bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 59 | walio dhulumu waliibadili kauli isiyo kuwa waliyo ambiwa.
2 2, 113| wasio jua kitu mfano wa kauli yao hii. Basi Mwenyezi Mungu
3 2, 118| kuwa kabla yao mfano wa kauli yao hii. Nyoyo zao zimefanana.
4 2, 263| 263. Kauli njema na usamehevu ni bora
5 3, 147| 147. Wala kauli yao haikuwa ila ni kusema:
6 3, 181| Mwenyezi Mungu amekwisha sikia kauli ya walio sema: Mwenyezi
7 6, 73 | anaposema: Kuwa! Basi huwa. Kauli yake ni Haki. Na ufalme
8 7, 162| miongoni mwao walibadilisha kauli, sio ile waliyo ambiwa.
9 7, 205| bila ya kupiga kelele kwa kauli, asubuhi na jioni. Wala
10 9, 30 | mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga
11 10, 33 | 33. Ndio kama hivyo kauli ya Mola wako Mlezi itakavyo
12 11, 53 | miungu yetu kwa kufuata kauli yako. Na wala sisi hatukuamini
13 13, 10 | 10. Ni sawa anaye ficha kauli yake kati yenu na anaye
14 14, 27 | imara wenye kuamini kwa kauli ya imara katika maisha ya
15 16, 40 | 40. Kauli yetu kwa kitu tunacho kitaka
16 16, 86 | Ndipo wale watakapo watupia kauli: Hakika nyinyi ni waongo! ~~~~~~
17 17, 16 | kutenda maovu humo. Basi hapo kauli huthibiti juu ya mji huo,
18 19, 34 | mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia
19 20, 94 | wa Israil, na hukungojea kauli yangu. ~~~~~~
20 21, 110| 110. Hakika Yeye anajua kauli ya dhaahiri na anajua myafichayo. ~~~~~~
21 23, 27 | yake imekwisha tangulia kauli. Wala usinitajie hao walio
22 23, 68 | 68. Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia
23 23, 100| niliyo yaacha. Wapi! Hii ni kauli aisemayo yeye tu. Na nyuma
24 24, 51 | 51. Haiwi kauli ya Waumini wanapo itwa kwa
25 27, 82 | 82. Na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea mnyama
26 27, 85 | 85. Na kauli itawaangukia juu yao kwa
27 28, 63 | wale iliyo thibiti juu yao kauli: Mola wetu Mlezi! Hawa ndio
28 32, 13 | wake. Lakini imekwisha kuwa kauli iliyo toka kwangu : Kwa
29 34 | maalumu. ~Na Sura inasimulia kauli ya makafiri katika Qur'ani,
30 36, 7 | 7. Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya
31 36, 58 | 58. "Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye
32 39 | kweli, na mwisho wa wasemao kauli ya kweli, wenye kusadiki
33 41, 25 | yao. Basi ikawathibitikia kauli wawe pamoja na mataifa yaliyo
34 42, 14 | kuwa haikwisha tangulia kauli kutoka kwa Mola wako Mlezi
35 47, 21 | 21. Ut'iifu na kauli njema. Na jambo likisha
36 50, 27 | Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja
37 51, 8 | bila ya shaka mmo katika kauli inayo khitalifiana. ~~~~~~
38 59 | wanaafiki kwa Bani Nnadhiiri, na kauli yao waliyo sema: Pindi mkitolewa,
39 60, 4 | Mungu peke yake. Isipo kuwa kauli ya Ibrahim kumwambia baba
40 61 | wenye inda na ukafiri kwa kauli za Mitume wawili watukufu,
41 67, 13 | 13. Na ficheni kauli zenu, au zitangazeni; hakika
42 69, 40 | 40. Kwa hakika hii ni kauli iliyo letwa na Mjumbe mwenye
43 69, 41 | 41. Wala si kauli ya mtunga mashairi. Ni machache
44 69, 42 | 42. Wala si kauli ya kuhani. Ni machache mnayo
45 73, 5 | Hakika Sisi tutakuteremshia kauli nzito. ~~~~~~
46 74, 25 | 25. Haya si chochote ila kauli ya binaadamu. ~~~~~~
47 81, 19 | hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu, ~~~~~~
48 81, 25 | 25. Wala hii si kauli ya Shetani maluuni. ~~~~~~
49 86 | ya pili kwamba Qur'ani ni kauli ya kufafanua wala si maneno
50 86, 13 | 13. Hakika hii ni kauli ya kupambanua. ~~~~~~
51 107 | hamhimizi mtu yeyote, la kwa kauli wala kwa kitendo, kuwalisha
|