Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
machakani 3
macheche 1
machinjoni 1
macho 84
machofu 4
machoni 6
machozi 2
Frequency    [«  »]
85 uwongo
85 w
85 yanayo
84 macho
84 wengine
83 19
83 nyumba

Qu'rani

IntraText - Concordances

macho

                                                 bold = Main text
   Sura, verse                                   grey = Comment text
1 2, 7 | ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi 2 2, 20 | Unakaribia umeme kunyakua macho yao. Kila ukiwatolea mwangaza 3 2, 267| vipokea ila ingekuwa mmefumba macho. Na jueni kwamba Mwenyezi 4 3, 13 | mara mbili, kwa kuona kwa macho. Na Mwenyezi Mungu humuunga 5 3, 13 | yapo mazingatio kwa wenye macho. ~~~~~~ 6 3, 200| shindaneni kusubiri, na kuweni macho, na mcheni Mwenyezi Mungu, 7 5, 83 | teremshwa kwa Mtume utaona macho yao yanachururika machozi 8 6 | peke yake.~Na ikapelekea macho yaangalie ajabu za uumbaji 9 6, 103| 103. Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia 10 6, 103| hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari. ~~~~~~ 11 6, 110| twazigeuza nyoyo zao na macho yao. Kama walivyo kuwa hawakuamini 12 7, 47 | 47. Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, 13 7, 116| Basi walipo tupa waliyazuga macho ya watu na wakawatia khofu, 14 7, 179| hawafahamu kwazo. Na wana macho, lakini hawaoni kwayo. Na 15 7, 195| mikono ya kutetea? Au wanayo macho ya kuonea? Au wanayo masikio 16 9, 92 | kukuchukueni. Tena wakarudi na macho yao yanamiminika machozi 17 11, 31 | wale ambao yanawadharau macho yenu kuwa Mwenyezi Mungu 18 11, 37 | Na unda jahazi mbele ya macho yetu na kwa mujibu wa ufunuo 19 12, 84 | Ah! Masikini Yusuf! Na macho yake yakawa meupe kwa huzuni 20 14, 42 | mpaka siku yatapo kodoka macho yao. ~~~~~~ 21 14, 43 | wako mbioni, vichwa juu, na macho hayapepesi, na nyoyo zao 22 15, 15 | 15. Basi wangeli sema: Macho yetu yamelevywa, bali sisi 23 15, 88 | 88. Usivitumbulie macho yako vitu tulivyo waneemesha 24 16, 78 | amekujaalieni masikio na macho na nyoyo ili mpate kushukuru. ~~~~~~ 25 16, 108| nyoyo zao na masikio yao na macho yao. Na hao ndio walio ghafilika. ~~~~~~ 26 17, 36 | nayo. Hakika masikio, na macho, na moyo - hivyo vyote vitasailiwa. ~~~~~~ 27 18, 28 | wanataka radhi yake. Wala macho yako yasiwaruke kwa kutaka 28 18, 101| 101. Wale ambao kwamba macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, 29 20, 40 | tukakurejesha kwa mama yako ili macho yake yaburudike, wala asihuzunike. 30 20, 102| wakhalifu Siku hiyo, hali macho yao ya kibuluu. ~~~~~~ 31 20, 131| 131. Wala usivikodolee macho tulivyo wastareheshea baadhi 32 21, 61 | Wakasema: Mleteni mbele ya macho ya watu, wapate kumshuhudia! ~~~~~~ 33 21, 97 | Hapo ndipo yatapo kodoka macho ya walio kufuru (na watasema:) 34 22, 46 | kusikilia? Kwani hakika si macho yanayo pofuka, lakini zinazo 35 23, 27 | wahyi: Unda jahazi mbele ya macho yetu na uwongozi wetu! Basi 36 24, 30 | Waumini wanaume wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao. 37 24, 31 | Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, 38 24, 37 | Wanaikhofu Siku ambayo nyoyo na macho yatageuka. ~~~~~~ 39 24, 43 | mmetuko wa umeme wake kupofua macho. ~~~~~~ 40 25, 74 | na wenetu yaburudishayo macho, na utujaalie tuwe waongozi 41 28, 9 | Atakuwa kiburudisho cha macho kwangu na kwako. Msimuuwe! 