1-500 | 501-1000 | 1001-1005
bold = Main text
Sura, verse grey = Comment text
1 2 | ikaingia kueleza namna tatu za watu: Waumini, Makafiri na Wanaafiki.
2 2 | Mlingano, au Wito, kuwaita watu wamuabudu Mwenyezi Mungu
3 2 | Mazungumzo yakaingia kuwasemeza watu wa Qur'ani kwa kuwakumbusha
4 2 | na wasia, na kula mali ya watu kwa dhulma, na kisasi, na
5 2 | kwa mwenye akili kuwaita watu watende mema naye akajisahau
6 2 | Imani na uadilifu, sio kwa watu wa kufuru na dhulma, na
7 2 | kudhulumu, na kula mali ya watu kwa upotovu ni haramu, na
8 2, 8 | 8. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini
9 2, 13 | Aminini kama walivyo amini watu. Husema: Tuamini kama walivyo
10 2, 21 | 21. Enyi watu! Muabuduni Mola wenu Mlezi
11 2, 24 | moto ambao kuni zake ni watu na mawe walio andaliwa hao
12 2, 39 | zetu, hao ndio watakao kuwa watu wa Motoni, humo watadumu. ~~~~~~
13 2, 44 | 44. Je! Mnawaamrisha watu mema na mnajisahau nafsi
14 2, 49 | vile tulipo kuokoeni kwa watu wa Firauni walio kupeni
15 2, 50 | tukakuokoeni, tukawazamisha watu wa Firauni, na huku mnatazama. ~~~~~~
16 2, 54 | 54. Na Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Hakika
17 2, 54 | waambia watu wake: Enyi watu wangu! Hakika nyinyi mmezidhulumu
18 2, 60 | alipo omba maji kwa ajili ya watu wake, tulimwambia: Lipige
19 2, 67 | 67. Na Musa alipo waambia watu wake: Hakika Mwenyezi Mungu
20 2, 81 | yakamzunguka - hao ndio watu wa Motoni; humo watadumu. ~~~~~~
21 2, 82 | wakatenda mema, hao ndio watu wa Peponi, humo watadumu. ~~~~~~
22 2, 83 | na masikini, na semeni na watu kwa wema, na shikeni Sala,
23 2, 94 | Mungu ni yenu tu bila ya watu wengine, basi tamanini mauti
24 2, 96 | utawaona ni wenye kuwashinda watu wote kwa pupa ya kuishi,
25 2, 102| walio kufuru, wakiwafundisha watu uchawi, na yaliyo teremshwa
26 2, 105| Walio kufuru miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina
27 2, 109| 109. Wengi miongoni mwa watu wa Kitabu wanatamani lau
28 2, 114| na akajitahidi kuiharibu? Watu hao haitawafalia kuingia
29 2, 118| tumeziweka wazi Ishara kwa watu wenye yakini. ~~~~~~
30 2, 119| Na wala hutaulizwa juu ya watu wa Motoni. ~~~~~~
31 2, 124| nitakufanya uwe mwongozi wa watu. Akasema: Je, na katika
32 2, 125| iwe pahala pa kukusanyikia watu na pahala pa amani. Na alipo
33 2, 126| mji wa amani, na uwaruzuku watu wake matunda, wale wanao
34 2, 130| Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~
35 2, 134| 134. Hao ni watu walio kwisha pita. Watapata
36 2, 141| 141. Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata
37 2, 142| WAPUMBAVU miongoni mwa watu watasema: Nini kilicho wageuza
38 2, 143| ili muwe mashahidi juu ya watu, na Mtume awe ni shahidi
39 2, 143| Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa watu na Mwenye kuwarehemu. ~~~~~~
40 2, 150| nyuso zenu upande huo ili watu wasiwe na hoja juu yenu,
41 2, 155| na upungufu wa mali na watu na matunda. Na wabashirie
42 2, 159| ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni -- hao anawalaani
43 2, 161| Mungu na ya Malaika na ya watu wote. ~~~~~~
44 2, 164| baharini kwa viwafaavyo watu, na maji anayo yateremsha
45 2, 164| bila shaka zimo Ishara kwa watu wanao zingatia. ~~~~~~
46 2, 165| 165. Na katika watu wapo wanao chukua waungu
47 2, 168| 168. Enyi watu! Kuleni vilivyomo katika
48 2, 175| Ama wavumilivu wa Moto watu hawa! ~~~~~~
49 2, 185| ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za
50 2, 187| anabainisha Ishara zake kwa watu ili wapate kumcha. ~~~~~~
51 2, 188| mpate kula sehemu ya mali ya watu kwa dhambi, na hali mnajua. ~~~~~~
52 2, 189| vya nyakati kwa ajili ya watu na Hija. Wala sio wema kuziingia
53 2, 196| kwa ajili ya yule ambaye watu wake hawako karibu na Msikiti
54 2, 199| kutoka pale wanapo miminika watu, na muombeni Mwenyezi Mungu
55 2, 200| zaidi. Na wapo baadhi ya watu wanao sema: Mola wetu Mlezi,
56 2, 204| 204. Na katika watu yupo yule ambaye maneno
57 2, 207| 207. Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi
58 2, 213| 213. Watu wote walikuwa ni umma mmoja.
59 2, 213| Haki, ili kihukumu baina ya watu katika yale walio khitalifiana.
