bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 38 | uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. ~~~~~~
2 2, 62 | wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
3 2, 74 | mengine huanguka kwa sababu ya khofu ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
4 2, 112| wake Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. ~~~~~~
5 2, 155| tutakujaribuni kwa chembe ya khofu, na njaa, na upungufu wa
6 2, 262| wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. ~~~~~~
7 2, 268| 268. Shet'ani anakutieni khofu ya ufakiri na anakuamrisheni
8 2, 274| wao Mlezi; wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
9 2, 277| wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
10 3, 151| 151. Tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa
11 3, 170| yao, ya kwamba haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika. ~~~~~~
12 3, 175| huyo ni Shet'ani anawatia khofu marafiki zake, basi msiwaogope,
13 4, 77 | kumwogopa Mwenyezi Mungu, au kwa khofu kubwa zaidi. Na wakasema:
14 5, 69 | mema, basi hawatakuwa na khofu wala hawatahuzunika. ~~~~~~
15 6, 48 | wakatenda mema haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
16 7, 35 | na wakatengenea haitakuwa khofu kwao, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
17 7, 49 | Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika! ~~~~~~
18 7, 116| macho ya watu na wakawatia khofu, na wakaleta uchawi mkubwa. ~~~~~~
19 7, 205| kwako kwa unyenyekevu na khofu, na bila ya kupiga kelele
20 8, 2 | Mwenyezi Mungu nyoyo zao hujaa khofu, na wanapo somewa Aya zake
21 10, 62 | Mwenyezi Mungu hawatakuwa na khofu wala hawatahuzunika. ~~~~~~
22 11, 74 | 74. Basi khofu ilipo mwondoka Ibrahim,
23 13, 12 | anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu
24 16, 112| akauvika vazi la njaa na khofu kwa sababu ya yale waliyo
25 18, 18 | kuwakimbia, nawe umejaa khofu. ~~~~~~
26 20, 67 | 67. Basi Musa akaingia khofu nafsi yake. ~~~~~~
27 21, 90 | wakituomba kwa shauku na khofu. Nao walikuwa wakitunyenyekea. ~~~~~~
28 24, 55 | atawabadilishia amani baada ya khofu yao. Wawe wananiabudu Mimi,
29 28, 18 | Akapambazukiwa mjini asubuhi naye ana khofu, akiangalia huku na huku.
30 28, 21 | Basi akatoka, naye ana khofu, akiangalia huku na huku.
31 28, 32 | jiambatishe mkono wako ukihisi khofu. Basi hizi ni dalili mbili
32 28, 34 | anisadikishe. Hakika mimi nina khofu watanikadhibisha. ~~~~~~
33 29 | Mungu wanapo kuwa katika khofu, na wanapo kuwa na nguvu
34 30, 24 | hukuonyesheni umeme kwa kukutieni khofu na tamaa. Na hukuteremshieni
35 32, 16 | kumwomba Mola wao Mlezi kwa khofu na kutumaini, na hutoa kutokana
36 33 | vya Ah'zab (Makundi) na khofu na misukosuko iliyo kuwako,
37 33, 19 | choyo juu yenu. Ikifika khofu utawaona wanakutazama na
38 33, 19 | kwa kukaribia mauti. Na khofu ikiondoka wanakuudhini kwa
39 33, 26 | katika ngome zao; na akatia khofu katika nyoyo zao. Baadhi
40 34, 23 | idhini. Hata itapo ondolewa khofu kwenye nyoyo zao watasema:
41 42, 22 | madhaalimu wanavyo kuwa na khofu kwa sababu ya waliyo yachuma,
42 43, 68 | waja wangu! Hamtakuwa na khofu siku hiyo, wala hamtahuzunika. ~~~~~~
43 46, 13 | wakatengenea, hawatakuwa na khofu, wala hawatahuzunika. ~~~~~~
44 48, 27 | mmepunguza nywele. Hamtakuwa na khofu. Yeye anajua msiyo yajua.
45 51, 28 | yake. Wakasema: Usiwe na khofu, nao wakambashiria kupata
46 59, 21 | ukinyenyekea, ukipasuka kwa khofu ya Mwenyezi Mungu. Na hiyo
47 68 | bila ya haki, na wanatiwa khofu kwa kuelezwa hali yao itakavyo
48 70 | Siku ya Kiyama, na kutia khofu kwa urefu wake, na vitisho
49 106 | wasipate njaa, na akawalinda na khofu.~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU
50 106, 4 | wasipate njaa, na anawalinda na khofu. ~~~~~~
|