1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-1548
bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 6 | 6. Hakika wale walio kufuru ni sawa
2 2, 12 | 12. Hakika wao ndio waharibifu, lakini
3 2, 13 | walivyo amini wapumbavu? Hakika wao ndio wapumbavu, lakini
4 2, 14 | na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika
5 2, 14 | Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu. ~~~~~~
6 2, 20 | kusikia kwao na kuona kwao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza
7 2, 26 | 26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya
8 2, 30 | utakatifu wako? Akasema: Hakika Mimi nayajua msiyo yajua. ~~~~~~
9 2, 32 | kwa uliyo tufunza Wewe. Hakika Wewe ndiye Mjuzi Mwenye
10 2, 37 | Mlezi alimkubalia toba yake; hakika Yeye ndiye Mwingi wa kukubali
11 2, 45 | kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hilo ni gumu isipokuwa
12 2, 46 | Ambao wana yakini kuwa hakika watakutana na Mola wao Mlezi
13 2, 46 | Mola wao Mlezi na ya kuwa hakika watarejea kwake. ~~~~~~
14 2, 54 | watu wake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmezidhulumu nafsi
15 2, 54 | Naye akapokea toba yenu. Hakika Yeye ndiye apokeaye toba
16 2, 62 | 62. Hakika Walio amini, na Mayahudi
17 2, 65 | 65. Na hakika mlikwisha yajua ya wale
18 2, 67 | alipo waambia watu wake: Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni
19 2, 68 | ni ng'ombe gani? Akasema: Hakika Yeye anasema kwamba ng'ombe
20 2, 70 | Mlezi atupambanulie ni yupi? Hakika tunaona ng'ombe wamefanana.
21 2, 87 | 87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha
22 2, 96 | 96. Na hakika utawaona ni wenye kuwashinda
23 2, 98 | na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa
24 2, 99 | 99. Hakika tumekuteremshia Ishara zilizo
25 2, 102| yeyote mpaka wamwambie: Hakika sisi ni mtihani; basi usikufuru.
26 2, 102| wala hayawanufaishi. Na hakika wanajua kwamba aliye khiari
27 2, 102| lolote katika Akhera. Na hakika ni kiovu mno walicho jiuzia
28 2, 109| Mungu atapo leta amri yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza
29 2, 110| mtazikuta kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anayaona
30 2, 115| huko Mwenyezi Mungu yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye
31 2, 118| hii. Nyoyo zao zimefanana. Hakika Sisi tumeziweka wazi Ishara
32 2, 119| 119. Hakika Sisi tumekutuma kwa Haki
33 2, 120| mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu
34 2, 122| niliyo kuneemesheni, na hakika Mimi nikakufadhilisheni
35 2, 124| akazitimiza, akamwambia: Hakika Mimi nitakufanya uwe mwongozi
36 2, 127| Mlezi wetu! Tutakabalie! Hakika Wewe ndiye Msikizi Mjuzi. ~~~~~~
37 2, 129| na hikima na awatakase. Hakika Wewe ndiye Mwenye nguvu,
38 2, 130| tulimteuwa yeye katika dunia; na hakika yeye katika Akhera atakuwa
39 2, 132| pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni
40 2, 144| nyuso zenu upande huo; na hakika wale walio pewa Kitabu wanajua
41 2, 145| baada ya kukufikia ujuzi, hakika hapo utakuwa miongoni mwa
42 2, 148| atakuleteni nyote pamoja. Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza
43 2, 153| msaada kwa subira na Sala. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja
44 2, 156| ukiwasibu msiba husema: Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu,
45 2, 156| Mwenyezi Mungu, na kwake Yeye hakika tutarejea. ~~~~~~
46 2, 158| 158. Hakika vilima vya Safaa na Marwa
47 2, 159| 159. Hakika wale wanao ficha tuliyo
48 2, 161| 161. Hakika walio kufuru na wakafa hali
49 2, 164| 164. Hakika katika kuumbwa kwa mbingu
50 2, 168| msifuate nyayo za Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu aliye
51 2, 173| kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
52 2, 174| 174. Hakika wale wafichao aliyo yateremsha
53 2, 181| wale watakao ubadilisha; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
54 2, 182| basi hatakuwa na dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu
55 2, 195| maangamizo. Na fanyeni wema. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
56 2, 197| jitengezeeni zawadi. Na hakika bora ya zawadi ni uchamngu.