60 2, 217| dhambi kubwa. Lakini kuzuilia watu wasende katika Njia ya Mwenyezi
61 2, 217| kumkanusha Yeye, na kuzuilia watu wasende kwenye Msikiti Mtakatifu
62 2, 217| Msikiti Mtakatifu na kuwatoa watu wake humo, ni makubwa zaidi
63 2, 217| duniani na Akhera. Na hao ndio watu wa Motoni; humo watadumu. ~~~~~~
64 2, 219| dhambi kubwa na manufaa kwa watu. Lakini dhambi zake ni kubwa
65 2, 221| huzibainisha Aya zake kwa watu ili wapate kukumbuka. ~~~~~~
66 2, 224| na kupatanisha baina ya watu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye
67 2, 230| Mungu anayo ibainisha kwa watu wanao jua. ~~~~~~
68 2, 243| ni Mwenye fadhila juu ya watu, lakini wengi wa watu hawashukuru. ~~~~~~
69 2, 243| ya watu, lakini wengi wa watu hawashukuru. ~~~~~~
70 2, 250| na utusaidie tuwashinde watu Makafiri-- ~~~~~~
71 2, 251| Mwenyezi Mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli
72 2, 251| hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika.
73 2, 257| kuwaingiza gizani. Hao ndio watu wa Motoni, na humo watadumu. ~~~~~~
74 2, 258| Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. ~~~~~~
75 2, 259| tukufanye uwe ni Ishara kwa watu iangalie hii mifupa yake
76 2, 264| mali yake kwa kuwaonyesha watu, wala hamuamini Mwenyezi
77 2, 264| Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri. ~~~~~~
78 2, 273| alama zao; hawang'ang'analii watu kwa kuwaomba. Na kheri yoyote
79 2, 275| wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu. ~~~~~~
80 3, 4 | yake, ziwe uwongofu kwa watu. Na akateremsha Furqani (
81 3, 9 | Wewe ndiye Mkusanyaji wa watu kwa Siku isiyo na shaka
82 3, 11 | 11. - Kama yaliyo wapata watu wa Firauni na wale walio
83 3, 14 | 14. Watu wamepambiwa kupenda matamanio
84 3, 21 | pasipo haki, na wakawauwa watu waamrishao Haki wabashirie
85 3, 39 | bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema. ~~~~~~
86 3, 41 | yako ni kuwa hutasema na watu kwa siku tatu, isipo kuwa
87 3, 46 | 46. Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika
88 3, 46 | wake, na atakuwa katika watu wema. ~~~~~~
89 3, 64 | 64. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye
90 3, 65 | 65. Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnabishana
91 3, 68 | 68. Watu wanao mkaribia zaidi Ibrahim
92 3, 69 | 69. Kipo kikundi katika Watu wa Kitabu wanao penda kukupotezeni;
93 3, 70 | 70. Enyi Watu wa Kitabu! Mbona mnazikataa
94 3, 71 | 71. Enyi Watu wa Kitabu! Mbona kweli mnaivisha
95 3, 72 | 72. Na kikundi katika Watu wa Kitabu walisema: Yaaminini
96 3, 75 | 75. Na miongoni mwa Watu wa Kitabu yupo ambaye ukimpa
97 3, 79 | na Unabii kisha awaambie watu: Kuweni wa kuniabudu mimi
98 3, 86 | Mwenyezi Mungu atawaongoaje watu walio kufuru baada ya kuamini
99 3, 86 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. ~~~~~~
100 3, 87 | Mungu na ya Malaika na ya watu wote. ~~~~~~
101 3, 96 | Nyumba ya kwanza walio wekewa watu kwa ibada ni ile iliyoko
102 3, 97 | Mwenyezi Mungu imewajibikia watu wahiji kwenye Nyumba hiyo,
103 3, 98 | 98. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnakanusha
104 3, 99 | 99. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Kwa nini mnamzuilia
105 3, 110| bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema
106 3, 110| Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini
107 3, 112| Mwenyezi Mungu na kamba ya watu. Na wakastahiki ghadhabu
108 3, 113| sawa sawa. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wamo watu walio
109 3, 113| mwa Watu wa Kitabu wamo watu walio simama baraabara,
110 3, 116| Mwenyezi Mungu. Na hao ndio watu wa Motoni - humo watadumu. ~~~~~~
111 3, 117| barafu, ukalisibu shamba la watu walio dhulumu nafsi zao,
112 3, 118| Msiwafanye wasiri wenu watu wasio kuwa katika nyinyi.
113 3, 119| basi nyinyi ndio mnawapenda watu hao, wala wao hawakupendeni.
114 3, 134| ghadhabu, na wasamehevu kwa watu; na Mwenyezi Mungu huwapenda
115 3, 138| 138. Hii ni bayana kwa watu wote, na ni uwongofu, na
116 3, 140| yamekupateni majaraha, basi na hao watu wengine yamewapata majaraha
117 3, 140| za namna hii tunaweletea watu kwa zamu, ili Mwenyezi Mungu
118 3, 173| 173. Walio ambiwa na watu: Kuna watu wamekukusanyikieni,
119 3, 173| Walio ambiwa na watu: Kuna watu wamekukusanyikieni, waogopeni!
