bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | kwa upotovu ni haramu, na mwanaadamu analipwa kwa vitendo vyake
2 3, 47 | mwana na hali hajanigusa mwanaadamu? Mwenyezi Mungu akasema:
3 4, 28 | kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu. ~~~~~~
4 6, 91 | Mwenyezi Mungu hakumteremshia mwanaadamu chochote. Sema: Nani aliyo
5 12, 5 | adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu. ~~~~~~
6 12, 31 | Hasha Lillahi! Huyu si mwanaadamu. Hakuwa huyu ila ni Malaika
7 14, 34 | hamwezi kuzidhibiti. Hakika mwanaadamu ni dhaalimu mkubwa, mwenye
8 17, 11 | 11. Na mwanaadamu huomba shari kama vile aombavyo
9 17, 11 | vile aombavyo kheri, kwani mwanaadamu ni mwenye pupa. ~~~~~~
10 17, 53 | adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu. ~~~~~~
11 17, 67 | nchi kavu, mnageuka. Ama mwanaadamu ni mwingi wa kukanusha. ~~~~~~
12 17, 83 | 83. Na mwanaadamu tunapo mneemesha hugeuka
13 17, 93 | mimi ni nani isipo kuwa ni mwanaadamu na Mtume? ~~~~~~
14 17, 94 | Mwenyezi Mungu humtuma mwanaadamu kuwa ni Mtume? ~~~~~~
15 17, 100| kwa ajili ya kukhofu. Na mwanaadamu tangu hapo tabia yake ni
16 18, 54 | kila namna ya mfano. Lakini mwanaadamu amezidi kuliko kila kitu
17 18, 110| 110. Sema: Mimi ni mwanaadamu kama nyinyi. Ninaletewa
18 19, 20 | Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala
19 19, 66 | 66. Na mwanaadamu husema: Hivyo, nitakapo
20 19, 67 | 67. Je! Hakumbuki mwanaadamu ya kwamba tulimuumba kabla,
21 21, 34 | 34. Nasi hatukumjaalia mwanaadamu yeyote kabla yako kuwa na
22 21, 37 | 37. Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni
23 22, 66 | kisha atakufufueni. Hakika mwanaadamu hana fadhila. ~~~~~~
24 23 | ikataja asli ya kuumbwa mwanaadamu, na kubadilika kwake kwa
25 23 | katika hukumu za kumuumba mwanaadamu. Na Mwenyezi Mungu Subhanahu
26 25, 29 | kweli Shet'ani ni khaini kwa mwanaadamu. ~~~~~~
27 25, 54 | Naye ndiye aliye muumba mwanaadamu kutokana na maji, akamjaalia
28 29, 8 | 8. Na tumemuusia mwanaadamu kuwafanyia wema wazazi wake.
29 31 | Mwenyezi Mungu kwa faida ya mwanaadamu, na neema zinazo onekana
30 31 | zisio onekana alizo mjazia mwanaadamu. ~Na ikaeleza khabari za
31 32 | na kumuendeleza kumuumba mwanaadamu, na maneno ya wenye kukanya
32 33 | Mwenyezi Mungu alilo libeba mwanaadamu, hali mbingu na ardhi na
33 33, 72 | kuichukua na vikaogopa. Lakini mwanaadamu akaichukua. Hakika yeye
34 35 | Kiyama, ni kuwa kamuumba mwanaadamu kutokana na udongo kisha
35 36, 77 | 77. Kwani mwanaadamu haoni ya kwamba Sisi tumemuumba
36 41, 49 | 49. Mwanaadamu hachoki kuomba dua za kheri,
37 41, 51 | 51. Na tukimneemesha mwanaadamu hugeuka na kujitenga upande,
38 42, 51 | 51. Na haikuwa kwa mwanaadamu kwamba Mwenyezi Mungu amsemeze
39 43, 15 | waja wake fungu. Kwa hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila aliye
40 46, 15 | 15. Na tumemuusia mwanaadamu awatendee wema wazazi wake
41 55, 3 | 3. Amemuumba mwanaadamu, ~~~~~~
42 80, 17 | 17. Ameangamia mwanaadamu! Nini kinacho mkufurisha? ~~~~~~
43 82 | zikaingia kumhadharisha mwanaadamu aliye danganyika na Mola
44 82, 6 | 6. Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha
45 86, 5 | 5. Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani? ~~~~~~
46 90 | akazitaja neema alizo mneemesha mwanaadamu na kumsahilishia njia za
47 96 | Mwenye kummiminia ilimu mwanaadamu. Na Sura inanabihisha kwamba
48 100 | wa Jihadi, kwamba hakika mwanaadamu bila ya shaka ni mwingi
49 100, 6 | 6. Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa
|