bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 164| akaeneza humo kila aina ya wanyama; na katika mabadiliko ya
2 2, 196| mkizuiwa,basi (chinjeni) wanyama walio wepesi kupatikana.
3 2, 196| msinyoe vichwa vyenu mpaka wanyama hao wafike machinjoni mwao.
4 2, 196| kutoa sadaka au kuchinja wanyama. Na mtakapo kuwa salama,
5 4, 119| basi watakata masikio ya wanyama, na nitawaamrisha, basi
6 5, 1 | Timizeni ahadi. Mmehalalishiwa wanyama wa mifugo, ila wale mnao
7 5, 2 | wala mwezi mtakatifu, wala wanyama wanao pelekwa Makka kuchinjwa,
8 5, 4 | vizuri na mlicho wafundisha wanyama kukiwinda. Mnawafundisha
9 5, 94 | atakujaribuni kidogo kwa wanyama wa kuwinda inayo wafikia
10 5, 95 | Enyi mlio amini! Msiue wanyama wa kuwinda nanyi mmeharimia
11 5, 96 | mmeharimishiwa mawindo ya wanyama wa bara maadamu mmeharimia
12 5, 97 | kadhaalika Miezi Mitukufu, na wanyama wa dhabihu, na vigwe. Hayo
13 6, 136| Mwenyezi Mungu katika mimea na wanyama alio umba, nao husema: Hii
14 6, 138| 138. Nao husema: Wanyama hawa na mimea hii ni mwiko.
15 6, 138| tuwapendao - kwa madai yao tu. Na wanyama hawa imeharimishwa migongo
16 6, 138| migongo yao kupandwa. Na wanyama wengine hawalitaji jina
17 6, 139| husema: Waliomo matumboni mwa wanyama hawa ni kwa ajili ya wanaume
18 6, 142| 142. Na katika wanyama amekujaalieni wenye kubeba
19 6, 143| Amekuumbieni namna nane za wanyama: Wawili katika kondoo, na
20 10, 24 | ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi ilipo kamilika
21 16, 49 | mbingu na katika ardhi, tangu wanyama mpaka Malaika, vinamsujuidia
22 16, 80 | amekujaalieni kutokana na ngozi za wanyama nyumba mnazo ziona nyepesi
23 20, 54 | 54. Kuleni, na mchunge wanyama wenu. Hakika katika hayo
24 22, 18 | na milima, na miti, na wanyama, na wengi miongoni mwa watu.
25 22, 34 | walivyo ruzukiwa katika wanyama wa mifugo. Basi Mungu wenu
26 22, 36 | kama hivi tumewafanya hawa wanyama dhalili kwenu ili mpate
27 25 | matamanio yao. Wakawa kama wanyama au wapotovu zaidi katika
28 25, 49 | iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tulio waumba. ~~~~~~
29 26, 133| 133. Amekupeni wanyama wa kufuga na wana. ~~~~~~
30 27 | kwake Sulaiman maneno ya wanyama, na shukrani yake kwa neema
31 28, 23 | umati wa watu wananywesha (wanyama wao), na akakuta karibu
32 28, 23 | wanawake wawili wanawazuia wanyama wao. Akasema: Mna nini?
33 29, 60 | 60. Na wanyama wangapi hawawezi kujimilikia
34 31, 10 | ametawanya humo kila namna ya wanyama; na tumeteremsha maji kutoka
35 32, 27 | tunaitoa mimea wanayo kula wanyama wao na wao wenyewe? Je!
36 35 | nyekundu na nyeusi. Na watu na wanyama pia zinakhitalifiana rangi
37 35, 28 | 28. Na katika watu, na wanyama, na mifugo, pia rangi zao
38 36 | na kwamba Yeye amewafanya wanyama wa mifugo ambao wanawamiliki
39 36, 71 | iliyo fanya mikono yetu wanyama wa mifugo, na wao wakawa
40 39, 6 | ile ile. Na akakuleteeni wanyama wa mifugo jozi nane. Anakuumbeni
41 42, 29 | kuumba mbingu na ardhi, na wanyama alio waeneza. Naye ni Mwenye
42 43, 12 | akakufanyieni marikebu na wanyama mnao wapanda. ~~~~~~
43 45, 4 | katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara
44 47, 12 | hujifurahisha na hula kama walavyo wanyama, na Moto ndio makaazi yao. ~~~~~~
45 80, 31 | Na matunda, na malisho ya wanyama; ~~~~~~
46 81, 5 | 5. Na wanyama wa mwituni wakakusanywa, ~~~~~~
47 87 | Na akaotesha malisho ya wanyama, na khalafu akayafanya makavu
|