120 3, 187| kuwa: Lazima mtawabainishia watu, wala hamtokificha, walikitupa
121 3, 193| yetu, na utufishe pamoja na watu wema. ~~~~~~
122 3, 198| Mwenyezi Mungu ni bora kwa watu wema. ~~~~~~
123 3, 199| 199. Hakika miongoni mwa Watu wa Kitabu wapo wanao muamini
124 4, 1 | 1. Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi
125 4, 6 | pupa kwa kuwa watakuja kuwa watu wazima. Na aliye kuwa tajiri
126 4, 15 | wanawake wenu, washuhudizieni watu wane katika nyinyi. Watakapo
127 4, 25 | Basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari yao
128 4, 37 | ubakhili na wanaamrisha watu ubakhili, na wanaficha fadhila
129 4, 38 | hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, wala hawamuamini Mwenyezi
130 4, 47 | tukawalaani kama tulivyo walaani watu wa Sabato (Jumaamosi). Na
131 4, 53 | utawala? Basi hapo wasingewapa watu hata tundu ya kokwa ya tende. ~~~~~~
132 4, 54 | 54. Au wanawahusudu watu kwa yale aliyo wapa Mwenyezi
133 4, 58 | Na mnapo hukumu baina ya watu mhukumu kwa uadilifu. Hakika
134 4, 69 | Masiddiqi, na Mashahidi, na Watu wema. Na uzuri ulioje kuwa
135 4, 69 | uzuri ulioje kuwa pamoja na watu hao! ~~~~~~
136 4, 75 | Tutoe katika mji huu ambao watu wake ni madhaalimu, na tujaalie
137 4, 77 | moja kati yao liliwaogopa watu kama kumwogopa Mwenyezi
138 4, 78 | Mwenyezi Mungu. Basi wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu
139 4, 79 | yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi
140 4, 90 | wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu
141 4, 90 | kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda
142 4, 91 | salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye
143 4, 92 | Na akiwa ni miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu
144 4, 92 | na wao basi wapewe diya watu wake na akombolewe mtumwa
145 4, 105| upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha Mwenyezi
146 4, 108| Wanataka kujificha kwa watu, wala hawataki kujificha
147 4, 114| au kupatanisha baina ya watu. Na mwenye kufanya hayo
148 4, 123| yenu, wala matamanio ya Watu wa Kitabu! Anaye fanya ubaya
149 4, 133| Akitaka atakuondoeni, enyi watu! Na awalete wengineo. Na
150 4, 142| onyo, wanajionyesha kwa watu tu, wala hawamdhukuru Mwenyezi
151 4, 153| 153. Watu wa Kitabu wanakutaka uwateremshia
152 4, 159| 159. Na hawi katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini
153 4, 160| sababu ya kuwazuilia kwao watu wengi na Njia ya Mwenyezi
154 4, 161| wamekatazwa, na kula kwao mali ya watu kwa dhulma. Basi tumewaandalia
155 4, 165| wabashiri na waonyaji, ili watu wasiwe na hoja juu ya Mwenyezi
156 4, 170| 170. Enyi Watu! Amekwisha kujieni Mtume
157 4, 171| 171. Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi
158 4, 174| 174. Enyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka
159 5 | wake Mlezi, au baina ya watu wenyewe kwa wenyewe. Na
160 5, 2 | windeni. Wala kuwachukia watu kwa kuwa wali- kuzuilieni
161 5, 8 | haki. Wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya
162 5, 10 | wakakanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~
163 5, 11 | zilizo juu yenu, walipo taka watu kukunyooshieni mikono, naye
164 5, 15 | 15. Enyi Watu wa Kitabu! Amekwisha kujieni
165 5, 18 | dhambi zenu? Bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine alio
166 5, 19 | 19. Enyi Watu wa Kitabu! Bila ya shaka
167 5, 20 | pale Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni
168 5, 20 | waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema za
169 5, 21 | 21. Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi
170 5, 22 | Wakasema: Ewe Musa! Huko wako watu majabari. Nasi hatutaingia
171 5, 23 | 23. Watu wawili miongoni mwa wachamngu
172 5, 25 | yangu. Basi tutenge na hawa watu wapotovu. ~~~~~~
173 5, 26 | Basi wewe usiwasikitikie watu wapotovu. ~~~~~~
174 5, 29 | wewe utakuwa miongoni mwa watu wa Motoni. Na hayo ndiyo
175 5, 32 | nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa
176 5, 32 | mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia
177 5, 41 | wanao sikiliza kwa ajili ya watu wengine wasio kufikia. Wao
178 5, 44 | juu yake. Basi msiwaogope watu, bali niogopeni Mimi. Wala
179 5, 47 | 47. Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo
180 5, 49 | zao. Na hakika wengi wa watu ni wapotofu. ~~~~~~
181 5, 50 | kuliko Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini? ~~~~~~
182 5, 51 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. ~~~~~~
183 5, 54 | Mwenyezi Mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda,
184 5, 58 | Hayo ni kwa sababu wao ni watu wasio na akili. ~~~~~~
185 5, 59 | 59. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hivyo mnatuchukia
186 5, 65 | 65. Na lau kuwa Watu wa Kitabu wangeli amini
187 5, 66 | chini ya miguu yao. Wapo watu miongoni mwao walio sawa,
188 5, 67 | Mwenyezi Mungu atakulinda na watu. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi
189 5, 67 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri. ~~~~~~
190 5, 68 | 68. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo
191 5, 68 | ukafiri. Basi usiwasikitikie watu makafiri. ~~~~~~
192 5, 77 | 77. Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi
193 5, 77 | Wala msifuate matamanio ya watu walio kwisha potea tangu
194 5, 82 | utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio
195 5, 84 | Mlezi atuingize pamoja na watu wema? ~~~~~~
196 5, 86 | wakazikanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni. ~~~~~~
197 5, 97 | Nyumba Tukufu, ni simamio la watu, na kadhaalika Miezi Mitukufu,
198 5, 102| 102. Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa
199 5, 110| Takatifu, ukazungumza na watu katika utoto na utuuzimani.
