Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
majengo 3
majeshi 28
majeuri 4
maji 102
majibizano 3
majike 4
majina 16
Frequency    [«  »]
104 nchi
103 nyuma
102 8
102 maji
102 wenyewe
101 fadhila
101 ndani

Qu'rani

IntraText - Concordances

maji

                                                bold = Main text
    Sura, verse                                 grey = Comment text
1 2, 22 | kama paa, na akateremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo 2 2, 60 | 60. Na Musa alipo omba maji kwa ajili ya watu wake, 3 2, 71 | kulima ardhi wala kumwagia maji mimea, mzima, hana baka. 4 2, 74 | mengine yanayo pasuka yakatoka maji ndani yake, na kuna mengine 5 2, 164| kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha Mwenyezi 6 4, 43 | mmewagusa wanawake - na msipate maji, basi ukusudieni mchanga 7 5, 6 | mmewagusa wanawake, na hamkupata maji, basi tayamamuni vumbi lilio 8 6, 70 | Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu 9 6, 99 | Yeye ndiye anaye teremsha maji kutoka mbinguni; na kwayo 10 7, 50 | watu wa Peponi: Tumimieni maji, au chochote alicho kuruzukuni 11 7, 57 | Kisha tunateremsha kwayo maji, ndio kama hivyo tukatolesha 12 7, 160| tulimfunulia Musa walipo muomba maji watu wake kumwambia: Lipige 13 8, 11 | kwake, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni ili kukusafisheni 14 9, 19 | Je, mnafanya kuwanywesha maji Mahujaji na kuamirisha Msikiti 15 10, 24 | maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha kutoka 16 11, 7 | cha Enzi kilikuwa juu ya maji, ili akufanyieni mtihani 17 11, 40 | yetu, na tanuri ikafoka maji, tulisema: Pakia humo wawili 18 11, 43 | Nitakimbilia mlimani unilinde na maji. (Nuhu) akasema: Leo hapana 19 11, 44 | ikasemwa: Ewe ardhi! Meza maji yako. Na Ewe mbingu! Jizuie. 20 11, 44 | Ewe mbingu! Jizuie. Basi maji yakadidimia chini, na amri 21 12, 19 | msafara, wakamtuma mchota maji wao, naye akatumbukiza ndoo 22 12, 70 | akakitia kikopo cha kunywea maji katika mzigo wa nduguye 23 13, 4 | shina moja, nayo inatiliwa maji yale yale. Na tunaifanya 24 13, 14 | kunyoosha viganja vyake kwenye maji ili yafike kinywani mwake, 25 13, 17 | 17. Ameteremsha maji kutoka mbinguni. Na mabonde 26 13, 17 | Na mabonde yakamiminika maji kwa kadiri yake. Na mafuriko 27 14, 16 | Jahannamu, na atanywishwa maji ya usaha. ~~~~~~ 28 14, 32 | na ardhi, na akateremsha maji kutoka mbinguni. Na kwa 29 15 | imara, na pepo zenye kubeba maji, na zenye kupandishia miti. 30 15, 22 | tunateremsha kutoka mbinguni maji, kisha tukakunywesheni maji 31 15, 22 | maji, kisha tukakunywesheni maji hayo. Wala si nyinyi mnayo 32 16, 10 | ndiye anaye kuteremshieni maji kutoka mbinguni. Katika 33 16, 14 | unaona marikebu zikikata maji humo, ili mtafute fadhila 34 16, 65 | Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo 35 18, 29 | msaada watasaidiwa kwa kupewa maji kama mafuta yaliyo tibuka. 36 18, 41 | 41. Au maji yake yakadidimia wala usiweze 37 18, 45 | maisha ya dunia. Hayo ni kama maji tunayo yateremsha kutoka 38 19, 24 | chini yako kijito kidogo cha maji! ~~~~~~ 39 20, 53 | akakuteremshieni kutoka mbinguni maji. Na kwa hayo tukatoa namna 40 21, 30 | tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, 41 22, 5 | lakini tunapo yateremsha maji juu yake husisimka na kututumka, 42 22, 19 | yatamiminwa juu ya vichwa vyao maji yanayo chemka. ~~~~~~ 43 22, 20 | 20. Kwa maji hayo vitayayushwa viliomo 44 22, 63 | Mwenyezi Mungu huteremsha maji kutoka mbinguni, na mara 45 23, 18 | tumeteremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi na tukayatuliza 46 23, 19 | 19. Kwa maji hayo tukakufanyieni bustani 47 23, 41 | takataka zinazo elea juu ya maji. Ikapotelea mbali kaumu 48 23, 50 | penye utulivu na chemchem za maji. ~~~~~~ 49 24, 39 | Mwenye