bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | kutaka sehemu yake katika dunia, kama anavyo tekeleza wajibu
2 2, 86 | ndio walio nunua uhai wa dunia kwa (uhai wa) Akhera; kwa
3 2, 130| Sisi tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera
4 2, 220| 220.--katika mambo ya dunia na mambo ya Akhera. Na wanakuuliza
5 2, 251| hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika. Lakini
6 3, 45 | Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa
7 3, 56 | nitawaadhibu adhabu kali katika dunia na Akhera, wala hawatapata
8 3, 91 | fidia ya dhahabu ya kujaza dunia nzima lau wangeli itoa.
9 3, 152| miongoni mwenu wanao taka dunia, na wapo miongoni mwenu
10 3, 185| huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya
11 4, 74 | ambao wanao uza uhai wa dunia kwa Akhera. Na anaye pigana
12 4, 77 | kidogo hivi! Sema: Starehe ya dunia ni ndogo, na Akhera ni bora
13 4, 94 | kutaka manufaa ya maisha ya dunia hii, hali ya kuwa kwa Mwenyezi
14 4, 131| mbingu na viliomo katika dunia. Na kwa hakika tuliwausia
15 4, 134| 134. Anaye taka malipo ya dunia, basi kwa Mwenyezi Mungu
16 4, 134| Mwenyezi Mungu yapo malipo ya dunia na Akhera. Na Mwenyezi Mungu
17 5, 33 | ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata
18 6, 32 | 32. Na maisha ya dunia si chochte ila ni mchezo
19 6, 70 | mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri. Nawe kumbusha
20 6, 130| yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia wenyewe
21 7, 51 | na mchezo, na maisha ya dunia yakawadanganya. Basi leo
22 7, 152| madhila katika maisha ya dunia. Na hivi ndivyo tunavyo
23 7, 156| Na utuandikie mema katika dunia hii na katika Akhera. Sisi
24 8, 67 | katika nchi. Mnataka vitu vya dunia, na Mwenyezi Mungu anataka
25 9, 38 | Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera? Lakini
26 9, 38 | Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na ya Akhera
27 9, 69 | vyao vimeharibika katika dunia na Akhera; na hao ndio walio
28 9, 85 | kuwaadhibu kwa hayo katika dunia; na zitoke roho zao na hali
29 9, 118| watatu walio achwa nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu
30 10, 7 | na wakaridhia maisha ya dunia na wakatua nayo, na walio
31 10, 23 | ni starehe ya maisha ya dunia tu. Kisha marejeo yenu ni
32 10, 24 | Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo yateremsha
33 10, 64 | bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera. Hapana
34 10, 70 | Hiyo ni starehe ya katika dunia tu, kisha marejeo yao ni
35 10, 88 | na mali katika maisha ya dunia. Hivyo wanapoteza watu na
36 10, 98 | hizaya katika maisha ya dunia, na tukawastarehesha kwa
37 11, 15 | 15. Wanao taka maisha ya dunia na pumbao lake tutawalipa
38 11, 60 | wakafuatishiwa laana katika dunia hii na Siku ya Kiyama. Basi
39 12, 101| ndiye Mlinzi wangu katika dunia na Akhera. Nifishe hali
40 13, 26 | Na wamefurahia maisha ya dunia. Na uhai wa dunia kwa kulingana
41 13, 26 | maisha ya dunia. Na uhai wa dunia kwa kulingana na Akhera
42 13, 34 | adhabu katika maisha ya dunia, na adhabu ya Akhera hapana
43 14, 3 | wanao fadhilisha maisha ya dunia kuliko Akhera, na wanawazuilia
44 14, 27 | ya imara katika maisha ya dunia na katika Akhera. Na Mwenyezi
45 15 | na shari mpaka imalizike dunia. Kisha tena malipo ya shari
46 16, 30 | Walio fanya wema katika dunia hii watapata wema. Na nyumba
47 18, 28 | kutaka pambo la maisha ya dunia. Wala usimt'ii tuliye mghafilisha
48 18, 45 | wapigie mfano wa maisha ya dunia. Hayo ni kama maji tunayo
49 18, 46 | wana ni pambo la maisha ya dunia. Na mema yanayo bakia ni
50 18, 104| juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure, nao wanadhani
51 22, 11 | hugeuza uso wake. Amekhasiri dunia na Akhera; hiyo ndiyo khasara
52 22, 15 | hatamnusuru (Mtume) katika dunia na Akhera na afunge kamba
53 23, 33 | starehe katika maisha ya dunia, walisema: Huyu si chochote
54 24, 14 | yenu na rehema yake katika dunia na Akhera, bila ya shaka
55 24, 19 | watapata adhabu chungu katika dunia na Akhera. Na Mwenyezi Mungu
56 24, 33 | kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka kujihishimu.
57 28, 42 | tukawafuatishia laana katika dunia hii, na Siku ya Kiyama watakuwa
58 28, 60 | ni matumizi ya maisha ya dunia na pambo lake. Na yaliyoko
59 28, 77 | Wala usisahau fungu lako la dunia. Nawe fanya wema kama Mwenyezi
60 29, 27 | tukampa ujira wake katika dunia; naye hakika katika Akhera
61 29, 64 | 64. Na haya maisha ya dunia si chochote ila ni pumbao
62 30, 7 | ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika na Akhera. ~~~~~~
63 31, 33 | yasikudanganyeni maisha ya dunia, wala asikudanganyeni na
64 33, 28 | Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni,
65 35 | kwa watu wasidanganyike na dunia na mapambo yake. Na asiwadanganye
66 35, 5 | yasikudanganyeni maisha ya dunia, wala mdanganyifu asikudanganyeni
67 37 | ambaye aliye ipamba mbingu ya dunia kwa nyota, na akaifanya
68 39, 10 | Wale wafanyao wema katika dunia hii watapata wema. Na ardhi
69 40, 39 | wangu! Hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo tu, na
70 41, 31 | vipenzi vyenu katika maisha ya dunia na katika Akhera, na humo
71 42 | imehadharisha kuzama katika kuiwania dunia tu peke yake. Na ikabainisha
72 42 | hili, na kwamba masaibu ya dunia ni kwa sababu ya maasi.
73 42, 27 | wangeli panda kiburi katika dunia. Lakini anaiteremsha kwa
74 42, 36 | ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilichoko kwa
75 43, 35 | ni starehe ya maisha ya dunia tu, na Akhera iliyoko kwa
76 45 | na kudanganyika kwao na dunia. Na Sura imekhitimisha kwa
77 45, 35 | Mwenyezi Mungu; na maisha ya dunia yakakudanganyeni. Basi leo
78 53, 25 | Mwenyezi Mungu tu ndiye Mwenye dunia na Akhera. ~~~~~~
79 53, 29 | wala hataki ila maisha ya dunia. ~~~~~~
80 57 | inapiga mifano ya udhalili wa dunia na hizo starehe zake, na
81 57, 20 | Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao, na
82 57, 20 | Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila ni starehe
83 59, 3 | angeli waadhibu katika dunia. Na katika Akhera watapata
84 70 | haikubaliwi fidia ya watu wa dunia nzima. ~Na katika Sura hii
85 76 | Sura inawaonya wanao ipenda dunia wakaifadhilisha kuliko Akhera,
86 79, 38 | Na akakhiari maisha ya dunia, ~~~~~~
87 87, 16 | nyinyi mnakhiari maisha ya dunia! ~~~~~~
88 92, 13 | hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia. ~~~~~~
89 108 | neema kubwa kubwa katika dunia na Akhera, na akamtaka adumishe
|