57 2, 199| Mwenyezi Mungu msamaha: hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
58 2, 208| msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye
59 2, 211| Mungu baada ya kumfikia basi hakika Mwenyezi Mungu ni mkali
60 2, 218| 218. Hakika wale walio amini na wale
61 2, 220| angeli kutieni katika udhia. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
62 2, 222| kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
63 2, 223| Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na
64 2, 226| Wakirejea basi Mwenyezi Mungu hakika ni Mwenye kusamehe na Mwenye
65 2, 231| Mwenyezi Mungu, na jueni kwamba hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
66 2, 237| msisahau fadhila baina yenu. Hakika Mwenyezi Mungu anayaona
67 2, 243| Kufeni! Kisha akwahauisha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
68 2, 252| tunakusomea kwa haki. Na hakika wewe ni miongoni mwa Mitume. ~~~~~~
69 2, 260| watakujia mbio. Na ujue kwamba hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu
70 2, 270| nadhiri mnazo weka basi hakika Mwenyezi Mungu anajua. Na
71 2, 277| 277. Hakika wale walio amini na wakatenda
72 2, 282| Na mkifanya hivyo basi hakika hilo ni kosa kwenu. Na mcheni
73 2, 283| ushahidi. Na atakaye ficha basi hakika moyo wake ni wenye kutenda
74 3, 4 | akateremsha Furqani (Upambanuo). Hakika walio zikanusha Ishara za
75 3, 5 | 5. Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki
76 3, 8 | utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji. ~~~~~~
77 3, 9 | isiyo na shaka ndani yake. Hakika Mwenyezi Mungu havunji miadi
78 3, 10 | 10. Kwa hakika wale walio kufuru hazitowafaa
79 3, 13 | 13. Hakika ilikuwa ni Ishara kwenu
80 3, 13 | amtakaye kwa nusura yake. Hakika katika hayo yapo mazingatio
81 3, 16 | husema: Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumeamini, basi tufutie
82 3, 18 | ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye
83 3, 19 | Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi
84 3, 21 | 21. Hakika wanao zikataa Ishara za
85 3, 26 | yote iko mikononi mwako. Hakika Wewe ni Muweza wa kila kitu. ~~~~~~
86 3, 33 | 33. Hakika Mwenyezi Mungu alimteuwa
87 3, 35 | kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia
88 3, 39 | akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria
89 3, 42 | walipo sema: Ewe Maryamu! Kwa hakika Mwenyezi Mungu amekuteuwa,
90 3, 45 | walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria (
91 3, 49 | akiba katika nyumba zenu. Hakika katika haya ipo Ishara kwenu
92 3, 51 | 51. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mola wangu
93 3, 52 | na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu. ~~~~~~
94 3, 59 | 59. Hakika mfano wa Isa kwa Mwenyezi
95 3, 62 | 62. Hakika haya ndiyo maelezo ya kweli.
96 3, 62 | ila Mwenyezi Mungu tu, na hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye
97 3, 73 | anaye fuata dini yenu. Sema: Hakika uwongofu ni uwongofu wa
98 3, 73 | ya Mola wenu Mlezi. Sema: Hakika fadhila zimo mikononi mwa
99 3, 77 | 77. Hakika wanao uza ahadi ya Mwenyezi
100 3, 90 | 90. Hakika wale walio kufuru baada
101 3, 91 | 91. Hakika wale walio kufuru, na wakafa
102 3, 92 | chochote mnacho kitoa basi hakika Mwenyezi Mungu anakijua. ~~~~~~
103 3, 96 | 96. Hakika Nyumba ya kwanza walio wekewa
104 3, 116| 116. Hakika wale walio kufuru hazitawafaa
105 3, 119| Kufeni kwa chuki yenu! Hakika Mwenyezi Mungu anayajua
106 3, 120| zao hazitakudhuruni kitu. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye
107 3, 155| 155. Hakika wale walio rudi nyuma miongoni
108 3, 155| Mungu amekwisha wasamehe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
109 3, 157| Mwenyezi Mungu, au mkifa, hakika maghfira na rehema zitokazo
110 3, 159| mtegemee Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
111 3, 164| 164. Hakika Mwenyezi Mungu amewafanyia
112 3, 165| Huo umetoka kwenu wenyewe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
113 3, 175| 175. Hakika huyo ni Shet'ani anawatia
114 3, 176| wanao kimbilia ukafirini. Hakika hao hawamdhuru kitu Mwenyezi
115 3, 177| 177. Hakika wale walio nunua ukafiri
116 3, 178| tunao wapa ni kheri yao. Hakika tunawapa muhula wazidi madhambi.
117 3, 186| mtasubiri na mkamchamngu basi hakika hayo ni katika mambo ya
118 3, 190| 190. Hakika katika kuumbwa mbingu na
119 3, 192| 192. Mola wetu Mlezi! Hakika unaye mtia Motoni umemhizi;
120 3, 193| 193. Mola wetu Mlezi! Hakika sisi tumemsikia mwenye kuita
121 3, 194| usituhizi Siku ya Kiyama. Hakika Wewe huvunji miadi. ~~~~~~
122 3, 195| akayakubali maombi yao akajibu: Hakika sipotezi kazi ya mfanya
123 3, 199| 199. Hakika miongoni mwa Watu wa Kitabu
124 3, 199| wao kwa Mola wao Mlezi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi
125 4, 1 | mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
126 4, 2 | zao pamoja na mali zenu. Hakika yote hayo ni jukumu kubwa. ~~~~~~
127 4, 10 | 10. Hakika wanao kula mali ya mayatima
128 4, 16 | wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi
129 4, 17 | 17. Hakika toba inayo kubaliwa na Mwenyezi
130 4, 18 | mauti, kisha hapo akasema: Hakika mimi sasa nimetubia. Wala
131 4, 22 | ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu na uchukizo
132 4, 23 | yale yaliyo kwisha pita. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
133 4, 24 | baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
134 4, 29 | wenyewe. Wala msijiuwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
135 4, 32 | Mwenyezi Mungu fadhila zake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
136 4, 33 | ahadi wapeni fungu lao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Shahidi
137 4, 34 | msiwatafutie njia ya kuwaudhi bure. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye
138 4, 35 | Mwenyezi Mungu atawawezesha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
139 4, 36 | na mikono yenu ya kulia. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi
140 4, 40 | 40. Hakika Mwenyezi Mungu hadhulumu
141 4, 43 | nyuso zenu na mikono yenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu
142 4, 48 | 48. Hakika Mwenyezi Mungu hasamehe
143 4, 48 | mshirikisha Mwenyezi Mungu basi hakika amezua dhambi kubwa. ~~~~~~
144 4, 56 | 56. Hakika wale walio zikataa Ishara
145 4, 56 | ili waionje hiyo adhabu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
146 4, 58 | 58. Hakika Mwenyezi Mungu anakuamrisheni
147 4, 58 | watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika haya anayo kuwaidhini Mwenyezi
148 4, 58 | Mwenyezi Mungu ni mazuri sana. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye
149 4, 76 | na marafiki wa Shet'ani. Hakika hila za Shet'ani ni dhaifu. ~~~~~~
150 4, 85 | sehemu yake katika hayo. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
151 4, 86 | au rejesheni hayo hayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
152 4, 94 | Basi chunguzeni sawa sawa. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari
153 4, 97 | 97. Hakika Malaika watawaambia wale
154 4, 101| kufuru wakakuleteeni maudhi. Hakika makafiri ni maadui zenu
155 4, 102| Na chukueni hadhari yenu. Hakika Mwenyezi Mungu amewaandalia
156 4, 103| Sala kama dasturi. Kwani hakika Sala kwa Waumini ni faradhi
157 4, 104| Mungu wasio yataraji wao. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
158 4, 105| 105. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu
159 4, 106| maghfira Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi
160 4, 107| usiwatetee wanao khini nafsi zao. Hakika Mwenyezi Mungu hampendi
161 4, 116| 116. Hakika Mwenyezi Mungu hasamehi
162 4, 119| 119. Na hakika nitawapoteza na nitawatia
163 4, 128| wema na mkamchamngu basi hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari
164 4, 131| viliomo katika dunia. Na kwa hakika tuliwausia walio pewa Kitabu
165 4, 137| 137. Hakika walio amini, kisha wakakufuru,
166 4, 139| wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi
167 4, 140| mtakuwa nanyi mfano wao hao. Hakika Mwenyezi Mungu atawakusanya
168 4, 142| 142. Hakika wanaafiki wanamkhadaa Mwenyezi
169 4, 145| 145. Hakika wanaafiki watakuwa katika
170 4, 149| mkiuficha, au mkiyasamehe maovu, hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi
171 4, 150| 150. Hakika wale wanao mkataa Mwenyezi
172 4, 153| kutoka mbinguni. Na kwa hakika walikwisha mtaka Musa makubwa
173 4, 157| bali walifananishiwa tu. Na hakika walio khitalifiana katika
174 4, 158| Mungu alim- tukuza kwake, na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
175 4, 159| katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini yeye kabla ya
176 4, 163| 163. Hakika Sisi tumekuletea wahyi wewe
177 4, 167| 167. Hakika walio kufuru na wakazuilia
178 4, 168| 168. Hakika wale walio kufuru na wakadhulumu
179 4, 170| yenu. Na mkikakanusha basi hakika viliomo mbinguni na duniani
180 4, 170| vya Mwenyezi Mungu tu. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
181 4, 171| Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Isa mwana wa Maryamu
182 4, 171| Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu
183 5, 1 | kuwinda nanyi mmo katika Hija. Hakika Mwenyezi Mungu anahukumu
184 5, 2 | Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mkali
185 5, 3 | kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu
186 5, 4 | Na mcheni Mwenyezi Mungu; hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi
187 5, 7 | Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi
188 5, 8 | Na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu anazo khabari
189 5, 13 | Basi wasamehe na waache. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
190 5, 17 | 17. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi
191 5, 25 | Akasema: Mola wangu Mlezi! Hakika mimi similiki ila nafsi
192 5, 28 | sitakunyooshea mkono wangu kukuuwa. Hakika mimi namwogopa Mwenyezi
193 5, 32 | amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na
194 5, 36 | 36. Hakika walio kufuru lau wange kuwa
195 5, 39 | Mungu atapokea toba yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
196 5, 42 | baina yao kwa uadilifu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda
197 5, 44 | 44. Hakika Sisi tuliteremsha Taurati
198 5, 49 | wakigeuka, basi jua kwamba hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwasibu
199 5, 49 | baadhi ya dhambi zao. Na hakika wengi wa watu ni wapotofu. ~~~~~~
200 5, 51 | basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi
201 5, 55 | 55. Hakika rafiki yenu mlinzi ni Mwenyezi
202 5, 56 | wake na walio amini, basi hakika kundi la Mwenyezi Mungu
203 5, 61 | husema: Tumeamini. Lakini hakika wao wameingia na ukafiri
204 5, 67 | Mungu atakulinda na watu. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi
205 5, 68 | kutokana na Mola wenu Mlezi. Na hakika ulio teremshiwa wewe kutokana
206 5, 69 | 69. Hakika walio amini, na Mayahudi
207 5, 72 | 72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi
208 5, 72 | mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia
209 5, 73 | 73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi
210 5, 79 | waliyo kuwa wakiyafanya. Hakika ni maovu yalioje mambo waliyo
211 5, 80 | urafiki na walio kufuru. Hakika ni maovu yaliyo tangulizwa
212 5, 82 | 82. Hakika utawakuta walio shadidi
213 5, 87 | Mungu, wala msikiuke mipaka. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi
214 5, 91 | 91. Hakika Shet'ani anataka kutia kati
215 5, 106| ushahidi wa Mwenyezi Mungu; hakika hapo tutakuwa miongoni mwa
216 5, 107| Mwenyezi Mungu wakisema: Hakika ushahidi wetu ni wa haki
217 5, 107| sisi hatujafanya dhambi; hakika hapo tutakuwa miongoni mwa
218 5, 108| Mwenyezi Mungu na msikie. Na hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi
219 5, 109| Watasema: Hatuna ujuzi; hakika Wewe ndiye Mjuzi Mkubwa
220 5, 115| Mwenyezi Mungu akasema: Hakika Mimi nitakuteremshieni hicho.
