Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
khatimaye 4
khazina 13
khema 1
kheri 94
khiana 6
khiari 7
khini 1
Frequency    [«  »]
95 amri
95 chochote
95 hukumu
94 kheri
94 motoni
94 walikuwa
93 ambaye

Qu'rani

IntraText - Concordances

kheri

                                                bold = Main text
   Sura, verse                                  grey = Comment text
1 2 | ya kwamba yapasa kuchagua kheri kuliko shari, na kukhiari 2 2, 105| washirikina hawapendi mteremshiwe kheri yoyote kutoka kwa Mola wenu 3 2, 110| shikeni Sala na toeni Zaka; na kheri mtakazo jitangulizia nafsi 4 2, 158| anaye jitendea mwenyewe kheri basi bila ya shaka Mwenyezi 5 2, 197| asibishane katika Hija. Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi 6 2, 215| Wanakuuliza watoe nini? Sema: Kheri mnayo itoa ni kwa ajili 7 2, 215| masikini na wasafiri. Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi 8 2, 216| mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu. Na huenda mkapenda 9 2, 220| Sema: Kuwatengenezea ndio kheri. Na mkichanganyika nao basi 10 2, 223| mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi 11 2, 269| hikima bila ya shaka amepewa kheri nyingi. Na hawakumbuki ila 12 2, 271| mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu, na yatakuondoleeni 13 2, 272| Mungu humwongoa amtakaye. Na kheri yoyote mnayo toa ni kwa 14 2, 272| wajihi wa Mwenyezi Mungu. Na kheri yoyote mtakayo toa mtalipwa 15 2, 273| analii watu kwa kuwaomba. Na kheri yoyote mnayo toa, basi kwa 16 3, 26 | na humuangusha umtakaye. Kheri yote iko mikononi mwako. 17 3, 77 | hawatakuwa na sehemu ya kheri yoyote katika Akhera, wala 18 3, 104| nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na 19 3, 114| wanakimbilia katika mambo ya kheri. Na hao ndio miongoni mwa 20 3, 115| 115. Na kheri yoyote wanayo ifanya hawatanyimwa 21 3, 120| 120. Ikikupateni kheri huwaudhi. Na ikikupateni 22 3, 178| huu muhula tunao wapa ni kheri yao. Hakika tunawapa muhula 23 3, 180| katika fadhila zake kuwa ni kheri yao. Bali hiyo ni shari 24 4, 19 | na Mwenyezi Mungu ametia kheri nyingi ndani yake. ~~~~~~ 25 4, 46 | Utuangalie), ingeli kuwa ni kheri kwao na sawa zaidi. Lakini 26 4, 72 | Mwenyezi Mungu kanifanyia kheri sikuwa nao. ~~~~~~ 27 4, 114| 114. Hakuna kheri katika mengi ya wanayo shauriana 28 4, 127| mayatima kwa uadilifu. Na kheri yoyote mnayo fanya Mwenyezi 29 4, 170| Mlezi. Basi aminini, ndiyo kheri yenu. Na mkikakanusha basi 30 4, 171| Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu 31 5, 48 | shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio 32 6, 17 | Yeye. Na ikiwa akikugusisha kheri, basi Yeye ndiye Mwenye 33 6, 158| kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: 34 8, 19 | Na mkiacha itakuwa ndio kheri kwenu. Na mkirejea Sisi 35 8, 70 | mwenu: Kama Mwenyezi akiona kheri yoyote nyoyoni mwenu atakupeni 36 9, 3 | washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi 37 9, 41 | Mwenyezi Mungu. Haya ni kheri kwenu mkiwa mnajua. ~~~~~~ 38 9, 61 | Sema: Basi ni sikio la kheri kwenu. Anamuamini Mwenyezi 39 9, 74 | fadhila zake. Wakitubu itakuwa kheri kwao, na wakigeuka Mwenyezi 40 9, 88 | zao. Hao ndio watakao pata kheri nyingi, na hao ndio wenye 41 9, 112| wanao himidi, wanao kimbilia kheri, wanao rukuu, wanao sujudu, 42 10, 11 | wanavyo jihimizia kuletewa kheri, bila ya shaka wangelisha 43 10, 49 | Sijimilikii nafsi yangu shari wala kheri ila apendavyo Mwenyezi Mungu. 