Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
jizya 1
joto 9
jozi 4
jua 105
jueni 37
juhudi 22
juj 1
Frequency    [«  »]
107 yule
107 zilizo
106 6
105 jua
105 malaika
105 uwongofu
104 7

Qu'rani

IntraText - Concordances

jua

                                                  bold = Main text
    Sura, verse                                   grey = Comment text
1 2, 78 | wako miongoni mwao wasio jua kusoma; hawakijui Kitabu 2 2, 113| kadhaalika walisema wale wasio jua kitu mfano wa kauli yao 3 2, 118| Na walisema wale wasio jua kitu: Mbona Mwenyezi Mungu 4 2, 230| ibainisha kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 5 2, 258| Mwenyezi Mungu hulichomozesha jua mashariki, basi wewe lichomozeshe 6 3, 75 | kwa ajili ya hawa wasio jua kusoma. Na wanamzulia uwongo 7 3, 167| lindeni. Wakasema: Tungeli jua kuna kupigana bila ya shaka 8 5, 49 | Mungu. Na wakigeuka, basi jua kwamba hakika Mwenyezi Mungu 9 6 | nyota, kisha mwezi, kisha jua, na akamalizia kwa kufuata 10 6, 35 | usiwe miongoni mwa wasio jua. ~~~~~~ 11 6, 67 | kipindi chake. Nanyi mtakuja jua. ~~~~~~ 12 6, 78 | 78. Na alipo liona jua linachomoza akasema: Huyu 13 6, 96 | mapumziko na utulivu, na jua na mwezi kwenda kwa hisabu. 14 6, 97 | Ishara hizi kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 15 6, 105| tuyabainishe kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 16 6, 135| hakika mimi nafanya. Mtakuja jua nani atakuwa na makaazi 17 7, 32 | tunazieleza Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 18 7, 54 | ufuatao upesi upesi. Na jua, na mwezi, na nyota zinazo 19 7, 138| Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu. ~~~~~~ 20 8, 23 | Na Mwenyezi Mungu angeli jua wema wowote kwao ange wasikilizisha, 21 10, 5 | Yeye ndiye aliye lijaalia jua kuwa na mwangaza, na mwezi 22 10, 5 | Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 23 10, 89 | msifuate njia za wale wasio jua. ~~~~~~ 24 11, 39 | 39. Nanyi mtakuja jua ni nani itakaye mfikia adhabu 25 11, 79 | Wakasema: Bila shaka umekwisha jua hatuna haki juu ya binti 26 12, 3 | ulikuwa miongoni mwa wasio jua. ~~~~~~ 27 12, 4 | nimeota nyota kumi na moja, na jua, na mwezi. Nimeota zikinisujudia. ~~~~~~ 28 12, 42 | Na akamwambia yule aliye jua kuwa atavuka katika wale 29 13, 2 | Ufalme wake, na amefanya jua na mwezi yamt'ii, kila kimoja 30 13, 19 | 19. Je! Anaye jua ya kwamba yaliyo teremshwa 31 14, 33 | 33. Na akalifanya jua na mwezi kwa manufaa yenu 32 15, 3 | iwazuge tamaa. Watakuja jua. ~~~~~~ 33 15, 96 | mwingine. Basi, watakuja jua! ~~~~~~ 34 16, 12 | ukutumikieni usiku na mchana, na jua na mwezi, na nyota zikutumikieni 35 16, 55 | Basi stareheni. Mtakuja jua! ~~~~~~ 36 17, 78 | 78. Shika Sala jua linapo pinduka mpaka giza 37 18, 17 | 17. Na unaliona jua linapo chomoza linainamia 38 18, 22 | wangu Mlezi ndiye anaye jua sawa sawa hisabu yao. Hawawajui 39 18, 90 | Hata alipo fika matokeo ya jua aliliona linawachomozea 40 19, 75 | ni Saa. Hapo ndipo watapo jua ni nani mwenye makao mabaya 41 20, 130| kumsifu kabla ya kuchomoza jua, na kabla halijachwa, na 42 21, 33 | umba usiku na mchana na jua na mwezi, vyote katika anga 43 21, 39 | 39. Lau wangeli jua wale walio kufuru wakati 44 21, 81 | ibarikia. Na Sisi ndio tunao jua kila kitu. ~~~~~~ 45 22, 18 | viliomo katika ardhi, na jua, na mwezi, na nyota, na 46 24, 41 | zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa 47 25, 42 | kuvumilia. Bado watakuja jua, watakapo iona adhabu, ni 48 25, 45 | kikatulia tu. Kisha tumelifanya jua kuwa ni kiongozi wake. ~~~~~~ 49 26, 49 | kufunzeni uchawi. Basi mtakuja jua! Nitakata mikono yenu na 50 26, 60 | wakawafuata lilipo chomoza jua. ~~~~~~ 51 26, 227| Na wanao dhulumu watakuja jua mgeuko gani watakao geuka. