bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 3, 53 | yateremsha, na tumemfuata huyu Mtume, basi tuandike pamoja
2 3, 68 | walio mfuata yeye na Nabii huyu na walio amini. Na Mwenyezi
3 3, 86 | wakashuhudia ya kuwa Mtume huyu ni wa haki, na zikawafikia
4 4, 170| Amekwisha kujieni Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola
5 5, 31 | Nimeshindwa kuwa kama kunguru huyu nikamsitiri ndugu yangu?
6 5, 81 | wanamuamini Mwenyezi Mungu, na huyu Nabii, na yaliyo teremshwa
7 6, 76 | usiku akiona nyota, akasema: Huyu ni Mola Mlezi wangu. Ilipo
8 6, 77 | mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu.
9 6, 78 | jua linachomoza akasema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu.
10 6, 78 | ndiye Mola Mlezi wangu. Huyu mkubwa kuliko wote. Lilipo
11 7, 73 | kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Huyu ni ngamia jike wa Mwenyezi
12 7, 184| 184. Je, hawafikiri? Huyu mwenzao hana wazimu. Hakuwa
13 9, 61 | muudhi Nabii na kusema: Yeye huyu ni sikio tu. Sema: Basi
14 10 | kubainisha mambo ya Mtume huyu ili kutimiza mawaidha na
15 10, 2 | Wakasema makafiri: Hakika huyu ni mchawi dhaahiri! ~~~~~~
16 11, 46 | 46. Akasema: Ewe Nuhu! Huyu si katika ahali zako. Mwendo
17 11, 64 | 64. Enyi watu wangu! Huyu ngamia wa Mwenyezi Mungu
18 11, 72 | hali yangu ni kikongwe na huyu mume wangu ni kizee? Hakika
19 12, 19 | Alisema: Kheri Inshallah! Huyu hapa mvulana! Wakamficha
20 12, 21 | Mtengenezee makaazi ya hishima huyu; huenda akatufaa au tukamfanya
21 12, 23 | Najikinga na Mwenyezi Mungu. Huyu bwana wangu kaniweka maskani
22 12, 31 | Wakasema: Hasha Lillahi! Huyu si mwanaadamu. Hakuwa huyu
23 12, 31 | Huyu si mwanaadamu. Hakuwa huyu ila ni Malaika mtukufu. ~~~~~~
24 12, 32 | 32. Yule bibi aksema: Huyu basi ndiye huyo mliye nilaumia!
25 12, 64 | 64. Je, nikuaminini kwa huyu ila kama nilivyo kuaminini
26 12, 77 | 77. Wakasema: Ikiwa huyu ameiba, basi nduguye vile
27 12, 78 | Wakasema: Ewe Mheshimiwa! Huyu anaye baba mzee sana. Kwa
28 12, 90 | Akasema: Mimi ndiye Yusuf, na huyu ni ndugu yangu. Mwenyezi
29 13 | wanakanya Utume wa Nabii huyu, basi Mwenyezi Mungu Mwenyewe
30 17, 62 | Hebu nambie khabari ya huyu uliye mtukuza juu yangu.
31 20, 88 | chenye sauti. Na wakasema: Huyu ndiye mungu wenu, na mungu
32 20, 117| Tukasema: Ewe Adam! Hakika huyu ni adui yako na wa mkeo.
33 21, 3 | onezana kwa siri: Ni nani ati huyu isipo kuwa ni binaadamu
34 21, 36 | tu, (wakisema): Je! Ndiye huyu anaye itaja miungu yenu?
35 21, 59 | haya miungu yetu? Hakika huyu ni katika walio dhulumu. ~~~~~~
36 21, 63 | Akasema: Bali amefanya hayo huyu mkubwa wao. Basi waulizeni
37 23, 24 | kufuru katika watu wake: Huyu si chochote ila ni mtu tu
38 23, 25 | 25. Huyu si lolote ila ni mtu mwenye
39 23, 33 | maisha ya dunia, walisema: Huyu si chochote ila ni binaadamu
40 23, 38 | 38. Huyu si lolote ila ni mtu anaye
41 24, 8 | Mwenyezi Mungu ya kwamba huyu mume ni miongoni mwa waongo. ~~~~~~
42 25, 7 | wakasema: Ana nini Mtume huyu? Anakula chakula, na anatembea
43 25, 41 | na (wanasema): Ati ndiye huyu Mwenyezi Mungu aliye mtuma
44 26, 27 | Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu
45 26, 34 | waheshimiwa walio mzunguka: Hakika huyu ni mchawi mtaalamu. ~~~~~~
46 26, 155| 155. Akasema: Huyu ngamia jike; awe na zamu
47 27 | Balqis, na kuabudu kwake bibi huyu na watu wake kuliabudu jua.
48 28, 26 | Ewe baba yetu! Muajiri huyu. Hakika mbora wa kumuajiri
49 32, 6 | 6. Huyu ndiye Mwenye kuyajua yasiyo
50 34 | Na wanaamrishwa wamtazame huyu mwenzao. Hana wazimu, wala
51 34, 43 | zetu zilizo wazi wanasema: Huyu si chochote ila ni mtu anaye
52 34, 46 | kisha mfikiri. Mwenzenu huyu hana wazimu. Yeye si chochote
53 35 | kwa muda maalumu. Muweza huyu ndiye Mungu wa Haki. Na
54 37, 36 | miungu yetu kwa ajili ya huyu mtunga mashairi mwendawazimu? ~~~~~~
55 37, 37 | 37. Bali huyu amekuja kwa Haki, na amewasadikisha
56 38, 4 | wenyewe, na makafiri wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo. ~~~~~~
57 38, 23 | 23. Hakika huyu ndugu yangu ana kondoo wa
58 39, 6 | umbo, katika viza vitatu. Huyu ndiye Mwenyezi Mungu Mola
59 40, 24 | Hamana na Qaruni, wakasema: Huyu ni mchawi, mwongo mkubwa. ~~~~~~
60 41, 9 | na mnamfanyia washirika? Huyu ndiye Mola Mlezi wa walimwengu
61 42, 48 | mikono yao, basi hakika mtu huyu anakufuru. ~~~~~~
62 43, 13 | Ametakasika aliye mfanya huyu atutumikie, na tusingeli
63 43, 52 | Au mimi si bora kuliko huyu aliye mnyonge, wala hawezi
64 43, 58 | yetu kwani si bora kuliko huyu? Hawakukupigia mfano huo
65 44, 14 | wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu. ~~~~~~
66 50, 21 | 23. Na mwenzake atasema: Huyu niliye naye mimi kesha tayarishwa. ~~~~~~
67 51, 39 | ya nguvu zake na akasema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu! ~~~~~~
68 51, 52 | yao Mtume ila walisema: Huyu ni mchawi au mwendawazimu. ~~~~~~
69 52, 30 | 30. Au wanasema: Huyu ni mtunga mashairi, tunamtarajia
70 53, 2 | 2. Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea. ~~~~~~
71 54, 25 | ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi! ~~~~~~
72 81, 22 | 22. Na wala huyu mwenzenu hana wazimu. ~~~~~~
73 91, 13 | Mwenyezi Mungu alipo waambia: Huyu ni ngamia wa Mwenyezi Mungu,
|