bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 96 | pupa ya kuishi, na kuliko washirikina. Kila mmoja wao anatamani
2 2, 105| miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina hawapendi mteremshiwe kheri
3 2, 135| mwongofu, wala hakuwa katika washirikina. ~~~~~~
4 2, 221| 221. Wala msiwaoe wanawake washirikina mpaka waamini. Na mjakazi
5 2, 221| msiwaoze (binti zenu) wanaume washirikina mpaka waamini. Na mtumwa
6 3, 67 | Muislamu, wala hakuwa katika washirikina. ~~~~~~
7 3, 95 | wala hakuwa miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
8 5, 82 | walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu
9 6 | Mungu Mtukufu, na upotovu wa Washirikina walivyo jiharimishia wenyewe
10 6, 14 | kabisa usiwe miongoni wa washirikina. ~~~~~~
11 6, 23 | Mola wetu Mlezi! Hatukuwa washirikina. ~~~~~~
12 6, 79 | wala mimi si miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
13 6, 106| ila Yeye. Na jitenge na washirikina. ~~~~~~
14 6, 121| hapana shaka nyinyi mtakuwa washirikina. ~~~~~~
15 6, 137| wamewapambia wengi katika washirikina kuwauwa watoto wao ili kuwaangamiza
16 6, 161| wala hakuwa miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
17 7, 190| mwana mwema, wanamfanyia washirikina Mwenyezi Mungu katika kile
18 8 | nazo ni kutoka makafiri washirikina Makka kumwendea Nabii s.
19 9 | Mwenyezi Mungu Mtukufu na washirikina. Na kwa hivyo ikaitwa pia
20 9 | mitakatifu, na ahadi za washirikina, na ipasavyo kutimiza ahadi
21 9 | Sura hii wamepigiwa marfuku washirikina wasiingie katika Msikiti
22 9, 1 | mlio ahidiana nao katika washirikina. ~~~~~~
23 9, 3 | hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri
24 9, 4 | 4. Isipo kuwa washirikina ambao mliahidiana nao kisha
25 9, 5 | miezi mitukufu basi wauweni washirikina popote mwakutapo, na washikeni
26 9, 6 | ikiwa mmoja wapo katika washirikina akikuomba ulinzi, basi mpe
27 9, 7 | Itakuwaje iwepo ahadi na washirikina mbele ya Mwenyezi Mungu
28 9, 28 | Enyi mlio amini! Hakika washirikina ni najsi, kwa hivyo wasiukaribie
29 9, 33 | kushinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. ~~~~~~
30 9, 36 | zenu humo. Na piganeni na washirikina wote kama wao wnavyo pigana
31 9, 113| amini kuwatakia msamaha washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao,
32 10 | hiki Kitukufu, na wasemayo washirikina yaliyo mkhusu Nabii s.a.
33 10, 105| Kweli, wala usiwe katika washirikina. ~~~~~~
34 12, 106| Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina. ~~~~~~
35 12, 108| Mungu! Wala mimi si katika washirikina. ~~~~~~
36 13 | miujiza aitakayo. Na ikiwa hao washirikina wanakanya Utume wa Nabii
37 15 | cha Qur'ani, na hali ya washirikina katika kuipokea, na impasavyo
38 15, 94 | amrishwa, na jitenge na washirikina. ~~~~~~
39 16 | Mwenyezi Mungu Mtukufu kuwapa washirikina, na kubainisha uwezo wake
40 16 | peke yake, na kuwakabili washirikina kwa kuwaita watambue Upweke
41 16 | Mungu; na imetaja uzushi wa washirikina kuizulia , na kudai kuwa
42 16 | Subhanahu ameashiria adhabu ya washirikina Siku ya Kiyama na starehe
43 16 | Subhanahu akataja kukanya kwa washirikina kukhusu kufufuliwa na kushikilia
44 16 | Na anabainisha upotovu wa washirikina katika itikadi yao kuamini
45 16 | kuenea neema zake. Na vipi washirikina wanavyo zipinga neema hizi
46 16 | wa Qur'ani, na ukafiri wa washirikina kuikataa Qur'ani, na kuizulia
47 16 | takasika ameashiria hali ya washirikina Siku ya Kiyama. Amebainisha
48 16 | Mayahudi walivyo wakaribia washirikina, na akabainisha kuwa yapasa
49 16, 35 | 35. Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu
50 16, 120| wala hakuwa miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
51 16, 123| wala hakuwa miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
52 17 | Subhanahu akauvunja uzushi wa washirikina kukhusu Malaika, kisha akabainisha
53 17 | kuhimidiwa, na upinzani wa washirikina, akawapa wasia Waumini.
