bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 62 | na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi
2 2, 83 | wa Israili: Hamtamuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu; na muwafanyie
3 2, 102| Wala hao hawakumfundisha yeyote mpaka wamwambie: Hakika
4 2, 112| 112. Sivyo hivyo! Yeyote anaye elekeza uso wake kwa
5 2, 136| hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu
6 2, 217| Dini yenu kama wakiweza. Na yeyote katika nyinyi akiacha Dini
7 2, 285| Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (
8 3, 64 | nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala
9 3, 91 | haitakubaliwa kutoka kwa yeyote wao fidia ya dhahabu ya
10 3, 153| mbio wala hamumsikilizi yeyote, na Mtume anakuiteni, yuko
11 3, 161| Na haiwezekani kwa Nabii yeyote kufanya khiyana. Na atakaye
12 3, 183| ametuahidi tusimuamini Mtume yeyote mpaka atuletee kafara inayo
13 4, 64 | 64. Na hatukumtuma Mtume yeyote ila at'iiwe kwa idhini ya
14 4, 145| kabisa Motoni, wala hutompata yeyote wa kuwanusuru. ~~~~~~
15 4, 152| wake, wala wasimfarikishe yeyote kati yao, hao atawapa ujira
16 5, 115| nitakuteremshieni hicho. Lakini yeyote katika nyinyi atakaye kanya
17 5, 115| adhabu nisiyopata kumpa yeyote katika walimwengu. ~~~~~~
18 6 | kuwa Yeye hashirikiani na yeyote, la katika kuumba, wala
19 7, 80 | uchafu ambao hajakutangulieni yeyote kwa uchafu huo katika viumbe
20 7, 94 | 94. Na hatukumtuma Nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza
21 8, 67 | 67. Haimfalii Nabii yeyote kuwa na mateka mpaka awe
22 9 | kuwa Mtume s.a.w. asimsalie yeyote katika wanaafiki akifa.
23 9, 4 | chochote, wala hawakumsaidia yeyote dhidi yenu, basi hao watimizieni
24 9, 84 | 84. Wala usimsalie kabisa yeyote katika wao akifa, wala usisimame
25 11, 36 | Nuhu akaambiwa: Hataamini yeyote katika watu wako ila wale
26 11, 56 | Mlezi wenu. Hapana kiumbe yeyote ila Yeye anamwendesha atakavyo.
27 11, 81 | zako usiku ungalipo. Wala yeyote miongoni mwenu asitazame
28 12, 40 | Yeye ameamrisha msimuabudu yeyote isipo kuwa Yeye tu. Hiyo
29 12, 79 | Mungu apishe mbali kumshika yeyote yule isipo kuwa tuliye mkuta
30 13, 11 | kuzuia wala hawana mlinzi yeyote badala yake. ~~~~~~
31 15, 65 | nawe ufuate nyuma yao, wala yeyote kati yenu asigeuke nyuma.
32 15, 70 | hatukukukataza usimkaribishe yeyote? ~~~~~~
33 17, 23 | ameamrisha kuwa msimuabudu yeyote ila Yeye tu, na wazazi wawili
34 18, 19 | wala asikutajeni kabisa kwa yeyote. ~~~~~~
35 18, 22 | usiulize khabari zao kwa yeyote yule. ~~~~~~
36 18, 26 | Yeye, wala hamshirikishi yeyote katika hukumu yake. ~~~~~~
37 18, 38 | Mlezi. Wala simshirikishi na yeyote. ~~~~~~
38 18, 42 | mshiriki Mola wangu Mlezi na yeyote! ~~~~~~
39 18, 49 | Mola wako Mlezi hamdhulumu yeyote. ~~~~~~
40 18, 110| vyema, wala asimshirikishe yeyote katika ibada ya Mola wake
41 19, 7 | Hatujapata kumpa jina hilo yeyote kabla yake. ~~~~~~
42 19, 20 | Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si
43 19, 26 | lako. Na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema: Hakika mimi nimeweka
44 19, 71 | 71. Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye
45 19, 93 | 93. Hapana yeyote aliomo mbinguni na ardhini
46 21 | hana mwana, wala asiseme yeyote kuwa yeye ni mungu pamoja
47 21, 25 | hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba
48 21, 28 | nyuma yao. Wala hawamwombei yeyote ila yule anaye mridhia Yeye,
49 21, 29 | 29. Na yeyote kati yao atakaye sema: Mimi
50 21, 34 | hatukumjaalia mwanaadamu yeyote kabla yako kuwa na maisha
51 23, 91 | Mwenyezi Mungu hana mwana yeyote, wala hanaye mungu mwengine.
52 30, 40 | kisha anakufufueni. Je! Yupo yeyote katika hao mnao washirikisha
53 31 | washirika ameumba asicho kiweza yeyote asiye kuwa Yeye kukiumba.
54 33, 4 | Mwenyezi Mungu hakumwekea mtu yeyote kuwa ana nyoyo mbili ndani
55 33, 32 | wa Nabii! Nyinyi si kama yeyote katika wanawake wengine.
56 33, 39 | Yeye, na wala hawamwogopi yeyote isipo kuwa Mwenyezi Mungu.
57 33, 40 | 40. Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali
58 34, 34 | Na hatukumtuma mwonyaji yeyote kwenye mji, ila walisema
59 34, 42 | 42. Hii leo hataweza yeyote kumletea nafuu wala madhara
60 35, 11 | na mwanamke. Na mwanamke yeyote hachukui mimba, wala hazai,
61 35, 41 | zisiondoke. Na zikiondoka hapana yeyote wa kuzizuia isipo kuwa Yeye.
62 38, 35 | unipe ufalme usio mwelekea yeyote baada yangu. Hakika Wewe
63 43, 7 | 7. Na hawajii Nabii yeyote ila walikuwa wakimkejeli. ~~~~~~
64 59, 11 | nanyi, wala hatutamt'ii yeyote kabisa dhidi yenu. Na mkipigwa
65 60, 11 | 11. Na akitoroka yeyote katika wake zenu kwenda
66 63 | Mwenyezi Mungu hamuakhirishi yeyote ikisha fika ajali yake.~
67 68 | Haki bila ya kumlegezea yeyote, na kushabihisha adhabu
68 69, 47 | 47. Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli
69 71, 26 | juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri! ~~~~~~
70 72, 2 | wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi. ~~~~~~
71 72, 18 | Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu. ~~~~~~
72 72, 20 | wala simshirikishi Yeye na yeyote. ~~~~~~
73 72, 22 | 22. Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi
74 72, 26 | siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake, ~~~~~~
75 74, 31 | humwongoa amtakaye. Na hapana yeyote anaye jua majeshi ya Mola
76 89, 25 | Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake. ~~~~~~
77 89, 26 | 26. Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake. ~~~~~~
78 90, 5 | 5. Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza? ~~~~~~
79 90, 7 | anadhani ya kuwa hapana yeyote anaye mwona? ~~~~~~
80 92, 19 | Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio
81 106 | ya biashara bila ya mtu yeyote kuwaletea maovu, na hali
82 107 | kwamba yeye hamhimizi mtu yeyote, la kwa kauli wala kwa kitendo,
83 112 | Mwenye kujitosha hamhitajii yeyote mwenginewe, ametakasika
|