Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
jahazi 10
jahim 1
jaluti 3
jamaa 49
jambo 82
jamii 1
jana 4
Frequency    [«  »]
50 kuja
50 nuhu
50 sifa
49 jamaa
49 kuamini
49 marejeo
49 milele

Qu'rani

IntraText - Concordances

jamaa

                                              bold = Main text
   Sura, verse                                grey = Comment text
1 2, 83 | muwafanyie wema wazazi na jamaa na mayatima na masikini, 2 2, 177| mali, kwa kupenda kwake, jamaa na mayatima na masikini 3 2, 180| wasia kwa wazazi wake na jamaa zake kwa namna nzuri inayo 4 2, 215| ni kwa ajili ya wazazi na jamaa na mayatima na masikini 5 4, 1 | ambaye kwaye mnaombana, na jamaa zenu. Hakika Mwenyezi Mungu 6 4, 7 | wanayo yaacha wazazi na jamaa walio karibia. Na wanawake 7 4, 7 | waliyo yaacha wazazi na jamaa walio karibia. Ikiwa kidogo 8 4, 8 | wa kugawanya wakihudhuria jamaa na mayatima na masikini, 9 4, 33 | yaacha wazazi wawili na jamaa. Na mlio fungamana nao ahadi 10 4, 35 | pelekeni muamuzi kutokana na jamaa za mume, na muamuzi kutokana 11 4, 35 | na muamuzi kutokana na jamaa za mke. Wakitaka mapatano 12 4, 36 | wafanyieni wema wazazi wawili na jamaa na mayatima na masikini 13 4, 92 | Muumini, na atoe diya kuwapa jamaa za maiti, isipo kuwa waache 14 4, 92 | kuwa ni sadaka. Na akiwa ni jamaa wa maadui zenu, hali yeye 15 4, 135| zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. Akiwa tajiri au masikini 16 5, 106| kwa haya hata kwa ajili ya jamaa; na wala hatutaficha ushahidi 17 6, 152| semeni kwa uadilifu ingawa ni jamaa. Na ahadi ya Mwenyezi Mungu 18 8, 41 | Mwenyezi Mungu na Mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, 19 8, 75 | hao ni katika nyinyi. Na jamaa wa nasaba wanastahikiana 20 9, 24 | ndugu zenu, na wake zenu, na jamaa zenu, na mali mliyo yachuma, 21 9, 113| washirikina, ijapo kuwa ni jamaa zao, baada ya kwisha bainika 22 11, 91 | nguvu kwetu. Lau kuwa si jamaa zako tunge kupiga mawe, 23 11, 92 | Enyi watu wangu! Kwani jamaa zangu ni watukufu zaidi 24 12, 26 | shahidi aliye kuwa katika jamaa za mwanamke alisema: Ikiwa 25 16, 90 | uadilifu, na hisani, na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na 26 17, 26 | 26. Na mpe aliye jamaa yako haki yake, na masikini, 27 19, 5 | Na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. Na mke 28 19, 16 | Kitabu, pale alipo jitenga na jamaa zake mahali upande wa mashariki; ~~~~~~ 29 19, 27 | Akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba. Wakasema: 30 24, 22 | na wasaa wasiape kutowapa jamaa zao na masikini na walio 31 26, 214| 214. Na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe. ~~~~~~ 32 30 | ikahimiza kuwafanyia wema jamaa. ~Kisha Mwenyezi Mungu Subhanahu 33 30, 38 | 38. Basi mpe jamaa haki yake, na masikini, 34 33, 6 | wake zake ni mama zao. Na jamaa ni karibu wao kwa wao katika 35 35, 18 | hata kidogo, na angamwomba jamaa yake. Hakika wewe unawaonya 36 41, 34 | uadui atakuwa kama rafiki jamaa wa kukuonea uchungu. ~~~~~~ 37 47 | katika nchi na wakawatupa jamaa zao. Na inahadharisha juu 38 47, 22 | mfisidi katika nchi na mwatupe jamaa zenu? ~~~~~~ 39 58 | watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. Na akawasifu Waumini 40 58, 22 | watoto wao, au ndugu zao, au jamaa zao. Hao ameandika katika 41 59 | Mungu na Mtume wake, na jamaa, na mayatima, na masikini, 42 59, 7 | na kwa ajili ya Mtume, na jamaa, na mayatima, na masikini, 43 60, 3 | 3. Hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto wenu Siku 44 69, 35 | 35. Basi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu, ~~~~~~ 45 70, 10 | 10. Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. ~~~~~~ 46 70, 10 | Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake. ~~~~~~ 47 70, 13 | 13. Na jamaa zake walio kuwa wakimkimu, ~~~~~~ 48 84, 13 | alikuwa furahani kati ya jamaa zake. ~~~~~~ 49 90, 15 | 15. Yatima aliye jamaa, ~~~~~~


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License