bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 85 | mwenu ila hizaya katika maisha ya duniani, na Siku ya Kiyama
2 2, 204| yule ambaye maneno yake kwa maisha ya kidunia hukufurahisha;
3 2, 212| Walio kufuru wamepambiwa maisha ya duniani; na wanawafanyia
4 3, 14 | mashamba. Hayo ni starehe ya maisha ya duniani; na kwa Mwenyezi
5 3, 185| Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni
6 4, 94 | Muumini; kwa kutaka manufaa ya maisha ya dunia hii, hali ya kuwa
7 6, 29 | walisema: Hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala
8 6, 32 | 32. Na maisha ya dunia si chochte ila
9 6, 130| zetu. Na yaliwadanganya maisha ya dunia. Nao watajishuhudia
10 7, 10 | tumekujaalieni humo njia za kupatia maisha. Ni kuchache kushukuru kwenu. ~~~~~~
11 7, 51 | ni pumbao na mchezo, na maisha ya dunia yakawadanganya.
12 7, 152| Mlezi na madhila katika maisha ya dunia. Na hivi ndivyo
13 7, 169| Wakashika anasa za haya maisha duni, na wakasema: Tutasamehewa!
14 9, 38 | katika ardhi? Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera?
15 9, 38 | Akhera? Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na
16 10, 7 | kukutana nasi, na wakaridhia maisha ya dunia na wakatua nayo,
17 10, 23 | wenyewe. Hii ni starehe ya maisha ya dunia tu. Kisha marejeo
18 10, 24 | 24. Hakika mfano wa maisha ya dunia ni kama maji tuliyo
19 10, 64 | wana bishara njema katika maisha ya dunia na katika Akhera.
20 10, 88 | wake mapambo na mali katika maisha ya dunia. Hivyo wanapoteza
21 10, 98 | adhabu ya hizaya katika maisha ya dunia, na tukawastarehesha
22 11, 15 | 15. Wanao taka maisha ya dunia na pumbao lake
23 13, 26 | kwa kipimo. Na wamefurahia maisha ya dunia. Na uhai wa dunia
24 13, 34 | 34. Wanayo adhabu katika maisha ya dunia, na adhabu ya Akhera
25 14, 3 | 3. Wale wanao fadhilisha maisha ya dunia kuliko Akhera,
26 14, 27 | kwa kauli ya imara katika maisha ya dunia na katika Akhera.
27 15, 20 | tumekujaalieni humo vitu vya maisha yenu, na ya hao ambao nyinyi
28 16, 97 | ni Muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira
29 16, 107| sababu wameyapenda zaidi maisha ya duniani kuliko ya Akhera,
30 18, 28 | yasiwaruke kwa kutaka pambo la maisha ya dunia. Wala usimt'ii
31 18, 45 | 45. Na wapigie mfano wa maisha ya dunia. Hayo ni kama maji
32 18, 46 | Mali na wana ni pambo la maisha ya dunia. Na mema yanayo
33 18, 104| ambao juhudi yao katika maisha ya dunia imepotea bure,
34 20, 72 | kwani wewe unahukumu haya ya maisha ya duniani tu. ~~~~~~
35 20, 97 | kwa yakini utakuwa katika maisha ukisema: Usiniguse. Na hakika
36 20, 124| basi kwa yakini atapata maisha yenye dhiki, na Siku ya
37 21, 34 | yeyote kabla yako kuwa na maisha ya milele. Basi je! Ukifa
38 23, 33 | tukawadekeza kwa starehe katika maisha ya dunia, walisema: Huyu
39 24, 33 | ajili ya kutafuta pato la maisha ya dunia, ilhali wao wanataka
40 28, 60 | mlicho pewa ni matumizi ya maisha ya dunia na pambo lake.
41 28, 61 | mstarehesha kwa starehe za maisha ya duniani, na kisha Siku
42 28, 79 | wale walio kuwa wanataka maisha ya duniani: Laiti tungeli
43 29, 64 | 64. Na haya maisha ya dunia si chochote ila
44 29, 64 | Na nyumba ya Akhera ndiyo maisha khasa; laiti wangeli kuwa
45 30, 7 | Wanajua hali ya dhaahiri ya maisha ya dunia, na wameghafilika
46 31, 33 | kweli. Basi yasikudanganyeni maisha ya dunia, wala asikudanganyeni
47 33, 28 | wake zako: Ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake,
48 35, 5 | kweli. Basi yasikudanganyeni maisha ya dunia, wala mdanganyifu
49 40, 39 | watu wangu! Hakika haya maisha ya dunia ni starehe ipitayo
50 41, 31 | ni vipenzi vyenu katika maisha ya dunia na katika Akhera,
51 42, 36 | mlivyo pewa ni starehe ya maisha ya dunia tu, lakini kilichoko
52 43 | Mungu alikwisha wagawia maisha yao ya duniani, kwa kuwa
53 43, 32 | tumewagawanyia baina yao maisha yao katika uhai wa duniani,
54 43, 35 | chochote ila ni starehe ya maisha ya dunia tu, na Akhera iliyoko
55 45, 35 | Aya za Mwenyezi Mungu; na maisha ya dunia yakakudanganyeni.
56 53, 29 | wetu, na wala hataki ila maisha ya dunia. ~~~~~~
57 56, 43 | walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. ~~~~~~
58 57, 20 | 20. Jueni ya kwamba maisha ya dunia ni mchezo, na pumbao,
59 57, 20 | Mwenyezi Mungu na radhi. Na maisha ya dunia si chochote ila
60 69, 21 | Basi yeye atakuwa katika maisha ya kupendeza, ~~~~~~
61 75, 20 | Hasha! Bali nyinyi mnapenda maisha ya duniani, ~~~~~~
62 75, 21 | 21. Na mnaacha maisha ya Akhera. ~~~~~~
63 76, 27 | hakika watu hawa wanapenda maisha ya kidunia, na wanaiacha
64 78, 11 | tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha? ~~~~~~
65 79, 38 | 38. Na akakhiari maisha ya dunia, ~~~~~~
66 87, 16 | Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia! ~~~~~~
67 92 | na kwake yapo mambo ya maisha mawili, ya Akhera na ya
68 101, 7 | 7. Huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza. ~~~~~~
|