bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 3, 58 | kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima. ~~~~~~
2 7, 2 | kuonya kwacho, na kiwe ni ukumbusho kwa Waumini. ~~~~~~
3 11, 114| mema huondoa maovu. Huu ni ukumbusho kwa wanao kumbuka. ~~~~~~
4 11, 120| imekujia haki na mawaidha na ukumbusho kwa Waumini. ~~~~~~
5 12 | Qur'ani iwe ni uwongofu na ukumbusho kwa watu wote. Na mwisho
6 15, 6 | walisema: Ewe uliyeteremshiwa Ukumbusho! Hakika wewe ni mwendawazimu. ~~~~~~
7 15, 9 | Sisi ndio tulio teremsha Ukumbusho huu, na hakika Sisi ndio
8 16, 43 | Ufunuo). Basi waulizeni wenye ukumbusho kama nyinyi hamjui ~~~~~~
9 16, 44 | Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo
10 19 | kabisa, hawakuacha hata ukumbusho. ~KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU
11 19, 2 | 2. Huu ni Ukumbusho wa rehema ya Mola wako Mlezi
12 21, 24 | Leteni ushahidi wenu! Haya ni ukumbusho wa hawa walio nami, na ukumbusho
13 21, 24 | ukumbusho wa hawa walio nami, na ukumbusho wa walio kabla yangu. Lakini
14 21, 84 | rehema inayo toka kwetu, na ukumbusho kwa wafanyao ibada. ~~~~~~
15 23, 71 | ndani. Bali tumewaletea ukumbusho wao, nao wanajitenga mbali
16 23, 71 | nao wanajitenga mbali na ukumbusho wao. ~~~~~~
17 25, 29 | 29. Amenipoteza, nikaacha Ukumbusho, baada ya kwisha nijia,
18 26, 5 | 5. Wala hauwafikii ukumbusho mpya kutoka kwa Arrahman
19 26, 209| 209. Kuwa ni ukumbusho. Wala Sisi hatukuwa wenye
20 36 | hakuja ila kwa ajili ya ukumbusho ulio wazi, ulio tokana na
21 36, 11 | unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi
22 36, 69 | hayo. Haukuwa huu ila ni ukumbusho na Qur'ani inayo bainisha. ~~~~~~
23 37, 3 | 3. Na kwa wenye kusoma Ukumbusho. ~~~~~~
24 37, 168| 168. Tungeli kuwa na Ukumbusho kama wa watu wa zamani, ~~~~~~
25 38 | Qur'ani si chochote ila ni Ukumbusho kwa walimwengu wote. Na
26 38, 46 | tumewakhusisha wao kwa sifa ya ukumbusho wa Akhera. ~~~~~~
27 38, 49 | 49. Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana
28 39, 21 | ya shaka katika hayo upo ukumbusho kwa wenye akili. ~~~~~~
29 40, 54 | Ambacho ni Uwongofu na Ukumbusho kwa wenye akili. ~~~~~~
30 43, 44 | 44. Na hakika haya ni ukumbusho kwako na kwa kaumu yako.
31 50, 7 | haya ni kifumbua macho na ukumbusho kwa kila mja mwenye kuelekea. ~~~~~~~~~~~~
32 50, 35 | Hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au akatega
33 51, 55 | 55. Na kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini. ~~~~~~
34 53, 29 | mwachilie mbali anaye upa kisogo ukumbusho wetu, na wala hataki ila
35 54, 25 | tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu
36 56, 69 | Sisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani. ~~~~~~
37 65, 10 | Mwenyezi Mungu amekuteremshieni Ukumbusho, ~~~~~~
38 68, 52 | Na hayakuwa haya, ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote. ~~~~~~~~~~~~~~~~~~
39 74, 31 | haya si chochote ila ni ukumbusho kwa binaadamu. ~~~~~~
40 74, 54 | Hasha! Kwa hakika huu ni ukumbusho! ~~~~~~
41 81, 27 | 27. Haikuwa hii ila ni ukumbusho kwa walimwengu wote. ~~~~~~
42 87 | kuogopa, na ajitenge na ukumbusho huyo mwovu atakaye ingia
|