bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 137| kama mnavyo amini nyinyi, itakuwa kweli wameongoka. Na wakikengeuka
2 2, 229| mipaka ya Mwenyezi Mungu hapo itakuwa hapana lawama ikiwa mwanamke
3 4, 25 | wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo
4 4, 171| msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi
5 5, 45 | Lakini atakaye samehe basi itakuwa ni kafara kwake. Na wasio
6 7, 24 | maadui. Na kwenye ardhi itakuwa ndio makao yenu na starehe
7 7, 38 | Motoni marudufu. Atasema: Itakuwa kwenu nyote marudufu, lakini
8 7, 41 | 41. Jahannamu itakuwa kitanda chao na juu yao
9 7, 89 | 89. Bila ya shaka itakuwa tumemzulia uwongo Mwenyezi
10 7, 187| Wanakuuliza hiyo Saa (ya mwisho) itakuwa lini? Sema: Kuijua kwake
11 8, 19 | imekwisha kujieni. Na mkiacha itakuwa ndio kheri kwenu. Na mkirejea
12 9, 3 | washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka
13 9, 74 | na fadhila zake. Wakitubu itakuwa kheri kwao, na wakigeuka
14 10, 9 | kwa sababu ya Imani yao. Itakuwa inapita mito kati yao katika
15 10, 45 | Siku atakapo wakusanya, itakuwa kama kwamba hawakukaa ila
16 17, 19 | Muumini, basi hao juhudi yao itakuwa ni ya kushukuriwa. ~~~~~~
17 17, 63 | katika wao, basi Jahannamu itakuwa ndiyo malipo yenu, malipo
18 18, 14 | yake kuwa ni Mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka
19 20, 47 | Mola wako Mlezi. Na amani itakuwa juu ya aliye fuata uwongofu. ~~~~~~
20 25, 26 | Arrahman, Mwingi wa Rehema, na itakuwa siku ngumu kwa makafiri. ~~~~~~
21 34, 29 | Na wanasema: Ahadi hii itakuwa lini, ikiwa nyinyi mnasema
22 37, 177| itakapo shuka uwanjani kwao, itakuwa asubuhi mbaya kwa walio
23 38, 78 | 78. Na hakika laana yangu itakuwa juu yako mpaka Siku ya Malipo. ~~~~~~
24 39, 67 | Siku ya Kiyama ardhi yote itakuwa mkononi mwake, na mbingu
25 42, 16 | juu yao ipo ghadhabu, na itakuwa kwao adhabu kali. ~~~~~~
26 46, 35 | watakayo yaona waliyo ahidiwa itakuwa kama kwamba hawakukaa ulimwenguni
27 47, 10 | aliwaangamiza, na kwa makafiri hawa itakuwa mfano wa hayo. ~~~~~~
28 47, 21 | Mwenyezi Mungu, bila ya shaka itakuwa ni kheri kwao. ~~~~~~
29 64, 16 | sikieni, na t'iini, na toeni, itakuwa kheri kwa nafsi zenu. Na
30 69, 50 | Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa. ~~~~~~
31 70, 9 | 9. Na milima itakuwa kama sufi. ~~~~~~
32 73, 14 | na milima pia, na milima itakuwa kama tifutifu la mchanga! ~~~~~~
33 73, 18 | mbingu zitapasuka! Ahadi yake itakuwa imetekelezwa. ~~~~~~
34 74 | ani, na ikafafanua vipi itakuwa adhabu yake katika Moto
35 74, 9 | 9. Siku hiyo, basi, itakuwa siku ngumu. ~~~~~~
36 75, 6 | 6. Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? ~~~~~~
37 78, 20 | Na milima itaondolewa na itakuwa kama sarabi. ~~~~~~
38 79 | kuuliza kwao washirikina lini itakuwa hiyo Saa ya Kiyama, na ikabainisha
39 79, 41 | 41. Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake! ~~~~~~
40 79, 42 | Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini? ~~~~~~
41 82 | nyengine chochote. Na amri yote itakuwa ni ya Mwenyezi Mungu tu.~
42 84 | wake wa kulia, hisabu yake itakuwa nyepesi. Na mwenye kulipokea
43 101 | kusimulia hao ambao mizani yao itakuwa nzito kwa kuzidi mema yao,
44 101, 5 | 5. Na milima itakuwa kama sufi zilizo chambuliwa! ~~~~~~
45 101, 6 | yule ambaye mizani yake itakuwa nzito, ~~~~~~
46 101, 8 | yule ambaye mizani yake itakuwa khafifu, ~~~~~~
|