200 5, 116| Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama
201 6 | kama ifuatavyo:~Imewazindua watu wauzingatie ulimwengu na
202 6, 25 | chochote ila hadithi za watu wa kale. ~~~~~~
203 6, 26 | 26. Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga
204 6, 45 | 45. Ikakatwa mizizi ya watu walio dhulumu - na wa kuhimidiwa
205 6, 66 | 66. Na watu wako wameikanusha, nayo
206 6, 68 | kutanabahi usikae pamoja na watu madhaalimu. ~~~~~~
207 6, 74 | Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu
208 6, 78 | Lilipo tua, alisema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika
209 6, 80 | 80. Na watu wake wakamhoji. Akasema:
210 6, 83 | mpa Ibrahim kuhojiana na watu wake. Tunamnyanyua kwa vyeo
211 6, 85 | Wote walikuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~
212 6, 89 | tumekwisha yawakilisha kwa watu wasio yakataa. ~~~~~~
213 6, 91 | chenye nuru na uwongofu kwa watu, mlicho kifanya kurasa kurasa
214 6, 97 | tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao jua. ~~~~~~
215 6, 98 | tumezichambua Ishara hizi kwa watu wanao fahamu. ~~~~~~
216 6, 99 | katika hayo pana Ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
217 6, 105| Na ili tuyabainishe kwa watu wanao jua. ~~~~~~
218 6, 122| inakwenda naye mbele za watu, mfano wake ni kama aliyoko
219 6, 126| Tumezipambanua Aya kwa watu wanao kumbuka. ~~~~~~
220 6, 130| Enyi makundi ya majini na watu! Je, hawakukujieni Mitume
221 6, 133| kutoeni kutokana na uzazi wa watu wengine. ~~~~~~
222 6, 135| 135. Sema: Enyi watu wangu! Fanyeni muwezayo,
223 6, 144| kwa ajili ya kuwapoteza watu bila ya ilimu? Hakika Mwenyezi
224 6, 144| Mwenyezi Mungu hawahidi watu madhaalimu. ~~~~~~
225 6, 147| haizuiliki adhabu yake kwa watu wakhalifu. ~~~~~~
226 7 | wasiwasi unaoendelea kwa watu katika mavazi na chakula.
227 7 | na hadithi ya Shua'ib na watu wa Madyana. Na baada ya
228 7, 32 | hivi tunazieleza Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~
229 7, 36 | wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa Motoni; humo watadumu. ~~~~~~
230 7, 38 | kabla yenu za majini na watu. Kila utakapo ingia umma
231 7, 42 | cha uwezo wake - hao ndio watu wa Peponi. Wao watadumu
232 7, 44 | 44. Na watu wa Peponi watawanadia watu
233 7, 44 | watu wa Peponi watawanadia watu wa Motoni: Sisi tumekuta
234 7, 46 | juu ya Mnyanyuko patakuwa watu watakao wajua wote kwa alama
235 7, 46 | alama zao, na wao watawaita watu wa Peponi: Assalamu Alaykum,
236 7, 47 | geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, watasema: Mola
237 7, 47 | Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu. ~~~~~~
238 7, 48 | 48. Na hao watu wa Mnyanyukoni watawaita
239 7, 48 | wa Mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao.
240 7, 50 | 50. Na watu wa Motoni watawaita watu
241 7, 50 | watu wa Motoni watawaita watu wa Peponi: Tumimieni maji,
242 7, 52 | uwongofu na rehema kwa watu wenye kuamini. ~~~~~~
243 7, 58 | zipambanua Ishara (Aya) kwa watu wanao shukuru. ~~~~~~
244 7, 61 | 61. Akasema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika
245 7, 64 | zetu. Hakika hao walikuwa watu vipofu. ~~~~~~
246 7, 65 | yao, Hud. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
247 7, 67 | 67. Akasema: Enyi watu wangu! Mimi sina upumbavu.
248 7, 73 | yao, Saleh. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
249 7, 79 | akwaacha na akasema: Enyi watu wangu! Nilikufikishieni
250 7, 80 | tulimtuma Lut', alipo waambia watu wake: Je, mnafanya uchafu
251 7, 81 | wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji! ~~~~~~
252 7, 82 | katika mji wenu, maana hao ni watu wanao jitakasa. ~~~~~~
253 7, 83 | Basi tukamwokoa yeye na watu wake, isipo kuwa mkewe,
254 7, 85 | 85. Na kwa watu wa Madyana tulimtuma ndugu
255 7, 85 | yao Shua'ib. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
256 7, 85 | mizani, wala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye
257 7, 86 | katika kila njia mkitisha watu, na kuwazuilia na Njia ya
258 7, 93 | basi vipi niwahuzunikie watu makafiri? ~~~~~~
259 7, 96 | 96. Na lau kuwa watu wa miji wangeli amini na
260 7, 97 | 97. Je, watu wa mijini wameaminisha ya
261 7, 98 | 98. Au watu wa mijini wameaminisha ya
262 7, 99 | mipango ya Mwenyezi Mungu ila watu wenye kukhasiri. ~~~~~~
263 7, 116| tupa waliyazuga macho ya watu na wakawatia khofu, na wakaleta
264 7, 127| Firauni: Unamuacha Musa na watu wake walete uharibifu katika
265 7, 128| 128. Musa akawaambia watu wake: Ombeni msaada kwa
266 7, 130| Na hakika tuliwaadhibu watu wa Firauni kwa miyaka (ya
267 7, 133| wakapanda kiburi, na wakawa watu wakosefu. ~~~~~~
268 7, 137| 137. Na tukawarithisha watu walio kuwa wanadharauliwa
269 7, 138| wa Israili, wakafika kwa watu wanao abudu masanamu yao.