221 5, 115| atakaye kanya baadae, basi hakika Mimi nitampa adhabu nisiyopata
222 5, 116| yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa
223 6, 10 | 10. Na hakika Mitume walio kabla yako
224 6, 12 | amejilazimisha nafsi yake kurehemu. Hakika atakukusanyeni Siku ya Kiyama
225 6, 19 | Mimi sishuhudii hayo. Sema: Hakika Yeye ni Mungu mmoja tu,
226 6, 21 | akazikanusha Ishara zake? Hakika madhaalimu hawafanikiwi. ~~~~~~
227 6, 28 | yale waliyo katazwa. Na hakika hao ni waongo. ~~~~~~
228 6, 31 | 31. Hakika wamekhasirika walio kanusha
229 6, 32 | mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora
230 6, 33 | yanakuhuzunisha wanayo yasema. Basi hakika wao hawakukanushi wewe,
231 6, 34 | 34. Na hakika walikanushwa Mitume wa kabla
232 6, 36 | 36. Hakika wanao kubali ni wale wanao
233 6, 37 | kwa Mola wake Mlezi? Sema: Hakika Mwenyezi Mungu ni Muweza
234 6, 54 | yake na akatengenea, basi hakika Yeye ni Mwenye maghfira
235 6, 62 | Mungu, Mola wao wa Haki. Hakika, hukumu ni yake. Naye ni
236 6, 71 | wakimwambia: Njoo kwetu! Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu
237 6, 74 | masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu
238 6, 79 | 79. Hakika mimi nimeuelekeza uso wangu
239 6, 83 | Tunamnyanyua kwa vyeo tumtakaye. Hakika Mola Mlezi wako ni Mwenye
240 6, 95 | 95. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye mpasuaji
241 6, 97 | kiza cha bara na bahari. Hakika tumezichambua Ishara hizi
242 6, 98 | kutulia na pa kupita njia. Hakika tumezichambua Ishara hizi
243 6, 99 | yanapo zaa na yakawiva. Hakika katika hayo pana Ishara
244 6, 117| 117. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Mjuzi
245 6, 119| vile mnavyo lazimishwa? Na hakika wengi wanapoteza kwa matamanio
246 6, 119| yao bila ya kuwa na ilimu. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Mjuzi
247 6, 120| dhaahiri na zilizo fichikana. Hakika wanao chuma dhambi watalipwa
248 6, 128| Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi
249 6, 128| apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye
250 6, 135| wangu! Fanyeni muwezayo, na hakika mimi nafanya. Mtakuja jua
251 6, 135| na makaazi mema mwishoni. Hakika madhaalimu hawatafanikiwa. ~~~~~~
252 6, 139| atawalipa kwa maelezo yao hayo. Hakika Yeye ni Mwenye hikima, Mwenye
253 6, 140| 140. Hakika wamekhasirika wale ambao
254 6, 140| kumzulia Mwenyezi Mungu. Hakika wamepotea, wala hawakuwa
255 6, 141| Wala msitumie kwa fujo. Hakika Yeye hawapendi watumiayo
256 6, 142| msifuate nyayo za Shet'ani. Hakika yeye ni adui yenu dhaahiri. ~~~~~~
257 6, 144| kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi Mungu hawahidi
258 6, 145| wala kupita mipaka, basi hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye
259 6, 153| 153. Na kwa hakika hii ndiyo Njia yangu Iliyo
260 6, 156| 156. Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu
261 6, 159| 159. Hakika walio igawa Dini yao na
262 6, 161| 161. Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa
263 6, 162| 162. Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu,
264 6, 165| akujaribuni kwa hayo aliyo kupeni. Hakika Mola Mlezi wako ni Mwepesi
265 6, 165| Mwepesi wa kuadhibu, na hakika Yeye ni Mwenye kusamehe,
266 7, 5 | yetu, isipo kuwa kusema: Hakika sisi tulikuwa wenye kudhulumu. ~~~~~~
267 7, 10 | 10. Na hakika tumekuwekeni katika ardhi,
268 7, 11 | 11. Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni
269 7, 13 | kiburi humo. Basi toka! Hakika wewe u miongoni mwa walio
270 7, 23 | hutusamehe na kuturehemu, hakika tutakuwa katika wenye kukhasirika. ~~~~~~
271 7, 27 | zao kuwaonyesha tupu zao. Hakika yeye na kabila yake wanakuoneni,
272 7, 27 | wanakuoneni, na nyinyi hamuwaoni. Hakika Sisi tumewafanya Mashet'
273 7, 28 | ametuamrisha hayo. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu haamrishi
274 7, 30 | limethibitikiwa na upotofu. Kwa hakika hao waliwafanya mashet'ani
275 7, 31 | msifanye ubadhirifu. Kwa hakika Yeye hapendi wanao fanya
276 7, 40 | 40. Hakika wale wanao zikanusha Ishara
277 7, 43 | Mwenyezi Mungu hakutuhidi. Hakika Mitume wa Mola wetu Mlezi
278 7, 50 | Mwenyezi Mungu. Nao watasema: Hakika Mwenyezi Mungu ameviharimisha
279 7, 52 | 52. Na hakika tumewaletea Kitabu tulicho
280 7, 54 | 54. Hakika Mola Mlezi wenu ni Mwenyezi
281 7, 55 | unyenyekevu na kwa siri. Hakika Yeye hawapendi warukao mipaka. ~~~~~~