44 10, 107| ila Yeye. Na akikutakia kheri, basi hapana awezaye kurudisha 45 11, 31 | Mwenyezi Mungu hatawapa kheri - Mwenyezi Mungu anajua 46 11, 62 | haya ulikuwa unatarajiwa kheri kwetu. Je, unatukataza tusiwaabudu 47 12, 11 | hakika sisi ni wenye kumtakia kheri! ~~~~~~ 48 12, 19 | akatumbukiza ndoo yake. Alisema: Kheri Inshallah! Huyu hapa mvulana! 49 15 | kuendelea mpambano huo baina ya kheri na shari mpaka imalizike 50 15 | ya Kiyama, na malipo ya kheri. Na baada ya hayo Mwenyezi 51 16, 30 | kateremsha nini? Watasema: Kheri. Walio fanya wema katika 52 16, 76 | Popote anapo muelekeza haleti kheri. Je! Huyo anaweza kuwa sawa 53 17, 11 | shari kama vile aombavyo kheri, kwani mwanaadamu ni mwenye 54 21, 35 | kwa mtihani wa shari na kheri. Na kwetu Sisi mtarejeshwa. ~~~~~~ 55 21, 73 | Na tukawafunulia watende kheri, na washike Sala, na watoe 56 22, 11 | kwa ukingoni. Ikimfikia kheri hutulia kwayo, na ukimfikia 57 22, 30 | Mwenyezi Mungu basi hayo ndiyo kheri yake mbele ya Mola wake 58 22, 36 | Mwenyezi Mungu; kwa hao mna kheri nyingi. Basi litajeni jina 59 23, 56 | 56. Ndio tunawahimizia kheri? Lakini wenyewe hawatambui. ~~~~~~ 60 23, 61 | kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia 61 24, 11 | shari kwenu, bali hiyo ni kheri kwenu. Kila mtu katika wao 62 28, 24 | Hakika mimi ni mhitaji wa kheri utakayo niteremshia. ~~~~~~ 63 29, 16 | mcheni Yeye. Hiyo ndiyo kheri yenu, ikiwa nyinyi mnajua. ~~~~~~ 64 30, 38 | masikini, na msafiri. Hayo ni kheri kwa watakao radhi ya Mwenyezi 65 33, 19 | ni mabakhili kwa kila la kheri. Hao hawakuamini, basi Mwenyezi 66 33, 25 | ghadhabu yao; hawakupata kheri yoyote. Na Mwenyezi Mungu 67 35, 32 | tangulia katika mambo ya kheri, kwa idhini ya Mwenyezi 68 41 | na akalinganisha baina ya kheri na shari: "Wema haulingani 69 41, 49 | Mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri, na inapo mpata shari, mara 70 46, 11 | walio amini: Lau kuwa hii ni kheri, wasingeli tutangulia. Na 71 47 | kaumu nyengine zenye kuleta kheri.~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU 72 47, 21 | bila ya shaka itakuwa ni kheri kwao. ~~~~~~ 73 48 | ilivyo weka wazi ukubwa wa kheri alizo waahidi Mwenyezi Mungu 74 49, 5 | mpaka uwatokee ingeli kuwa kheri kwao. Na Mwenyezi Mungu 75 50, 23 | 25. Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye 76 57 | kinacho msibu mtu ikiwa kheri au shari kimeandikwa katika 77 58, 12 | kusemezana kwenu. Hiyo ni kheri kwenu na usafi zaidi. Na 78 64 | Waumini watoe katika njia za kheri, na kwamba Mwenyezi Mungu 79 64, 16 | iini, na toeni, itakuwa kheri kwa nafsi zenu. Na mwenye 80 66, 5 | kushika ibada, wafanyao kheri, wajane na wanawari. ~~~~~~ 81 68, 12 | 12. Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi, ~~~~~~ 82 70, 21 | 21. Na inapo mgusa kheri huizuilia. ~~~~~~ 83 73, 20 | Mwenyezi Mungu mkopo mwema. Na kheri yoyote mnayo itanguliza 84 74 | nafsi kwa zinavyo chuma kheri au shari, na ikaeleza hali 85 89 | kuwajaribu waja wake kwa kheri na shari, na kwamba kupa 86 90, 18 | 18. Hao ndio watu wa kheri wa kuliani. ~~~~~~ 87 92 | akawafiki tabia yenye kukusanya kheri, basi Mwenyezi Mungu atamsahilishia 88 92 | akakanusha tabia zenye kukusanya kheri Mwenyezi Mungu atamfanyia 89 94 | nafasi kutokana na kutenda kheri, atende kheri nyengine, 90 94 | na kutenda kheri, atende kheri nyengine, na afanye lengo 91 96 | hao majeuri wanao pinga kheri, kuwaonya kuwa watakuja 92 103 | kushika Haki. Na hiyo ndiyo kheri yote. Na wakausiana kusubiri 93 108 | alizo mfanyia kwa kumpa kheri nyingi na neema kubwa kubwa 94 108, 1 | 1. Hakika tumekupa kheri nyingi. ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License