bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | misingi ya wema, na kutaja baadhi ya hukumu za Saumu, na wasia,
2 2, 75 | Mnatumai watakuaminini na hali baadhi yao walikuwa wakisikia maneno
3 2, 85 | nyinyi mnauwana, na mnawatoa baadhi yenu majumbani kwao, mkisaidiana
4 2, 85 | mmekatazwa. Je! Mnaamini baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi
5 2, 85 | baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi yake? Basi hana malipo mwenye
6 2, 145| hutafuata kibla chao, wala baadhi yao hawatafuata kibla cha
7 2, 200| au mtajeni zaidi. Na wapo baadhi ya watu wanao sema: Mola
8 2, 253| MITUME hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo. Katika
9 2, 271| kwenu, na yatakuondoleeni baadhi ya maovu yenu. Na Mwenyezi
10 3, 23 | kiwahukumu baina yao; kisha baadhi yao wanageuka wanakikataa. ~~~~~~
11 3, 50 | na ili nikuhalalishieni baadhi ya yale mlio harimishiwa,
12 3, 78 | 78. Na wapo baadhi yao wanao pindua ndimi zao
13 3, 100| Enyi mlio amini! Mkiwat'ii baadhi ya walio pewa Kitabu watakurudisheni
14 3, 155| watelezesha kwa sababu ya baadhi ya makosa waliyo yafanya;
15 4, 19 | msiwadhikishe ili mwapokonye baadhi ya mlivyo wapa - isipo kuwa
16 4, 32 | wafadhili Mwenyezi Mungu baadhi yenu kuliko wengine. Wanaume
17 4, 34 | kufadhiliwa na Mwenyezi Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa
18 4, 34 | Mungu baadhi yao juu ya baadhi, na kwa mali yao wanayo
19 5 | Na Sura hii imebainisha baadhi ya vyakula vilivyo harimishwa,
20 5 | na Wakristo wakayasahau baadhi ya mambo waliyo kumbushwa,
21 5 | tena Sura hii imekusanya baadhi ya khabari za Mayahudi,
22 5 | katika Sura hii imewasifu baadhi ya Wakristo ambao wameikubali
23 5 | na ikaeleza upotovu wa baadhi ya mambo waliyo jiharimishia
24 5, 49 | wasije kukufitini ukaacha baadhi ya aliyo kuteremshia Mwenyezi
25 5, 49 | Mungu anataka kuwasibu kwa baadhi ya dhambi zao. Na hakika
26 6 | Na imekusanya visa vya baadhi ya Manabii, na ikaanza kwa
27 6, 34 | bila ya shaka zimekujia baadhi ya khabari za Mitume hao. ~~~~~~
28 6, 65 | mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao. Tazama
29 6, 99 | ya kila kitu. Kutokana na baadhi yao tukatoa mimea ya majani,
30 6, 158| Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi?
31 6, 158| Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi,
32 6, 165| duniani, na amewanyanyua baadhi yenu juu ya wengine daraja
33 7, 101| Miji hiyo, tunakusimulia baadhi ya khabari zake. Na hapana
34 8 | amebainisha katika Sura hii baadhi ya hukumu za vita, na mambo
35 8 | kisa cha Vita vya Badri, na baadhi ya yaliyo kuwa kabla yake,
36 9, 117| baada ya kukaribia nyoyo za baadhi yao kugeuka. Basi akapokea
37 9, 122| Lakini kwa nini hawatoki baadhi katika kila kundi miongoni
38 10, 46 | vyovyote vile, tukikuonyesha baadhi ya tunayo waahidi, au tukakufisha
39 10, 83 | hawakumuamini Musa isipo kuwa baadhi ya vijana vya kaumu yake,
40 11, 12 | 12. Basi labda utaacha baadhi ya yale yaliyo funuliwa
41 11, 54 | 54. Sisi tunasema: Baadhi katika miungu yetu imekusibu
42 12 | ulio enea na pia katika baadhi yao yapo mapenzi. Husda
43 13, 4 | yale yale. Na tunaifanya baadhi yao bora kuliko mengine
44 13, 36 | mengine wapo wanao yakataa baadhi ya haya. Sema: Nimeamrishwa
45 13, 39 | Na ikiwa tukikuonyesha baadhi ya tuliyo waahidi au tukakufisha
46 14, 37 | Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika
47 16, 5 | na manufaa mengineyo, na baadhi yao mnawala. ~~~~~~
48 16, 71 | Mwenyezi Mungu amewafadhilisha baadhi yenu kuliko wengine katika
49 17, 1 | uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye
50 17, 21 | Angalia vipi tulivyo wafadhili baadhi yao kuliko wenginewe. Na
51 17, 55 | hakika tumewafadhilisha baadhi ya Manabii kuliko wengine;
52 18, 83 | Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadithi yake. ~~~~~~
53 20, 23 | 23. Ili tukuonyeshe baadhi ya ishara zetu kubwa. ~~~~~~
54 20, 131| macho tulivyo wastareheshea baadhi ya watu miongoni mwao, kwa
55 23 | kuzalikana vizazi vyake, na baadhi ya mambo yanayo dhihirisha
56 23, 91 | angeli chukua alivyo umba, na baadhi yao wangeli washinda wengine.