282 7, 56 | kuogopa na kwa kutumai. Hakika rehema ya Mwenyzi Mungu
283 7, 59 | Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu
284 7, 60 | katika kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo
285 7, 64 | walio kanusha Ishara zetu. Hakika hao walikuwa watu vipofu. ~~~~~~
286 7, 66 | umo katika upumbavu, na hakika sisi tunakufikiria kuwa
287 7, 73 | Nyinyi hamna Mungu ila Yeye. Hakika imekwisha kukufikieni Ishara
288 7, 75 | Mola Mlezi wake? Wakasema: Hakika sisi tunayaamini yale aliyo
289 7, 90 | Mkimfuata Shua'ib, basi hakika hapo nyinyi mtakuwa mlio
290 7, 102| wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi wao ni
291 7, 104| Musa alisema: Ewe Firauni! Hakika mimi ni Mtume nitokaye kwa
292 7, 105| ila lilio la Haki. Nami hakika nimekujieni na dalili waziwazi
293 7, 109| waheshimiwa wa kaumu ya Firauni: Hakika huyo ni mchawi mjuzi. ~~~~~~
294 7, 113| wachawi kwa Firauni, wakasema: Hakika tutapata ujira ikiwa tutashinda. ~~~~~~
295 7, 128| Mwenyezi Mungu, na subirini. Hakika ardhi ni ya Mwenyezi Mungu.
296 7, 130| 130. Na hakika tuliwaadhibu watu wa Firauni
297 7, 131| pamoja naye ni wakorofi. Hakika ukorofi wao huo unao wafikia
298 7, 138| na miungu. Musa akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua
299 7, 139| 139. Hakika haya waliyo nayo watu hawa
300 7, 150| Ewe mwana wa mama yangu! Hakika hawa watu wamenidharau,
301 7, 152| 152. Hakika wale walio muabudu ndama,
302 7, 158| 158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi
303 7, 167| mbaya mpaka Siku ya Kiyama. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwepesi
304 7, 170| Kitabu, na wakashika Sala - hakika Sisi hatupotezi ujira wa
305 7, 173| 173. Au mkasema: Hakika baba zetu ndio walio shirikisha
306 7, 183| 183. Nami nitawapa muda. Hakika mpango wangu ni madhubuti. ~~~~~~
307 7, 194| 194. Hakika hao mnao waomba asiye kuwa
308 7, 196| 196. Hakika Mlinzi wangu ni Mwenyezi
309 7, 200| ulinzi wa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Msikizi, Mjuzi. ~~~~~~
310 7, 201| 201. Hakika wale wamchao Mungu, zinapo
311 7, 206| 206. Hakika wale walioko kwa Mola wako
312 8, 2 | 2. Hakika Waumini ni wale ambao anapo
313 8, 5 | nyumbani kwako kwa Haki, na hakika kundi moja la Waumini linachukia. ~~~~~~
314 8, 10 | kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
315 8, 12 | alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi
316 8, 17 | majaribio mema yatokayo kwake. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Msikizi
317 8, 18 | 18. Ndio hivyo! Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
318 8, 19 | japo likiwa kubwa. Kwani hakika Mwenyezi yu pamoja na Waumini. ~~~~~~
319 8, 22 | 22. Hakika vinyama viovu mbele ya Mwenyezi
320 8, 24 | na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa. ~~~~~~
321 8, 36 | 36. Hakika wale walio kufuru hutoa
322 8, 39 | Mungu. Lakini wakiacha, basi hakika Mwenyezi Mungu anayaona
323 8, 43 | Mwenyezi Mungu kakuvueni. Hakika Yeye ni Mwenye kuyajua yalio
324 8, 46 | nguvu zenu. Na subirini. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja
325 8, 49 | kumtegemea Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
326 8, 51 | tangulizwa na mikono yenu, na hakika Mwenyezi Mungu si mwenye
327 8, 52 | sababu ya madhambi yao. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
328 8, 53 | yaliyomo ndani ya nafsi zao. Na hakika Mwwnyezi Mungu ni Mwenye
329 8, 55 | 55. Hakika vinyama vilio viovu kabisa
330 8, 58 | watupilie ahadi yao kwa usawa. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi
331 8, 61 | mtegemee Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia
332 8, 63 | ndiye aliye waunganisha. Hakika Yeye ndiye Mtukufu Mwenye
333 8, 69 | na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
334 8, 72 | 72. Hakika wale walio amini na wakahama
335 8, 75 | Kitabu cha Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
336 9 | Sura hii kwa kusema kuwa hakika Mwenyezi Mungu Mtukufu amemteua
337 9, 4 | ahadi yao mpaka muda wao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
338 9, 5 | Zaka, basi waachilieni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
339 9, 7 | nanyi pia nendeni sawa nao. Hakika Mwenyezi Mungu huwapenda
340 9, 9 | wakazuilia watu na Njia yake. Hakika hao ni maovu waliyo kuwa
341 9, 12 | na waongozi wa ukafiri. Hakika hao hawana viapo vya kweli.
