Sura, verse
1 2, 4 | na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. ~~~~~~
2 2, 60 | tulimwambia: Lipige jiwe kwa fimbo yako. Mara zikatimbuka chemchem
3 2, 272| 272. Si juu yako wewe kuwaongoa, lakini Mwenyezi
4 2, 275| kwisha pita, na mambo yake yako kwa Mwenyezi Mungu. Na wenye
5 3, 20 | Na wakikengeuka basi juu yako ni kufikisha ujumbe tu.
6 3, 41 | Niwekee alama. Akasema: Alama yako ni kuwa hutasema na watu
7 3, 184| walikanushwa Mitume wengine kabla yako walio kuja na hoja waziwazi
8 4, 60 | na yaliyo teremshwa kabla yako? Wanataka wakahukumiwe kwa
9 4, 79 | kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu
10 4, 84 | Hukalifishwi ila nafsi yako tu. Na wahimize Waumini.
11 4, 113| fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yako na rehema yake, kundi moja
12 4, 113| Mwenyezi Mungu zilizo juu yako ni kubwa. ~~~~~~
13 4, 162| na yaliyo teremshwa kabla yako. Na wanao shika Sala, na
14 5, 110| Kumbuka neema yangu juu yako, na juu ya mama yako, nilipo
15 5, 110| juu yako, na juu ya mama yako, nilipo kutia nguvu kwa
16 5, 116| siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi
17 6, 10 | hakika Mitume walio kabla yako walifanyiwa kejeli, lakini
18 6, 34 | walikanushwa Mitume wa kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa,
19 6, 42 | kaumu zilizo kuwa kabla yako, kisha tukazitia katika
20 6, 52 | kutaka radhi yake. Si juu yako hisabu yao hata kidogo,
21 6, 52 | hata kidogo, wala hisabu yako si juu yao hata kidogo,
22 7, 16 | nitawavizia katika Njia yako Iliyo Nyooka. ~~~~~~
23 7, 117| Musa kumwambia: Tupa fimbo yako. Mara ikavimeza vyote vile
24 7, 127| wakuache wewe na miungu yako? Akasema: Tutawauwa wavulana
25 7, 151| na ututie katika rehema yako. Nawe ni Mwenye kurehemu
26 7, 160| Lipige hilo jiwe kwa fimbo yako. Mara zikatibuka humo chemchem
27 9, 103| uwaombee rehema. Hakika maombi yako ni utulivu kwao. Na Mwenyezi
28 10, 86 | 86. Na utuokoe kwa rehema yako na watu makafiri. ~~~~~~
29 10, 88 | wanapoteza watu na Njia yako. Mola wetu Mlezi! Yafutilie
30 10, 92 | kwa ajili ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika
31 10, 94 | waulize wasomao Kitabu kabla yako. Kwa yakini imekwisha kujia
32 11, 44 | ikasemwa: Ewe ardhi! Meza maji yako. Na Ewe mbingu! Jizuie.
33 11, 45 | ahali zangu, na hakika ahadi yako ni haki. Na Wewe ni Mwenye
34 11, 48 | kwetu, na baraka nyingi juu yako na juu ya watu walio pamoja
35 11, 53 | miungu yetu kwa kufuata kauli yako. Na wala sisi hatukuamini
36 12, 5 | Usiwasimulie nduguzo ndoto yako, wasije wakakufanyia vitimbi.
37 12, 6 | atatimiza neema zake juu yako na juu ya ukoo wa Yaa'qub,
38 12, 109| hatukuwatuma Mitume kabla yako isipo kuwa wanaume tulio
39 13, 32 | Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale walio
40 13, 38 | tulikwisha watuma Mitume kabla yako, na tukajaalia wawe na wake
41 13, 39 | tukakufisha kabla yake, juu yako wewe ni kufikisha ujumbe
42 14, 24 | ni imara, na matawi yake yako mbinguni. ~~~~~~
43 14, 37 | na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu
44 15, 35 | 35. Na hakika juu yako ipo laana mpaka Siku ya
45 15, 88 | 88. Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha
46 16, 43 | Nasi hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa
47 16, 63 | umati zilizo kuwa kabla yako, lakini Shetani aliwapambia
48 16, 68 | nyuki: Jitengenezee majumba yako katika milima,na katika
49 16, 82 | Basi wakikengeuka lilio juu yako wewe ni kufikisha ujumbe
50 16, 86 | tulikuwa tukiwaabudu badala yako. Ndipo wale watakapo watupia
51 17, 14 | Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu. ~~~~~~
52 17, 26 | 26. Na mpe aliye jamaa yako haki yake, na masikini,
53 17, 45 | soma Qur'ani tunaweka baina yako na wale wasio iamini Akhera
54 17, 64 | uwawezao katika wao kwa sauti yako, na wakusanyie jeshi lako
55 17, 77 | Mitume tulio watuma kabla yako. Wala hupati mabadiliko
56 17, 110| mazuri. Wala usitangaze Sala yako kwa sauti kubwa, wala usiifiche
57 18, 6 | Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia
58 18, 28 | 28. Na isubirishe nafsi yako pamoja na wanao muomba Mola
59 18, 28 | wanataka radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke kwa kutaka pambo
60 18, 69 | mvumilivu, wala sitoasi amri yako. ~~~~~~
61 19, 10 | nijaalie Ishara. Akasema Ishara yako ni kuwa hutasema na watu
62 19, 24 | wako Mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji! ~~~~~~
63 19, 28 | Ewe dada yake Harun! Baba yako hakuwa mtu muovu, wala mama
64 19, 28 | hakuwa mtu muovu, wala mama yako hakuwa kahaba. ~~~~~~
65 19, 47 | Salamun a'laika! Amani iwe juu yako! Mimi nitakuombea msamaha
66 20, 36 | Akasema: Hakika Umepewa maombi yako, ewe Musa! ~~~~~~
67 20, 38 | Pale tulipo mfunulia mama yako yaliyo funuliwa, ~~~~~~
68 20, 40 | 40. Dada yako alipo kwenda na akasema:
69 20, 40 | Basi tukakurejesha kwa mama yako ili macho yake yaburudike,
70 20, 42 | 42. Nenda, wewe na ndugu yako, pamoja na ishara zangu,
71 20, 85 | mtihani watu wako baada yako, na Msamaria amewapoteza. ~~~~~~
72 20, 87 | Sisi hatukuvunja miadi yako kwa khiari yetu, lakini
73 20, 117| Adam! Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo. Basi asikutoeni
74 21, 7 | 7. Na kabla yako hatukuwatuma ila watu wanaume
75 21, 25 | 25. Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia
76 21, 34 | mwanaadamu yeyote kabla yako kuwa na maisha ya milele.