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 52 27 | huyu na watu wake kuliabudu jua. Tena Sulaiman akampelekea 53 27, 24 | watu wake wanalisujudia jua badala ya Mwenyezi Mungu; 54 27, 52 | ipo Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 55 28, 50 | ikiwa hawakuitikii, basi jua kuwa wanafuata pumbao lao 56 29, 61 | mbingu na ardhi na akafanya jua na mwezi kuti'ii amri yake? 57 29, 66 | wajistareheshe. Lakini watakuja jua! ~~~~~~ 58 30, 34 | Basi stareheni. Mtakuja jua! ~~~~~~ 59 30, 59 | muhuri kwenye nyoyo za wasio jua. ~~~~~~ 60 31, 29 | usiku, na amedhalilisha jua na mwezi? Vyote hivyo vinakwenda 61 34, 14 | walitambua lau kuwa wangeli jua ya ghaibu wasingeli kaa 62 35 | katika usiku. Na akafanya jua na mwezi yat'ii, kila kimoja 63 35, 13 | katika usiku. Na amelifanya jua na mwezi kutumikia. Kila 64 36, 26 | kuwa watu wangu wangeli jua ~~~~~~ 65 36, 38 | 38. Na jua linakwenda kwa kiwango chake. 66 36, 40 | 40. Haliwi jua kuufikia mwezi, wala usiku 67 37, 158| majini; na majini wamekwisha jua bila ya shaka kuwa wao watahudhurishwa. ~~~~~~ 68 37, 170| waliukataa. Basi watakuja jua. ~~~~~~ 69 38 | Na bila ya shaka watakuja jua ukweli wa khabari zake baadae.~ 70 39, 5 | juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila 71 39, 9 | watakuwa sawa wale wanao jua na wale wasio jua? Hakika 72 39, 9 | wanao jua na wale wasio jua? Hakika wanao kumbuka ni 73 39, 26 | kubwa zaidi; laiti wangeli jua! ~~~~~~ 74 40, 70 | Mitume wetu. Basi watakuja jua. ~~~~~~ 75 41, 3 | kwa Kiarabu kwa watu wanao jua. ~~~~~~ 76 41, 37 | zake ni usiku na mchana, na jua na mwezi. Basi msilisujudie 77 41, 37 | mwezi. Basi msilisujudie jua wala mwezi, bali msujudieni 78 43 | useme: Salamu! Watakuja jua!~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU 79 43, 89 | maneno ya salama. Watakuja jua. ~~~~~~~~~~~~ 80 45, 18 | usifuate matamanio ya wasio jua kitu. ~~~~~~ 81 47, 19 | 19. Basi jua ya kwamba hapana mungu ila 82 49, 6 | mkawasibu watu kwa kuto jua, na mkawa tena wenye kujuta 83 50, 37 | Mlezi kabla ya kuchomoza jua na kabla ya kuchwa. ~~~~~~ 84 55, 5 | 5. Jua na mwezi huenda kwa hisabu. ~~~~~~ 85 56, 58 | bila ya shaka mlikwisha jua umbo la kwanza, basi kwa 86 56, 72 | kiapo kikubwa, laiti mngeli jua! ~~~~~~ 87 62 | ameineemesha kaumu isio jua kuandika wala kusoma kwa 88 62, 2 | Mtume kwenye watu wasio jua kusoma, awasomee Aya zake 89 67, 29 | yake tunategemea. Mtakuja jua ni nani aliye katika upotovu 90 68, 33 | makubwa zaidi, laiti wangeli jua! ~~~~~~ 91 69, 26 | 26. Wala nisingeli jua nini hisabu yangu. ~~~~~~ 92 71, 16 | uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa? ~~~~~~ 93 72, 24 | ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi 94 74, 31 | Na hapana yeyote anaye jua majeshi ya Mola wako Mlezi 95 75, 9 | 9. Na likakusanywa jua na mwezi, ~~~~~~ 96 76, 13 | vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali. ~~~~~~ 97 78, 4 | 4. La! Karibu watakuja jua. ~~~~~~ 98 78, 5 | Tena la! Karibu watakuja jua. ~~~~~~ 99 81, 1 | 1. Jua litakapo kunjwa, ~~~~~~ 100 84, 16 | Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa, ~~~~~~ 101 91, 1 | 1. Naapa kwa jua na mwangaza wake! ~~~~~~ 102 102 | inawaonya kwamba hakika watakuja jua mwisho wa taksiri yao hiyo, 103 102, 3 | 3. Sivyo hivyo! Mtakuja jua! ~~~~~~ 104 102, 4 | Tena sivyo hivyo! Mtakuja jua! ~~~~~~ 105 102, 5 | Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakini, ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License