342 9, 18 | 18. Hakika wanao amirisha misikiti
343 9, 22 | 22. Watadumu humo milele. Hakika kwa Mwenyezi Mungu yapo
344 9, 25 | 25. Hakika Mwenyezi Mungu amekunusuruni
345 9, 28 | 28. Enyi mlio amini! Hakika washirikina ni najsi, kwa
346 9, 28 | kwa fadhila yake akipenda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
347 9, 34 | 34. Enyi mlio amini! Hakika wengi katika makuhani na
348 9, 36 | 36. Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi
349 9, 40 | sahibu yake: Usihuzunike. Hakika Mwenyezi Mungu yu pamoja
350 9, 42 | Mwenyezi Mungu anajua kuwa hakika hao ni waongo. ~~~~~~
351 9, 49 | tumbukia katika fitina. Na hakika Jahannamu imewazunguka. ~~~~~~
352 9, 55 | mali yao wala wana wao. Hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwaadhibu
353 9, 59 | yake - na pia Mtume wake; hakika sisi ni wenye kumtaka Mwenyezi
354 9, 64 | zao. Sema: Fanyeni mzaha! Hakika Mwenyezi Mungu atayatoa
355 9, 67 | na Yeye pia amewasahau. Hakika wanaafiki ndio wapotofu. ~~~~~~
356 9, 71 | Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu
357 9, 84 | usisimame kaburini kwake. Hakika hao wamemkataa Mwenyezi
358 9, 95 | Basi waachilieni mbali. Hakika hao ni najsi, na makaazi
359 9, 99 | atawaingiza katika rehema yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
360 9, 102| Mungu akapokea toba zao. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
361 9, 103| kwazo, na uwaombee rehema. Hakika maombi yako ni utulivu kwao.
362 9, 111| 111. Hakika Mwenyezi Mungu amenunua
363 9, 114| Mungu, alijiepusha naye. Hakika Ibrahim alikuwa mwingi wa
364 9, 115| awabainishie ya kujiepusha nayo. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
365 9, 116| 116. Hakika Mwenyezi Mungu anao ufalme
366 9, 117| akapokea toba yao, kwani hakika Yeye kwao wao ni Mpole na
367 9, 118| ili nao waendelee kutubu. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye
368 9, 120| huandikiwa kuwa ni kitendo chema. Hakika Mwenyezi Mungu haupotezi
369 9, 128| 128. Hakika amekwisha kujieni Mtume
370 10, 2 | Mlezi? Wakasema makafiri: Hakika huyu ni mchawi dhaahiri! ~~~~~~
371 10, 3 | 3. Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenyezi
372 10, 4 | Mwenyezi Mungu iliyo ya kweli. Hakika Yeye ndiye aliye anzisha
373 10, 6 | 6. Hakika katika kukhitalifiana usiku
374 10, 7 | 7. Hakika wasio taraji kukutana nasi,
375 10, 9 | 9. Hakika walio amini na wakatenda
376 10, 15 | ninayo funuliwa kwa Wahyi. Hakika mimi naogopa, nikimuasi
377 10, 17 | akazikanusha Ishara zake? Hakika hawafanikiwi wakosefu. ~~~~~~
378 10, 21 | Mwepesi zaidi wa kupanga. Hakika wajumbe wetu wanayaandika
379 10, 24 | 24. Hakika mfano wa maisha ya dunia
380 10, 29 | shahidi baina yetu na nyinyi. Hakika sisi tulikuwa hatuna khabari
381 10, 36 | haifai kitu mbele ya haki. Hakika Mwenyezi Mungu anajua yote
382 10, 44 | 44. Hakika Mwenyezi Mungu hawadhulumu
383 10, 45 | ya mchana! Watatambuana. Hakika wamekhasirika walio kanusha
384 10, 53 | Naapa kwa Mola wangu Mlezi! Hakika hayo ni kweli, na wala nyinyi
385 10, 55 | 55. Jueni kuwa hakika vyote viliomo katika mbingu
386 10, 55 | Mwenyezi Mungu. Jueni kuwa hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu
387 10, 60 | Mungu kwa Siku ya Kiyama? Hakika Mwenyezi Mungu ana fadhila
388 10, 65 | yasikuhuzunishe maneno yao. Hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi
389 10, 67 | humo, na mchana wa kuonea. Hakika katika haya zipo Ishara
390 10, 76 | Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri. ~~~~~~
391 10, 81 | alisema: Mliyo leta ni uchawi. Hakika Mwenyezi Mungu haitengenezi
392 10, 83 | wakuu wao wasiwatese. Kwani hakika Firauni alikuwa jeuri katika
393 10, 88 | akasema: Mola wetu Mlezi! Hakika wewe umempa Firauni na wakuu
394 10, 92 | ya walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika
395 10, 93 | 93. Na hakika tuliwaweka Wana wa Is raili
396 10, 93 | mpaka ilipo wafikia ilimu. Hakika Mola wako Mlezi atahukumu
397 10, 96 | 96. Hakika wale ambao neno la Mola
398 11, 2 | kuwa Allah, Mwenyezi Mungu. Hakika mimi kwenu ni mwonyaji na
399 11, 5 | yaficha na wanayo yatangaza. Hakika Yeye ni Mjuzi wa yaliyomo
400 11, 7 | Na wewe ukisema: Nyinyi hakika mtafufuliwa baada ya kufa;
401 11, 10 | Taabu zimekwisha niondokea. Hakika yeye hujitapa na kutafakhari. ~~~~~~
