Sura, verse
1 2, 11 | Msifanye uharibifu ulimwenguni. Husema: Bali sisi ni watengenezaji. ~~~~~~
2 2, 13 | kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo amini
3 2, 14 | wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa
4 2, 14 | peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi.
5 2, 26 | lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi
6 2, 76 | kutana na wale walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa
7 2, 76 | kuwa peke yao, wao kwa wao, husema: Mnawaambia aliyo kufunulieni
8 2, 91 | yateremsha Mwenyezi Mungu. Wao husema: Tunaamini tuliyo teremshiwa
9 2, 113| 113. Na Mayahudi husema: Wakristo hawana lao jambo.
10 2, 113| hawana lao jambo. Na Wakristo husema: Mayahudi hawana lao jambo.
11 2, 156| Wale ambao ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi
12 2, 170| yateremsha Mwenyezi Mungu; wao husema: Bali tutafuata tuliyo wakuta
13 2, 285| Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii.
14 3, 7 | msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini, zote
15 3, 8 | 8. (Na hao husema): Mola wetu Mlezi! Usizipotoe
16 3, 16 | 16. Ambao husema: Mola wetu Mlezi! Hakika
17 3, 78 | wala hayatoki Kitabuni. Na husema: Haya yametoka kwa Mwenyezi
18 3, 119| Na wanapo kutana nanyi husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa
19 4, 46 | kuyatoa mahala pake, na husema: Tumesikia na tumeasi, na
20 4, 46 | bila ya kusikilizwa. Na husema: "Raai'naa", kwa kuzipotoa
21 4, 72 | nyuma; na ukikusibuni msiba husema: Mwenyezi Mungu kanifanyia
22 4, 73 | kutoka kwa Mwenyezi Mungu husema - kama kwamba hapakuwa mapenzi
23 4, 75 | wanawake na watoto, ambao husema: Mola Mlezi wetu! Tutoe
24 4, 141| toka kwa Mwenyezi Mungu wao husema: Si tulikuwa pamoja nanyi
25 5, 61 | 61. Na wanapo kujieni husema: Tumeamini. Lakini hakika
26 5, 104| Mwenyezi Mungu, na kwa Mtume, husema: Yanatutosha tuliyo wakuta
27 6, 8 | 8. Na wao husema: Mbona hakuteremshiwa Malaika?
28 6, 124| inapo wajia Ishara, wao husema: Hatutoamini mpaka tupewe
29 6, 136| na wanyama alio umba, nao husema: Hii ni sehemu ya Mwenyezi
30 6, 138| 138. Nao husema: Wanyama hawa na mimea hii
31 6, 139| 139. Na husema: Waliomo matumboni mwa wanyama
32 7, 28 | wanapo fanya mambo machafu husema: Tumewakuta nayo baba zetu,
33 7, 131| yetu. Na likiwafika ovu husema: Musa na walio pamoja naye
34 7, 203| waletea Ishara waitakayo husema: Kwa nini hukuibuni? Sema:
35 8, 31 | wanapo somewa Aya zetu, wao husema: Tumesikia. Na lau tungeli
36 9, 50 | na ukikusibu msiba, wao husema: Sisi tuliangalia mambo
37 9, 86 | mwao hukutaka ruhusa na husema: Tuache tuwe pamoja na wanao
38 10, 15 | taraji kukutana na Sisi husema: Lete Qur'ani isiyo kuwa
39 11, 7 | kufa; wale walio kufuru husema: Hayakuwa haya ila ni uchawi
40 11, 8 | ulio kwisha hisabiwa wao husema: Nini kinacho izuia hiyo
41 11, 10 | ya madhara yaliyo mpata husema: Taabu zimekwisha niondokea.
42 13, 7 | 7. Na wale walio kufuru husema: Mbona hakuteremshiwa muujiza
43 16, 24 | Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu
44 16, 101| anajua anayo teremsha, wao husema: Wewe ni mzushi. Bali wengi
45 19, 66 | 66. Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo kufa, ni
46 19, 88 | 88. Na wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa
47 21, 46 | Mlezi, bila ya shaka wao husema: Ole wetu! Hakika tulikuwa
48 23, 99 | mfikia mmoja wao mauti, husema: Mola wangu Mlezi! Nirudishe. ~~~~~~
49 25, 60 | Msujudieni Arrahman! Wao husema: Ni nani Arrahman? Je! Tumsujudie
50 26, 226| 226. Na kwamba wao husema wasiyo yatenda? ~~~~~~
51 28, 55 | upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu,
52 29, 10 | kutoka kwa Mola wako Mlezi husema: Hakika sisi tulikuwa pamoja
53 31, 21 | yateremsha Mwenyezi Mungu, husema: Bali tunafuata tuliyo wakuta
54 32, 10 | 10. Nao husema: Tutapo kwisha potea chini
55 37, 15 | 15. Na husema: Haya si chochote ila ni
56 38, 16 | 16. Na wao husema: Mola wetu Mlezi! Tuletee
57 39, 49 | mpa neema zitokazo kwetu, husema: Nimepewa haya kwa sababu
58 41, 50 | kumgusa dhara, bila ya shaka husema: Haya nayastahiki mimi,
59 43, 20 | 20. Nao husema: Angeli penda Mwingi wa
60 46, 7 | zilizo wazi, walio kufuru husema juu ya haki inapo wajia:
61 46, 15 | akafikilia miaka arubaini, husema: Mola wangu Mlezi! Niwezeshe
62 46, 17 | Mungu ni kweli. Na yeye husema: Hayakuwa haya ila ni visa
63 54, 2 | Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea. ~~~~~~
64 58, 8 | kuamkia Mwenyezi Mungu. Na husema katika nafsi zao: Mbona
65 63, 1 | Wanapo kujia wanaafiki husema: Tunashuhudia ya kuwa wewe
66 68, 15 | Anapo somewa Aya zetu, husema: Hizi ni simulizi za uwongo
67 83, 13 | 13. Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale! ~~~~~~
68 83, 32 | 32. Na wanapo waona husema: Hakika hawa ndio khasa
69 89, 15 | akamkirimu na akamneemesha, husema: Mola wangu Mlezi amenikirimu! ~~~~~~
70 89, 16 | akampunguzia riziki yake, husema: Mola wangu Mlezi amenitia
|