bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | Baadaye ikawaelekea Wana wa Israili khasa kwa kuwaita na kuwakumbusha
2 2, 40 | 40. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo
3 2, 47 | 47. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni zile neema zangu
4 2, 83 | tulipo funga agano na Wana wa Israili: Hamtamuabudu yeyote ila
5 2, 122| 122. Enyi Wana wa Israili! Kumbukeni neema yangu niliyo
6 2, 211| 211. Waulize Wana wa Israili: Tumewapa ishara ngapi zilizo
7 2, 246| watukufu katika Wana wa Israili baada ya Musa, walipo mwambia
8 3 | mfano wa mwendo wa Wana wa Israili. Yameelezwa mengi ya walivyo
9 3, 49 | Na ni Mtume kwa Wana wa Israili kuwaambia: Mimi nimekujieni
10 3, 93 | kilikuwa halali kwa Wana wa Israili isipo kuwa alicho jizuilia
11 3, 93 | isipo kuwa alicho jizuilia Israili mwenyewe kabla haijateremshwa
12 5 | juu ya hiyo miujiza Banu Israili walimkanya. Pia Sura imetaja
13 5, 12 | alifanya agano na Wana wa Israili. Na tukawateulia kutokana
14 5, 32 | hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu
15 5, 70 | Tulifanya agano na Wana wa Israili, na tukawatumia Mitume.
16 5, 72 | mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu,
17 5, 78 | kufuru miongoni mwa Wana wa Israili kwa ulimi wa Daud na wa
18 5, 110| nilipo kukinga na Wana wa Israili ulipo wajia na hoja zilizo
19 7, 105| wenu. Basi waache Wana wa Israili wende nami. ~~~~~~
20 7, 134| na tutawaachilia Wana wa Israili wende nawe. ~~~~~~
21 7, 137| Mlezi wako juu ya Wana wa Israili, kwa vile walivyo subiri.
22 7, 138| tukawavusha bahari Wana wa Israili, wakafika kwa watu wanao
23 10 | Harun na Firauni na Wana wa Israili; kisha ikaashiriwa hadithi
24 10, 90 | Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake
25 10, 90 | yule waliye muamini Wana wa Israili, na mimi ni miongoni mwa
26 17 | na yaliyo kuwa ya Wana wa Israili. Kisha ikaashiria cheo cha
27 17, 2 | tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na
28 17, 4 | Na tukawahukumia Wana wa Israili katika Kitabu kwamba: Hakika
29 17, 101| zilizo wazi. Waulize Wana wa Israili alipo wafikia, na Firauni
30 17, 104| tukawaambia baada yake Wana wa Israili: Kaeni katika nchi. Itapo
31 20 | alivyo toka yeye na Wana wa Israili kutokana na Firauni, na
32 20, 47 | Mlezi! Basi waache Wana wa Israili watoke nasi, wala usiwaadhibu.
33 20, 80 | 80. Enyi Wana wa Israili! Hakika tulikuokoeni na
34 26, 17 | 17. Waachilie Wana wa Israili wende nasi. ~~~~~~
35 26, 22 | umewatia utumwani Wana wa Israili? ~~~~~~
36 26, 59 | tukawarithisha hayo Wana wa Israili. ~~~~~~
37 26, 197| haya wanazuoni wa Wana wa Israili? ~~~~~~
38 27, 76 | hii inawasimulia Wana wa Israili mengi wanayo khitalifiana
39 28 | akiwauwa watoto wanaume wa Bani Israili kwa kukhofu asije tokea
40 28 | lake. Na Musa na Wana wa Israili walio kuwa pamoja naye wakaokoka.
41 28 | Kisha yaliyo watokea Wana wa Israili pamoja na Musa na nduguye
42 32 | waamili Mwenyezi Mungu Wana wa Israili, na kuwaelekeza makafiri
43 32, 23 | ni uwongofu kwa Wana wa Israili. ~~~~~~
44 40, 53 | na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu, ~~~~~~
45 43, 59 | tukamfanya ni mfano kwa Wana wa Israili. ~~~~~~
46 44, 30 | shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha, ~~~~~~
47 45 | alivyo wafadhili Wana wa Israili kwa kuwapa neema nyingi,
48 45, 16 | hakika tuliwapa Wana wa Israili Kitabu na hukumu na Unabii,
49 46, 10 | shahidi miongoni mwa Wana wa Israili juu ya mfano wa haya, na
50 61 | Sura imewashutumu Wana wa Israili kuwa ni wenye inda na ukafiri
51 61, 6 | alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa
52 61, 14 | Basi taifa moja la Wana wa Israili liliamini, na taifa jingine
|