402 11, 22 | 22. Bila ya shaka hakika wao ndio wenye kukhasiri
403 11, 23 | 23. Hakika wale walio amini,na wakatenda
404 11, 25 | kwa watu wake, akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye
405 11, 26 | kuwa Mwenyezi Mungu tu. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu
406 11, 27 | kutushinda sisi. Bali tuna hakika nyinyi ni waongo. ~~~~~~
407 11, 29 | sitawafukuza walio amini. Hakika wao watakutana na Mola wao
408 11, 41 | kwake na kusimama kwake. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye
409 11, 45 | Mlezi: Ee Mola Mlezi wangu! Hakika mwanangu ni katika ahali
410 11, 45 | ni katika ahali zangu, na hakika ahadi yako ni haki. Na Wewe
411 11, 49 | kabla ya hii. Basi subiri! Hakika Mwisho ni wa wachamngu. ~~~~~~
412 11, 54 | imekusibu kwa baa. Akasema: Hakika mimi namshuhudisha Mwenyezi
413 11, 56 | 56. Hakika mimi nimemtegemea Mwenyezi
414 11, 56 | Yeye anamwendesha atakavyo. Hakika Mola wangu Mlezi yuko juu
415 11, 57 | nyinyi hamumdhuru kitu Yeye. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye
416 11, 60 | Basi tambueni mtanabahi! Hakika kina A'adi walimkufuru Mola
417 11, 60 | tambueni mtanabahi kuwa hakika waliangamizwa kina A'adi,
418 11, 61 | msamaha, kisha mtubu kwake. Hakika Mola wangu Mlezi yupo karibu,
419 11, 62 | 62. Wakasema: Ewe Saleh! Hakika kabla ya haya ulikuwa unatarajiwa
420 11, 62 | wakiwaabudu baba zetu? Na hakika sisi tuna shaka na wasiwasi
421 11, 66 | kutokana na hizaya ya siku ile. Hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye
422 11, 68 | hawakuwako huko. Hebu zingatieni! Hakika kina Thamud walimkufuru
423 11, 70 | akawaogopa. Wakasema: Usiogope! Hakika sisi tumetumwa kwa kaumu
424 11, 72 | huyu mume wangu ni kizee? Hakika haya ni mambo ya ajabu! ~~~~~~
425 11, 73 | enyi watu wa nyumba hii! Hakika Yeye ndiye Msifiwa wa kutukuzwa. ~~~~~~
426 11, 75 | 75. Hakika Ibrahim alikuwa mpole, ana
427 11, 76 | Wachilia mbali haya! Kwa hakika amri ya Mola wako Mlezi
428 11, 76 | Mlezi imekwisha kuja, na hakika hao itawafikia adhabu isiyo
429 11, 81 | msiba utakao wafika hao. Hakika miadi yao ni asubuhi. Je,
430 11, 87 | tupendavyo katika mali zetu? Ama hakika wewe ni mstahamilivu kweli
431 11, 90 | Mlezi, tena tubuni kwake. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye
432 11, 92 | mmemueka nyuma ya migongo yenu! Hakika Mola wangu Mlezi ni Mwenye
433 11, 96 | 96. Na hakika tulimtuma Musa pamoja na
434 11, 102| miji inapo kuwa imedhulumu. Hakika mkamato wake ni mchungu
435 11, 103| 103. Hakika katika haya ipo ishara kwa
436 11, 107| apendavyo Mola wako Mlezi. Hakika Mola wako Mlezi hutenda
437 11, 109| abudu baba zao zamani. Na hakika Sisi tutawatimilizia fungu
438 11, 110| ingeli hukumiwa baina yao. Na hakika wao wamo katika shaka juu
439 11, 111| 111. Na hakika Mola wako Mlezi atawatimilizia
440 11, 111| malipo ya vitendo vyao. Hakika Yeye anayo khabari ya wayatendayo. ~~~~~~
441 11, 112| nawe; wala msikiuke mipaka. Hakika Yeye anayaona yote myatendayo. ~~~~~~
442 11, 114| zilizo karibu na mchana. Hakika mema huondoa maovu. Huu
443 12 | mazingatio kwa wenye akili. Hakika hii Qur'ani inayo simulia
444 12 | Mwenyezi Mungu kwa uwongo. Hakika hii ni haki na kweli tupu,
445 12, 2 | 2. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani
446 12, 4 | baba yake: Ewe babaangu! Hakika mimi nimeota nyota kumi
447 12, 5 | wasije wakakufanyia vitimbi. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri
448 12, 6 | zako Ibrahim na Is-haq. Hakika Mola wako Mlezi ni Mjuzi
449 12, 8 | 8. Pale walipo sema: Hakika Yusuf na nduguye wanapendwa
450 12, 8 | ni kikundi chenye nguvu. Hakika baba yetu yumo katika upotofu
451 12, 11 | hutuamini kwa Yusuf? Na hakika sisi ni wenye kumtakia kheri! ~~~~~~
452 12, 13 | 13. Akasem: Kwa hakika inanihuzunisha kwamba nyinyi
453 12, 17 | Wakasema: Ewe baba yetu! Hakika tulikwenda kushindana na
454 12, 23 | kaniweka maskani nzuri, na hakika wenye kudhulumu hawatengenekewi. ~~~~~~
455 12, 24 | 24. Na hakika yule mwanamke alimtamani,
456 12, 24 | tumuepushe na uovu na uchafu. Hakika yeye alikuwa katika waja
457 12, 28 | imechanwa kwa nyuma, alisema: Hakika haya ni katika vitimbi vyenu
458 12, 29 | msamaha kwa dhambi zako. Kwa hakika wewe ni katika walio fanya
459 12, 30 | anamtamani mtumishi wake ! Hakika amesalitika kwa mapenzi.