42 28, 13 | tukamrudisha kwa mama yake ili macho yake yaburudike, wala asihuzunike. 43 28, 43 | za mwanzo, ili kiwafumbue macho watu, na kiwe uwongofu, 44 31 | katika makaazi ya Peponi. Na macho yanatakiwa yaangalie Ishara 45 32 | na kuwataka watazame kwa macho yao ili waamini kufufuliwa. 46 32, 17 | katika hayo yanayo furahisha macho - ni malipo ya yale waliyo 47 33, 10 | na kutoka chini yenu; na macho yalipo kodoka, na nyoyo 48 33, 19 | utawaona wanakutazama na macho yao yanazunguka, kama yule 49 33, 51 | hivi kutapelekea yaburudike macho yao, wala wasihuzunike, 50 36, 9 | nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni. ~~~~~~ 51 36, 66 | tungeli yafutilia mbali macho yao, wakawa wanaiwania njia. 52 37, 48 | watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri. ~~~~~~ 53 38, 52 | wake zao wenye kutuliza macho, hirimu zao. ~~~~~~ 54 38, 63 | tulipo wafanyia maskhara, au macho yetu tu hayawaoni ? ~~~~~~ 55 40, 19 | Mungu) anajua khiyana ya macho na yanayo ficha vifua. ~~~~~~ 56 41 | washuhudia masikio yao, na macho yao, na ngozi zao, kwa waliyo 57 41 | Aya zetu katika upeo wa macho na katika nafsi zao wenyewe 58 41, 20 | yatawashuhudia masikio yao, na macho yao na ngozi zao kwa waliyo 59 41, 22 | kujificha hata masikio yenu, na macho yenu, na ngozi zenu, zisikushuhudilieni. 60 43 | watapata Pepo ambayo ndani yake macho yao yatatua, Sura inakhitimisha 61 43, 71 | ambavyo nafsi zinavipenda na macho yanavifurahia, na nyinyi 62 46, 26 | na tuliwapa masikio, na macho, na nyoyo. Na hayakuwafaa 63 46, 26 | hayakuwafaa kitu masikio yao, wala macho yao, wala nyoyo zao kwa 64 47, 23 | akawatia uziwi, na akawapofoa macho yao. ~~~~~~ 65 50, 7 | 8. Yawe haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja 66 52 | na kisha yatakavyo tua macho yao kwa kuwa dhuriya zao 67 52, 48 | wewe hakika uko mbele ya macho yetu, na mtakase kwa kumsifu 68 53, 7 | yuko juu kabisa upeo wa macho. ~~~~~~ 69 54, 7 | 7. Macho yao yatainama; watatoka 70 54, 37 | wageni wake. Tukayapofua macho yao, na tukawaambia: Onjeni 71 55, 56 | watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla 72 59 | wanavyo toa. Na Sura inataka macho yaangalie zile ahadi za 73 59, 2 | Basi zingatieni enyi wenye macho! ~~~~~~ 74 64 | wake. Kisha Sura ikatupa macho kuwaangalia makafiri walio 75 67 | ardhi na mbinguni upeo wa macho yenu, ili hayo yawe ndiyo 76 67, 23 | na akakupeni masikio na macho, na nyoyo. Ni kidogo kabisa 77 68, 43 | 43. Macho yao yatainama chini, fedheha 78 68, 51 | hukaribia kukutelezesha kwa macho yao, wanapo sikia mawaidha, 79 70, 36 | walio kufuru wanakutumbulia macho tu? ~~~~~~ 80 70, 44 | 44. Macho yao yatainama, fedheha itawafunika. 81 79, 9 | 9. Macho yatainama chini. ~~~~~~ 82 81, 23 | alimwona kwenye upeo wa macho ulio safi. ~~~~~~ 83 88 | wanavyo ona wenyewe kwa macho yao na wanayo nafiika kwayo 84 90, 8 | 8. Kwani hatukumpa macho mawili? ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License