57 24, 62 | Na wakikuomba ruhusa kwa baadhi ya kazi zao, mruhusu umtakaye
58 25, 20 | masokoni. Na tumewajaalia baadhi yenu wawe ni majaribio kwa
59 27 | cha Musa a.s. Na imetajwa baadhi ya miujiza yake, na kisa
60 30, 41 | Mwenyezi Mungu awaonyeshe baadhi ya waliyo yatenda. Huenda
61 30, 46 | njema, na ili kukuonjesheni baadhi ya rehema zake, na ili majahazi
62 31, 31 | Mungu, ili kukuonyesheni baadhi ya Ishara zake? Hakika katika
63 31, 32 | wakafika nchi kavu, wapo baadhi yao huenda mwendo wa sawa.
64 33, 23 | ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na
65 33, 23 | yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (
66 33, 26 | khofu katika nyoyo zao. Baadhi yao mkawa mnawauwa, na wengine
67 36, 72 | tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda,
68 36, 72 | yao wako wanao wapanda, na baadhi yao wanawala. ~~~~~~
69 40 | hii ilivyo kusanya katika baadhi ya Aya zake maneno ya kukumbusha
70 40, 28 | akiwa mkweli yatakufikieni baadhi ya hayo anayo kuahidini.
71 40, 77 | kweli. Na ama tukikuonyesha baadhi ya yale tuliyo waahidi au
72 40, 79 | hoa, mifugo, ili muwapande baadhi yao, na muwale baadhi yao. ~~~~~~
73 40, 79 | muwapande baadhi yao, na muwale baadhi yao. ~~~~~~
74 42 | na ikaeleza kukanya kwa baadhi ya watu juu ya kuwa hoja
75 42 | wakateketea. Bali amewakunjulia baadhi na amewadhikisha wengine. ~
76 43, 32 | duniani, na tukawanyanyua baadhi yao juu ya wengine kwa daraja
77 43, 32 | daraja nyingi; kwa hivyo baadhi yao wanawafanya wenginewe
78 43, 63 | hikima, na ili nikuelezeni baadhi ya yale mliyo khitalifiana.
79 46 | Sura imeelezea kisa cha baadhi ya majini waliyo isikia ,
80 47, 26 | Mungu: Tutakut'iini katika baadhi ya mambo. Na Mwenyezi Mungu
81 49, 11 | Jiepusheni na dhana nyingi, kwani baadhi ya dhana ni dhambi. Wala
82 51 | kisha ikaeleza hali za baadhi ya mataifa na maangamizo
83 51 | Kisha ikaashiria kwa jumla baadhi ya Ishara za uumbaji, na
84 64 | yakafuatilizwa na kutajwa baadhi ya dalili za utimilivu wa
85 65 | Madina)~Sura hii inaeleza baadhi ya hukumu za talaka, na
86 66 | lilimuudhi Nabii s.a.w. katika baadhi ya wake zake; akajizuilia
87 66 | wake zake; akajizuilia na baadhi ya mambo ambayo nafsi huyapenda
88 69, 44 | lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu, ~~~~~~
89 72, 9 | tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza;
90 73, 20 | yake, na thuluthi yake. Na baadhi ya watu walio pamoja nawe
91 73, 20 | Qur'ani. Anajua ya kuwa baadhi yenu watakuwa wagonjwa,
92 78 | kuwepo kwake, na ikataja baadhi ya alama zake. Kisha ikataja
93 80 | kashughulika kuwalingania Dini baadhi ya mabwana wa Kikureshi
94 82 | Makka)~Sura hii imeeleza baadhi ya vitisho vya Saa ya Kiyama
95 84 | Makka)~Sura hii imetaja baadhi ya ishara za Saa ya Kiyama,
96 92 | vya watu vinakhitalifiana, baadhi yake ni vya uwongofu, na
97 92 | yake ni vya uwongofu, na baadhi yake ni vya upotofu. Mwenye
98 101 | Kiyama. Na Sura imetaja baadhi ya hali za hiyo sauti inayo
|