54 17 | Shet'ani, na akawatisha washirikina kwa Aya zake. Baada ya hayo
55 17 | ya Kiyama. Akataja vipi washirikina wanavyo jaribu kumzuia Nabii
56 20 | Kisha ikabainishwa kubwatika washirikina katika matakwa yao ya muujiza
57 21 | kukaribia Kiyama na hali washirikina wameghafilika nacho. Nao
58 21 | Na akabainisha hali ya washirikina na makafiri. Naye Subhanahu
59 21 | maonyo ya Mwenyezi Mungu kwa washirikina. Na kwamba hakika amri yote
60 22 | Mungu kwa kuzizuga akili za washirikina, kwamba hawawezi hata kuumba
61 23 | kupotoka, na msimamo wa washirikina mbele ya Nabii s.a.w. Tena
62 25 | utukufu wa utawala wake, washirikina bado badala yake wanaabudu
63 27 | ya Daa'wa (Wito), na vipi washirikina wanavyo ipuuza juu ya kuwa
64 28, 87 | wala usiwe miongoni mwa washirikina. ~~~~~~
65 29 | kwamba kuabudu masanamu kwa washirikina kunategemea hoja iliyo kuwa
66 29 | Subhanahu ametaja ukaidi wa washirikina katika kutaka kwao waletewe
67 29 | na wa Akhera, na hali ya washirikina katika unyonge wao na kumkimbilia
68 29, 47 | na miongoni mwa hawa (washirikina) wapo watakao iamini. Na
69 30 | Siku ya Kiyama na jinsi washirikina wanavyo ikanya. Na Sura
70 30, 31 | Sala, na wala msiwe katika washirikina. ~~~~~~
71 30, 42 | tangulia. Wengi wao walikuwa washirikina. ~~~~~~
72 33 | Waumini kwa ushindi kuwashinda washirikina kama alivyo waahidi; na
73 33, 73 | na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume, na washirikina
74 33, 73 | washirikina wanaume, na washirikina wanawake; na anawapokelea
75 34 | wa Mtume. Na ikataja kuwa washirikina wanaiona Siku ya Kiyama
76 34 | Na inawekwa wazi sura ya washirikina. Kwani wao walimwabia Mtume
77 37 | Sura imetengua madai ya washirikina kwamba Mwenyezi Mungu ana
78 38 | inatueleza namna ya inda ya washirikina waliyo kuwa wakiufanyia
79 38 | na vitimbi vyovyote vya washirikina kwa ajili yake. Na apate
80 39 | teremshiwa. Na hakika hao washirikina ukiwauliza: Nani aliye umba
81 41 | Na imeeleza msimamo wa washirikina kukhusu Qur'ani, katika
82 41 | inaingilia kuwakumbusha washirikina uweza wa Mwenyezi Mungu
83 42 | Sura imelaani shirki ya washirikina, na kukhitalifiana kwao
84 42, 13 | msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi
85 44 | yakanya hayo, na ikawarudi washirikina. Ikalinganisha baina ya
86 44 | Ikalinganisha baina ya washirikina wa Makka na wenzao walio
87 48 | kuadhibiwa kwa wanaafiki na washirikina, kwa shaka shaka zao juu
88 48, 6 | na wanaafiki wanawake, na washirikina wanaume na washirikina wanawake,
89 48, 6 | na washirikina wanaume na washirikina wanawake, wanao mdhania
90 60 | Waumini wasiwafanye urafiki washirikina, ambao ni maadui wa Mwenyezi
91 60 | naye katika kujitenga na washirikina, na hayo waliyo kuwa wakiyaabudu
92 61 | zote nyenginezo, hata walau washirikina wakichukia. Na ikakhitimishia
93 61, 9 | kuzishinda dini zote, ijapo kuwa washirikina watachukia. ~~~~~~
94 79 | ikakhitimisha kwa kuuliza kwao washirikina lini itakuwa hiyo Saa ya
95 98 | kutokana na Vitabu vyao, na washirikina wa Makka wakajua kutokana
96 98 | vilikuwa viovu zaidi kuliko vya washirikina. Na hukumu ya watu hawa
97 98, 1 | miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina waache walio nayo mpaka
98 98, 6 | miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina wataingia katika Moto wa
|