77 21, 41 | 41. Na Mitume walio kabla yako walikwisha dhihakiwa. Kwa
78 21, 109| Nimekutangazieni sawa sawa, wala sijui yako karibu au mbali hayo mliyo
79 22, 10 | ya iliyo tanguliza mikono yako. Na hakika Mwenyezi Mungu
80 22, 52 | 52. Na hatukumtuma kabla yako Mtume wala Nabii ila anapo
81 25, 18 | kuchukulia walinzi badala yako, lakini Wewe uliwastarehesha
82 25, 20 | 20. Na hatukuwatuma kabla yako Mitume wowote ila kwa hakika
83 26, 3 | Huenda labda ukajikera nafsi yako kwa kuwa hawawi Waumini. ~~~~~~
84 26, 63 | tukamwambia: Piga bahari kwa fimbo yako. Basi ikatengana, na kila
85 26, 118| yangu na wao kwa hukumu yako, na uniokoe mimi na walio
86 26, 219| 219. Na mageuko yako kati ya wanao sujudu. ~~~~~~
87 27, 10 | 10. Na itupe fimbo yako! Alipo iona ikitikisika
88 27, 19 | Nizindue niishukuru neema yako uliyo nineemesha mimi na
89 27, 19 | na uniingize kwa rehema yako katika waja wako wema. ~~~~~~
90 28, 27 | Ukitimiza kumi, khiari yako; lakini mimi sitaki kukutaabisha.
91 28, 31 | 31. Na tupa chini fimbo yako. Basi alipo iona ikitikisika
92 28, 46 | kufikiwa na mwonyaji kabla yako, huenda wakakumbuka. ~~~~~~
93 28, 63 | sisi. Tunajitenga nao mbele yako. Hawakuwa wakituabudu sisi. ~~~~~~
94 31, 19 | katikati, na teremsha sauti yako. Hakika katika sauti mbaya
95 32, 3 | fikiwa na mwonyaji kabla yako; huenda wakaongoka. ~~~~~~
96 33, 50 | mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe;
97 33, 60 | kisha hawatakaa humo karibu yako ila muda mchache tu. ~~~~~~
98 34, 44 | hatukuwatumia Mwonyaji kabla yako wewe. ~~~~~~
99 35, 4 | walikwisha kanushwa Mitume kabla yako. Na mambo yote yatarudishwa
100 35, 8 | humwongoa amtakaye. Basi nafsi yako isijihiliki kwa kuwasikitikia.
101 38, 78 | laana yangu itakuwa juu yako mpaka Siku ya Malipo. ~~~~~~
102 39, 65 | na kwa walio kuwa kabla yako: Bila ya shaka ukimshirikisha
103 40, 7 | tubu na wakaifuata Njia yako, na waepushe na adhabu ya
104 40, 78 | tuliwatuma Mitume kabla yako. Wengine katika hao tumekusimulia
105 41, 34 | Hapo yule ambaye baina yako naye pana uadui atakuwa
106 41, 43 | waliyo ambiwa Mitume wa kabla yako. Hakika Mola wako Mlezi
107 42, 3 | Wahyi wewe na walio kabla yako. ~~~~~~
108 42, 48 | uwe mwangalizi wao. Si juu yako ila kufikisha Ujumbe tu.
109 43, 44 | ukumbusho kwako na kwa kaumu yako. Na mtakuja ulizwa. ~~~~~~
110 43, 45 | wetu tulio watuma kabla yako: Je! Tulifanya miungu mingine
111 48, 2 | Mwenyezi Mungu akusamehe makosa yako yaliyo tangulia na yajayo,
112 50, 33 | watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada. ~~~~~~
113 60, 4 | similiki chochote kwa ajili yako mbele ya Mwenyezi Mungu.
114 60, 4 | Mungu. Mola wetu Mlezi! Juu yako tumetegemea, na kwako tumeelekea,
115 67, 4 | nadhari mara mbili, nadhari yako itakurejea mwenyewe hali
116 71, 1 | watu wake: Uwaonye kaumu yako kabla ya kuwafikia adhabu
117 75, 10 | Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio? ~~~~~~
118 80, 7 | 7. Na si juu yako kama hakutakasika. ~~~~~~
|