270 7, 138| akasema: Hakika nyinyi ni watu msio jua kitu. ~~~~~~
271 7, 139| Hakika haya waliyo nayo watu hawa yatakuja angamia, na
272 7, 141| pale tulipo kuokoeni kwa watu wa Firauni walio kupeni
273 7, 142| Shika mahala pangu kwa watu wangu na utengeneze wala
274 7, 144| Mimi nimekuteuwa wende kwa watu na Ujumbe wangu na maneno
275 7, 145| kwa nguvu na uwaamrishe watu wako wayashike kwa ubora
276 7, 150| Na alipo rudi Musa kwa watu wake, naye amekasirika na
277 7, 150| mama yangu! Hakika hawa watu wamenidharau, na wakakaribia
278 7, 150| wala usinifanye pamoja na watu madhaalimu. ~~~~~~
279 7, 155| 155. Na Musa akawateuwa watu sabiini katika kaumu yake
280 7, 158| 158. Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu
281 7, 159| lipo kundi linao waongoa watu kwa haki na kwa haki wanafanya
282 7, 160| Musa walipo muomba maji watu wake kumwambia: Lipige hilo
283 7, 160| chemchem kumi na mbili, na kila watu wakajua mahali pao pa kunywea.
284 7, 164| walisema: Kwa nini mnawawaidhi watu ambao tangu hapo Mwenyezi
285 7, 167| hapana shaka atawaletea watu ambao watawaadhibu kwa adhabu
286 7, 177| ni mfano muovu kabisa wa watu wanao kanusha Ishara zetu
287 7, 179| Jahannamu majini wengi na watu. Wana nyoyo, lakini hawafahamu
288 7, 181| katika tulio waumba wako watu wanao ongoza kwa Haki, na
289 7, 187| Mungu. Lakini aghlabu ya watu hawajui. ~~~~~~
290 7, 188| mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao amini. ~~~~~~
291 7, 203| na uwongofu na rehema kwa watu wanao amini. ~~~~~~
292 8, 26 | wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni
293 8, 31 | chochote ila hadithi za watu wa kale tu. ~~~~~~
294 8, 34 | hali ya kuwa wanawazuilia watu Msikiti Mtakatifu? Wala
295 8, 47 | fakhari na kujionyesha kwa watu, na wakawazuilia watu Njia
296 8, 47 | kwa watu, na wakawazuilia watu Njia ya Mwenyezi Mungu.
297 8, 48 | vyao, na akawaambia: Hapana watu wa kukushindeni hii leo,
298 8, 49 | wenye ugonjwa nyoyoni mwao: Watu hawa dini yao imewadanganya.
299 8, 52 | 52. Kama ada ya watu wa Firauni na walio kuwa
300 8, 53 | kabisa neema alizo waneemesha watu, mpaka wao wabadilishe yaliyomo
301 8, 54 | 54. Ni kama ada ya watu wa Firauni na walio kabla
302 8, 54 | madhambi yao. Na tukawazamisha watu wa Firauni. Na wote walikuwa
303 8, 58 | Na ukichelea khiana kwa watu fulani basi watupilie ahadi
304 8, 65 | kufuru. Kwa sababu wao ni watu wasio fahamu. ~~~~~~
305 8, 66 | kwenu. Kwa hivyo wakiwa wapo watu mia moja kati yenu wenye
306 8, 72 | kuwasaidia, isipo kuwa juu ya watu ambao yapo mapatano baina
307 9 | ya hayo ametaja hali za watu kwa mnasaba wa Imani. Na
308 9 | Subhanahu wa Taa'la hali za watu katika kuzipokea Aya za
309 9, 6 | Haya ni kwa kuwa hao ni watu wasiojua kitu. ~~~~~~
310 9, 9 | Mwenyezi Mungu, na wakazuilia watu na Njia yake. Hakika hao
311 9, 11 | Na tunazichambua Aya kwa watu wajuao. ~~~~~~
312 9, 13 | 13. Je, hamtapigana na watu walio vunja viapo vyao na
313 9, 19 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. ~~~~~~
314 9, 24 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotovu. ~~~~~~
315 9, 34 | wamonaki wanakula mali za watu kwa baat'ili na wanazuilia
316 9, 37 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri. ~~~~~~
317 9, 39 | adhabu chungu, na atawaleta watu wengine, wala nyinyi hamtamdhuru
318 9, 53 | kitu kwenu, kwani nyinyi ni watu wapotovu. ~~~~~~
319 9, 56 | katika nyinyi. Lakini ni watu wanao ogopa. ~~~~~~
320 9, 70 | na kaumu ya Ibrahim, na watu wa Madyana, na miji iliyo
321 9, 80 | Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wapotofu. ~~~~~~
322 9, 96 | Mwenyezi Mungu hawi radhi na watu wapotofu. ~~~~~~
323 9, 108| usimame ndani yake. Humo wamo watu wanao penda kujitakasa.
