Sura, verse
1 2, 19 | 19. Au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi
2 2, 144| wanajua kwamba hiyo ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi. Na Mwenyezi
3 2, 149| Mtakatifu. Na hiyo ndiyo Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi. Na
4 3, 8 | tuongoa, na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye
5 3, 60 | 60. Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi
6 3, 159| ni kwa sababu ya rehema itokayo kwa Mwenyezi Mungu ndio
7 4, 70 | 70. Hiyo ni fadhila itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
8 4, 170| kujieni Mtume huyu na haki itokayo kwa Mola wenu Mlezi. Basi
9 5, 38 | yachuma, ndiyo adhabu ya mfano itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi
10 5, 114| wetu, na kiwe ni Ishara itokayo kwako. Basi turuzuku, kwani
11 6, 57 | kwenye sharia iliyo wazi itokayo kwa Mola wangu Mlezi, nanyi
12 8, 32 | Mungu! Ikiwa haya ni kweli itokayo kwako basi tunyeshee mawe
13 9, 52 | Mungu akufikishieni adhabu itokayo kwake, au kutokana na mikono
14 11, 17 | mtu aliye na dalili wazi itokayo kwa Mola wake Mlezi, inayo
15 11, 17 | juu ya hayo. Hii ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi; lakini
16 11, 48 | Ewe Nuhu! Shuka kwa salama itokayo kwetu, na baraka nyingi
17 11, 48 | zitashikwa na adhabu chungu itokayo kwetu. ~~~~~~
18 11, 58 | pamoja naye, kwa rehema itokayo kwetu. Na tukawaokoa na
19 17, 12 | mwangaza ili mtafute fadhila itokayo kwa Mola wenu Mlezi, na
20 17, 87 | 87. Isipo kuwa iwe rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika
21 18, 10 | wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu
22 18, 29 | 29. Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi
23 18, 82 | wenyewe, kuwa ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Wala
24 18, 98 | Akasema: Hii ni rehema itokayo kwa Mola wangu Mlezi. Na
25 19, 13 | 13. Na tukampa huruma itokayo kwetu, na utakaso, na akawa
26 19, 21 | Ishara kwa watu, na Rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo
27 20, 47 | Sisi tumekuletea ishara itokayo kwa Mola wako Mlezi. Na
28 21, 46 | mpulizo mmoja tu wa adhabu itokayo kwa Mola wako Mlezi, bila
29 22, 54 | wajue kuwa hayo ni Haki itokayo kwa Mola wako Mlezi na waamini,
30 28, 46 | tulipo nadi. Lakini ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi ili
31 28, 57 | kila aina kuwa ni riziki itokayo kwetu? Lakini wengi wao
32 30, 33 | Kisha akiwaonjesha rehema itokayo kwake, mara kikundi miongoni
33 36, 58 | Salama!" Hiyo ndiyo kauli itokayo kwa Mola Mlezi Mwenye kurehemu. ~~~~~~
34 38, 43 | pamoja nao, kuwa ni rehema itokayo kwetu, na iwe kumbusho kwa
35 39, 22 | na akawa yuko kwenye nuru itokayo kwa Mola wake Mlezi (ni
36 41, 32 | 32. Ni takrima itokayo kwa Mwenye kusamehe, Mwenye
37 41, 50 | pindi tukimwonjesha rehema itokayo kwetu baada ya kumgusa dhara,
38 42, 47 | haijafika siku isiyo epukika itokayo kwa Mwenyezi Mungu. Siku
39 44, 6 | 6. Ni rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika
40 58, 22 | na amewapa nguvu kwa Roho itokayo kwake. Na atawaingiza katika
41 61, 13 | mkipendacho, nacho ni nusura itokayo kwa Mwenyezi Mungu, na ushindi
42 70, 27 | ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi. ~~~~~~
|