa, 70 37, 40 | 40. Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio 71 37, 74 | 74. Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio 72 37, 81 | 81. Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. ~~~~~~ 73 37, 111| 111. Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. ~~~~~~ 74 37, 122| Hakika wawili hao ni katika waja wetu walio amini. ~~~~~~ 75 37, 128| 128. Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio 76 37, 132| 132. Hakika yeye ni katika waja wetu walio amini. ~~~~~~ 77 37, 160| 160. Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio 78 37, 169| ya shaka tungeli kuwa ni waja wa Mwenyezi Mungu wenye 79 37, 171| lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa. ~~~~~~ 80 38, 44 | mwenye subira, mbora wa waja, kwa hakika alikuwa mwingi 81 38, 45 | 45. Na wakumbuke waja wetu, Ibrahim na Is-haqa 82 38, 83 | 83. Isipo kuwa wale waja wako miongoni mwao walio 83 39 | kwa kusema: "Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi 84 39, 7 | lakini hafurahii kufuru kwa waja wake. Na mkishukuru Yeye 85 39, 10 | 10. Sema: Enyi waja wangu mlio amini! Mcheni 86 39, 16 | Mwenyezi Mungu anawakhofisha waja wake. Enyi waja wangu! Nicheni 87 39, 16 | anawakhofisha waja wake. Enyi waja wangu! Nicheni Mimi! ~~~~~~ 88 39, 17 | bishara njema. Basi wabashirie waja wangu. ~~~~~~ 89 39, 46 | Wewe utahukumu baina ya waja wako katika waliyo kuwa 90 39, 53 | 53. Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi 91 40, 15 | yake juu ya amtakaye katika waja wake, ili kuonya kwa Siku 92 40, 31 | Mungu hataki kuwadhulumu waja. ~~~~~~ 93 40, 44 | Mwenyezi Mungu anawaona waja wake. ~~~~~~ 94 40, 48 | Mungu kesha hukumu baina ya waja! ~~~~~~ 95 40, 85 | Mwenyezi Mungu ulio kuwa kwa waja wake. Na hapo walio kufuru 96 41, 46 | Mlezi si mwenye kuwadhulumu waja. ~~~~~~ 97 42 | upole wa Mwenyezi Mungu kwa waja wake. Na Sura hii imehadharisha 98 42, 19 | Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake. Humruzuku ampendaye. 99 42, 23 | wabashiria Mwenyezi Mungu waja wake walio amini na wakatenda 100 42, 25 | ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, 101 42, 27 | angeli wakunjulia riziki waja wake, basi bila ya shaka 102 42, 27 | Hakika Yeye anawajua vyema waja wake na anawaona. ~~~~~~ 103 42, 52 | tunammwongoa tumtakaye katika waja wetu. Na hakika wewe unaongoa 104 43, 15 | 15. Na wanamfanyia katika waja wake fungu. Kwa hakika mwanaadamu 105 43, 19 | wakawafanya Malaika, ambao ni waja wa Mwingi wa Rehema, ni 106 43, 68 | 68. Enyi waja wangu! Hamtakuwa na khofu 107 44, 18 | 18. Akasema: Nipeni waja wa Mwenyezi Mungu; kwa hakika 108 44, 23 | Mungu akasema: Basi nenda na waja wangu usiku. Kwa yakini 109 45 | Mungu na fadhila zake kwa waja wake; na ikawataka Waumini 110 50, 9 | 11. Ili iwe ni riziki kwa waja wangu. Na tukaifufua kwa 111 50, 27 | kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu. ~~~~~~ 112 66, 10 | Lut'i. Walikuwa chini ya waja wetu wema wawili miongoni 113 66, 10 | wema wawili miongoni mwa waja wetu. Lakini wakawakhuni 114 71, 27 | Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa 115 76, 6 | Ni chemchem watakao inywa waja wa Mwenyezi Mungu, wakiifanya 116 89 | Mwenyezi Mungu wa kuwajaribu waja wake kwa kheri na shari, 117 89 | walio kirimiwa miongoni mwa waja wa Mwenyezi Mungu katika 118 89, 29 | Basi ingia miongoni mwa waja wangu, ~~~~~~ 119 110 | Mwingi wa kukubali toba za waja wake, na anasamehe makosa.~ 120 113 | alizo wapa Mwenyezi Mungu waja wake.~KWA JINA LA MWENYEZI


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License