Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
mfahamu 1
mfalme 17
mfanikiwe 1
mfano 119
mfanya 9
mfanye 1
mfanyeni 1
Frequency    [«  »]
120 imeteremka
120 nyoyo
120 waja
119 mfano
118 mbele
118 yako
117 usiku

Qu'rani

IntraText - Concordances

mfano

                                              bold = Main text
    Sura, verse                               grey = Comment text
1 2 | na kwa kutaja kibla na mfano wa hayo. ~Kisha yakaja mazungumzo 2 2, 17 | 17. Mfano wao ni kama mfano wa aliye 3 2, 17 | 17. Mfano wao ni kama mfano wa aliye koka moto, na ulipo 4 2, 23 | basi leteni sura moja ya mfano wake, na muwaite mashahidi 5 2, 26 | Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi 6 2, 26 | kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza 7 2, 26 | Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na 8 2, 106| bora kuliko hiyo, au iliyo mfano wake. Hujui kwamba Mwenyezi 9 2, 113| walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi 10 2, 118| wale walio kuwa kabla yao mfano wa kauli yao hii. Nyoyo 11 2, 171| 171. Na mfano wa walio kufuru ni kama 12 2, 171| wa walio kufuru ni kama mfano wa anaye mpigia kelele asiye 13 2, 233| mwanawe. Na juu ya mrithi mfano wa hivyo. Na kama wote wawili 14 2, 261| 261. Mfano wa wanao tumia mali zao 15 2, 261| ya Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa punje moja iliyo chipuza 16 2, 264| wala Siku ya Mwisho. Basi mfano wake ni kama mfano wa jabali 17 2, 264| Basi mfano wake ni kama mfano wa jabali ambalo juu yake 18 2, 265| 265. Na mfano wa wale wanao toa mali zao 19 2, 265| kuzipa nguvu roho zao ni kama mfano wa bustani iliyo mahali 20 3 | Sura iliyo pita yametajwa mfano wa mwendo wa Wana wa Israili. 21 3, 59 | 59. Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi Mungu 22 3, 59 | kwa Mwenyezi Mungu ni kama mfano wa Adam; alimuumba kwa udongo 23 3, 73 | Mwenyezi Mungu, kuwa apewe mtu mfano wa mlio pewa nyinyi au wakuhojini 24 3, 117| 117. Mfano wa vile wanavyo vitoa katika 25 3, 140| wengine yamewapata majaraha mfano wa haya. Na siku za namna 26 3, 165| mmekwisha watia mara mbili mfano wa huo - mnasema: Umetoka 27 4, 140| mengine. Hivyo mtakuwa nanyi mfano wao hao. Hakika Mwenyezi 28 5, 38 | yachuma, ndiyo adhabu ya mfano itokayo kwa Mwenyezi Mungu. 29 6, 122| inakwenda naye mbele za watu, mfano wake ni kama aliyoko gizani 30 6, 124| Hatutoamini mpaka tupewe mfano wa walio pewa Mitume wa 31 6, 160| 160. Afanyae wema atalipwa mfano wake mara kumi. na afanyae 32 7, 176| akafuata pumbao lake. Basi mfano wake ni mfano wa mbwa. Ukimhujumu 33 7, 176| lake. Basi mfano wake ni mfano wa mbwa. Ukimhujumu hupumua 34 7, 176| hupumua na kutoa ulimi. Huo ni mfano wa kaumu wanao zikanusha 35 7, 177| 177. Huu ni mfano muovu kabisa wa watu wanao 36 7, 194| kuwa Mwenyezi Mungu ni waja mfano wenu nyinyi. Hebu waombeni, 37 9 | mbali ushindi, na akaashiria mfano wa vita vya Hunayni. Katika 38 10, 24 | 24. Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama 39 10, 27 | maovu, malipo ya uovu ni mfano wake vile vile, na yatawafika 40 10, 38 | Sema: Hebu leteni sura moja mfano wake na muwaite (kukusaidieni) 41 11 | wakali. ~Kisha kikatajwa mfano wa hayo kisa cha Nabii wa 42 11, 13 | Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao 43 11, 24 | 24. Mfano wa makundi mawili ni kama 44 13, 6 | kabla yao adhabu za kupigiwa mfano. Na hakika Mola wako Mlezi 45 13, 18 | viliomo katika ardhi na mfano wa hivyo, bila ya shaka 46 13, 35 | 35. Mfano wa Bustani waliyo ahidiwa 47 14, 18 | 18. Mfano wa walio mkufuru Mola wao 48 14, 24 | Mwenyezi Mungu alivyo piga mfano wa neno zuri? Ni kama mti 49 14, 26 | 26. Na mfano wa neno ovu ni kama mti 50 15, 13 | ya kuwa umekwisha wapitia mfano wa watu wa kale. ~~~~~~ 51 16, 75 | Mwenyezi Mungu anapiga mfano wa mtumwa aliye milikiwa, 52 16, 76 | Na Mwenyezi Mungu anapiga mfano wa watu wawili. Mmoja wao 53 16, 112| Na Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani 54 16, 120| Hakika Ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa Mwenyezi 55 17 | kushindwa majini na watu kuleta mfano wake. Na akabainisha Subhanahu 56 17, 88 | watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani basi hawaleti 57 17, 88 | hii Qur'ani basi hawaleti mfano wake, hata wakisaidiana 58 17, 89 | katika hii Qur'ani kwa kila mfano. Lakini watu wengi wanakataa 