Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
narejea 1
nasaba 5
nasaha 4
nasi 74
nasibiana 1
nasikia 2
nasra 1
Frequency    [«  »]
75 yote
74 25
74 26
74 nasi
74 wanaume
73 28
73 huyu

Qu'rani

IntraText - Concordances

nasi

                                                bold = Main text
   Sura, verse                                  grey = Comment text
1 2, 118| Mbona Mwenyezi Mungu hasemi nasi au zikatufikia Ishara. Kama 2 2, 139| 139. Sema: Mnahojiana nasi juu ya Mwenyezi Mungu, naye 3 2, 139| nyinyi mna vitendo vyenu? Nasi tunamsafia Yeye tu. ~~~~~~ 4 3, 193| Muaminini Mola wenu Mlezi; nasi tukaamini. Basi tusamehe 5 4, 79 | linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe 6 4, 141| waweza wa kukushindeni, nasi tukakukingeni na hawa Waumini? 7 4, 153| wajia hoja zilizo wazi. Nasi tukasamehe hayo, na tukampa 8 5, 22 | Huko wako watu majabari. Nasi hatutaingia huko mpaka wao 9 6, 71 | Mwenyezi Mungu ndio Uwongofu. Nasi tumeamrishwa tusilimu kwa 10 6, 110| 110. Nasi twazigeuza nyoyo zao na 11 6, 158| Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja. ~~~~~~ 12 7, 64 | 64. Basi walimkanusha. Nasi tukamwokoa yeye na walio 13 7, 117| 117. Nasi tukamfunulia Musa kumwambia: 14 7, 126| 126. Nawe hukuudhika nasi ila kwa kuwa tumeziamini 15 9, 40 | Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi. Mwenyezi Mungu akamteremshia 16 9, 52 | mikono yetu. Basi ngojeni, nasi tunangoja pamoja nanyi. ~~~~~~ 17 10, 7 | Hakika wasio taraji kukutana nasi, na wakaridhia maisha ya 18 10, 11 | wasio tumainia kukutana nasi wakihangaika katika upotovu 19 11, 42 | Ewe mwanangu! Panda pamoja nasi, wala usiwe pamoja na makafiri. ~~~~~~ 20 11, 74 | imemfikia, alianza kujadiliana nasi juu ya kaumu ya Lut'. ~~~~~~ 21 11, 121| amini: Fanyeni muwezavyo, nasi pia tunafanya. ~~~~~~ 22 12, 12 | 12. Mpeleke kesho pamoja nasi, ale kwa furaha na acheze; 23 12, 63 | chakula zaidi, basi mpeleke nasi ndugu yetu ili tupate kupimiwa; 24 14, 21 | tuongoa basi hapana shaka nasi tungeli kuongoeni. Ni mamoja 25 14, 45 | jinsi tulivyo watendea. Nasi tukakupigieni mifano mingi. ~~~~~~ 26 16, 43 | 43. Nasi hatukuwatuma kabla yako 27 16, 44 | Kwa Ishara wazi na Vitabu. Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho 28 17, 16 | huthibiti juu ya mji huo, nasi tukauangamiza kwa maangamizo 29 17, 59 | lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa 30 17, 69 | msipate wa kukunusuruni nasi. ~~~~~~ 31 17, 75 | usinge pata mtu wa kukunusuru nasi. ~~~~~~ 32 18, 18 | wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. 33 18, 52 | na wao hawato waitikia. Nasi tutaweka baina yao maangamio. ~~~~~~ 34 18, 88 | basi atapata malipo mazuri. Nasi tutamwambia lilio jepesi 35 19, 12 | Kishike Kitabu kwa nguvu! Nasi tulimpa hikima angali mtoto. ~~~~~~ 36 19, 53 | 53. Nasi kwa rehema zetu tukampa 37 20, 40 | asihuzunike. Na ulimuuwa mtu, nasi tukakuokoa katika dhiki, 38 20, 47 | waache Wana wa Israili watoke nasi, wala usiwaadhibu. Sisi 39 21, 34 | 34. Nasi hatukumjaalia mwanaadamu 40 21, 43 | miungu watao weza kuwakinga nasi? Hao hawawezi kujinusuru 41 21, 43 | nafsi zao, wala hawatalindwa nasi! ~~~~~~ 42 21, 47 | 47. Nasi tutaweka mizani za uadilifu 43 21, 47 | chembe ya khardali tutaileta. Nasi tunatosha kuwa washika hisabu. ~~~~~~ 44 21, 76 | Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa 45 21, 107| 107. Nasi hatukukutuma ila uwe ni 46 22, 5 | umbo, ili tukubainishieni. Nasi tunakiweka katika matumbo 47 23, 17 | tumeziumba juu yenu njia saba. Nasi hatukuwa wenye kughafilika 48 23, 65 | Hakika nyinyi hamtanusurika nasi. ~~~~~~ 49 25, 21 | wale wasio taraji kukutana nasi: Mbona sisi hatuteremshiwi 50 25, 56 | 56. Nasi hatukukutuma ila kuwa ni 51 26, 17 | Waachilie Wana wa Israili wende nasi. ~~~~~~ 52 26, 139| 139. Wakamkanusha; nasi tukawaangamiza. Hakika bila 53 28, 47 | Mbona hukututumia Mtume nasi, tukafuata Ishara zako, 54 29, 12 | amini: Fuateni njia yetu, nasi tutayabeba makosa yenu. 55 29, 15 | 15. Nasi tukamwokoa yeye na wenziwe 56 33, 9 | yalipo kufikilieni majeshi, nasi tukayapelekea upepo, na 57 34, 17 | sababu ya walivyo kufuru. Nasi kwani tunamuadhibu isipo 58 35, 9 | Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi 59 36, 33 | kwao - ardhi iliyo kufa, nasi tukaifufua, na tukatoa ndani 60 36, 65 | tunaviziba vinywa vyao, na iseme nasi mikono yao, na itoe ushahidi 61 41, 5 | pazia. Basi wewe tenda, nasi tunatenda. ~~~~~~ 62 41, 11 | viwili vikasema: Tumekuja nasi ni wat'iifu. ~~~~~~ 63 43, 42 | tutakuonyesha tulio waahidi. Nasi bila ya shaka tuna uweza 64 47, 31 | nyinyi na wanao subiri. Nasi tutazifanyia mtihani khabari 65 50, 14 | Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia 66 54, 42 | Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika kama anavyo 67 59 | waliyo sema: Pindi mkitolewa, nasi tutatoka pamoja nanyi! Na 68 72, 5 | 5. Nasi tulidhani kuwa watu na majini 69 72, 8 | 8. Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona 70 72, 10 | 10. Nasi hatujui kama wanatakiwa 71 72, 12 | 12. Nasi tulijua kuwa hatutomshinda 72 72, 13 | 13. Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. 73 78, 30 | 30. Basi onjeni! Nasi hatutakuzidishieni ila adhabu! ~~~~~~ 74 96, 18 | 18. Nasi tutawaita Mazabania! ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License