bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 58 | Na tulipo sema: Ingieni mji huu, na humo mle mpendapo
2 2, 126| wangu Mlezi! Ufanye huu uwe mji wa amani, na uwaruzuku watu
3 2, 259| yule aliye pita karibu na mji ulio kwisha kuwa magofu
4 2, 259| Ataufufuaje Mwenyezi Mungu mji huu baada ya kufa kwake?
5 4, 75 | Mlezi wetu! Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhaalimu,
6 6, 123| Kadhaalika katika kila mji tumewajaalia wakubwa wa
7 7, 82 | kuambizana: Wafukuzeni katika mji wenu, maana hao ni watu
8 7, 88 | wale walio kuamini katika mji wetu, au mrejee katika mila
9 7, 94 | hatukumtuma Nabii yeyote katika mji ila tuliwapatiliza wakaazi
10 7, 161| walipo ambiwa: Kaeni katika mji huu, na mle humo mpendapo,
11 7, 163| 163. Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari,
12 10, 98 | 98. Kwa nini usiwepo mji mmoja ukaamini na Imani
13 11, 65 | akasema: Stareheni katika mji wenu muda wa siku tatu.
14 12, 82 | 82. Na waulize watu wa mji tulio kuwako, na msafara
15 14, 35 | Mola wangu Mlezi! Ujaalie mji huu uwe wa amani, na uniepushe
16 15, 4 | 4. Na hatukuuangamiza mji wowote ule ila ulikuwa na
17 15, 67 | 67. Na wakaja watu wa mji ule nao furahani. ~~~~~~
18 16, 112| Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani na utulivu,
19 17, 16 | pindi tukitaka kuuteketeza mji huwaamrisha wale wenye starehe
20 17, 16 | hapo kauli huthibiti juu ya mji huo, nasi tukauangamiza
21 17, 58 | 58. Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza
22 18, 77 | mpaka wakawafikia watu wa mji mmoja. Wakawaomba watu wake
23 21, 6 | Hawakuamini kabla yao watu wa mji tulio uangamiza. Basi, je,
24 21, 74 | ilimu na tukamwokoa na ule mji ulio kuwa ukifanya maovu.
25 25, 51 | tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji. ~~~~~~
26 26, 167| miongoni mwa wanao tolewa mji! ~~~~~~
27 26, 208| 208. Wala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji - ~~~~~~
28 27, 34 | Hakika wafalme wanapo uingia mji wanauharibu, na wanawafanya
29 27, 56 | wafwasi wa Lut'i katika mji wenu. Hao ni watu wanao
30 27, 91 | nimuabudu Mola Mlezi wa mji huu aliye ufanya ni mtakatifu;
31 28, 20 | akaja mtu kutoka mwisho wa mji akipiga mbio, akasema: Ewe
32 29, 31 | shaka tutawahiliki watu wa mji huu, kwani watu wake hakika
33 29, 34 | tutawateremshia watu wa mji huu adhabu kutoka mbinguni
34 29, 35 | 35. Na tumeacha katika mji huo Ishara ilio wazi kwa
35 34, 15 | Mwenyezi Mungu, na mumshukuru. Mji mzuri na Mola Mlezi aliye
36 34, 34 | hatukumtuma mwonyaji yeyote kwenye mji, ila walisema walio jidekeza
37 34, 34 | jidekeza kwa starehe zao wa mji huo: Hakika sisi tunayakataa
38 36, 13 | wapigie mfano wa wakaazi wa mji walipo wafikia walio tumwa. ~~~~~~
39 43, 23 | hatukumtuma mwonyaji kwenye mji wowote ila watu wake walio
40 47, 13 | kuwa na nguvu zaidi kuliko mji wako huu ulio kutoa; nao
41 60 | wanawake walio hamia kwenye mji wa Kiislamu, na wakawaacha
42 60 | wanawake wakaachwa katika mji wa shirki. ~Na ikafuatiliza
43 63 | waahidi Waumini kuwa watawatoa mji wakisha rejea Madina. Sura
44 90 | Mwenyezi Mungu anaapa kwa mji mtakatifu wa Makka, mji
45 90 | mji mtakatifu wa Makka, mji wa kuzaliwa Muhammad s.a.
46 90, 1 | 1. Naapa kwa Mji huu! ~~~~~~
47 90, 2 | 2. Nawe unaukaa Mji huu. ~~~~~~
48 95, 3 | 3. Na kwa mji huu wenye amani! ~~~~~~
|