kiu huyadhania ni maji. Hata akiyaendea hapati 50 24, 45 | kila kinyama kutokana na maji. Wengine katika wao huenda 51 25, 48 | tunayateremsha kutoka mbinguni maji safi. ~~~~~~ 52 25, 54 | muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia kuwa na nasaba 53 27, 44 | Alipo liona alidhani ni maji, na akapandisha nguo mpaka 54 27, 60 | ardhi, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni, na kwa 55 28, 23 | 23. Na alipo yafikia maji ya Madyana alikuta umati 56 29, 63 | Ni nani anaye teremsha maji kutoka mbinguni, na akaihuisha 57 30, 24 | tamaa. Na hukuteremshieni maji kutoka mbinguni, na kwa 58 31, 10 | wanyama; na tumeteremsha maji kutoka mbinguni, na tukaotesha 59 32, 8 | wake utokane na kizazi cha maji madhaifu. ~~~~~~ 60 32, 27 | Hawaoni ya kwamba tunayapeleka maji kwenye ardhi kavu, kisha 61 35 | kudra ya Mwenyezi Mungu. Kwa maji yanatokea mazao ya kila 62 35, 12 | ndani yake marikebu zinakata maji ili mtafute fadhila zake, 63 35, 27 | Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni, na kwayo 64 37, 67 | wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka. ~~~~~~ 65 38, 42 | kwa mguu wako! Basi haya maji baridi ya kuogea na ya kunywa. ~~~~~~ 66 38, 57 | Ndio hivi! Basi na wayaonje maji ya moto na ya usaha! ~~~~~~ 67 39 | Mungu kwa kuwateremshia maji, na kwamba Yeye huihuisha 68 39, 21 | Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni. Kisha akayapitisha 69 39, 21 | katika ardhi, kisha kwa maji hayo akatoa mimea yenye 70 40, 72 | 72. Katika maji ya moto, kisha wanaunguzwa 71 41, 39 | lakini tunapo iteremshia maji mara unaiona inataharaki 72 43, 11 | teremsha kutoka mbinguni maji kwa kiasi, na kwa hayo tukaifufua 73 44, 46 | 46. Kama kutokota kwa maji ya moto. ~~~~~~ 74 44, 48 | ya kichwa chake adhabu ya maji yanayo chemka. ~~~~~~ 75 47, 15 | ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya 76 47, 15 | dumu Motoni na wakinyweshwa maji yanayo chemka ya kuwakata 77 50, 7 | tumeteremsha kutoka mbinguni maji yaliyo barikiwa, na kwa 78 50, 9 | wangu. Na tukaifufua kwa maji nchi iliyo kuwa imekufa. 79 54, 11 | tukaifungua milango ya mbingu kwa maji yanayo miminika. ~~~~~~ 80 54, 12 | kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa. ~~~~~~ 81 54, 28 | 28. Na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; 82 54, 28 | baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika. ~~~~~~ 83 55, 44 | wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka. ~~~~~~ 84 56 | viumbe, na makulima, na maji, na moto; na yanayo hitajika 85 56, 29 | kivuli kilicho tanda, 31. Na maji yanayo miminika, ~~~~~~ 86 56, 40 | Katika upepo wa moto, na maji yanayo chemka, ~~~~~~ 87 56, 51 | 54. Na juu yake mtakunywa maji yanayo chemka. ~~~~~~ 88 56, 64 | 68. Je! Mnayaona maji mnayo yanywa? ~~~~~~ 89 56, 89 | 93. Basi karamu yake ni maji yanayo chemka, ~~~~~~ 90 67, 30 | Sema: Mwaonaje, yakiwa maji yenu yamedidimia chini, 91 67, 30 | chini, nani atakueleteeni maji yanayo miminika? ~~~~~~~~~~~~~~~~~~ 92 69, 11 | 11. Maji yalipo furika Sisi tulikupandisheni 93 72, 16 | ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi, ~~~~~~ 94 77, 20 | Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa? ~~~~~~ 95 77, 27 | kuthibiti, na tunakunywesheni maji matamu? ~~~~~~ 96 78, 14 | 14. Na tukateremsha maji yanayo anguka kwa kasi kutoka 97 78, 25 | 25.Ila maji yamoto sana na usaha, ~~~~~~ 98 79, 31 | 31. Akatoa ndani yake maji yake na malisho yake, ~~~~~~ 99 80, 25 | Hakika Sisi tumemimina maji kwa nguvu, ~~~~~~ 100 86 | ya kwamba yeye kaumbwa na maji yenye kutoka kwa kasi, ili 101 86, 6 | 6. Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa, ~~~~~~ 102 91, 13 | Mwenyezi Mungu, mwacheni anywe maji fungu lake. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License