59 17, 99 | ni Mwenye kuweza kuumba mfano wao? Na Yeye amewawekea 60 18, 32 | 32. Na wapigie mfano wa watu wawili: mmoja wao 61 18, 45 | 45. Na wapigie mfano wa maisha ya dunia. Hayo 62 18, 54 | hii Qur'ani kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi 63 18, 109| Mlezi, hata tungeli ileta mfano wa hiyo kuongezea. ~~~~~~ 64 21, 84 | na tukampa watu wake na mfano wao pamoja nao kuwa ni rehema 65 22, 60 | namna hivi. Na anaye lipiza mfano wa alivyo adhibiwa, kisha 66 22, 73 | 73. Enyi watu! Unapigwa mfano, basi usikilizeni. Hakika 67 24, 35 | Nuru ya Mbingu na Ardhi. Mfano wa Nuru yake ni kama shubaka 68 25, 33 | 33. Wala hawatakuletea mfano wowote, ila na Sisi tutakuletea ( 69 27 | imewashinda hao Waarabu kuleta mfano wake. Na tena pia ni kama 70 29, 41 | 41. Mfano wa walio wafanya walinzi 71 29, 41 | badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia 72 30, 27 | kwake. Naye ndiye mwenye mfano bora katika mbingu na ardhi. 73 30, 28 | 28. Amekupigieni mfano kutokana na nafsi zenu. 74 30, 58 | tulikwisha wapigia watu kila mfano katika hii Qur'ani. Na ukiwaletea 75 34 | walivyo fanyiwa walio kuwa mfano wao. Wao wote walikuwa na 76 36 | Sura ikaingilia kuwapigia mfano makafiri wa Makka, na ikabainisha 77 36, 13 | 13. Na wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo 78 36, 42 | 42. Na tukawaumbia kutoka mfano wake wanavyo vipanda. ~~~~~~ 79 36, 78 | 78. Na akatupigia mfano, na akasahau kuumbwa kwake, 80 36, 81 | na ardhi hawezi kuwaumba mfano wao? Kwani! Naye ndiye Muumbaji 81 37, 61 | 61. Kwa mfano wa haya nawatende watendao. ~~~~~~ 82 39, 29 | Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mtu mwenye mabwana washirika 83 40, 30 | Hakika mimi nakukhofieni mfano wa siku za makundi, ~~~~~~ 84 40, 31 | 31. Mfano wa hali ya watu wa Nuhu 85 41, 13 | Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi, ~~~~~~ 86 42 | hata kuleta Sura moja tu mfano wake. Kisha ikatangaza kuwa 87 42, 11 | namna hii. Hapana kitu kama mfano wake. Naye ni Mwenye kusikia 88 42, 40 | Na malipo ya uovu ni uovu mfano wa huo. Lakini mwenye kusamehe, 89 43, 8 | na nguvu kushinda wao. Na mfano wa watu wa zamani umekwisha 90 43, 17 | wao kwa yale aliyo mpigia mfano Mwenyezi Mungu, uso wake 91 43, 56 | tukawafanya kuwa watangulizi na mfano kwa wa baadaye. ~~~~~~ 92 43, 57 | 57. Na alipo pigiwa mfano Mwana wa Mariamu, watu wako 93 43, 58 | kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo ila kwa ubishi tu. Bali 94 43, 59 | mneemesha na tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili. ~~~~~~ 95 46, 10 | mwa Wana wa Israili juu ya mfano wa haya, na akaamini, na 96 47, 10 | kwa makafiri hawa itakuwa mfano wa hayo. ~~~~~~ 97 47, 15 | 15. Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu 98 48, 29 | athari ya kusujudu. Huu ndio mfano wao katika Taurati. Na mfano 99 48, 29 | mfano wao katika Taurati. Na mfano wao katika Injili ni kama 100 52 | wameshindwa kuleta maneno mfano wa Qur'ani. ~Sura hii pia 101 56, 23 | 23. Walio kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa. ~~~~~~ 102 57, 20 | wingi wa mali na watoto. Mfano wake ni kama mvua ambayo 103 59, 15 | 15. Ni kama mfano wa walio kuwa kabla yao 104 59, 16 | 16. Ni kama mfano wa Shetani anapo mwambia 105 60, 4 | 4. Hakika nyinyi mna mfano mzuri kwenu kwa Ibrahim 106 60, 6 | 6. Kwa yakini umekuwa mfano mzuri kwenu katika mwendo 107 62, 5 | 5. Mfano wa walio bebeshwa Taurati 108 62, 5 | Taurati kisha wasiibebe, ni mfano wa punda anaye beba vitabu 109 62, 5 | vitabu vikubwa vikubwa. Mfano muovu mno wa watu walio 110 65 | mbingu saba, na katika ardhi mfano wa hizo. ~KWA JINA LA MWENYEZI 111 65, 12 | mbingu saba, na ardhi kwa mfano wa hizo. Amri zake zinashuka 112 66, 10 | Mwenyezi Mungu amewapigia mfano walio kufuru: mke wa Nuhu 113 66, 11 | Mwenyezi Mungu amewapigia mfano walio amini - mkewe Firauni, 114 73 | Yeye amewaonya makafiri kwa mfano wa adhabu iliyo mshukia 115 74, 31 | Mungu amekusudia nini kwa mfano huu? Ndio kama hivyo Mwenyezi 116 76, 28 | tukitaka tutawabadilisha mfano wao wawe badala yao. ~~~~~~ 117 89, 8 | 8. Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi? ~~~~~~ 118 91 | maasi. Kisha ikaingilia mfano wa Thamudi, kaumu ya Saleh, 119 112 | ametakasika na kuwa na mfano, hakuzaa wala hakuzaliwa,


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License