bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 247| amemzidishia ukunjufu wa ilimu na kiwiliwili. Na Mwenyezi
2 3, 7 | msingi madhubuti katika ilimu husema: Sisi tumeziamini,
3 3, 18 | Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika
4 3, 61 | haya baada ya kukufikilia ilimu hii waambie: Njooni tuwaite
5 4, 162| Lakini walio bobea katika ilimu miongoni mwao, na Waumini,
6 6, 80 | Mola wangu Mlezi amekusanya ilimu ya kila kitu. Basi je, hamkumbuki? ~~~~~~
7 6, 119| matamanio yao bila ya kuwa na ilimu. Hakika Mola wako Mlezi
8 6, 143| yote mawili? Niambieni kwa ilimu ikiwa nyinyi mnasema kweli. ~~~~~~
9 6, 144| kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi
10 6, 148| Sema: Je, nyinyi mnayo ilimu mtutolee? Nyinyi hamfuati
11 7, 7 | Tena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali. ~~~~~~
12 7, 52 | Kitabu tulicho kipambanua kwa ilimu, uwongofu na rehema kwa
13 10, 39 | wameyakanusha wasio yaelewa ilimu yake kabla hayajawajia maelezo
14 10, 93 | hawakukhitalifiana mpaka ilipo wafikia ilimu. Hakika Mola wako Mlezi
15 12, 22 | uzima tulimpa hukumu na ilimu. Na kama hivi tunawalipa
16 12, 68 | Na hakika yeye alikuwa na ilimu kwa sababu tulimfundisha;
17 13, 37 | matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki
18 13, 42 | nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
19 16, 27 | mashaka? Watasema walio pewa ilimu: Hakika leo ndiyo hizaya
20 17, 85 | Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu. ~~~~~~
21 17, 107| Hakika wale walio pewa ilimu kabla yake, wanapo somewa
22 18 | na Mja Mwema aliye pewa ilimu kutokana na Mwenyezi Mungu.
23 18 | na malipo ya Waumini, na ilimu ya Mwenyezi Mungu na maneno
24 19, 43 | yangu! Kwa yakini imenifikia ilimu isiyo kufikia wewe. Basi
25 20, 52 | 52. Akasema: Ilimu yake iko kwa Mola wangu
26 20, 114| wangu Mlezi! Nizidishie ilimu. ~~~~~~
27 21, 7 | ufunuo). Basi waulizeni wenye ilimu ikiwa nyinyi hamjui. ~~~~~~
28 21, 74 | Luut'i tukampa hukumu na ilimu na tukamwokoa na ule mji
29 21, 79 | mmoja wao tulimpa hukumu na ilimu. Na tuliifanya milima na
30 22, 3 | ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, na wanamfuata kila shet'
31 22, 8 | ya Mwenyezi Mungu bila ya ilimu, wala uwongofu, wala Kitabu
32 22, 54 | 54. Na ili walio pewa ilimu wajue kuwa hayo ni Haki
33 27 | enzi kwa njia ya mwenye ilimu ya Kitabu, na kuingia kwake
34 27, 15 | tuliwapa Daudi na Sulaiman ilimu, na wakasema: Alhamdu Lillahi,
35 27, 40 | 40. Akasema mwenye ilimu ya Kitabu: Mimi nitakuletea
36 27, 42 | wakasema): Na sisi tumepewa ilimu kabla yake (Malkia), na
37 28, 14 | baraabara, tulimpa akili na ilimu. Na hivi ndivyo tunavyo
38 28, 78 | nimepewa haya kwa sababu ya ilimu niliyo nayo. Je! Hakujua
39 28, 80 | wakasema wale walio pewa ilimu: Ole wenu! Malipo ya Mwenyezi
40 29, 43 | na hawaifahamu ila wenye ilimu. ~~~~~~
41 29, 49 | katika vifua vya walio pewa ilimu. Na hawazikatai Ishara zetu
42 30, 56 | 56. Na walio pewa ilimu na Imani watasema: Hakika
43 31, 15 | kunishirikisha na ambayo huna ilimu nayo, basi usiwat'ii. Lakini
44 31, 20 | ya Mwenyezi Mungu pasipo ilimu, wala uwongofu, wala Kitabu
45 34, 6 | 6. Na walio pewa ilimu wanaona ya kuwa ulio teremshiwa
46 35, 11 | mimba, wala hazai, ila kwa ilimu yake. Na wala hapewi umri
47 38, 69 | 69. Sikuwa na ilimu ya mambo ya viumbe wakuu
48 39, 49 | Nimepewa haya kwa sababu ya ilimu yangu. Sio! Huo ni mtihani!
49 40 | mwisho wa ghururi zao kwa ilimu walizo kuwa nazo. Na ilipo
50 40, 83 | zilizo wazi walijitapa kwa ilimu waliyo kuwa nayo. Basi yakawazunguka
51 42, 14 | hawakufarikiana ila baada ya kuwajia ilimu kwa sababu ya husuda iliyo
52 45, 24 | dahari. Lakini wao hawana ilimu ya hayo, ila wao wanadhani
53 46, 4 | hiki, au alama yoyote ya ilimu, ikiwa mnasema kweli. ~~~~~~
54 47, 16 | kwako huwauliza walio pewa ilimu: Amesema nini sasa hivi?
55 51, 28 | wakambashiria kupata kijana mwenye ilimu. ~~~~~~
56 52, 41 | 41. Au wanayo ilimu ya ghaibu, nao wameandika? ~~~~~~
57 53, 35 | 35. Je! Anayo huyo ilimu ya ghaibu, basi ndio anaona? ~~~~~~
58 58, 11 | miongoni mwenu, na walio pewa ilimu daraja za juu. Na Mwenyezi
59 65, 12 | kitu kukijua vilivyo kwa ilimu yake. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
60 72 | aliye khusika na kuijua ilimu ya ghaibu, mambo yasiyo
61 76, 30 | Mwenyezi Mungu ni Mwenye ilimu, Mwenye hikima. ~~~~~~
62 80 | Maktoum alipo mjia kutafuta ilimu na uwongofu. Naye Nabii
63 94 | pahala pa kuteremkia siri na ilimu, na akaondoa matatizo yaliyo
64 96 | kuandika kwa kudhibitia ilimu na kutimizia kufahamu, na
65 96 | ndiye Mwenye kummiminia ilimu mwanaadamu. Na Sura inanabihisha
|