Table of Contents | Words: Alphabetical - Frequency - Inverse - Length - Statistics | Help | IntraText Library
Alphabetical    [«  »]
peperushwa 4
pepesi 1
pepo 39
peponi 44
pesa 1
pevu 1
pevuka 2
Frequency    [«  »]
44 kutaka
44 leo
44 matunda
44 peponi
44 pita
44 viumbe
44 vizuri

Qu'rani

IntraText - Concordances

peponi

                                              bold = Main text
   Sura, verse                                grey = Comment text
1 2, 82 | wakatenda mema, hao ndio watu wa Peponi, humo watadumu. ~~~~~~ 2 2, 111| Na walisema: Hataingia Peponi ila aliyekuwa Yahudi au 3 2, 214| Mnadhani kuwa mtaingia Peponi, bila ya kukujieni kama 4 3, 142| 142. Je! Mnadhani mtaingia Peponi na hali Mwenyezi Mungu hajawapambanua 5 3, 185| epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha 6 4, 124| Muumini - basi hao wataingia Peponi wala hawatadhulumiwa hata 7 7, 27 | alivyo watoa wazazi wenu Peponi, akawavua nguo zao kuwaonyesha 8 7, 40 | mbingu, wala hawataingia Peponi mpaka apite ngamia katika 9 7, 42 | wake - hao ndio watu wa Peponi. Wao watadumu humo. ~~~~~~ 10 7, 44 | 44. Na watu wa Peponi watawanadia watu wa Motoni: 11 7, 46 | na wao watawaita watu wa Peponi: Assalamu Alaykum, Amani 12 7, 49 | hatawafikishia rehema. Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala 13 7, 50 | Motoni watawaita watu wa Peponi: Tumimieni maji, au chochote 14 10, 26 | madhila. Hao ndio watu wa Peponi. Humo watadumu. ~~~~~~ 15 11, 23 | Mlezi, hao ndio watu wa Peponi, na humo watadumu. ~~~~~~ 16 11, 108| bahatika, wao watakuwamo Peponi wakidumu humo muda wa kudumu 17 16, 32 | Amani iwe juu yenu! Ingieni Peponi kwa sababu ya yale mliyo 18 18 | imebainishwa hali ya watu wa Peponi na watu wa Motoni. Na Mwenyezi 19 19, 60 | mema. Hao, basi, wataingia Peponi wala hawatadhulumiwa chochote. ~~~~~~ 20 25 | zitazo warithisha vyumba vya Peponi vya juu, watapo pokewa kwa 21 25, 24 | 24. Watu wa Peponi siku hiyo watakuwa katika 22 29, 58 | tutawaweka katika maghorofa ya Peponi yenye kupitiwa chini yake 23 31 | mazuri katika makaazi ya Peponi. Na macho yanatakiwa yaangalie 24 35 | mrithisha aliye mteuwa ataingia Peponi astarehe humo. Na mwenye 25 36 | kwa aliyo yatenda. Watu wa Peponi watastareheshwa. Watapata 26 36, 26 | 26. Akaambiwa: Ingia Peponi! Akasema: Laiti kuwa watu 27 36, 55 | 55. Hakika watu wa Peponi leo wamo shughulini, wamefurahi. ~~~~~~ 28 39 | wende Motoni, na watu wa Peponi wakapelekwa huko. Nao hao 29 39, 73 | Mlezi wataongozwa kuendea Peponi kwa makundi, mpaka watakapo 30 40, 40 | Muumini, basi hao wataingia Peponi, waruzukiwe humo bila ya 31 42, 7 | hiyo. Kundi moja litakuwa Peponi, na kundi jengine Motoni. ~~~~~~ 32 42, 22 | watakuwamo katika mabustani ya Peponi. Humo watapata wayatakayo 33 43, 70 | 70. Ingieni Peponi, nyinyi na wake zenu; mtafurahishwa 34 46, 14 | 14. Hao ndio watu wa Peponi, watadumu humo, kuwa ni 35 46, 16 | Watakuwa miongoni mwa watu wa Peponi. Miadi ya kweli hiyo walio 36 47 | hayo kwa Akhera ni kuingia Peponi. Na ikawahimiza Waumini 37 55 | ikafafanua neema za wachamngu Peponi. ~Na Sura ikakhitimisha 38 59, 20 | watu wa Motoni na watu wa Peponi. Watu wa Peponi ndio wenye 39 59, 20 | watu wa Peponi. Watu wa Peponi ndio wenye kufuzu. ~~~~~~ 40 66, 11 | Mlezi! Nijengee kwako nyumba Peponi, na uniokoe na Firauni na 41 70, 35 | Hao ndio watakao hishimiwa Peponi. ~~~~~~ 42 76, 12 | Na atawajazi Bustani za Peponi na maguo ya hariri kwa vile 43 90 | ili awe katika watu wa Peponi, watu wa mkono wa kulia, 44 98 | Malipo yao ni kukaa milele Peponi, na kuridhika kwa kuyapata


Best viewed with any browser at 800x600 or 768x1024 on Tablet PC
IntraText® (V89) - Some rights reserved by EuloTech SRL - 1996-2007. Content in this page is licensed under a Creative Commons License