bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | Al Kaaba. Hayo yamechukua karibu nusu ya Sura. Mazungumzo
2 2, 186| waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji
3 2, 196| ambaye watu wake hawako karibu na Msikiti Mtakatifu. Na
4 2, 214| nusura ya Mwenyezi Mungu ipo karibu. ~~~~~~
5 2, 237| kusameheana ndiko kulio karibu zaidi na uchamngu. Wala
6 2, 259| Au kama yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa
7 3, 167| kufuateni. Wao siku ile walikuwa karibu na ukafiri kuliko Imani.
8 4, 36 | na masikini na jirani wa karibu na jirani wa mbali, na rafiki
9 5 | katika Sura zilizo shuka karibu na mwisho. Humu umebainishwa
10 5, 8 | uadilifu. Hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamngu. Na mcheni
11 5, 82 | washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale
12 7, 56 | rehema ya Mwenyzi Mungu iko karibu na wanao fanya mema. ~~~~~~
13 7, 114| shaka mtakuwa katika wa karibu nami. ~~~~~~
14 7, 123| kuwatoa wenyewe. Lakini karibu mtajua! ~~~~~~
15 8, 42 | nyinyi kwenye ng'ambo ya karibu ya bonde, na wao wakawa
16 9, 123| Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu.
17 11, 61 | Hakika Mola wangu Mlezi yupo karibu, anaitikia maombi. ~~~~~~
18 11, 64 | ikakuangamizeni adhabu iliyo karibu. ~~~~~~
19 11, 81 | asubuhi. Je, asubuhi si karibu? ~~~~~~
20 11, 114| nyakati za usiku zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa
21 13, 31 | yatenda, au ikawateremkia karibu na nyumbani kwao, mpaka
22 17, 51 | hayo? Sema: A'saa yakawa karibu! ~~~~~~
23 17, 57 | hata miongoni mwao walio karibu mno - na wanataraji rehema
24 18, 24 | ataniongoa kwenye uwongozi ulio karibu zaidi kuliko huu. ~~~~~~
25 18, 81 | kwa kutakasika, na aliye karibu zaidi kwa huruma. ~~~~~~
26 21, 109| sawa sawa, wala sijui yako karibu au mbali hayo mliyo ahidiwa. ~~~~~~
27 22, 13 | ya shaka dhara yake ipo karibu zaidi kuliko nafuu yake.
28 25, 42 | 42. Kwa hakika alikuwa karibu kutupoteza tuiache miungu
29 26, 214| uwaonye jamaa zako walio karibu nawe. ~~~~~~
30 27, 72 | 72. Sema: Asaa ni karibu kukufikieni sehemu ya yale
31 28, 10 | Musa ukawa mtupu. Alikuwa karibu kumdhihirisha, ingeli kuwa
32 28, 23 | wanyama wao), na akakuta karibu yao wanawake wawili wanawazuia
33 30, 3 | 3. Katika nchi iliyo karibu. Nao baada ya kushindwa
34 33, 6 | ni mama zao. Na jamaa ni karibu wao kwa wao katika Kitabu
35 33, 59 | wajiteremshie nguo zao. Hivyo ni karibu zaidi kuweza kutambulikana
36 33, 60 | yao, kisha hawatakaa humo karibu yako ila muda mchache tu. ~~~~~~
37 33, 63 | kitakujuvya? Pengine hiyo Saa iko karibu. ~~~~~~
38 34 | kukimbilia, na watakamatwa pahala karibu. Hapo tena ndio watasema:
39 34, 37 | kukaribisheni kwetu muwe karibu, isipo kuwa aliye amini
40 34, 50 | ni Mwenye kusikia, Aliye karibu. ~~~~~~
41 34, 51 | Na watakamatwa mahala pa karibu. ~~~~~~
42 37, 6 | Sisi tumeipamba mbingu ya karibu kwa pambo la nyota. ~~~~~~
43 41 | watokelea watu wa mataifa walio karibu mno na makwao, nao ni kina
44 42, 17 | pengine Saa ya Kiyama ipo karibu? ~~~~~~
45 43, 80 | Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika. ~~~~~~
46 48, 18 | akawalipa kwa Ushindi wa karibu. ~~~~~~
47 50, 14 | nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni
48 50, 16 | 18. Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizi tayari. ~~~~~~
49 50, 29 | 31. Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu,
50 50, 39 | mwenye kunadi kutoka pahala karibu. ~~~~~~
51 53, 9 | baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi. ~~~~~~
52 53, 15 | 15. Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo
53 54, 34 | wa Lut'i. Hao tuliwaokoa karibu na alfajiri. ~~~~~~
54 55, 54 | matunda ya Bustani hizo yapo karibu. ~~~~~~
55 56, 81 | 85. Na Sisi tuko karibu zaidi naye kuliko nyinyi. ~~~~~~
56 61 | Mwenyezi Mungu, na ushindi wa karibu. Na wanahimizwa Waumini
57 61, 13 | Mwenyezi Mungu, na ushindi ulio karibu! Na wabashirieni Waumini! ~~~~~~
58 67, 5 | hakika tumeipamba mbingu ya karibu kwa mataa, na tumeyafanya
59 67, 27 | 27. Lakini watakapo iona karibu, nyuso za walio kufuru zitahuzunishwa,
60 68, 5 | 5. Karibu utaona, na wao wataona, ~~~~~~
61 70, 7 | 7. Na Sisi tunaiona iko karibu. ~~~~~~
62 72, 19 | simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga! ~~~~~~
63 72, 25 | 25. Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola
64 73, 20 | kuwa hakika wewe unakesha karibu na thuluthi mbili za usiku,
65 76, 14 | Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda
66 78, 4 | 4. La! Karibu watakuja jua. ~~~~~~
67 78, 5 | 5. Tena la! Karibu watakuja jua. ~~~~~~
68 78, 40 | tumekuhadharisheni adhabu iliyo karibu kufika; Siku ambayo mtu
69 83, 30 | 30. Na wanapo pita karibu yao wakikonyezana. ~~~~~~
70 106 | wake, naye akawapa maskani karibu yake wakapata utukufu na
|