bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2, 97 | Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo
2 2, 213| Ndipo Mwenyezi Mungu kwa idhini yake akawaongoa walio amini
3 2, 221| kwenye Pepo na maghafira kwa idhini yake. Naye huzibainisha
4 2, 249| yameshinda makundi makubwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
5 2, 251| 251.--Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu waliwatimua,
6 2, 255| kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele
7 3, 49 | nampuliza anakuwa ndege kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na ninawaponesha
8 3, 49 | na ninawafufua maiti kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ninakwambieni
9 3, 145| haiwezi nafsi kuwa ife ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu kama ilivyo
10 3, 152| mlivyo kuwa mnawauwa kwa idhini yake, mpaka mlipo legea
11 3, 166| majeshi mawili yalikuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na ili
12 4, 25 | wenyewe. Basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari
13 4, 64 | Mtume yeyote ila at'iiwe kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na lau
14 5, 110| udongo sura ya ndege, kwa idhini yangu, kisha ukapuliza ikawa
15 5, 110| ukapuliza ikawa ndege kwa idhini yangu; na ulipo waponesha
16 5, 110| waponesha vipofu na wakoma kwa idhini yangu; na ulipo wafufua
17 5, 110| na ulipo wafufua wafu kwa idhini yangu; na nilipo kukinga
18 7, 58 | kukua vizuri yenye uhai, kwa idhini ya Mola Mlezi wake. Na ardhi
19 7, 123| Mmemuamini kabla sijakupeni idhini? Hizi ni njama mlizo panga
20 8, 66 | watawashinda elfu mbili, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
21 9, 83 | miongoni mwao - na wakakutaka idhini ya kutoka - sema: Nyinyi
22 10, 3 | Hapana mwombezi ila baada ya idhini yake. Huyo ndiye Mwenyezi
23 10, 100| hawezi mtu kuamini ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Naye
24 11, 105| hatosema hata mtu mmoja ila kwa idhini yake Mwenyezi Mungu. Kati
25 13, 38 | kuleta miujiza isipo kuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Kila
26 14, 1 | uwapeleke kwenye muwangaza, kwa idhini ya Mola wao Mlezi, uwafikishe
27 14, 11 | kuleta uthibitisho ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na juu
28 14, 23 | kati yake, wadumu humo kwa idhini ya Mola wao Mlezi. Maamkio
29 14, 25 | matunda yake kila wakati kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na Mwenyezi
30 22, 65 | zisianguke juu ya ardhi ila kwa idhini yake. Hakika Mwenyezi Mungu
31 24, 58 | mlio amini! Nawakutakeni idhini iliyo wamiliki mikono yenu
32 33, 46 | kumwendea Mwenyezi Mungu kwa idhini yake, na taa yenye kutoa
33 34, 12 | wakifanya kazi mbele yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila
34 34, 23 | isipo kuwa kwa aliye mpa idhini. Hata itapo ondolewa khofu
35 35, 32 | katika mambo ya kheri, kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Hiyo
36 40, 78 | alete Ishara yoyote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Basi
37 42, 21 | watungia dini asiyo itolea idhini Mwenyezi Mungu? Na lau lisinge
38 42, 51 | humfunulia ayatakayo kwa idhini yake. Hakika Yeye ni Mtukufu,
39 53, 26 | ya Mwenyezi Mungu kutoa idhini kwa amtakaye na kumridhia. ~~~~~~
40 58, 10 | haitawadhuru chochote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na juu
41 59, 5 | mashina yake, basi ni kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na kwa
42 64 | hakika masaibu yatakuwa kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, na hakika
43 64, 11 | Haufiki msiba wowote ila kwa idhini ya Mwenyezi Mungu. Na mwenye
44 97 | huteremka usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa ajili
45 97, 4 | Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila
|