324 9, 109| Mwenyezi Mungu hawaongoi watu madhaalimu. ~~~~~~
325 9, 113| kwisha bainika kuwa hao ni watu wa Motoni. ~~~~~~
326 9, 115| Mwenyezi Mungu kuwahisabu watu kuwa wamepotea baada ya
327 9, 120| 120. Haiwafalii watu wa Madina na Mabedui walio
328 9, 127| nyoyo zao kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu. ~~~~~~
329 10 | itikadi zao, na hali ya watu wakati wa shida na neema,
330 10 | Mtukufu, na hali za nafsi za watu, na vipi Mwenyezi Mungu
331 10, 2 | 2. Je! Imekuwa ajabu kwa watu kwamba tumemfunulia mmoja
332 10, 2 | tumemfunulia mmoja wao kuwa: Waonye watu, na wabashirie wale walio
333 10, 5 | Anazipambanua Ishara kwa watu wanao jua. ~~~~~~
334 10, 6 | na ardhi, zipo Ishara kwa watu wanao mcha-Mngu. ~~~~~~
335 10, 11 | Mwenyezi Mungu angeli wafanyia watu haraka kuwaletea shari kama
336 10, 13 | kama hivyo tunavyo walipa watu wakosefu. ~~~~~~
337 10, 19 | 19. Wala watu hawakuwa ila Umma mmoja
338 10, 21 | 21. Na tunapo waonjesha watu rehema baada ya shida waliyo
339 10, 23 | nchi bila ya haki. Enyi watu! Jeuri zenu zitakudhuruni
340 10, 24 | mimea ya ardhi wanayo ila watu na wanyama. Mpaka ardhi
341 10, 24 | tunazipambanua Ishara zetu kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
342 10, 26 | wala madhila. Hao ndio watu wa Peponi. Humo watadumu. ~~~~~~
343 10, 27 | usiku wa giza. Hao ndio watu wa Motoni, wao humo watadumu. ~~~~~~
344 10, 44 | Mwenyezi Mungu hawadhulumu watu kitu chochote; lakini watu
345 10, 44 | watu kitu chochote; lakini watu wenyewe wanajidhulumu nafsi
346 10, 57 | 57. Enyi watu! Yamekujieni mawaidha kutoka
347 10, 60 | Mungu ana fadhila juu ya watu, lakini wengi wao hawashukuru. ~~~~~~
348 10, 67 | katika haya zipo Ishara kwa watu wanao sikia. ~~~~~~
349 10, 71 | khabari za Nuhu alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Ikiwa
350 10, 71 | waambia watu wake: Enyi watu wangu! Ikiwa kukaa kwangu
351 10, 74 | yake tukawatuma Mitume kwa watu wao. Nao wakawajia kwa Ishara
352 10, 75 | zetu. Wakajivuna, na wakawa watu wakosefu. ~~~~~~
353 10, 84 | 84. Na Musa alisema: Enyi watu wangu! Ikiwa nyinyi mmemuamini
354 10, 85 | kutiwa misukosuko na hao watu madhaalimu. ~~~~~~
355 10, 86 | utuokoe kwa rehema yako na watu makafiri. ~~~~~~
356 10, 87 | Watengenezeeni majumba watu wenu katika Misri na zifanyeni
357 10, 88 | dunia. Hivyo wanapoteza watu na Njia yako. Mola wetu
358 10, 92 | walio nyuma yako. Na hakika watu wengi wameghafilika na Ishara
359 10, 99 | Je, wewe utawalazimisha watu kwa nguvu mpaka wawe Waumini? ~~~~~~
360 10, 101| na maonyo hayawafai kitu watu wasio amini. ~~~~~~
361 10, 102| kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao? Ngojeni!
362 10, 104| 104. Sema: Enyi watu! Ikiwa nyinyi mnayo shaka
363 10, 108| 108. Sema: Enyi watu! Haki imekwisha kukujieni
364 11 | Mlezi. Na ikaeleza hali za watu katika kuzipokea kwao neema
365 11, 17 | Mola wako Mlezi; lakini watu wengi hawaamini. ~~~~~~
366 11, 23 | Mola wao Mlezi, hao ndio watu wa Peponi, na humo watadumu. ~~~~~~
367 11, 25 | Sisi tulimtuma Nuhu kwa watu wake, akawaambia: Hakika
368 11, 27 | ila wale walio kuwa kwetu watu duni, wasio kuwa na akili.
369 11, 28 | 28. Akasema: Enyi watu wangu! Hebu fikirini! Ikiwa
370 11, 29 | 29. Na enyi watu wangu! Mimi sikuombeni mali
371 11, 30 | 30. Na enyi watu wangu! Ni nani atakaye nisaidia
372 11, 36 | Hataamini yeyote katika watu wako ila wale walio kwisha
373 11, 40 | imekwisha wapitia hukumu; na watu walio amini. Na hawakuamini
374 11, 44 | ikasemwa: Wapotelee mbali watu walio dhulumu! ~~~~~~
375 11, 48 | nyingi juu yako na juu ya watu walio pamoja nawe. Na zitakuwapo
376 11, 49 | Hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla ya hii. Basi
377 11, 50 | ndugu yao Hud. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
378 11, 51 | 51. Enyi watu wangu! Sikuombeni ujira
379 11, 52 | 52. Na enyi watu wangu! Muombeni msamaha
380 11, 57 | Mola wangu Mlezi atawaleta watu wengine badala yenu, wala
381 11, 61 | yao Saleh. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
382 11, 63 | 63. Akasema: Enyi watu wangu! Mwaonaje ikiwa ninazo
383 11, 64 | 64. Enyi watu wangu! Huyu ngamia wa Mwenyezi
384 11, 73 | zake ziko juu yenu, enyi watu wa nyumba hii! Hakika Yeye
385 11, 78 | maovu. Yeye akasema: Enyi watu wangu! Hawa binti zangu,
386 11, 84 | 84. Na kwa watu wa Madyana tuliwatumia ndugu
387 11, 84 | yao Shua'ib. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi
388 11, 85 | 85. Na enyi watu wangu! Timizeni vipimo na
389 11, 85 | uadilifu wala msiwakhini watu vitu vyao; wala msieneze
390 11, 88 | 88. Akasema: Enyi watu wangu! Mwaonaje ikiwa ninayo
391 11, 89 | 89. Na enyi watu wangu! Kukhalifiana nami
392 11, 89 | mkasibiwa kama walivyo sibiwa watu wa Nuhu, au watu wa Hud,
393 11, 89 | sibiwa watu wa Nuhu, au watu wa Hud, au watu wa Saleh.