460 12, 30 | amesalitika kwa mapenzi. Sisi hakika tunamwona yumo katika upotovu
461 12, 34 | akamwondoshea vitimbi vyao. Hakika Yeye ni Msikizi Mjuzi. ~~~~~~
462 12, 36 | wawili. Mmoja wao akasema: Hakika mimi nimeota nakamua mvinyo.
463 12, 37 | mtakacho pewa ila nitakwambieni hakika yake kabla hakijakufikieni.
464 12, 37 | nifundisha Mola wangu Mlezi. Hakika mimi nimeacha mila ya watu
465 12, 43 | siku moja mfalme alisema: Hakika mimi nimeota ng'ombe saba
466 12, 50 | walio jikata mikono yao. Hakika Mola wangu Mlezi anazijua
467 12, 51 | kinyume na nafsi yake, na hakika yeye ni katika wakweli. ~~~~~~
468 12, 53 | NAMI sijitoi lawamani. Kwa hakika nafsi ni mno kuamrisha maovu,
469 12, 53 | wangu Mlezi aliyo irehemu. Hakika Mola wangu Mlezi ni Msamehevu
470 12, 54 | Basi alipo msemeza alinena: Hakika wewe leo umekwisha tamakani
471 12, 55 | mshika khazina za nchi. Kwani hakika mimi ni mlinzi mjuzi. ~~~~~~
472 12, 57 | 57. Na hakika malipo ya Akhera ni bora
473 12, 68 | ya Yaa'qub aliitimiza. Na hakika yeye alikuwa na ilimu kwa
474 12, 69 | alimchukua nduguye akasema: Mimi hakika ni nduguyo. Basi usihuzunike
475 12, 78 | mmoja wetu badala yake. Hakika sisi tunakuona wewe ni katika
476 12, 82 | msafara tulio kuja nao. Na hakika sisi tunasema kweli. ~~~~~~
477 12, 83 | akaniletea wote pamoja. Hakika Yeye ni Mjuzi Mwenye hikima. ~~~~~~
478 12, 86 | 86. Akasema: Hakika mimi namshitakia Mwenyezi
479 12, 87 | faraji ya Mwenyezi Mungu. Hakika hawakati tamaa na faraji
480 12, 88 | fanya kama unatupa sadaka. Hakika Mwenyezi Mungu huwalipa
481 12, 90 | Mungu ametufanyia hisani. Hakika anaye mcha Mungu na akasubiri,
482 12, 91 | amekufadhilisha wewe kuliko sisi, na hakika sisi tulikuwa wenye kukosa. ~~~~~~
483 12, 94 | msafara baba yao alisema: Hakika mimi nasikia harufu ya Yusuf,
484 12, 95 | 95. Wakasema: Wallahi! Hakika bado ungali katika upotovu
485 12, 98 | msamaha kwa Mola wangu Mlezi. Hakika Yeye ndiye Mwenye maghfira
486 12, 100| baina yangu na ndugu zangu. Hakika Mola wangu Mlezi ni Mpole
487 12, 101| 101. Ewe Mola wangu Mlezi! Hakika umenipa utawala, na umenifunza
488 12, 109| walio kuwa kabla yao? Na hakika nyumba ya Akhera ni bora
489 12, 111| 111. Kwa hakika katika hadithi zao limo
490 13, 3 | Huufunika usiku juu ya mchana. Hakika katika haya zimo Ishara
491 13, 4 | kuliko mengine katika kula. Hakika katika hayo zimo ishara
492 13, 6 | adhabu za kupigiwa mfano. Na hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye
493 13, 6 | juu ya udhalimu wao. Na hakika Mola wako Mlezi ni Mkali
494 13, 7 | kutoka kwa Mola wake Mlezi? Hakika wewe ni Mwonyaji, na kila
495 13, 11 | amri ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu habadili
496 13, 27 | kwa Mola wake Mlezi. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu humwacha
497 13, 28 | kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Hakika kwa kumkumbuka Mwenyezi
498 13, 31 | ahadi ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu havunji miadi
499 13, 32 | 32. Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume
500 13, 38 | 38. Na hakika Sisi tulikwisha watuma Mitume
1-500 | 501-1000 | 1001-1500 | 1501-1548 |