bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 119| kwa Haki uwe mbashiri, na mwonyaji. Na wala hutaulizwa juu
2 5, 19 | Hakufika kwetu mbashiri wala mwonyaji. Basi amekujieni mbashiri
3 5, 19 | Basi amekujieni mbashiri na mwonyaji. Na Mwenyezi Mungu anao
4 7, 184| wazimu. Hakuwa yeye ila ni mwonyaji aliye dhaahiri. ~~~~~~
5 7, 188| Mimi si chochote ila ni mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao
6 11, 2 | Mungu. Hakika mimi kwenu ni mwonyaji na mbashiri nitokae kwake. ~~~~~~
7 11, 12 | wakaja naye Malaika? Wewe ni mwonyaji tu, na Mwenyezi Mungu ndiye
8 11, 25 | akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye bainisha, ~~~~~~
9 13, 7 | wake Mlezi? Hakika wewe ni Mwonyaji, na kila kaumu ina wa kuwaongoa. ~~~~~~
10 15, 89 | Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenye kubainisha. ~~~~~~
11 17, 105| hatukukutuma ila uwe mbashiri na mwonyaji. ~~~~~~
12 22, 49 | Enyi watu! Hakika mimi ni mwonyaji kwenu niliye dhaahiri. ~~~~~~
13 25, 1 | Furqani kwa mja wake, ili awe mwonyaji kwa walimwengu wote. ~~~~~~
14 25, 7 | hakuteremshiwa Malaika akawa mwonyaji pamoja naye? ~~~~~~
15 25, 51 | tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji. ~~~~~~
16 25, 56 | ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji. ~~~~~~
17 26, 115| Mimi si cho chote ila ni Mwonyaji wa dhaahiri shaahiri. ~~~~~~
18 28, 46 | watu wasio pata kufikiwa na mwonyaji kabla yako, huenda wakakumbuka. ~~~~~~
19 29, 50 | ama mimi kwa hakika ni mwonyaji mwenye kubainisha tu. ~~~~~~
20 32, 3 | uwaonye watu wasio fikiwa na mwonyaji kabla yako; huenda wakaongoka. ~~~~~~
21 33, 45 | uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji, ~~~~~~
22 34, 28 | watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui. ~~~~~~
23 34, 34 | 34. Na hatukumtuma mwonyaji yeyote kwenye mji, ila walisema
24 34, 44 | wavisome, wala hatukuwatumia Mwonyaji kabla yako wewe. ~~~~~~
25 34, 46 | Yeye si chochote ila ni Mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu
26 35 | wowote ila ulipitiwa na Mwonyaji. ~Sura tena inarejea kwenye
27 35 | mwenye kukumbuka. Na aliwajia Mwonyaji. Na Yeye, Subhanahu amekufanyeni
28 35 | waliapa kwamba akiwajia Mwonyaji hapana shaka watakuwa waongofu
29 35, 23 | 23. Hukuwa wewe ila ni mwonyaji. ~~~~~~
30 35, 24 | Haki, kuwa ni mbashiri na mwonyaji. Na hapana umma wowote ila
31 35, 24 | umma wowote ila ulipata mwonyaji kati yao. ~~~~~~
32 35, 37 | kukumbuka? Na akakujieni Mwonyaji? Basi onjeni! Kwani walio
33 35, 42 | kuapa kwao, kwamba akiwajia mwonyaji bila ya shaka watakuwa waongofu
34 35, 42 | lolote. Lakini alipo wajia mwonyaji hakuwazidishia ila kuikimbia
35 38, 4 | Na walistaajabu kuwajia mwonyaji anaye tokana nao wenyewe,
36 38, 65 | 65. Sema: Hakika mimi ni mwonyaji tu; na hapana mungu ila
37 38, 70 | ya kwamba hakika mimi ni mwonyaji dhaahiri. ~~~~~~
38 43, 23 | Na kadhaalika hatukumtuma mwonyaji kwenye mji wowote ila watu
39 43, 24 | 24. Akasema (Mwonyaji): Hata nikikuleteeni yenye
40 46, 9 | mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi. ~~~~~~
41 48, 8 | Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji, ~~~~~~
42 50, 2 | wanastaajabu kwamba amewafikia mwonyaji kutoka miongoni mwao, na
43 51, 50 | Mwenyezi Mungu, hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae
44 51, 51 | Mwenyezi Mungu. Hakika mimi ni mwonyaji kwenu wa kubainisha nitokae
45 67, 8 | huwauliza: Kwani hakukujieni mwonyaji? ~~~~~~
46 67, 9 | Watasema: Kwani! Ametujia mwonyaji, lakini tulimkadhibisha,
47 67, 26 | Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye kubainisha. ~~~~~~
48 71, 2 | wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu, ~~~~~~
49 79, 45 | 45. Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu. ~~~~~~
|