394 11, 89 | Nuhu, au watu wa Hud, au watu wa Saleh. Na watu wa Lut'
395 11, 89 | Hud, au watu wa Saleh. Na watu wa Lut' si mbali nanyi. ~~~~~~
396 11, 92 | 92. Akasema: Enyi watu wangu! Kwani jamaa zangu
397 11, 93 | 93. Na enyi watu wangu! Fanyeni mwezayo,
398 11, 95 | Zingatia walivyo angamia watu wa Madyana, kama walivyo
399 11, 95 | Madyana, kama walivyo angamia watu wa Thamud! ~~~~~~
400 11, 98 | ya Kiyama atawatangulia watu wake na atawaingiza Motoni.
401 11, 103| ndiyo Siku itakayo kusanyiwa watu, na hiyo ndiyo Siku itakayo
402 11, 116| mbona hawakuwamo katika watu wa kabla yenu wenye vyeo
403 11, 117| miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni watenda mema. ~~~~~~
404 11, 118| angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja.
405 11, 119| nitaijaza Jahannam kwa majini na watu pamoja. ~~~~~~
406 12 | maandishi na katika vifua vya watu vile vile. Kisha katika
407 12 | inda na husda huwapelekea watu wengi kuingia ukafirini.
408 12 | uwongofu na ukumbusho kwa watu wote. Na mwisho wa Sura
409 12 | uwongofu, na rehema kwa watu wanao zingatia na wakaamini. ~
410 12, 9 | Na baada ya haya mtakuwa watu wema. ~~~~~~
411 12, 21 | katika jambo lake, lakini watu wengi hawajui. ~~~~~~
412 12, 36 | tunakuona wewe ni katika watu wema. ~~~~~~
413 12, 37 | Hakika mimi nimeacha mila ya watu wasio muamini Mwenyezi Mungu,
414 12, 38 | Mungu juu yetu na juu ya watu; lakini watu wengi hawashukuru. ~~~~~~
415 12, 38 | yetu na juu ya watu; lakini watu wengi hawashukuru. ~~~~~~
416 12, 40 | Dini Iliyo Nyooka. Lakini watu wengi hawajui. ~~~~~~
417 12, 46 | makavu, ili nirejee kwa watu wapate kujua. ~~~~~~
418 12, 49 | mwaka ambao katika mwaka huo watu watasaidiwa, na watakamua. ~~~~~~
419 12, 62 | wazione watakapo rudi kwa watu wao wapate kurejea tena. ~~~~~~
420 12, 65 | tumerudishiwa. Wacha tuwaletee watu wetu chakula, na tutamlinda
421 12, 68 | sababu tulimfundisha; lakini watu wengi hawajui. ~~~~~~
422 12, 78 | tunakuona wewe ni katika watu wema. ~~~~~~
423 12, 82 | 82. Na waulize watu wa mji tulio kuwako, na
424 12, 87 | Mwenyezi Mungu isipo kuwa watu makafiri. ~~~~~~
425 12, 88 | Imetupata shida, sisi na watu wetu. Na tumeleta mali kidogo.
426 12, 93 | mwenye kuona. Na mje nao watu wenu wote wa nyumbani. ~~~~~~
427 12, 103| 103. Na wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi
428 12, 109| wafunulia wahyi miongoni mwa watu wa mijini. Je! Hawatembei
429 13 | Mtukufu amezieleza hali za watu katika kupokea kwao uwongofu
430 13, 1 | ni Haki. Lakini wengi wa watu hawaamini. ~~~~~~
431 13, 3 | katika haya zimo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
432 13, 4 | katika hayo zimo ishara kwa watu wanao tia mambo akilini. ~~~~~~
433 13, 5 | shingoni mwao, na hao ndio watu wa Motoni. Humo watadumu. ~~~~~~
434 13, 6 | Mlezi ni Mwenye msamaha kwa watu juu ya udhalimu wao. Na
435 13, 11 | Mungu habadili yaliyoko kwa watu mpaka wabadili wao yaliyomo
436 13, 11 | Mwenyezi Mungu anapo watakia watu adhabu hakuna cha kuzuia
437 13, 17 | basi. Ama kinacho wafaa watu hubakia kwenye ardhi. Hivi
438 13, 31 | ya shaka angeli waongoa watu wote? Wala walio kufuru
439 14, 1 | kiteremsha kwako ili uwatowe watu kwenye giza uwapeleke kwenye
440 14, 3 | Akhera, na wanawazuilia watu wasifuate Njia ya Mwenyezi
441 14, 5 | yetu, tukamwambia: Watoe watu wako kwenye giza uwapeleke
442 14, 6 | 6. Na Musa alipo waambia watu wake: Kumbukeni neema ya
443 14, 6 | alipo kuokoeni kutokana na watu wa Firauni walio kupeni
444 14, 25 | Mwenyezi Mungu huwapigia watu mifano ili wapate kukumbuka. ~~~~~~
445 14, 28 | kufuru, na wakawafikisha watu wao kwenye nyumba ya maangamizo? ~~~~~~
446 14, 30 | Mungu washirika ili wapoteze watu kwenye Njia yake. Sema:
447 14, 36 | Hakika hayo yamewapoteza watu wengi. Basi aliye nifuata
448 14, 37 | Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku
449 14, 44 | 44. Na waonye watu siku itapo wajia adhabu,
450 14, 52 | Hili ni Tangazo liwafikie watu, liwaonye, na wapate kujua
451 15 | hii tukufu inabainisha ili watu wazingatie yaliyo wapata
452 15 | yaliyo wapata kutokana na watu wao. Na pia Sura hii inaonyesha
453 15 | wawili, Ibrahim na Luut'i, na watu wa Al Hijr. Na Sura inaeleza
454 15, 5 | 5. Hawawezi watu wowote kuitangulia ajali
455 15, 13 | umekwisha wapitia mfano wa watu wa kale. ~~~~~~
456 15, 62 | Luut'i): Hakika nyinyi ni watu msio juulikana. ~~~~~~
457 15, 67 | 67. Na wakaja watu wa mji ule nao furahani. ~~~~~~
458 15, 78 | 78. Na hakika watu wa Kichakani walikuwa wenye
459 16 | ardhi. Kisha kawabainishia watu wote kumuumba kwake ngamia,
460 16 | wanawake wote, watoto na watu wazima. Naye Subhanahu ameashiria
461 16 | ndani yake kwa ajili ya watu, na kutafautiana riziki,
462 16 | masikini, na neema zake kwa watu kuwa wengine wanaume na
463 16 | kudra yake. Kisha akataka watu waangalie vipi ubora wa
464 16, 11 | katika haya zipo ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
465 16, 12 | katika hayo zipo ishara kwa watu wenye akili. ~~~~~~
466 16, 13 | katika hayo ipo ishara kwa watu wanao waidhika. ~~~~~~
467 16, 24 | Husema: Hadithi za kubuni za watu wa kale! ~~~~~~
468 16, 38 | juu yake kikweli; lakini watu wengi hawajui. ~~~~~~
469 16, 43 | hatukuwatuma kabla yako ila watu wanaume tulio wapa Wahyi (
470 16, 44 | Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate
471 16, 59 | Anajificha asionekane na watu kwa ubaya wa aliyo bashiriwa!
472 16, 61 | Mungu angeli wachukulia watu kwa mujibu wa dhulma zao,
473 16, 64 | kiwe Uwongofu na Rehema kwa watu wanao amini. ~~~~~~
474 16, 65 | katika hayo imo Ishara kwa watu wanao sikia. ~~~~~~
475 16, 68 | na katika wanayo jenga watu. ~~~~~~
476 16, 69 | katika haya ipo Ishara kwa watu wanao fikiri. ~~~~~~
477 16, 76 | Mwenyezi Mungu anapiga mfano wa watu wawili. Mmoja wao ni bubu,
478 16, 79 | katika haya zipo ishara kwa watu wanao amini. ~~~~~~
479 16, 107| Mwenyezi Mungu hawaongoi watu makafiri. ~~~~~~
480 16, 122| Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema. ~~~~~~
481 17 | mchana, na yatakayo watokea watu Siku ya Kiyama katika kulipwa
482 17 | kuharibika umma, na hali ya watu katika kuhangaika kwao,
483 17 | baba na mama, na hali ya watu kukhusu mali zao; na zikaja
484 17 | ani, kushindwa majini na watu kuleta mfano wake. Na akabainisha
485 17, 59 | kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha.
486 17, 60 | amekwisha wazunguka hao watu. Na hatukuifanya ndoto tulio
487 17, 60 | kuonyesha ila ni kuwajaribu watu, na mti ulio laaniwa katika
488 17, 71 | tutapo waita kila kikundi cha watu kwa mujibu wa wakifuatacho -
489 17, 88 | Sema: Wangeli kusanyika watu na majini ili walete mfano
490 17, 89 | 89. Na hakika tumewaeleza watu katika hii Qur'ani kwa kila
491 17, 89 | ani kwa kila mfano. Lakini watu wengi wanakataa isipo kuwa
492 17, 94 | Na nini kilicho wazuilia watu kuamini ulipo wajia uwongofu
493 17, 106| mbali mbali ili uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha
494 18 | kikatajwa kisa cha Ahlil Kahf, Watu wa Pangoni, walio lala usingizi
495 18 | tena wakazidishiwa tisa. Na watu hao walikuwa Wakristo walio
496 18 | Kisha imebainishwa hali ya watu wa Peponi na watu wa Motoni.
497 18 | hali ya watu wa Peponi na watu wa Motoni. Na Mwenyezi Mungu
498 18 | Mungu akapiga mifano ya watu wawili, mmoja tajiri anajitapa
499 18, 9 | unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi
500 18, 15 | 15. Hawa watu wetu wameshika miungu mingine
1-500 | 501-1000 | 1001-1005 |